Olaigwanani-Olengurumwa, Adv Profile Banner
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv Profile
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv

@OlengurumwaO

33,554
Followers
8,151
Following
2,874
Media
10,809
Statuses

Human Rights Lawyer, Researcher and Policy Analyst- CEO THRDC. Regional Director East African Human Rights Institute. Defending human rights is not a crime

Africa
Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 months
Kwenye swala la Muungano kuna hizi hoja kinzani na kuna makundi matatu yanayobishana kwenye jamii- Wanaoamini katika Muungano wa Serikali moja , Serikali mbili na Serikali tatu - Je wewe upo katika kundi lipi na kwanini. Katiba inalinda uhuru wako wa maoni acha woga
Serikali mbili
68
Serikali tatu
675
Serikali moja
168
10
17
58
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Polisi wanastahili kupongezwa pamoja na kwamba ni kazi yao kulinda mikusanyiko , kwa leo wameonyesha busara kubwa na kusimamia sheria vizuri. Faida ni nyingi sana za kiusalama , polisi wakiwaacha wanachi watumie haki za zao za kikatiba. Hongereni, Big Up IGP @tanpol
Tweet media one
81
102
2K
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
DC anabeba Fimbo anamchapa Mtu mzima , utawala wa aina hii tofouti yake na ule wa wakoloni ni Rangi tu. Tukemee sote kwa pamoja ⁦ @THRDCOALITION ⁩ ⁦ @humanrightstz #HumanRights
356
313
2K
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Dr Kitima , Padri na Kiongozi wa Baraza letu la Maaskofu, TEC msikilizeni kwa makini #uchaguzi2020
133
322
1K
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mahakama Kuu ya Tanzania: AZIMIO LA KUMSHTAKI SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI, KWA KUKIUKA MISINGI YA KATIBA - Sign the Petition! via @Change
49
115
1K
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Nyani alishangilia kusikia binadamu kafariki kwakuwa binadamu alikuwa akimfukuza kwenye shamba la mahindi.....nyani alisahau kuwa binadamu ndiye alikuwa anapanda mahindi. Msimu uliofuata Nyani akafa kwa njaa kwa kuwa hakuna aliyepanda mahindi #UchaguziMkuu2020 CO- EXISTANCE
31
184
1K
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mzee Butiku, Watanzania ni waoga kwa sababu ya ujinga wa kujitakia #UchaguziMkuu2020
73
274
991
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Mhe Rais Samia akutana na Tume ya Haki za Binadamu na kuwapa maagizo mazito ya kulinda haki za Watanzania. Tumepata Rais anayejua na anayeheshimu haki za Binadamu. Tumwombee kwa Mungu aendelee na roho hiii . ⁦ @SuluhuSamia ⁩ ⁦ @THRDCOALITION
77
174
934
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Tume ya Uchaguzi watendeeni haki watanzania , hakuna nchi duniani iiliyocheza na uchaguzi ikabaki salama. Tendeni haki kwa kila mtu Taifa libaki salama. Kwanini kundi moja la watanzania kupata haki yao ni hadi waumie? Faida za haki ni nyingi @TumeUchaguziTZ #UchaguziMkuu2020
71
218
926
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Wasanii na celebrities wote Nigeria waleta mabadiliko makubwa na kuwa watetezi wa haki za Raia Nigeria. Sasa tujuilize wa huku Bongo wamewahi fanyia nini watanzania zaidi ya kuwatumia? #EndPoliceBrutality
Tweet media one
62
81
873
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mkapa was another Mwalimu inapokuja maswala ya kimataifa , he speaks eloquently and with authority, he has done a number of reconciliation talks in more than 4 nations in the region. Mwalimu alimwandaa vizuri , siku hizi tunaokoteza viongozi
61
223
879
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Vp ACT na CHADEMA mbona mikutano yenu ya uteuzi wagombea wa Urais haupo live na hatuwasikii kama ilivyokuwa kwa CCM Dodoma ,au Media zimeingia Mtini ? Nashauri media Mtende haki kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi hasa Media za Umma kama TBC #uchaguzimkuu2020
98
54
856
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Baaada ya huu uchaguzi tuje na mjadala kama tunahitaji kuwa na uchaguzi tena au tuache hadi tuwe na katiba mpya , mfumo huu hautakaa uache wananchi waamue wenyewe #UchaguziMkuu2020
71
135
862
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (ML), Membe kuhusu kesi ya MEIS ya kiwanda cha saruji umeiva. Habari zilizonifikia ni kwamba hiyo ndiyo silaha y kumzuia Membe asigombee Urais kupitia CCM. #Uchaguzi2020 #NiguseNinuke .
