Mwanaisha Mndeme Profile Banner
Mwanaisha Mndeme Profile
Mwanaisha Mndeme

@Mwanaishamndeme

12,673
Followers
608
Following
2,948
Media
16,592
Statuses

Advocate,Notary Public & Commissioner for Oaths|Secretary for Foreign Affairs|Shadow Minister for Industry and Trade @ACTWazalendo |Tanzanian

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Paul Makonda hii tabia ya kutumia Idara ya usalama ili kukamilisha mipango yako OVU its not FAIR.Unaumiza watu!Unaumiza familia za watu! Unazua taharuki!!Huu ni unyama!!Kumbuka cheo ni dhamana,Utaondoka utakiacha.Message sent and am sure itakuwa delivered kwako. Nimemaliza.
67
102
1K
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
United Nations: Petition for President Magufuli to be charged before the ICC for crimes against humanity - Sign the Petition! via @Change
20
109
792
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Prof.Assad nimesikiliza press yako na waandishi wa habari kuhusu Ripoti yako, Watanzania tunashukuru kwa kuweza kutuonyesha kwamba bado kwenye nchi hii kuna watu mnaoweza kuisimamia na kuilinda Katiba ya nchi pasipo kutetereka. #IStandWithCAG #IStandWithCAG
Tweet media one
15
77
664
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Rais Magufuli akiambiwa Hizo Dreamliner na Boeing sio priorities ya Watanzania basi ndio anazidi kuzinunua,tena anazipokea na VIJEMBE juu. Na nyie praise team wa CCM kina @ClubMagufuli mnataka kusema huu umati wote hapo ni vyama pinzani??Wana CCM nyie mnatumia ndege tu,??😏
Tweet media one
159
44
640
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
CCM mfahamu kwamba hatuiingii kwenye uchaguzi bila #TumeHuruYaUchaguzi And we are very serious on this matter. Uchaguzi wa 2020 hauwezi kusimamiwa na wateule wa Rais, Vibaraka wa CCM.
69
41
617
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Mimi msamiati wa woga haupo kwangu. Ukishaamua kushiriki kwenye harakati za kidemokrasia, unajua umeshasaini hati ya kifo"- Zitto Kabwe
12
40
604
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 7-7-2020 nimechukua fomu ya kuomba ridhaa chama changu kuniteua kuwa mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo.
Tweet media one
Tweet media two
40
45
586
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Wanafunzi wa chuo cha Uhasibu- Arusha waandamana baada ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kukata pesa zao za kujikimu Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo tunapinga vikali hatua hii ya kinyonywaji dhidi ya wanafunzi wa Elimu ya juu. @zittokabwe
Tweet media one
30
50
583
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Huku mtaani nyanya moja inauzwa shilingi 500, Kitunguu kimoja shilingi 200, Kilo moja ya unga wa sembe shilingi 1800 Kilo moja ya mchele ni shilingi 2000. Maisha yanazidi kuwa magumu kwa Watanzania,
91
45
575
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
"Naibu Katibu Mkuu wa Chama @ACTwazalendo Ndugu @MazruiNassor AMETEKWA na wanaosemekana kuwa Vijana wa Jeshi la JKU Zanzibar asubuhi ya Leo. Ngome ya Vijana tunazitaka Mamlaka za Zanzibar kumwachilia mara moja Mazrui. Huu ni uchokozi uliovuka mpaka" #FreeMazrui
12
68
591
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Rais @MagufuliJP alidhani kuhakikisha kina @zittokabwe hawarudi Bungeni ndio atawanyamazisha??He was very WRONG!! Even the law of nature states “When one door closes,another door opens” There will always be another way...
