Omar Kashera Profile Banner
Omar Kashera Profile
Omar Kashera

@Mjengaomar

5,172
Followers
3,729
Following
2,799
Media
9,668
Statuses

Diplomat, National Defence College Graduate and Awardee of the Most Prestigous “ndc” Symbol on Security and Strategic Studies, UN International Staff, CEO-CIP.

Dubai, United Arab Emirates
Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
#NasahazaOmar Maisha ni mchakato wenye sura mbili, furaha na huzuni. Chochote kikufikacho na mchakato kichukulie kuwa Barka kwako. Kuwa imara na wkt mwingine jiweke ktk hali ya kuwa uko sawa. Kumbuka, kuta imara hutikisika, ila hazivunjiki na kuanguka. Wewe in IMARA, SIMAMA. ✍
Tweet media one
9
25
149
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Sons of Africa
Tweet media one
13
30
500
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Allah is my Shield!
Tweet media one
15
10
403
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Tweet media one
12
23
374
@Mjengaomar
Omar Kashera
6 years
@BarackObama President Obama, I moved to New York as Tanzania Diplomat in 2007 the time when the election fever for the next POTUS were high. The politics and campaigns you and John run as POTUS candidates made me believe, US has the highest democracy on earth. You and John remain my mentoirs
0
16
289
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Nikiwa na Course 4 Member mwenzangu. Maj. Gen Mani, Mkuu wa Kikosi cha Anga Tanzania. Leo tumeshiriki mahafali ya Kozi ya 11.
Tweet media one
4
24
312
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Kaka confirms the Imaan in Islamic and the meaning Islam, meaning PEACEFUL
Tweet media one
7
38
281
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Mimi kama mmoja wa wanadiplomasia wa nchi yetu pendwa 🇹🇿, ziara ya Rais Ruto Marekani INANIFIKIRISHA SANA.
Tweet media one
60
9
235
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 years
Siku moja nikiwa na Boss JK kwenye siku ya Umoja wa Mataifa pale Karimjee. Kabla ya mgeni rasmi kuongea, alikaribishwa kijana mdogo dogo wa YUNA atoe hotuba yake. HOTUBA yake ilinivutia sana na baadae nikamfata na kumwambia, "Keep up the good job, utafika mbali" HUYO NI TOGOOANI.
4
12
223
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Nikiwa na Mkuu wa Majeshi wa Ufaransa na Brig. Gen Salum Mnumbi, DA katika Ubalozi wetu Bujumbura, Burundi. Tukiwa kwenye mafunzo ya siku 10 Jijini Paris yaliyoandaliwa na Jeshi la Ufaransa kwa maafisa kutoka nchi za Afrika na Mashirika ya Kimataifa.
Tweet media one
19
17
215
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
Nikiwa na CDF wa Jeshi la Ufaransa Jijini Paris mwaka jana.
Tweet media one
3
4
187
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
My colleagues MajGen Mani and Senzia @Ndc_tz in Lindi, during Airforce field practicals. This is Course 4 of @Ndc_tz . Glad to be among Course 4 Members and proudly to be NDCTZ Alluminae.
Tweet media one
5
11
172
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Graduated French Military Academy
Tweet media one
17
13
173
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Kama Mwanadiplomasia mzoefu, nashindwa kuelewa utaratibu uliotumika kuwapanga Marais hawa. Kwa ukweli kuwa Rais @SuluhuSamia ndiye Rais Mwanamke pekee ndani ya kundi ya MaRais Wanaume akiwemo mwenyeji @POTUS , basi ilitakiwa Raia Samia kukaa mstari mbele tena karibu na mwenyeji.
Tweet media one
75
7
150
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Wakati wa mafunzo yetu kwenye Chuo Kikuu cha Jeshi la Ufaransa, nikapata fursa ya kumvesha kofia Jenerali kutoka Gabon. Ilikuwa heshima kubwa kwangu.