Tweet media one
63
93
841
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Naomba Kuuliza - Hivi Speaker amekosa kabisa wa kumtetea - Boss wa wabunge 300+ hakuna hata mmoja wa kumtetea boss wao. This tells kuna shida kubwa sana nchi hii ya mifumo ya uongozi? Tunahitaji katiba mpya #KatibaMpya
102
93
765
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Duniani kuna watu wana raha sana , unakwenda kwa uchaguzi unajua the outcome manake si kwa confidence hizi , what is the meaning of election then ?
96
80
756
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Currently in Loliondo. Life full of fear , intimidation and threats from armed forces. Am very disappointed that this is happening under President Samia Leadership who few weeks ago openly promised us that her government will respect rights of all people. @SuluhuSamia
Tweet media one
53
166
718
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Usiporuhusu kukosolewa Ukiwa Hai , Utakosolewa ukiwa Umekufa
44
77
707
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Dark days in the parliament @allysalehznz
28
120
723
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
TBT
187
167
681
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Askofu Niwemugizi, Atoa ushauri kuhusu haki , Amani na Usawa katika uchaguzi. Asisitiza ulinzi wa haki wakati wa uchaguzi Haki ndio Msingi wa Amani. Aonya pia wanasiasa wasitumie lugha za matusi wakati wa kampen @TumeUchaguziTZ TumeUchaguziTZ @tanpol
22
147
688
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Subira yavuta heri, Mzee Ruge alikataa kununua uhuru wake kwa PB, sasa DDP kafuta kesi yake na hana criminal record na wala hana cha kulipa
Tweet media one
34
65
674
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Tumepoteza wanasheria 9 kwa siku 11 ( 26 /4- 5Th May).R.I.P 1.Adv. E.Mmanda 2.Adv E.Ishengoma 3. Judge M.Kwikima 4.CJ. Augustino Ramadhan 5. Gabriel Nimrod Magistrate 6.Adv. J. Mwakajinga 7.Adv.Sawayaeli Shoo M. Kapilima 9. Dr. Masumbuko
Tweet media one
47
75
666
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
SAUTI kutoka Lindi ⁦ @BenMembe
84
92
669
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
If this is what police did to this female candidate, i call all feminists/ defenders of women rights to stand against this. W/rights aren’t on holidays during election. Let’s defend these few women who seek leadership through ballot papers #SpeakUpForWomenSafety #Uchaguzi2020
39
173
664
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Nawashukuru watu wa Jamhuri ya Twita kwa pongezi zenu leo baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu kuwa Wakili wa Mahakama kuu na za Chini. Tutaendelea kutumia mahakama kulinda rule of law na haki za watu. Namshukuru pia Mungu kwa kila Jambo na uhai
Tweet media one
68
45
650
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Hoja
Tweet media one
121
53
645
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mzee Karume na Uhuru wa Kukosoa
36
162
644
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Wamepambana to the last bullet
Tweet media one
83
36
635
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
BBC n.a. takwimu Corona Tanzania
19
68
619
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Nchii kila mtu analaamika kuhusu sheria mbovu kuanzia Rais, CJ , PM , VP, Speaker, wabunge , wanasheria , wanasiasa , waandishi, watetezi wa haki na wananchi. Swali la Msingi sheria kazitunga nani? na tunamsubiria nani aje kubadilisha sheria tulizotunga wenyewe?