21
38
577
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Hongera ⁦ @Wakazi ⁩ kwa uzinduzi wa kishindo wa kampeni zako za Ubunge Jimbo la Ukonga. Ukonga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
13
31
577
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
#BREAKINGNEWS : @zittokabwe na Viongozi wengine saba wanasafirishwa usiku huu kutoka kituo cha Polisi cha Kilwa Masoko kuelekea Polisi Lindi muda huu. #MwanaHALISIDigital
27
46
557
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Hali ya maisha ya wananchi ni mbaya. Dalili zote, pamoja tafiti za vyombo vya Serikali vinaonyesha kuwa Rais Magufuli na Serikali yake wanachukiwa na raia kuliko wakati wowote katika historia ya Tanzania. Watetezi wa Serikali wameshindwa kujenga hoja za ushawishi" -Zitto Kabwe
12
47
533
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNassor
Tweet media one
34
44
527
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Hivi kampeni ya Mgombea Urais kupitia CCM @MagufuliJP zimekomea wapi🤣🤣🤣 Eti @ClubMagufuli mwenyekiti wenu amepotelea wapi?? Ndio mtaelewa Mwaka huu @kigogo2014 @RealHauleGluck @MariaSTsehai
49
38
481
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Our Party leader @zittokabwe just found out @MazruiNassor has been detained in Mbweni Police station,and the plan is to charge him with unbailable offences.We are asking you all to raise voices so that Mazrui is released or taken to court for normal procedures. @AmnestyEARO
Tweet media one
9
81
481
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
With my brothers Said Mndeme,Yahaya Mndeme,Rashid Mndeme,My sisy in Law Mariah and mama. I was the only girl in our family, My brothers always had my back. Despite of everything we still got each other, no matter what.🙏🙏 Am grateful.
Tweet media one
14
30
485
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
3 months
Today, 3rd July 2024, I have been admitted to the Bar as an Advocate of the High Court of Tanzania and the court subordinate to it in a ceremony officiated by His Lordship Prof. Ibrahim Juma, The Chief Justice of Tanzania, at the JNICC, Dar es Salaam. @TanganyikaLaw
Tweet media one
100
79
481
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 10 October nimeendelea na kampeni za Ubunge Kata ya Kisarawe 2,Jimbo la Kigamboni. #KigamboniYaZambarau @WateteziTV @Mwanahalisitz @zittokabwe @MwananchiNews @kigogo2014 @voiceofbongo @TvDaima @plustvtz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
32
449
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Kiongozi wa Chama, @zittokabwe pamoja na Wanasheria wa Chama wamefika Kituo cha Polisi Mbweni anakoshikiliwa Naibu Katibu Mkuu @ACTZanzibar , @MazruiNassor Mkuu wa Kituo, OCD wa Kawe, na RPC wa Kinondoni wamegoma kutoa ushirikiano, wameamua kuongeza Difenda 7 ili kuzuia wasimuone
9
47
429
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Nashindwa kuwaelewa serikali ya JPM inaposema @IdrisSultan anatumika na mabeberu kumdhalilish a Rais,wameamua kumkomesha.Inaumiza, sio tu kwa sababu Idris ni ndugu yangu wa damu lakini pia ni kijana anayejitafutia riziki kupitia sanaa.Uhuru wa wasanii uko wapi? #FreeIdrisSultan
Tweet media one
37
46
424
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Habari Picha: Leo tarehe 26 September nikiendelea na kampeni za Ubunge kwenye Kata ya Vijibweni,Jimbo la Kigamboni. Kigamboni tumeikataa CCM, #KigamboniYaZambarau 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @zittokabwe @IsmailJussa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
31
413
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hivi kwa yaliyotokea tu kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa watu wanapata wapi guts za kwenda kushiriki Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika??? #NotYetUhuru
49
34
395
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
IGP nimekusikia umetoa onyo juu ya watanzania tunaohoji utendaji wa jeshi La Polisi.Katiba iko wazi, ni haki yetu ya msingi kutoa maoni yetu,ila tu tusivunje sheria.Tunahitaji kujua walipo Azory,Kanguye,na Sanane.Hatunyamazi @fatma_karume @zittokabwe @ACTwazalendo
17
56
396
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Jamani jamani nasikia kuna mtu kapigwa za uso huko??🤣🤣🤣 Ila Kikwete🙌🙌🙌 @fatma_karume @MariaSTsehai
18
13
406
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
CCM mnatumia Dola kutaka kuharibu huu uchaguzi, Msifikiri tutakubali mtuchezee kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Mnaumiza sana watu, Kwa nini mnaogopa uchaguzi? Kwa nini mnaogopa watanzania kuwa waamuzi wa mwisho? Mmevuka mstari. HATUTAKUBALI @zittokabwe
24
41
382
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Kigoma wameuwashaaa🔥🔥🔥🔥🔥 @zittokabwe @BenMembe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
20
383
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 25-08-2020 nimerejesha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. #KigamboniYaZambarau
Tweet media one
Tweet media two
13
18
370
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
@halimamdee
Halima James Mdee
4 years
✊🏿Mnapitia katika KIPINDI kigumu Kamanda ⁦ @hanje_nusrat ⁩ ⁦ @Twaha_Mwaipaya ⁩ !! WANAO HUSIKA na UDHALIMU HUU, wanasahau kwamba MKITOKA NDANI, mtakuwa watu TOFAUTI sana!!! Yaaani MTAKUWA wakakamavu ZAIDI!!na WENYE UCHU na HASIRA zaidi za kukabiliana NAO ✊🏿!
