oppotanzania Profile Banner
oppotanzania Profile
oppotanzania

@OPPOTanzania_

890
Followers
10
Following
162
Media
197
Statuses

OPPO is a leading global smart device brand. Our mission is to allow extraordinary users enjoy the beauty of technology. Customer Support line: 0800120077

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@OPPOTanzania_
oppotanzania
4 months
🚀 Nguvu na Ufanisi Mkononi Mwako! OPPO A18 inaita — chukua yako 🛍️ kwa bei ya 310,000 TSH unajipatia A18 yenye 4GB + 64GB. Na kama unatafuta nafasi zaidi🤔 kuna toleo la 4GB + 128GB. ✨Nunua simu ya OPPO na ujipatie tiketi ya bure! kutazama fainali ya UEFA pamoja na mashabiki
Tweet media one
1
1
2
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Kwa Furaha ya Kumaliza Mwaka 2023! Tumekuja na GIVE AWAY!! Ni rahisi sanaa kujipatia fuata hatua zifuatazo🥂 1. Follow ukurasa wetu. 2. Toa maazimio yako au salamu bora kwa OPPO kwenye comments. 3. Tumia Hashtag #CloserWithOPPO . Challenge hii pia inapatikana kwenye mitandao
Tweet media one
25
47
124
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Ni Furaha Sana Pale unapopata simu ambayo ina kile ambacho umekitarajia na umekitamani kuwa nacho, Hii ni Kwaajili yako sasa ikiwa na vyote unavyohitaji Unasubiri nini, Unaweza kutembelea maduka yaliyopo karibu nawe kujipatia yako! #OPPOA17 #OPPOTanzania
Tweet media one
6
4
52
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Hongera kwa washindi wa challange yetu ya OPPO Fest,Tunawakaribisha washindi kufata zawadi zao siku ya Jumatatu tarehe 22/01/2024 kwenye duka letu la OPPO pia watapata nafasi ya kushuhudia draw yetu ya #ShindaBODAnaOPPO itakayofanyika siku hiyo hiyo dukani kwetu
Tweet media one
5
12
28
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
ONLY 2 DAYS LEFT!!! #CloserWithOPPO
Tweet media one
10
10
23
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Wajanja wote wanatumia simu za OPPO ambayo itarahisisha shughuli zako za kila siku bila wasiwasi wowote hakuna kuwaza kuhusu chaji 67W SUPERVOOC inarahisisha sana maisha yako bila kusahau uwezo mkubwa wa kuhifadhi taarifa pamoja na muundo mzuri wa kuvutia sana!! #OPPOTanzania
Tweet media one
2
4
23
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Funga mwaka na kufungua kwa mtindo usio wa kawaida na uvumbuzi wetu wa hivi karibuni kwenye simu zetu za OPPO. 🎀 #CloserWithOPPO .
Tweet media one
5
9
19
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
OPPO A78 sasa zinapatikana kwa bei rafiki kabisa ya 650,000/= pia A38 na A58 zinapatikana ukinunua utajipatia box la zawadi . Usikose wakati huu wa kipekee! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
1
2
18
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Tunafuraha sana kuwataarifu kuwa tovuti ya Oppo Tanzania sasa imewezeshwa, Tafadhali tembelea kuona na kujifunza zaidi kuhusu bidhaa zetu!! #OppoTanzania
Tweet media one
0
4
16
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Umefanya manunuzi tayari? OPPO A77S bado zipo na zinapatikana kwenye maduka yetu yote na mawakala waliothibitishwa, Jipatie yako sasa!!! Pia retweet na kutag rafiki zako waweze kutembelea na kujiunga na kurasa yetu kwani yanayokuja yataleta furaha kwenu nyote zipo zawadi nyingi
Tweet media one
1
4
15
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Fikra zinachanua kama maua, kila moja ni kielelezo cha ushindi na furaha!! 🌸 #ShotonOPPO #OPPORenoSeries
Tweet media one
3
5
12
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
LEO SI NDO SIKU YENYEWE🔥 Sisi bado tupo sabasaba tukiendelea kumwaga ofa na elimu kuhusu simu zetu karibu sana kwenye mabanda yetu ujipatie simu kali ya chaguo lako usipitwe sasa🔥🔥 #Sabasaba2023 #OPPOTanzania
1
4
11
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
OPPO Tanzania is glad to announce that we have invited JUX to our first launch event in Tanzania on 31st October. @JUX indeed enjoys his brand new A78. #AperfectChoice #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