36
89
609
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
TBC, Daily News and Habari leo ni vyombo vya Umma na vinaendeshwa na Pesa Za walipa kodi wote bila kujali Chama au itikadi. Toeni habari kwa watanzania wote bila kuchagua. Kutokufanya hivyo ni kuvunja katiba ya nchi. Tendeni haki kwa wote msije shtakiwa kwa ubaguzi #Uchaguzi2020
23
75
605
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
6 months
Tumebaki na Mzee wetu Warioba msema kweli
Tweet media one
33
60
593
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
39
91
571
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Defending human rights is not a crime #HumanRights
9
58
572
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Those days, the Nation in love
Tweet media one
31
39
561
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Sauti ya Mzee Makamba
15
90
554
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Waandishi waliokwenda kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu Ngorongoro hasa wale wandishi huru wanakamatwa na kusumbuliwa iil kuhakikisba Mkutano wa PM hauna waaandishi huru. ⁦ @Nnauye_Nape ⁩ tunaomba usaidie ubaguzi wa waandishi kule Ngorongoro ukomeshwe
Tweet media one
32
79
539
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Kijana amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi na askari wa Wanyama Pori huko Kilimanjaro Mkomazi- Askari wa TANAPA wanahitaji sana mafunzo ya kulinda haki za raia hasa wale wanaotuhumiwa kuingia hifadhini - sio kila anayeingia hifadhini ni wa kuua - mkamateni
Tweet media one
67
98
536
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Imagine mtu anakuja nyumbani kwako kusema haya , tukubali tu Mbowe is such a unique, tolerant and humble man. Hii dunia si ya kuwa na kiburi kiasi hichi
110
99
535
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
1 month
Mbili zinatosha , Tukutane tarehe 8 @SimbaSCTanzania @KumbushoDawson #UbayaUbwela
Tweet media one
9
15
541
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Mandela alikaa miaka 27 Jela kwa kesi ya makaburu, alitoka na kuwasamehe waliomtesa na kuwaombea msamaha kwa watu wa Africa kusini- Naamini Mungu atakutoa siku moja gerezani na utakuja pia wasamehe wote wanaohusika. Mawakili endeleni kutoa utetezi mengine mwachieni Mungu
Tweet media one
42
87
527
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
19 days
Kuna hizi media wao swala la Ngoorongoro sio story kwao; 1. Mwananchi communications 2. Nipashe / IPP média zote 3. ITV 4. TBC 5. Habari leo /Daily news 6. Star Tv 7. Azam 8 DW 9. Clouds 10. Wasafi 11. NK Wahariri wa hivi vyombo
55
138
534
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Holly Easter Photo : the most independent; influential, bold, unshakable, patriotic and beautiful ladies in Tanzania. Please give them a word @fatma_karume @halimamdee @MariaSTsehai
Tweet media one
57
56
508
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Msikilize Askofu Shoo #UchaguziMkuuTanzania2020
14
96
497
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Point nzito za Rais ambazo hazikupigiwa Vigelegele Bungeni 1. Kuhusu Democracy, Umoja ,Haki na uhuru 2. Kutaka watu wamkosoe bila woga . 3. Kutaka Bunge kujadili mambo ya msingi
23
46
473
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Loliondo Today - its seems some few people are not Happy with this kind of Life Co-existance , animals will miss this kind of peaceful neighbourhood. Maasai Comminity deserve a Nobel Prize as Traditional Conservators @NobelPrize
Tweet media one
6
91
475
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
19 days
Mhe Rais habari za jioni - Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nakuomba leo kabla hujalala zitizame hizi picha. Hawa watu leo ni siku ya nne wapo porini wanalala nje na kukaa na njaa wakisali na kulia. Sina jingine nimeona nikusalimie tu jioni hii
Tweet media one
Tweet media two
38
117
483