Tweet media one
15
78
845
2
49
370
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Tunakaaje kimya sasa kwa hali kama hii?? 1.Shilingi yetu imeshuka thamani 2.Wakulima wa korosho wamedhulumiwa haki zao 3.Wapinzani wako ndani na wengine lukuki wakiwa na kesi mahamakamani 4.Kufungiwa magazeti kwa kueleza hali halisi ya taifa MSITUTISHE @zittokabwe @MariaSTsehai
50
65
353
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Tunasimama nawe @fatma_karume dhidi ya uonevu uliotendewa kukusimamisha Uwakili bila hata ya kukupa nafasi ya kusikilizwa. Hii ni miongoni mwa gharama tunazopaswa kuzilipa kwa kusimamia haki na utawala wa sheria. Kila kiza kikizidi ujue alfajiri imekaribia! #IStandWithFatmaKarume
Tweet media one
9
45
353
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Tumepata ushahidi kuwa sasa kiwango cha chini cha kulipa NHIF ni shs 40,000 kutoka 18,000 kwa mwezi. Waathirika ni Wafanyakazi wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi ambao jumla yao Nchi nzima ni takribani 2.3 milioni. Serikali ya CCM ni Adui wa Wafanyakazi nchini.
Tweet media one
44
40
356
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
""Nimeshangaa sana kuona Kuwa Baadhi yetu wakiwemo viongozi wanatamka kuwa Tanzania imefikia lengo la uchumi wa Kati miaka 5 kabla ya muda uliopangwa. Sio kweli kwani lengo tulilojiwekea ni Dola za Marekani angalau 3,000 kama Pato la Wastani la kila Mtu kwa Mwaka." @zittokabwe
32
29
349
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Rais wa @TanganyikaLaw @fatma_karume Kutopewa nafasi ya kutoa hotuba siku ya maadhimisho ya sheria duniani huku Rais Magufuli akipata nafasi hiyo ni jambo la kushangaza kuwahi kutokea,Muhimili wa mahakama umeingiliwa kwa kiasi kikubwa. @zittokabwe @SuphianJuma @MariaSTsehai
18
45
331
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Serikali inajenga hofu kwa raia kwa sababu uwezo wake wa kueleza mafanikio yake ni mdogo sana (lakini pia hayapo hayo mafanikio). Ajira kwa VIJANA hakuna, masoko kwa mazao ya WAKULIMA hakuna, si korosho, si mahindi, si pamba wala si tumbaku, WAVUVI wetu wanachomewa nyavu zao,"
17
34
338
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeniteua kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni katika uchaguzi mkuu 28 Octoba 2020. @Salym @MariaSTsehai @darmpya_ @MwananchiNews @JamiiForums @Uhurubilamipaka @Wakazi @fatma_karume @RacqreyC
Tweet media one
16
31
326
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Kuna kitu hakiko sawa kwa Spika Ndugai.😯😯😯 Mambo anayofanya hata hayaendani na hadhi ya uspika. #IstandaWithCAG #IstandWithCAG #IstandWithCAG
@earadiofm
EastAfricaRadio
6 years
#HABARI Spika Ndugai amesema mwandishi yeyote atakayeonekana nje ya Ukumbi wa Bunge anamhoji mbunge aliyesusa kikao, atanyang'anywa kitambulisho na kuondolewa bungeni.