12
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
TUPO SABASABA Habari njema ni kwamba tuko sabasaba kwenye banda la @vodacomtanzania tutembelee ujipatie simu kali na elimu juu ya simu zetu🔥 #sabasaba2023 #OPPOTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
2
13
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Sisi bado tunaendelea kufurahi na kurahisisha mambo yetu na Reno8 T 4G yenye 100MP camera, RAM 8+8GB kioo kizuri na imara na bila kusahau warranty ya miezi 24🔥. Karibu tufurahie pamoja! #Reno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
1
2
11
@OPPOTanzania_
oppotanzania
9 months
Thank you all for participating in Win1MwithOPPO Challenge. Congratulations to our winner @Mavura_jr 🔥🔥
2
2
11
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Ni siku tatu tu kuelekea uzinduzi wa OPPO Tanzania na msanii maarufu Jux! Tunaahidi kukuletea teknolojia ya hali ya juu na burudani ya kipekee! Jiandae kwa tukio kubwa! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
0
1
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
TUNAIANZA WIKI KWA KISHINDO!! Tunaanza wiki kwa kishindo na amsha amsha ule muda uliokua unatamani sasa umefika,Go and Buy A57,A77 and A77S ujipatie zawadi ya Bluetooth Speaker kali sana, There we goo!! #OPPOASeries #OPPOTanzania
Tweet media one
0
2
12
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Rahisi na haraka! Chaji simu yako ya OPPO A78 hadi 43% kwa dakika 15 tu, na chaji hii ya 67W ikiwa na Teknolojia ya SUPERVOOC inayoifanya simu yako kuchaji kwa haraka na salama zaidi!! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
0
0
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
9 months
Shukrani kubwa kwa mapokezi mazuri, Tanzania!. OPPO iko hapa kwa ajili yenu. Karibuni sana kwenye duka letu la OPPO ambalo linapatikana Kariakoo Gerezani mtaa wa Lindi, Pia leo ni siku ya mwisho ya kushiriki challange yetu ambayo utajishindia kitita cha Million Moja bado una
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
5
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Make a splash with the Aqua Green beauty of the OPPO A78. It's not just a phone; it's an accessory that complements your style! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
0
1
9
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuhusu ulinzi kwenye OPPO A17K hutakiwi kuwa na mashaka au wasiwasi yoyote ile sababu ipo na ulinzi wa kutosha kulinda vitu vyako kwa hii side fingerprint ni salama na nyepesi zaidi😎 #OPPOA17K #oppotanzania
Tweet media one
2
2
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
OPPO Reno 8T 4G Hizi ni sifa zote unazopaswa kuzifahamu kuhusu simu hii kali sana🔥 #Reno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
1
2
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Nenda na mtindo huku ukitumia camera halisi ya A17K ya 8MP safi kabisa ambayo huweka mwonekano mzuri wa picha na kukufanya kua na kumbukumbu nzuri😎 #OPPOASeries
Tweet media one
0
3
10
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
The chosen one😎 Hii ni chaguo la watu makini sana wanaopenda ubora wa hali ya juu iko na kila sababu ya kukufanya uwe nayo,Jipatie yako sasa ukawasimulie!! #OPPOA57 #OPPOTanzania
Tweet media one
1
1
9
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
As we reflect on the year, we're grateful for the privilege of serving you. Wishing you a Merry Christmas filled with success, happiness, and prosperity. 🎅 #CloserWithOPPO
Tweet media one
0
3
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Hizi ni sifa za kipekee ambazo utazipata kwenye simu hii adhimu ya OPPO A78 hakika zitakuvutia sana na utazifurahia sana!! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
1
1
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Uzinduzi wa bidhaa mpya za OPPO A78, A58, na A18 umefana! Tunaahidi ubora na ubunifu wa hali ya juu.Ungana nasi kwenye safari yetu ya kusisimua!! #OPPOTanzania #AperfectChoice