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Fatma Karume droped tears while giving a farewell speech; just crying for rule of law and independence of the bar; we thank you for ur boldness. Goodbye ⁦ @fatma_karume ⁩ ⁦ @THRDCOALITION ⁩ ⁦ @TanganyikaLaw
6
43
456
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
1 year
Mzee Pengo kauliza swali - Tunataka pesa tu au uwezo wetu wa kusimamia rasilimali zetu
31
123
454
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Hakuna kosa kwa wananchi kwenda mahakamani kusikiliza kesi yoyote . Kosa ni kufanya vurugu eneo la mahakamani, ilapaswa wasubiri wafanye vurugu ndipo wawakamate. Tendeni haki kwa watanzania wenzenu, kutesa wapinzani ni sawa na kutesa ndugu yako wa damu
28
88
438
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Mbunge kaongea kwa hisia sana , ukiwa na utu wa ubinadamu na mpenda haki machozi yatakutoka
36
122
432
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
The way Tanzania Media reports the Loliondo incident #StoppMaasaiLandGrabbing
Tweet media one
22
100
433
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
17 days
Salamu za Mwalimu Nyerere kuhusu Ngorongoro @SuluhuSamia
9
142
441
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Bado naamini kuna nafasi ya kuwa na siasa za undugu na moja kama hivi. Mama Samia naamini kabisa unapenda haki na democracy. Naamini kabisa kuna jambo utafanya kuhusu Umoja wa kisiasa hapa nchini.Msikilize Mungu anakwambia nini ukiona hizi picha. Mungu akuongoze @SuluhuSamia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
50
69
429
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
As we speak right now in Loliondo , we dont know the wherebout of 8 ward leaders including the Ngorongoro CCM chairperson, several people are injured and no medication, I kindly advise our president Samia to intervene the situation in Loliondo @SuluhuSamia #HumanRights
26
128
413
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Miradi yote ya Samia ya Juzi wamewanyima ndugu zetu Tarafa na Ngorongoro ili watu wateseke na kuamua kuondoka @WateteziTV #IndigenousLandRightsMatter #StopNgorongoroLandGrabbing #SisiniWahifadhiAsilia #NgorongoroNiYetuHatuondoki
67
130
422
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Dunia mbili tofouti , US Rais aliyeko madarakani ndiye anayelalamikia wizi wa kura , je umejifunza nini? Mimi nimejifunza kuwa vyombo vya kusimamia uchaguzi viko huru hadi wenye dola wanaviogopa. Tume yao ipo kwa ajili ya wananchi #USAElections2020
Tweet media one
36
42
420
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Baba yake Mhe Mbowe ( So called Gaidi) akiwa na Rais Nyerere. Baba yake anae itwa gaidi leo amechangia sana upatikanaji wa uhuru wa Tanzania. Democrasia miaka 60 ya uhuru inataka kulingana na ile ya miaka kadhaa kabla ya uhuru. Happy Uhuru day @freemanmbowetz
Tweet media one
24
80
407
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
1 month
Haya ndio majembe mapya ya TLS , Rais Anyisile Kanjunjumele Mwabukusi Boniface na Makàmu wa Rais Intagazwa Petro Laetitia. Tuwaombee kwa Mungu awape hekima na busara katika kutuongoza sisi mawakili lakini pia kusimamia vyema hapa nchini maswala ya utawala wa sheria na haki za
Tweet media one
13
57
419
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
10 months
Kinana - Kuna watu kwenye hii clip haya maneno kwao ni kaaa la moto
43
148
409
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Nauliza Formu ya Mgombea Binafsi Kuelekea Ikulu 2020 inapatikani wapi ,najua tupo wengi tusio na vyama mpate Rais wenu this time. Mwaka 1961 H. Sarwat Alishinda Ubunge /Ugombea Binafsi Mbulu. Ibara ya 13 ya Katiba inakataa ubaguzi wowote #Uchaguzi2020
Tweet media one
32
24
399
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Tuweke sawa, naona waandishi wengi wanatumia neno mikutano imeruhusiwa, Mikutano ya Kisiasa ilisharuhusiwa na katiba , Kilichofanyika na awamu ile ni kuvunja katiba- Sasa tumempata Rais @SuluhuSamia ameamua kulinda katiba. So Mhe amefanya vizuri kutengua zuio
Tweet media one
46
53
398
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Endelea kupumzika kwa Amani