Tweet media one
83
38
293
29
23
319
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Mnachotakiwa mjue ni kwamba Watanzania tupo pamoja nanyi kwenye hiki kipindi kigumu mnachopitia.Haya nayo yatapita💪💪💪💪🙏🙏🙏 @fatma_karume @MariaSTsehai
Tweet media one
13
32
314
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 20, Mwenyekiti wa chama @SeifSharifHamad ,ameniombea Kura Ya NDIO kwa wakazi wa Jimbo la Kigamboni.Maalim pia aliwaombea Kura za Ndio Wagombea wote wa Ubunge wa Mkoa wa Dar kupitia ACT Wazalendo. Nimefarijika sana💪 Kigamboni mambo ni🔥🔥🔥 @zittokabwe @IsmailJussa
7
35
319
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Sijaelewa kinachomfanya Mwenyekiti wa CCM apaniki baada ya baadhi ya vyama kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji.Tulishamwambia tangu mwanzo kwamba nchi haiongozwi kwa UBABE bali MAARIFA,hakusikia.Madai yake yeye ni One man show, @TitoMagoti
7
27
304
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Sisi tunaendelea kuhamasisha wananchi waendelee kujiandikisha,ila wanachokuuliza Mh Rais @MagufuliJP ni kwamba kama uliweza kuwaita Maafisa tendaji kutoka nchi nzima,na kuweka mkakati kuwa lazima CCM ishinde maeneo yote, leo hii unawataka wananchi wakajiandikishe ili iweje??
17
26
297
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Prof Kabudi anasema kuna upotoshaji kuhusu swala la watoto wa kike wanaopata mimba kurudi shuleni,kwa Tanzania hao watoto wanapewa “altenative path way”, Sijamuelewa.. Kuna another altenative apart from hao watoto kurudi shuleni??🤷‍♀️🤷‍♀️ @zittokabwe @MariaSTsehai
41
16
293
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Ngome Ya Wanawake inalaani vikali vitendo vya kinyama wanavyofanyiwa wanawake wa Kigoma  na kundi linaloitwa "Teleza". Vitendo hivyo ikiwa ni pamoja na kubakwa,kulawitiwa,kuchanwa na visu au viwembe na kuwaachia majeraha wanawake hao. @zittokabwe
9
30
298
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
@SeifSharifHamad amewekwa chini ya ulinzi Kituo cha Polisi Madema akiwa pamoja na viongozi wengine akiwemo Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia @ACTwazalendo Prof Omar Faki
5
35
294
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Kiongozi wa Chama Ndugu @zittokabwe alipokuwa akifungua kampeni za Ubunge Jimbo la Kigamboni hapo jana tarehe 06 Sept 2020. #KigamboniYaZambarau
11
30
291
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"While @MagufuliJP enjoys branding himself as a corruption fighter, audit reports show that he is presiding over a corrupt government that spends billions of public funds unscrupulously, with no regard to laws and laid down procedures." @zittokabwe
12
26
294
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Nawaomba watanzania wenzangu tupaze sauti juu ya kushikiliwa kwa @zittokabwe na kunyimwa dhamana pasipo sababu za msingi. #FreeZittoKabwe .Tusikae kimya,Tunawezaje kulala kwa amani tukiwa hatujui hatma ya mpambanaji wetu??? @fatma_karume @MariaSTsehai @Advocate_Jebra @ACTwazalendo
17
66
284
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Finally... 🔥🔥🔥🔥🔥 #TunduLissuHomeComing
Tweet media one
5
20
290
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Goodmorning kwa hisani ya Mr @davidmcallister 🔥🔥☕️☕️☕️
Tweet media one
7
11
285
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Picha Ya Siku... 😀😀😀🙊🙊🥺☕☕☕🔥🔥🔥 ila @Nnauye_Nape 🙌🙌🙌😎
Tweet media one
20
15
276
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Updates Kutoka Kilwa: 2/2 Kiongozi wa Chama @zittokabwe , na wenzake 6, wamegoma kusafirishwa kwa gari la wazi kwaajili ya kulinda usalama wao, hasa kwa kuwa ni usiku. Na wamewaeleza @tanpol kuwa @ACTwazalendo inayo magari Salama ya kusafirisha msafara huo Hivyo, bado wako Kilwa
13
24
284
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 16 July nimeweza kuhudhuria hafla ya mapokezi rasmi ya Ndugu @BenMembe kujiunga na @ACTwazalendo iliyofanyika Mlimani City. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
Tweet media two
6
17
287
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hivi huu ndio ushindi wa kishindo ambao Bashiru Ally anasema CCM wasibweteke nao??