0
0
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Ukiwa nayo Macho yote ni kwako kutokana na muonekano wake wenye mvuto wa hali ya Juu, Mshangao ni lazima kwa hii Reno8 T 5G🙌 #Reno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
0
2
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Shuhudia uzoefu wa kitofauti wenye teknolojia ya juu na ubora usiopimika.Ifanye iwe karibu nawe kwenye shughuli zako za kila siku😎 #Reno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
1
1
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
SHUGHULI BADO😎 Shughuli bado inaendelea watu wanajipatia simu kali za OPPO usisubiri kuhadithiwa tembelea sasa zawadi kibaoo🔥🔥
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
1
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Rangi zetu zinaweza kubadilika, lakini ahadi yetu kwa teknolojia bora itabaki pale pale. Je, unaweza kufahamu ni picha gani ilikuwa nembo yetu ya kwanza kabisa? 🤔
Tweet media one
1
1
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Ultra- Volume Mode inakuwezesha kupata sauti nzuri na viwango vya juu sana😎 Hii ni A17 Jipatie yako sasa kwa 365,000/
Tweet media one
0
2
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Here's to a year of OPPOrtunities, achievements, and unforgettable moments! Happy New Year from everyone at OPPO. Let's embark on a journey of innovation and success in 2024! Dont forget you still have a chance to get a new phone in the new year! Simply check on the top of our
Tweet media one
4
3
8
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Reno8 T zinang'aa na kupendeza kama almasi ubora wake sio kwa macho tu ila unaonekana kwa watumiaji wake kila siku😎 Uzuri wake unaendana na ubora🔥 #RenoSeries #OPPOTanzania
Tweet media one
1
1
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
As the year wraps up, we're pressing pause on 2023 memories. Say farewell with OPPO's cutting-edge technology, and get ready for a smartphone revolution in 2024! #CloserWithOPPO .
Tweet media one
0
2
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Wasiliana nasi kwa urahisi! 📱 Tumeboresha namba yetu ya kituo cha huduma kwa wateja ili kuimarisha uzoefu wako .Usipitwe na njia mpya ya kutufikia kwa urahisi na haraka! #CloserWithOPPO #OPPOTanzania
Tweet media one
0
4
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hizi A Series ni motoo sana sana🔥, jipimie kutokana na bajeti yako ili uweze kufurahia na kushuhudia maajabu yake huku ukijipatia zawadi karibu sana sisi tunaendelea kuleta ubora unaohitaji mikononi mwako!!!! #OPPOASeries #OPPOTanzania
Tweet media one
0
1
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Selfie ma marafiki zinapendezeshwa zaidi na Reno8 T😎 #ShotonOPPO #Reno8t
Tweet media one
0
1
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
@dobipoawashouse @TOTTechs @ridhiwanimaulid Hata Instagram pia unaruhusiwa.Tembelea page yetu ya Instagram kuona maelekezo
1
0
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
A17 na A17K Muonekano ni wa kiwango cha juu sana, Kuhusu utendaji wake wa kazi usijali kabisa haziwezi kukuangusha uhakika ni asilimia mia moja, Karibu ujionee ubora na mapinduzi ya teknolojia kubwa!! #OPPOTanzania
Tweet media one
1
2
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Vibe isiyo na mfano kwenye OPPO A77 yenye spika ya Ultra-Linear Stereo, Furahia kila mdundo kwa ukamilifu zaidi hii ni burudani isiyo na ukomo.Tuendelee Kuenjoy🔥 #OPPOA77 #OPPOTanzania
Tweet media one
2
2
7
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Ubora wa muda mrefu na dhamana ya miezi 24 - okoa gharama kubwa kwenye marekebisho na vifaa fanya manunuzi kwa kujiamini! #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Chaji ya ajabu na haraka ndani ya Reno8 T, speed ya Mwanga!! Try it Now! #Reno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