Tweet media one
9
8
144
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Mola Wangu Mtukufu, Tegemeo Langu Daima, Akhsante Kwa Kunijaalia Umri Mpya Leo. Nakuomba Uzidi kunijaalia Afya na Furaha ya Maisha. Nifanye Niwe wa Msaada Kwa Wenzangu, Nisiwe Kikwazo Kwao. Kila Mwenye Kheri na Mimi Awe Rafiki Yangu. AMEEN Happy Birthday To Me Omar Mjenga.
Tweet media one
31
11
144
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
T A N Z A N I A
Tweet media one
3
12
135
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Nilipokuwa Dubai, kazi nyingine kubwa nilio ifanya, ni kulifufua shirika letu la ndege la ATCL kwa kuingia uahirikiano na ubia na FlyDubai ambalo ni shirika Dada na Emirates. Watendaji ndnai ATCL walikwamisha mpango. Utaona picha ya pili nikiwa na Mhe Rais @SuluhuSamia , kipindi
Tweet media one
Tweet media two
9
12
132
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Tuliopitia mikononi mwa Kaka yetu Hayati Bernard K. Membe, tuliahidi kuandika kitabu chake. "Bernard Membe Tuliyemjua" Nakamilisha chapter yangu kwa jinsi nilivyomfahamu Rafiki, Kaka na Boss wangu BKM. Mara ya kwanza kuonana naye mwaka 2002, tukiwa tunaelekea Seoul, Korea kwenye
Tweet media one
4
9
133
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Kwa mara ya kwanza kuongea na DP World ilikuwa 2014 wkt wa ziara ya aluyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Nilikutana na makapuni ya FlyDubai, Dp World, Dnata, ENOC, Nakheel nk nikwaomba waje wawekeze 🇹🇿. Mhe Pinda alikutana nao alipofanya ziara Dubai. FlyDubai walianza safari zao.
Tweet media one
16
16
130
@Mjengaomar
Omar Kashera
8 months
Wapo wengi waliojaribu kuzizima nyota za wenzao. Leo hii, nyota zao zimezima kabisa. Maisha ya hapa duniani ni mapokezano. Ulikokalia, kesho atakaa mwenzio. Ukimtendea ubaya mwenzio bakiza akiba. Kamwe husipande miiba njia ulioipita leo, maana kesho huenda ukurejea kwa njia hiyo.
Tweet media one
3
20
126
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Ni jambo la kujivunia kuwa miongoni mwa viongozi wachache waliofanikiwa kupitia chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuwa miongoni mwa wahitimu wa masuala ya Usalama na Stretejia. Ni fursa adhimu ya kuonyesha uzalendo kwa nchi yako inapofikia masuala ya ulinzi na usalama wake. Allah Akbar
Tweet media one
13
14
126
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
#RIPBKM 😭😭😭😭😭
Tweet media one
8
10
126
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Time flies @jmkikwete
Tweet media one
4
13
123
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Put your entire trust on Allah.
Tweet media one
6
6
118
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nimehitimu. Alhamdulillah
Tweet media one
9
7
120
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
T A N Z A N I A
Tweet media one
7
7
116
@Mjengaomar
Omar Kashera
10 months
Tar 26, 2024, 🇹🇿itakuwa inaadhimisha maika 60 ya uhusiano wa Kidiplomasia na nchi nyingi duniani. Bahati nzuri ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu. Siku hii tutazindua kitabu cha utekelezaji wa sera ya mambo ya nje. Pia, nami nitazindua uandishi wa kitabu cha maisha yangu....
Tweet media one
8
11
106
@Mjengaomar
Omar Kashera
6 years
Emirates na shirika dada la FlyDubai, walianza kwa kuhakikisha kuwa wana Busines Plan nzuri iliyosheheni mbinu tofauti za kibiashara. Kwa mfano, “Connection Network” yake ni kubwa. Nashauri Air Tanzania pia waje na connection network nzuri. Kwa mfano Beijing-Dar-Harare iwe ATCL.