Tweet media one
42
13
283
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
2 years
A woman should make a PLAN on Adventure,Beauty and Success🇹🇿📸 #Being31
Tweet media one
7
13
264
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Get well soon @halimamdee My heart is bleeding😥😥😥😥 @MariaSTsehai
Tweet media one
4
26
264
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
@bavicha_taifa
Official Bavicha Taifa
4 years
Rufaa Na. 158/2020 iliyofunguliwa na KM wa Bavicha Mh. @hanje_nusrat na wenzake 7, kupinga Maamuzi ya Mahakama ya Singida Kuwanyima dhamana, leo Novemba 09, 2020 imeahirishwa tena mpaka Nov. 11, 2020 kwasababu Jaji aliyepaswa kuisikiliza yupo katika shughuli za uapisho Ikulu.
Tweet media one
19
38
365
2
34
265
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Tukio la kuvamiwa, kupigwa na kuumizwa vibaya Mwenyekiti wa @ChademaTz na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Ndugu @freemanmbowetz huko Dodoma ni tukio la kutisha kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu na linapaswa kulaaniwa vikali. Tunamuombea Ndugu Mbowe apone haraka.
Tweet media one
11
19
262
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
The Point Is “Rais @MagufuliJP can’t stand @zittokabwe “ JPM feel insecure toward Zitto. Mbaya zaidi anashindwa kuificha, Jaribio la kumdhuru Zitto kimwili au kumbambikia unbailable offence is among of the biggest mistake JPM will ever make. @makonda_paul ,hili litawacost mnoo
19
32
253
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa @ACTZanzibar sasa zaidi ya wiki yuko ndani na makumi ya Wanachama wa @ACTwazalendo . Tunaomba waachiwe huru au wapelekwe Mahakamani. #FreeMazrui #FreeMazrui #FreeMazrui
Tweet media one
Tweet media two
3
41
258
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Leo tarehe 02 October nimeendelea na kampeni za Ubunge Jimbo la Kigamboni.Nimefanya kikao na wananchi wa Mtaa wa Majengo na kuinadi Ilani ya chama cha ACT Wazalendo na kuwaeleza nini nitafanya iwapo watanipa ridhaa ya kuwa Mbunge wao. Kigamboni tumeikataa CCM!!! @zittokabwe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
29
258
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Mambosasa bhana!! Nani amekuambia kuna maandamano??🤣🤣🤣 #77Nyeupe
@earadiofm
EastAfricaRadio
4 years
#HABARI Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi jijini Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kwa wanaojiandaa kufanya maandamano siku ya tarehe saba kwa lengo la Kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Tweet media one
271
69
2K
12
17
257
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Ogopa sana wananchi ambao wamekaa kimya mpaka sasa baada ya kudhulumiwa haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao wa mitaa,vijiji na vitongoji wanaowataka na badala yake wagombea wa CCM wakipita bila kupingwa.