0
1
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
2
0
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Muundo sahii, Teknolojia ya Kisasa😎 #OPPOASeries #OPPOA17 #OPPOTanzania
Tweet media one
1
1
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Week-Ending!! Imedhaminiwa na Reno8 T!!! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
1
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Tunaendelea na Maonesho hapa sabasaba karibu upate huduma bora na elimu kuhusu simu pendwa za OPPO😎 #Sabasaba2023 #OPPOTanzania
Tweet media one
Tweet media two
0
1
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuna machaguo mengi sana kwenye OPPOA Series , hakuna aliyeachwa nyuma kwenye hizi simu tafadhali tembelea madukani kwetu kote kujipatia yako kumbuka zawadi bado zipo😎 #OPPOASeries #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hakuna tena kuamua ni picha zipi za kuweka au kufuta A57 ina 64GB ambayo itakusaidia kuhifadhi vitu vingi zaidi,kwa Upanuzi wa RAM hadi 4GB na Processor ya Octa-Core, inafanya kila kitu kufanyika kwa urahisi zaidi!! #OPPOA57 #OPPOTanzania
Tweet media one
1
2
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Sio battery tu! Ila ni battery yenye nguvu na Imara😎 #OPPOA17K #OPPOTanzania
Tweet media one
0
3
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
BADO TUPO!!! Bado tupo na tunaendelea na maonyesho hapa sabasaba tembelea mabanda yetu kujua simu zetu na kufanya manunuzi kwa bei rafiki sana. #Sabasaba2023 #OPPOTanzania
0
2
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuhusu kamera kwenye OPPO A77s ondoa shaka kabisa 50MP AI Dual camera itahakikisha unapata picha nzuri zitakazokuridhisha bila kujali muda, Tembelea maduka yetu sasa ujipatie yako😎 #OPPOA77S #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
6
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Sunrise Gold and Midnight Black Pre order Now Reno8T 5G Usipitwee!!! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Get a full day's power with its 4300mAh battery and 33W fast charging—the perfect companion for your creative journey! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuwa na simu ya Reno8 T ni kama kuwa na nyota inayong'aa, kila kitu kinakuwa cha kipekee! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
OPPO A57 Ni kali sana kwa pesa kidogo sana unajipatia ubora na uimara wa kiwango cha Kwanza kabisa, Ikiwa na RAM 4GB yenye uwezo wa kuongezeka hadi 8GB na storage ya 64GB unajipatia kwa 570,000 tu, Karibu Huku tulipo🙌 #OPPOA57 #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
WEEK-ENDING with OPPO A17 😎 which is your favourite, Frame 1 or 2? Follow then Retweet as much as you can, we have gifts for you!! #OPPOA17 #OPPOTanzania
Tweet media one
Tweet media two
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Pasaka ni wakati wa kujikumbusha upendo na dhabihu ya Kristo kwa ajili yetu. Tunawatakia wakristo wote Heri ya pasaka na amani katika mioyo yenu. #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hii sasa ndio A77 Iko na RAM 4GB Extended na storage 128GB zinapatikana kwa 520,000/= Tuendelee kuenjoy #OPPOTanzania #OPPOA77
Tweet media one
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Tazama mambo kwa karibu zaidi na teknolojia ya microlens 40* kwenye simu yako ya Reno8 T. Kwa kamera hii, utaweza kuchukua picha za kushangaza na kuwavutia watu wengi sana! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
Tweet media two
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Tunaposema hii ni Potrait Expert tunamaanisha angalia mpangilio huu wa camera na uwezo wake,108MP Main camera,32MP front camera usisahau 40* Microlens hakika hautaacha kumbukumbu yako hata moja ipite!! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Wrapping up the year with OPPO in hand. Capture the essence of 2023 and get ready to unfold new possibilities in 2024! #CloserWithOPPO .
