38M ni hela ya maana? Profile Banner
38M ni hela ya maana? Profile
38M ni hela ya maana?

@Officialfrydah

10,698
Followers
3,231
Following
1,745
Media
48,086
Statuses

Take what you deserve, don’t act like you will live twice✨

Arusha
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
5 months
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. Isaya 54:14
0
5
18
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Baby nikuambie kitu?
1K
89
1K
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
It's my birthday +1
Tweet media one
201
47
1K
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wanaume ni kosa gani tukiwafanyia hamuwezi kutusamehe kamwe?
242
40
1K
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wanaume sio mbwa uyo wako anaekutesa ndio mbwa.
106
30
935
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi mwanamke kumtongoza mwanaume ni vibaya? Kuna DM nataka nikajilipue.
209
30
945
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Kuna watu mishahara imeshaisha 😂😂
110
32
961
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Wanaume, siwapangii but mtoto wako au mdogo wako wa kiume akianza kukua uwe unatoka nae na kwenda nae huku unakokutana na marafiki zako wa kiume ili aone wanaume wanavyo ishi hii itampa kujiamini, kujitambua na kupunguza hiki kinachokua kwa kasi sasa hivi.
65
166
831
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanaume ushabikii mpira starehe yako nini sasa?!.
121
23
618
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi hawa wanaume wanaotumia twitter watawaoa wakina nani.?!.
179
20
590
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
6 months
Ila familia za Kiafrika 😂nina shemeji yangu hajaanza shule.
81
43
625
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanaume akiwa na kakitambi kidogo akivaa nguo anapendeza sana.
75
17
595
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
We kaka acha ku-zoom profile picture yangu unaniumiza uso.
62
9
578
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Yani kuna wakaka humu uki like tu tweets zao hao DM🙌
77
32
570
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Baada ya likizo moja hivi rafiki yangu wa Sinza alitaka nifikie kwa dada yake alipokua anaishi nae (Sinza) ili kesho yake tuende shule pamoja nikaona sio shida nikakubali, nilivyofika sikumkuta dada yake nikapiga story na rafiki yangu na kujiandaa kwaajili ya kesho then tukalala.
14
23
560
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wanaume wafupi wengi ndio hua wanakua na pisi kali alafu wanamapenzi ya kweli.
93
21
485
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 months
Bro umejiunga twitter 2013 una followers 54 tu unakuja DM kwangu kufanya nini 😭😭😭😂😂😂
107
19
478
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Anaongea vitu kama hivi bila hata machozi sina hakika kama anaongea kweli na kwanini hakwenda kwenye uongozi wa juu akatoroka shule? Kuna kitu kinapikwa hapa
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
MWANAFUNZI Ester adai kubakwa na Mwalimu kabla ya kutoroka shuleni na kukutana na Baba Jose Muuza MKAA.. Habari kamili ipo YouTube Link
307
93
649
196
26
473
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Niitwe tu mshamba lakini mwanaume anae enda club ni HAPANA 🙅‍♀️🙅‍♀️
59
24
461
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mimi ni parody nnaemiliki account @broke_jk nimeamua niseme ukweli asanteni kwa kuni-DM nazimwaga hapa mda si mrefu kuna watu humu chenga sana.
66
14
423
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Siku nikiwa sina cha kufanya nitajibu hizo hi hi na hey hey zenu huko DM.
57
9
423
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
😘
Tweet media one
50
16
429
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Ni dhambi gani hujaifanya kabisa toka mwaka huu umeanza?
82
16
408
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wakaka ma-handsome wengi hawana akili wakiachana na wapenzi wao wanasema walitongozwa ata kama walitongoza wao.
68
10
404
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kuna huyu kaka alini DM mwaka jana leo nakagua DM yangu nakuta amekua mdada humu ndani tunaishi na majini mjue.
48
18
393
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Uki-date na mtu hakikisha unamfanyia vitu ambavyo siku ikitokea amekuacha asiwahi pata kama wewe, mfanye ajutie maisha yake yote.