14
20
255
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
“Iwapo nitapata ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni nitahakikisha Kigamboni inakuwa na makazi bora yakiambatana na huduma muhimu za kijamii kama vile Afya,Elimu,Maji safi na salama na barabara” @zittokabwe @BenMembe
18
35
254
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Rais @MagufuliJP akubali tu kuwa amesimamia uharibifu mkubwa wa Uchumi wa nchi yetu na hivyo apishe watu wengine watakaoweza kurudisha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi." @zittokabwe
17
21
250
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Chama cha @ACTwazalendo kitafuta mikopo yote ya miaka ya nyuma iliyotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu,italipa ada ya Masomo,Fedha za Vitabu,na gharama za Mafunzo kwa Vitendo,kwa kila mwanafunzi anayedahiliwa kwenye Chuo Kikuu. #IlaniYaACTWazalendo #IlaniYaACTWazalendo
22
29
255
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Hii ndio KIGAMBONI ninayoifahamu🔥🔥🔥🔥🔥 Leo tarehe 25 October nimeendelea na kampeni za Ubunge Kata ya Tungi,Jimbo La Kigamboni. Tarehe 28 October Kigamboni tuna jambo letu🔥🔥 #KigamboniYaZambarau @zittokabwe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
18
250
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Mwandishi wa habari wa gazeti Majira,George Mwigulu ashikiliwa leo na jeshi la polisi mkoani Katavi kwa kosa la kupiga picha msafara wa ngome ya wanawake wa ACT Wazalendo uliokuwa unaingia hospitali ya mkoa huo kugawa vifaa kwa wazazi. Tunafatilia. @zittokabwe
15
24
244
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
6 years
Mimi @MwanaishaMndem2 namuunga mkono kwa 100% Ndug. @AdoShaibu kwa maamuzi yake ya kumfungulia kesi Rais @MagufuliJP ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria mkuu wa selikari ambao ni kinyume cha Katiba ya ya Muungano .Katiba ni sharti iheshimiwe na ifatwe. @zittokabwe @fatma_karume
20
41
244
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 years
Masaa 48 yamesalia tufike kwenye #77Nyeupe Naamini vazi lako jeupe liko standby 💪🏽 Unaweza kuandaa picha yako na hashtag AU weka tu picha hata bila kuongeza hashtag kokote Vyovyote sawa 👏🏽👏🏽 muhimu vaa nyeupe na uipost ili ujumbe uwafikie Sasa hapo unashindwaje kushiriki?
Tweet media one
Tweet media two
33
74
614
3
23
246
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hivi kweli Trilioni 4.8, inatumikaje bila kupita mfuko mkuu wa Hazina?? Hili nalo @MagufuliJP alikuwa halifahamu ama??. 4.8Trilioni. Wonders shall never end kwenye hii selikari ya awamu ya tano. #IStandWithCAG #IStandWithCAG
15
36
235
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
“Uzalendo sio kwa serikali,Uzalendo ni kwa Taifa.Tunapotaka vitu virekebishwe kwa Taifa basi sisi ni wazalendo bora.Hakuna uzalendo bora zaidi ya kuikosoa serikali inayoongoza Taifa lako”~ @zittokabwe
6
35
233
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hali ilivyo Shekilango leo Hii mvua ya masaa tu,ikinyesha wiki?? Miundombinu ya barabara mibovu. Juzi tu ndege imetoka kupokelewa,ila barabara wanazopita mamia ya wananchi wa kawaida angalia hali ilivyo. @zittokabwe
46
21
232
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Kuna watu wana roho za kikatili kwenye hii nchi,sijapata kuona.Yani wameshindwa kumpa nafasi Eric ya kutoa salamu za mwisho kwa mama yake mzazi?wakati wanajua fika hayo mashtaka ni ya kubumba?Wangemruhusu basi hata apelekwe na jeshi zima but atleast amuage mama yake.Inaumiza sana
18
30
232
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Whaaaaaaaat???? Mawakili nane wamepewa Money Laundering??😦
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
5 years
Nina ujumbe maalumu kutoka mawakili 8 waliopo Gereza la Segerea. Mawakili hawa ambao ni wanachama wa @TanganyikaLaw Society wanasema wamepewa money laundering kwa sababu ya kesi za wateja wao. Wanahisi TLS inashambuliwa kupitia wanachama individually. Tulitazame hili kwa kina
42
90
556
3
18
229
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Hivi CCM mtaambia nini watu😂😂😂😂 @BenMembe ndio huyo keshachukua fomu ya kugombea U-rais 2020☕️☕️🔥🔥🔥🔥 Mliona miaka mitano mingi eeh!! Mwenyekiti wenu akapumzike sasa😀 @ClubMagufuli @BestaMlagila