4
12
97
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuongeza mwaka mwingine kwenye umri wangu. Nawashukuru sana mama yangu na marehemu Baba yangu kwa malezi. Naishukuru sana familia yangu kwa kuwa marafiki zangu. Naadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwangu pamoja na nchi yangu 🇹🇿🇹🇿 @60
Tweet media one
13
9
98
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 months
Pichani ni Hayati Bernard Membe, Dr. Asharose Migiro na mimi, mwaka 2007 ktk ofisi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa @AshaRoseMigiro . Endelea kupumzika kwa Amani Brother Ben.
Tweet media one
3
8
96
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
If soldiers at war can have time pray, why not you? Pray, Pray, Pray...!
Tweet media one
1
11
97
@Mjengaomar
Omar Kashera
9 months
At Entebbe International Airport. Happy to get back home.
Tweet media one
5
4
91
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Kifaru chenye teknolojia mpya ya kivita.
Tweet media one
5
4
90
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
Leo ni Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadan. Tumuombe Mwenyezi Mungu azipokee Swaumu na Dua zetu Yarabby, Atufanyie wepesi wa kila jambo letu. Adumishe umoja, amani na mshikamano baina yetu, atusamehe dhambi zetu zote na kutuepusha na ghadhabu zake. Ameen. JUMMA MUBARAK✍️
Tweet media one
7
8
90
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
Nikiwa na CDF Mstaafu Jenerali Robert Mboma baada ya mahojiano yetu kuhusu mchango wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje. Maoni haya yatasaidia kukamilisha uandishi wa kitabu cha utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje. @SuluhuSamia @JMakamba
Tweet media one
3
12
91
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 months
LINDA TAIFA LAKO KWANZA
Tweet media one
2
9
90
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Leo saa nne tutakuwa NDC Tanzania katika uzinduzi wa kitabu cha masuala ya Ulinzi na Usalama. Mgeni rasmi ni @DrTaxs Waziri Wetu wa Ulinzi na JKT, mama mwenye ujuzi wake wa kutosha kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama. Katibu Mtendaji wa SADC kwa miaka 10 mfululizo. @mfa_tanzania
Tweet media one
5
13
85
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Katika picha hizi, Mhe. Membe kaka yangu, ulikuja Dubai wakati wa Ramadan. Nikakualika nyumbani na ujumbe wako kwa ajili ya futar. Ukafika tukawa pamoja huku tunaongea. Umeacha alama kubwa kwa maisha ya wengi, nami nikiwa mmoja wao. Huzuni ni kubwa ila NENDA SALAMA😭😭😭😭😭😭😭
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
1
82
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Mdogo wangu na rafiki yangu Thobias Makoba, ndc. Tukiwa katika Convocation ya 2 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi. Hazina kubwa!
Tweet media one
Tweet media two
2
5
81
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
WANADIPLOMASIA WABOBEVU
Tweet media one
3
8
82
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
God creates frustrations for you to prepare you to become a leader. This is because, if you can handle internal frustrations, you can handle external frustrations. A leader must have the ability to handle external frustrations.
1
14
77
@Mjengaomar
Omar Kashera
6 years
I expected the United Nations to pay tribute to Mwalimu Nyerere, with a special seasion in this 73rd UNGA. Ask Robert Mugabe, he will tell you that, the very prominent figures like Madiba, were in one way, a making of Mwalimu Nyerere. If u Award students, award their teachers too
1
23
77
@Mjengaomar
Omar Kashera
9 months
Nakutakieni siku njema yenye barka za Allah. Mola wetu akufanyieni wepesi wa kila jambo. Sabah Kheir, Asubuhi Njema.
Tweet media one
7
3
76
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Happy Valentine to my Special VALENTINES. LOVE YOU MOST @LukaleAsha @vibewithkeller
Tweet media one
6
4
75
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Celebrating Muungano Day and Happy Birthday to me.
