Tangazo!
-Wenye ECU zao zimesoak ju ya floodings, kujieni replacements kwangu!
-Izo bearings zikilia, kujieni replacements
-Izo CV joints zikianza kupiga kelele, kujieni kwangu.
-Wenye gari zao zinaleak, kujieni mouldings
-wipers za gari hazifanyi, kujia pia
#spaceyamagari