Tweet media one
10
33
391
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Tuwaombee wenzetu wa Zanzibar watoke katika hali ya sasa waliyonayo. Maisha yao yamekuwa ya hofu na vitisho , Tumwombe Mungu awaokoe na yote yanayowakuta. Mungu ndiye mlinzi na kimbillio la wenye mateso , Binafsi naamini Mungu anatazama kinachoendelea huko #ZanzibarLivesMatter
Tweet media one
11
70
388
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
1 year
Yoyote yule asiyeona kuna shida kwenye ule Mkataba atakuwa si Mzalendo Jaji Joseph Warioba atoa neno katika sakata la mkataba wa uendelezaji na uboreshaji wa bandari baina ya Tanzania na Dubai, akisema kwa muda mrefu utendaji wa bandari ya Dar es Salaam umekuwa siyo wa
Tweet media one
44
76
387
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
1 year
Mwandishi mwenye akili , naomba kujua Elimu yake @mzeewakaliua Pia mpeni maua yake @wasafifm
35
107
390
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
7 months
Edo na Mama Regina wametufundisha Mengi - Moja wapo ni utulivu, uvumilivu ,hekima na siasa za ustaarabu
Tweet media one
6
27
390
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Wasanii Nigeria wajitokeza kupinga ukatili wa polisi #StopPoliceBrutalityinNigeria
22
69
386
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuboresha uelewa wa Askari wa jeshi la polisi
86
92
358
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
See this Police Brutality against female candidate and her security guards , every loyal and God fearing Citizen must condemn these barbaric actions of our police officers. Why can’t we arrest people legally and decently. #StopPoliceBrutalityinTz #UchaguziMkuu2020 #HumanRights
26
99
365
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Asante , sasa neno haki naona linatamkika
31
58
348
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
"If peace means keeping my mouth shut in the midst of Injustice and evil, I don't want it. If peace means a willingness to be exploited economically, dominated politically, humiliated and segregated,I don't want peace" Rev.Dr.Martin Luther King Jr.
5
76
357
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Taarifa za Kushikiliwa kwa Mtetezi wa Haki za Kiraia Nchini , Charless Odero si za kweli , tumejiridhisha yupo salama na aendelea vyema na shughuli zake za utetezi Jijini Arusha
Tweet media one
17
34
346
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Kiila kitabu unachomaliza kusoma ukiwa Jela BRAZIL unapunguziwa siku 4 za kifungo.Baadhi ya nchi Ulaya kama ITALY unapunguziwa siku 3. Mwishoni kuna maswali utaulizwa ili kudhibitisha kama umemaliza kweli kusoma chote.Sasa njoo Bongo..hali mnaijua #FreeErickKabendera
Tweet media one
14
61
346
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mwalimu Nyerere ajutia na Kumwomba Mungu amsamehe, adai haikuwa nia yake kuwafanya watanzania waoga. Asisitiza utawala wa sheria uwe wito wa kila Mtanzania
11
105
349
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Chukua speech moja ya Nyerere, Mkapa au Mandela akiongea na international media then compare, hope mtakubaliana na Mimi kuwa modern leadership in Africa is a disgrace , rais wa miaka 35 unaongea na media kwa quality hii. Aliingia kama shujaa asipobadilika anaweza toka Ki vingine
71
57
349
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Ukisikia wito wa kufundisha ndo huu, pamoja na mazingira magumu ya shule mwalimu hajakosa mbinu za kusaidia watoto
36
75
355
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Mwenyekiti CHADEMA ahamia CCM( ndio leo ingekuwa hivi kama angepita). Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe leo Februari 15, 2020 amejiuzulu nafasi hiyo kwenda CCM. Siasa ya Tanzania goigoi sana
28
25
341
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Ujumbe Mzuri sana huu
19
70
343
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 months
Nimeongea na Mhe Olesendeka yupo salama. Alikuwa anatoka Dodoma kwenda Jimboni kwake kupitia njia ya Kiteto. Kuna gari double cabin silver iliwafatilia na badaye kuanza kuwafyatulia risasi kadhaa na kupata gari lakini Mungu emesadia wao wapo salama zaidi. Pôle sana Mhe pamoja na