49
19
394
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mkiambiwa wanawake sisi ni mashetani na nyie ni mbwa mnakataa mnaona alichokifanya Grace?!?
34
15
383
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
M-post mpenzi wako tucheke yaishe.
49
9
392
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Yani nikiwaza kuna siku na mimi nitazeeka naishiwa nguvu.
61
13
374
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Taja lugha ya twitter ambayo ukiiona lazima ucheke. Mimi: muue
64
8
368
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kweli wanawake tunazidi kutokwa na akili ile thread ya South 🙌🙌🙌🙌🙌
36
5
369
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi mwanaume unaanzaje kumpiga mwanamke wako tena akiwa mjamzito?!
64
15
343
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
7 months
Mtumie rafiki yako sms "jana si nililala kwako?" Uscreensht tuone. Uyu rafiki yangu yupo Mwanza ila kakubali 🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
29
18
347
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mfundishe mwanao kusema "asante" na "samahani" ni maneno madogo lakini yanamaana kubwa sana.
13
30
323
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Bro wanavyosema wakubwa wanafaidi wanamaanisha wenye hela kwahiyo tafuta hela.
26
8
311
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wanawake wote tunao upendo wa kweli.
66
5
304
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Nisome kwa shida alafu nije niolewe na mtu ambae hajasoma siwezi.
80
14
313
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanamke tabia shepu ni majaliwa.
53
9
315
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi hua mnafanyaje kuwapata wapenzi wanaowajali?!
51
14
293
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mkaka handsome, kapendeza na ananukia vizuri anamsogelea konda kwa upole kumbe ana 300.
52
14
294
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Umempendea nini huyo mpenzi wako?
94
7
283
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kwahiyo wote mtaoa wanawake wenye makalio makubwa? Anhaa sawa.
75
16
270
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi nikikutongoza utakataa?
83
8
278
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
+1🎂🥂 Mungu bado ni mwaminifu 🙏
Tweet media one
Tweet media two
60
29
285
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Nachukia sana kuambiwa" niambie "
50
7
275
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Uwe unamnunulia girlfriend wako chocolate hasa baada ya period ushindwe pads hata chocolate kweli?!
38
12
265
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Kuna kitu nimeona sehemu 🙌wanaume endeleeni kutuogopa 😭
27
9
273
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Katoto ka form 4 kanataka kunitongoza maigaaaad😫😫
43
14
267
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Mwanaume anapenda kumuona mwanamke alievaa nusu uchi lakini asiwe mke wake Good morning 😃
41
26
272
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Ruby anajua kuimba kuliko wasanii wote wa kike Tanzania. Niueni.
43
17
236
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Hivi ni mimi tu nikimuona mtu ninaempenda natetemeka na mapigo ya moyo yanaenda mbio au ni kawaida? 🤦‍♀️
47
14
248
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kuna wanaume wapo romantic jaman uuwwiii!.
50
2
227
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Diamond (Sadala) ladha ni ileile kila siku, hana jipya.
33
7
227
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Ndio nasubiri dakika 28 ziishe na mimi ndio nimjibu sms yake kama alivyonifanyia😂😂
Tweet media one
28
9
244
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Naitwa Frydah natafuta mume ambaye yupo serious, mwenye hela, awe mrefu kiasi na anaejali. #076335 %$%$
70
7
224
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanaume unaringa nini sasa.
49
7
224
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Ule msemo "natamani kua kama wewe" umekaa kinafiki sana.
21
10
225
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Haijalishi kipato wala nini mwanaume yeyote ni lazima aheshimiwe✍️
23
31
231
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Lakini mwanaume kutumia infinix hata haipendezi.
57
6
208
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Moyo wangu umevunjika.
60
3
215
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kwa mara ya mwisho kama kuna mtu ananitaka aseme Jumatano naenda seminary.
48
2
214
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanaume hisia, pesa ni majaliwa.
30
16
206
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Nita-share sim yangu na atakae kua mume wangu lakini sio boyfriend.
26
5
201
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Alafu mwanaume kuongea hovyo hovyo hata haipendezi.