Tweet media one
12
3
76
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
WANASTRATEJIA WA ULINZI NA USALAMA WAKIWA PARIS MILLITAIRE ECOLE
Tweet media one
5
4
77
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nasaha za Omar "Huwezi kuyajenga maisha yako ya sasa kwa kutizama maumivu ya zamani" TAFAKARI
Tweet media one
6
13
77
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
The Boss Lady @LibeMulamula
Tweet media one
1
2
73
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
JUMMA MUBARAK
Tweet media one
2
2
73
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Msomi wa Kilakala, Jangwani na Loleza Sekondari. Mhitimu na Alluminae wa UDSM, leo anatimiza miongo minne na miaka 6 (46). UDSM ilitukutanisha na baadae mwaka 2001 akawa Mke na Mama wa Watoto wetu. Kheri kubwa sanaya Siku yako ya kuzaliwa My Dear Friend and Wife Asha Omar😘😘😘😘
Tweet media one
6
2
72
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nikiwa na Majenerali kutoka Rwanda na Burkina Faso
Tweet media one
3
1
72
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nikiwa Ubalozi wetu wa Kudumu New York (2007-2011), nilikuwa mkuu wa kitengo cha Baraza Kuu na Mashirika ya Umoja wa Mataifa-UNGA & UN Agencies, Funds and Programmes. Naijua vzr WHO. Mhe @DocFaustine ni chagu sahii kabisa kwa nafasi hii. @SuluhuSamia @JMakamba @ummymwalimu
Tweet media one
Tweet media two
2
16
71
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Nikiwa na Mtaalam wa Masuala ya kivita za anga, mwanaAnga General Robert Mboma. Ukifanikiwa kukaa naye akupe operation ya vita ya Iddi Amini Dada, utachota mengi. Mengine SISEMI kwa kiapo cha kazi yangu. Hii ni kayi ya hazina tulizonazo.
Tweet media one
5
9
71
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
JUMMA KAREEM!
Tweet media one
3
4
69
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Always trus Allah's paths. He never misleads.
Tweet media one
0
3
66
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Kwako Rafiki na mdogo wangu @zittokabwe . You have never disappointed me since we got to know each @UdsmOfficial . Today, you have turned @46 . May the almighty Allah grant you more years and wisdom as you define the following yrs of ur life. HAPPY BIRTHDAY ZRK.
Tweet media one
2
12
68
@Mjengaomar
Omar Kashera
9 months
Tumalize mwaka vizuri, Alhamdulillah
Tweet media one
3
6
67
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
At home, Mbweni, Dar es salaam with my friend Ambassador Chabaka Kilumanga. What an evening watching Cameroon and Ethiopia #AFCON
Tweet media one
3
1
66
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Nikiwa na mshiriki mwenzangu Brig Gen. Mnumbe JWTZ na Col. Hany Hassann kutoka Jeshi la Misri. @HajlaouiNabil @FranceTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
8
67
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Ewe Mola, Ewe Mola, unayajua majonzi tuliyonayo. Kaka yangu Bernard Membe, juzi tar 9, saa mbili usiku, nimekuja nyumbani, tumeongea vizuri na tukaagana vizuri. Sikujua nilikuja kukuaga milele. Laiti ungaliniambia, Laiti Allah angalinionyesha. Nimekuaga ukanipa salamu. RIP BKM😭
Tweet media one
5
2
66
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
Nikiwa na Ndugu MNEC @Kasesela nyumbani kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
7
64
@Mjengaomar
Omar Kashera
8 months
Kila siku ya Allah unapoamka salama, sema ALHAMDULILLAH. Kumbuka maisha yako ni Kalenda tu. Ikifika tarehe yako utaondoka kwenye uso wa dunia. Tenda wema na kuacha hadithi nzuri ya kusimuliwa. Kuwa sababu ya furaha za wenzio, kamwe husiwe sababu ya machozi ya wenzio. TAFAKARI✍️
Tweet media one
2
8
65
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Mimi ni mmoja wa watu ninaojiona kupendelewa na Allah. Mwaka 2021 niliponea kufa tukiwa katika uendeshaji wa baiskeli wa kilimeta 100 kwenda Bagamoyo. Lori la mchanga lilikuwa linipite kichwani na kifuani. Ukipendwa na Allah atakujaalia mitihani. Allah Akbar, Allah Akbar.