Tweet media one
36
43
348
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
61
56
336
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Haya mambo mnayoyaona leo Mwalimu Nyerere na watetez wenzake wa haki za Watanganyika na uhuru kamili walishapitia. Hakuna njia fupi ya kupata haki zaidi ya kila mmoja kuwa sehemu ya kudai uhuru na haki
Tweet media one
12
72
326
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Tuwe makini sana - Tunadai katiba mpya kwa ajili ya mambo mengi sana ya kitaifa na sio uchaguzi pekee- Tume huru ni sehemu tu ya katiba lakini Uwepo wa Katiba mpya unakuja kutatua changamoto nyingi ikiwemo hiyo ya tume huru - Tusidai katiba vipande vipande
26
87
328
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Huyu ni Saanane , hadi leo hajulikani halipo , kamshika mwanae Paula. Leo Paula hajui baba yake yupo wapi; wala haoni kaburi lake. Unafikiri akikua katika mawazo yake atafanya nini? Pia mliomteka Saanane mkimuona huyu mtoto mnajisikiaje? The source of extremism
Tweet media one
13
42
323
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mchungaji asema kuvaa barakoa ni upumbavu
70
48
320
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
5 years
Juma Duni Haji na wenzake waliwekwa ndani makosa ya uhaini, mama wa Duni alifariki dunia alikubaliwa ilimkubalia kwenda kumzika mama yake, Sara Cohen , Kenya aliruhusiwa kuzika mume, leo kwa Erick ni tofouti. ni hapa hapa EAC. #FreeErickKabendera
9
42
314
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Sasa tunaweza elewa maana ya ugaidi kwa kilichotokea salender , huu ndio ugaidi kwa kupambana nao
18
18
321
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Ngombe 1700 za wananchi wanyonge wa Loliondo kupigwa mnada leo katika hifadhi ya Serengeti, Kaya zaaidi ya 20 Masaini zinakwenda kuwa maskini rasmi kipindi hichi cha njaa na ukame. About 1700 cattle from Loliondo to be auctioned today around Serengeti National Park.
Tweet media one
65
85
325
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
15 days
Kataa propaganda dhidi ya Wamasai wa Ngorongoro
Tweet media one
7
70
325
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mungu Ndiye amekuponya na umauti na si madaktari, ukifika salama katoe sadaka na pia soma Zaburi 91:1-16. Ulinzi wa Mungu ni ulinzi imara kuliko ulinzi wowote ule. Umetetea vyema uhai wako na Mungu ameonyesha miujiza. @TunduALissu
9
40
319
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Watz tunapaswa kuchukia, kuguswa, kulaani na kuchukua hatua dhidi ya udhalimu huu kwa wabunge na wanasiasa wa upinzani . Tusiruhusu tena hali hii kuendelea, tupunguze maneno tukatae injustice.Ukimya wetu ni mbyaya kuliko ubaya wenyewe.Poleni sana @halimamdee @esteramosbulaya
Tweet media one
Tweet media two
29
45
315
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Loliondo beacons infront of the village house gate at Arash Ward , Ormanie village - Wananchi hawana cha kufanya - wanamwachia Mungu - ila waioko nyuma ya hili swala tambueni hofu na machozi ya wananchi hawa yatawapa majibu mapema sana.
Tweet media one
45
50
317
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
4 years
Mahakama Duniani ndio Mlango wa mwisho wa kutoa haki : 😷2019 Mlango wa African Court Umefungwa 😷2020 Mlango wa Mahakama za Ndani unaenda kufungwa 👉 Next ni East African Court of Justice Ukifunga Milango yote nature huwa inatafuta upenyo wa kutokea #AccessToJustice
11
49
303
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
7 months
Humu Duniani jitahidi kuishi Ukijua uko peke yako siku zote - Trust God and Yourself
Tweet media one
8
32
305
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
3 years
Kamanda Siro akiri polisi hawana Mamlaka na Mikutano ya Ndani
71
50
294
@OlengurumwaO
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
2 years
Prof pekeee aliyebaki na misingi yake, asante sana ⁦ @IssaShivji
Tweet media one
22
45
301