Tweet media one
0
1
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Katika maadhimisho ya siku hii ya Karume tukumbuke maneno yake kua "Maendeleo si zawadi, bali ni matokeo ya jitihada zetu wenyewe.Tuenzi kumbukumbu yake kwa kufanya kazi kuelekea maendeleo yetu. #HappyKarumeDay
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Capture the magic of the season. 📷🎄 #CloserwithOPPO
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Tunapoendelea na wakati huu maalum wa Ramadhan, Tunatumai maisha yatakuletea hatua moja karibu na baraka zako zote! #Ramadhankareem
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
8GB RAM+8GB🔥 Hakuna tena kuchelewa kwenye shughuli zote unazofanya ukitumia OPPO Reno8 T 5G, yenye 8GB RAM na uwezo wa kuongezeza ziada 8GB ili kuweka mambo sawa na haraka kila wakati. #Reno8T #OPPOTanzania #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
9 months
A touch of nature in the palm of your hand. OPPO A78 in Acqua Green – where technology meets tranquility!! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
1
1
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
A16K au A17K? Zimeshushwa bei sasa na ni bora sana lengo letu ni kila mtu kupata ubora na teknolojia tofauti, Tembelea sasa maduka yetu ujipatie kwa bei ya punguzo #OPPOAseries #OPPOTanzania
Tweet media one
2
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
OPPOA77s imetengenezwa madhubuti kukuhudumia, Inakuja na 33W SUPERVOOCTM,5000mAh betri yenye nguvu na kudumu, 50MP AI Dual camera, Hii ni yako kabisa!!! #OPPOA77s #OPPOTanzania
Tweet media one
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Boresha Christmas yako na zawadi ya huduma za kisasa na fursa bila kikomo!! #CloserWithOPPO
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Unataka kupata picha nzuri na ang'avu? Oppo Reno8 T ipo hapa kukata kiu yako, Unasubiri nini? #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Ishuhudie Ultra-clear imaging kwenye Reno8T 5G , Ikiwa na 108MP Potrait camera -Hii haijawahi tokea kutoka OPPO, Depth camera na uwezo wa Kuzoom mara 40😎 Piga picha nzuri bila kujali muda Jipatie yako sasa🔥 #Reno8T5G #OPPOTanzania
Tweet media one
0
2
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hii ni Reno8 T 4G ikiwa na muonekano mzuri na muundo bora sana🔥ina sifa nyingi za kuvutia na kushangaza ikiwa na 100MP main camera, RAM 8+8 na storage 256GB kwa sifa hizi za kijanja unasubiri nini tembelea maduka yetu inaptikana kwa 780,000Tsh, Enjoy!!!
0
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Camera Mbili, Furaha Mara Mbili! Sasa unaweza kurekodi video mara mbili kwa wakati mmoja na kamera ya mbele na kamera kuu ya simu yetu. Picha na video zinakaa mara mbili zaidi! 📸 #OPPOTanzania #AperfectChoice
3
2
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
@Mavura_jr Mavura unataka kubeba zootee!!
1
0
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Get the best of both worlds with Reno8 T! 🌟 Experience an incredible 100MP camera, 40x microlens zoom, 33W fast charging and 4300mAh battery - all in one phone. #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
1
5
@OPPOTanzania_
oppotanzania
9 months
Counting down to Christmas magic with OPPO! 🎄 #CloserwithOPPO
Tweet media one
1
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuna machaguo mengi sana kwenye OPPOASeries, Hakuna alieachwa nyuma karibu ufanye chaguzi lako sasa!! #OPPOASeries #OPPOTanzania
Tweet media one
0
1
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Kuhusu simu kuzima kisa chaji huku hakuna kabisa kabisa, sisi tumeshasahau full chaji ni uhakika na haraka sana. Jipatie toleo hili la Reno8 T 4G&5G ujionee utofauti wa hali ya juu😎 #OPPOTanzania #Reno8t
Tweet media one
1
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
9 months
Tupo hapa Kariakoo Gerezani Lindi Street tukiendelea na safari ya kutoa huduma bora za OPPO nchini Tanzania. Karibu utembelee dukani kwetu!! #OPPOTanzania #AperfectChoice
Tweet media one
Tweet media two
2