Tweet media one
15
8
65
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 years
@ayubu_madenge @Kamigakikumbise @WemaKako @Kazimotoinc @BarakaSaimon3 @YusuphMbilinyi8 @BaloziMtaa @ManenoIzaak @HildaNewton21 @MiriamMkanaka @MabalaMakengeza Aidha, mwalimu aliwahi kumwambia Kawawa amtafutie msaidizi. Akampendekeza Jakaya. Mwalimu akakataa na kumwambia Kawawa, " Hayo sio matumizi mazuri ya kijana huyu, matumizi yake ni zaidi ya Msadizi" kweli baadaye akawa waziri, na Rais wa JMT @jmkikwete @Diplomat_15 @YUNA_Tanzania
1
5
62
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Nikiwa na waumini wenzangu katika Masjid Mbweni kwa ajili ya swala ya Jumma @AllyHapi , Mzee Posi, Mzee Madabida. Mola wetu atujaalie kheri na barka zake. Ameen
Tweet media one
1
3
62
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
THE LADIES IN THE HOUSE
Tweet media one
0
1
62
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Peace and Security
Tweet media one
3
5
58
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Serving the Nation. Ipende nchi yako.
Tweet media one
2
4
60
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 months
Picha hii ni ya mwaka 2014. Nilikuwa nimekuja na muwekezaji ambaye ni Mwenyekiti wa Shirikia la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL). Walikuwa na nia ya kuingia ubia na @jwtza kujenga hotel na ukumbi wa mikutano wa kisasa. Kulia utamuona rafiki yangu @MilanziGaudence .Siku zaenda
Tweet media one
9
5
61
@Mjengaomar
Omar Kashera
6 months
Nikiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini kwenye mkutano wa mashauriano ya hali ya usalama barani Afrika, uliofanyika tar 27-28 Feb, 2024, Rockfeller Hotel, Cape Town. Tumenzindua Jukwaa la Hali ya Usalama la Bara la Afrika. Nafarijika kuwa Mjumbe @mfa_tanzania
Tweet media one
3
7
60
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Happy New Year from me to you all. May 2022 be the year of blessings.
Tweet media one
3
6
59
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Walk into your tomorrow. Always, shiled yourself with Allah.
Tweet media one
3
3
58
@Mjengaomar
Omar Kashera
1 year
Do what is best in you. Diplomacy is in me, and me in Diplomacy.
Tweet media one
4
9
57
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Leo MwanaAfrika Dr. Salim, ametimiza miaka 80. Allah azidi kumpa afya njema. Mara ya mwisho nilimpokea Dubai akielekea kumjulia hali kaka yake aliyekuwa Abu Dhabi(marehemu). Tuliongea mengi ikiwamo historia kubwa alioibeba Mzee Salim. HBD Mzee @asalim86 @Hakingowi @cipafrica
Tweet media one
0
4
58
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Nikiwa na Rais Kikwete Ikulu, Dar es salaam 2011. En route to Freetown, Sierra Leone. @jmkikwete
Tweet media one
0
4
57
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
The future is bright!
Tweet media one
1
1
58
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
TANZANIA IN THE UN, NEW YORK 2009. RIP JOYCE.