30
13
200
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mwanamke unamtaka mwanaume mwenye pesa wewe unazo?
19
10
197
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Kuanzia leo mimi ni Arsenal 😍😍
36
7
206
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kama kuna mtu sijajibu DM yake aseme.
40
5
192
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Na upole wangu wote na u-wife material lakini bado kuna mtu hana huruma anani-cheat.
28
10
198
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
1 year
Nina swali hapa sio kwa ubaya na naomba msinipike 🙏😂. So mwanaume wa Kiislam akishaoa hao wanawake wanne (4) hawezi kuwa na wanawake wengine nje?
41
11
211
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
4 years
Usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu!
4
11
206
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
I love you!
42
9
187
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Niwaambieni kitu yani nafurahia sana kuziona hizo hey hey na hi hi zenu huko DM zikiwa bado za blue sijazifungua.
26
5
197
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Siku hizi ukimpenda mtu sana anakuona kama umechanganyikiwa 😂😂😂
22
31
200
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Uyo ndio babe wako?
19
6
190
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
10 months
Nimekutana na huyu kaka kaniuliza vitu vingi kuhusu watoto hadi kabila alaf mwisho kamalizia “nipe namba yako napenda sana hivi vi shape vya kizungu” nikamtajia. Mda anasave akasema haya majina ninayomengi sana kwenye simu yangu sijui nitakusave vipi nikumbuke. Bro, nimetoka
11
9
204
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Tuombeane amani watu wangu wa nguvu nawapenda sana. Nawatakia siku njema yenye baraka.
18
10
181
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi uyo mpenzi wako anakupenda kweli au umepigwa.?!
20
13
182
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hata uuze karanga sawa, nimeridhia kidogo tutachanga......
20
9
175
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Unalala na kwenu hamna mtu kwenye system 😂
22
20
196
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kuna watu wanazidharau simu za Tecno lakini ni simu nzuri sana.
30
8
184
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Kuna mda unatakiwa kutumia akili hata kama utakuwa umeukatili moyo wako ili uwe na amani kwa siku zijazo. Good morning 🌞
20
17
188
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
11 months
🥂
Tweet media one
Tweet media two
43
23
190
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Furaha niliyonayo leo DM zenu nazijibu zote.
12
2
175
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Njooni mniue 😂😂😂😂
Tweet media one
28
8
183
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Unaona hicho kidogo ulichonacho kuna watu hawapendi kilinde kwa maombi📌
22
22
179
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Oyaa alafu sio wote humu wanaolalamika hawana kazi kweli hawana kazi hapana achakufurahia kifo cha wengi ni wewe ndio hauna kazi ya kufanya tafuta kazi.
22
8
172
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
4 months
Una date na mtu miaka ya kutosha unaona kabisa hakuna kinachomzuia kuoa kumbe shoga 🙌🙌🙌
21
11
186
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Wife material ndio natoka kitandani sasa baada ya kumaliza kuzunguka mitandaoni.
18
8
172
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Unakutana na mwanaume njiani anakusalimia, mara unaitwa nani mara naomba namba zako za simu hua najiuliza huyu kaomba wangapi? Kwanini msijiheshimu?
54
8
173
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Kwahiyo hadi bi harusi kakosa chakula kwenye harusi yake mwenyewe.
17
11
167
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Mtu mmoja ajitokeze anitoe jalalani jamani.
35
6
167
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Maombi yenu wapendwa wangu mafua yananitesa pia nina homa kali sana.
43
5
162
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Unajichukulia poa lakini kuna watu wanakuonea wivu.
15
14
170
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
We kaka usipo kuja DM leo kesho nitakufata mimi. Anyway ulale salama my future husband.
18
3
167
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
2 years
Nitoke nikapigwe na jua sasa nibebe na chaja kabisa maana kurudi inaweza kua Jumatatu 😂😂😂
23
14
178
@Officialfrydah
38M ni hela ya maana?
3 years
Hivi watu wakikwambia ungekua na mwili tungekoma hua wanamaanisha nini?!.
25
5
162