18
19
231
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Fatma Karume amesema anakusudia kufungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) kupinga kusimamishwa bila kupewa nafasi ya kujieleza. #MwananchiUpdates #IstandWithFatmaKarume #IstandWithFatmaKarume @fatma_karume @AdoShaibu
Tweet media one
13
32
222
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
"Serikali ileze ni kwa nini Fedha Jumla ya Tsh Trilioni 4.8 hazikupita kwenye Mfuko Mkuu wa Hazina ili utolewaji wake uweze kufuata masharti ya Katiba na Sheria za nchi.Fedha hizi za Wafadhili zinaonekana Katika Vitabu vya Bajeti Lakini CAG hazioni kuingia mfuko Mkuu. @zittokabwe
3
23
221
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Vijana wengi wanaendelea kuuwawa Kigamboni,Maagizo ya DC yanamaliza uhai wa vijana wa Kigamboni,as I said the other two days wanakuwa na list ya hao wanaowaita watuhumiwa,inafika kipindi wanaenda hadi kuwagongea usiku na kuwapiga mbele ya familia zao😥
15
32
216
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hivi MATAGA mmeisoma hii barua between lines? This message is not only for Paul Makonda, ni message kwa Serikali ya Rais Magufuli, yotee Kuna siku niliwaambia The world is watching you mkaona masikhara.Haya sasa @kigogo2014
Tweet media one
10
26
220
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
3 years
ACT Kiganjani.. The Future is Purple💜💜💜
Tweet media one
16
26
216
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Sasa imetosha!! Liwalo na Liwe. Mwenyekiti wa chama cha @ACTwazalendo Ndugu @SeifSharifHamad
5
26
216
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Siku ya 9 leo Kiongozi wetu ameshikiliwa na @tanpol bila kufikishwa Mahakamani wala kuonana na wanasheria. Hii ni kinyume na Sheria na Katiba ya Zanzibar na Katiba ya Jamhuri ya Muungano. #FreeMazrui
Tweet media one
3
25
212
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
Tweet media one
0
14
215
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Mmetuona tukihamasisha wananchi wakajiandikishe. Mmetuona tukigawa Vipeperushi vya Hamasa nchi nzima. Yote hayo yana gharama. Tunaomba muendelee kutuchangia ili tufanye zaidi @zittokabwe @SeifSharifHamad @AdoShaibu @IsmailJussa @doromankaa @ZahraAliHamad1
Tweet media one
6
27
203
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
ACT Wazalendo tunaamini katika mashirikiano ya vyama makini vya upinzani kuelekea Uchaguzi mkuu October. Ni wakati stahiki wa vyama hivi makini kuungana ili kuing’oa CCM madarakani. Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu. @zittokabwe @BenMembe @TunduALissu @LazaroNyalandu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
23
205
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Ila uwoga wa Rais Magufuli ni wa kiwango cha lami😂😂Anaogopa USHINDANI, Yani @BenMembe kutaka kugombea urais 2020 kaona isiwe shida, bora amfute uanachama.Madai yake hapo kafanya right decisions😆🔥🔥. Huu mwaka kweli una mambo mazito☕️☕️ @MariaSTsehai @fatma_karume
9
12
202
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
4 years
"Mimi ni mwanasheria, na Mbunge ni miongoni mwa watu wanaoenda kutunga na kupitisha sheria bungeni endapo nikipata nafasi nitaenda kuwasaidia wananchi wa Kigamboni" - @Mwanaishamndeme Mgombea Ubunge Kigamboni kwa tiketi ya @ACTwazalendo #Dira2020 #BeLikePlus @zittokabwe
Tweet media one
8
18
200
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
Hali ni mbaya sana, Kwa maisha ya mtanzania nyanya na kitunguu ni viungo ambavyo haviepukiki kwenye mahitaji ya chakula, kwa bei hizo ni familia ngapi zinaweza kumudu hizo bei?achia mbali huo mchele
@wedyaron
Löwe Plug
5 years
@Mwanaishamndeme Huku kwetu moshi nyanya tatu 1,000 kweli hali ni ngumu sana. Unashindwa ununue nyanya au asinunue, mchele 2000 mpka 2300 kilo moja. Haifai
20
4
46
23
12
197
@Mwanaishamndeme
Mwanaisha Mndeme
5 years
“We just wrote a letter. We were just making a point. This reaction from the government should be a lesson for the World Bank. This is the sort of government they are dealing with.” ~ @zittokabwe
2
24
196