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
Kioo cha simu chako, ni kipaumbele chetu. OPPO inakupa udhamini wa miezi 24, hakuna wasiwasi tena. Karibu kituo chetu cha huduma kwa msaada!! #OPPOTanzania
Tweet media one
2
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Stylish Design and affordable,Try it now! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
The wait is almost over!! Here is Reno8 T 5G Pre- order Now!! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Jumatatu ni ubao kamili wa kupaka rangi ndoto zako, kuwa na rafiki huyu OPPO Reno8 T atake kusaidia kupaka vema na kufikia malengo yako ana sifa nzuri za kuvutia hakika utafurahi sana kushirikiana nae😎 #OPPOReno8T #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
@Charax12 @ridhiwanimaulid @TOTTechs @HabariTech Pole na Karibu sana. Ofisi zetu zipo posta Clock Tower, Jengo la Najmi Manzil Floor ya 5
0
0
1
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
The Reno8 T is all about showing off!! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
10 months
OPPO A78 IS LOADING!!! #AperfectChoice #OPPOTanzania
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
DILI LA MOTOO!🔥 Jipatie mikononi mwako sasa A17 kwa bei rahisi sana HAUTOAMINI😎 Usikubali upitwe na hii sio ya kukosa kabisa ni kwa 365,000/= Tu RAM 4+64gb, camera kalii sana #OPPOTanzania #OPPOA17
Tweet media one
0
1
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hii sasa ndio OPPO A57 yenyewe achana na hizo nyingine RAM 4 GB na storage ya 64 GB, chaji ya uhakika na kwa bei rahisi sanaa🔥 #OPPOASeries #OPPOTanzania
Tweet media one
0
0
4
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Bees know how to find adventure - just follow the flowers! Reno8 T captures the journey! #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Muonekano mzuri, kamera kali sana 100MP, betri kubwa na imara inayojaa kwa haraka 33W usijali kuhusu utendaji wake ni kasi ya ajabu hutajutia, Reno8 T ni chaguo bora kwako #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Shida sio kuwa na simu janja,karibu huku tulipo ufarahie ulimwengu mwingine wa teknolojia!! Everything is Perfect #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
More power,More fun, this OPPO A17K is perfect choice for you!! #OPPOTanzania #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
8 months
Jingle bells, tech all the way! Upgrade your holiday with the perfect smartphone companion. 🔔 #CloserWithOPPO .
Tweet media one
0
0
2
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Mondays are for new beginnings and endless potential. Unleash your creativity with the remarkable OPPO A57, and let your dreams take flight. #OPPOA57 #OPPOTanzania
Tweet media one
1
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Hakuna kunasa nasa tena, kila kitu ni haraka na wepesi UKALI huu mpya oppo Reno8 T 5G unakupatia 48-Monthly Protection ambayo itahakikisha simu yako inafanya kazi kama mpyaa hata baada ya miaka 4 kupita !!! #oppotanzania #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
MUONEKANO NA KIOO!!!!🔥 Ubunifu wa kisasa na wenye mtindo mzuri wa OPPO A17 utavutia macho yako kila wakati. Screen kubwa yenye 6.56 HD" ,nyepesi na nyembaa itakayofanya iwe rahisi kuishika kutokana na muundo wake wa kisasa, Hakika OPPO A17 ni simu kamili kwa mtu kamili sana.
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
Leo tunakupa sababu za kushirikiana na rafiki yako huyu A76!! Design kali ya Oppo Glow ni kaliii sana inakusaidia pia kuzuia michubuko, kamera ndo balaa,tumalizie na hii sasa 5000mAh Long lasting battery, Usijali zipoo tembelea maduka yetu ujipatie yako!!! #OPPOA76
Tweet media one
0
0
3
@OPPOTanzania_
oppotanzania
1 year
SPIKA ZA KUSHANGAZA😎 Ikiwa na spika mbili zenye nguvu na sauti mwanana sana itakufanya kujisikia furaha sana ukiwa unasikiliza au kuangalia video yoyote kwenye simu yako, 200% Ultra volume mode haijawahi tokea hii hakika itakushangaza🔊 #oppotanzania #Reno8T #JipandisheNaReno8T
Tweet media one
0
0
3