Tweet media one
2
3
59
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
"Tulipoingia airport, tukakuta Iddi Amini amekimbia. Ameacha ndege zote zimezagaa pale airport. Tukasema hakuna haja ya kuzichukua. Tungetaka, tungezichukua zote na kuzileta Mwanza. Hilo halikuwa lengo letu la vita ile" General (rtd) Robert Mboma @SuluhuSamia @mfa_tanzania
Tweet media one
0
6
57
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
Mwaka 2004, tukiwa Arusha kwenye Summit ya EAC, Mhe. @jmkikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, alinipa orodha ya Mawaziri waliokuwa wamealikwa kwenye dhifa. Akaniagiza nihakikisha Mhe. Lowassa nampelekea kadi yake. Nikampigia simu na kumwambia, "Mhe Rais.." Hapa ulimi uliteleza...
Tweet media one
2
8
58
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Tweet media one
4
5
56
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nikiwa na rafiki yangu wa siku nyingi Kamshina wa Polisi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mskiti wa Mfalme Mohammed IV wa Morocco, Masjid Bwakata ndugu Suleiman Kova ktk mahafali ya 7 ya @UONGOZI yaliyofanyika ijumaa tar 16, Mlimani city. @jmkikwete @SuluhuSamia
Tweet media one
2
5
55
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
Nasaha za Omar "Watu wanapitia mengi maishani, mengine ya kuhuzunisha sana. Watendee wenzio WEMA utakaofuta machungu yao yote ya nyuma. Unayo nafasi yako kwa Allah. Jivunie kuwa SABABU ya FURAHA ya mwenzio" TAFAKARI SANA
Tweet media one
2
7
56
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nasaha za Omar "Hata kama huioni njia, Allah atakuonyesha njia. Kumbuka, duniani Allah kaaumba vitu na mbadala wake. Kaumba shida ila kaweka faraja, mitihani kaweka subra, magonjwa kaweka shifaa. Hivyo kumbuka kuwa kutoiona njia mbadala wake ni KUIONA NJIA, atakuonyesha. TAFAKARI
Tweet media one
2
0
56
@Mjengaomar
Omar Kashera
11 months
Eiffel Tower, Paris
Tweet media one
2
2
56
@Mjengaomar
Omar Kashera
7 months
Nasaha za Omar "Maisha ya mwanadamu ni kalenda tu. Ewe mwanadamu tambua kuwa kalenda yako ikifika mwisho, ndio mwisho wako. Ishi na wanadamu wenzio uache gumzo njema nyuma yako". TAFAKARI
Tweet media one
2
9
56
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
MAMA IS SUPREME!
Tweet media one
1
1
52
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 months
As former Representative of @UNOPS in Freetown, Sierra Leone and an International Staff of the UN, I am convinced that, not coz of one of the candidats is my fellow countryman, but this positon @WHO best fits for @DocFaustine qualifications and calibre. @SuluhuSamia @ummymwalimu
Tweet media one
2
20
55
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Keeping fit is the best thing to do.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
1
54
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
This is @Arsenal
Tweet media one
4
1
54
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
These ones, am sure they will vote for me, when I run for office.👋
Tweet media one
3
2
53
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Aim higher always.
Tweet media one
3
1
54
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
PROTOKALI NA MAADILI YA UVAAJI SUTI. "Uvaaji wa suti una maadili yake kati ya wanaume na wanawake, hasa RANGI. Si kila rangi yaweza kushonwa suti hasa za kiume. Ukitaka kuvaa nadhifu zingatia rangi ya suti. Wanadiplomasia tunavaa Dark Colours hasa kwenye shughuli rasmi" ZINGATIA
Tweet media one
6
6
53
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
#255001 Leo ni Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mhe Rais @SuluhuSamia . Nakutakia kheri, Afya njema na Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia siku nyingi kama hii zaidi ya matamanio yako. Ni barka kubwa kwa Taifa letu kuwa na Rais Mwanamke wa kwanza. Happy Birthday Mhe. Rais na AJM.✍👏
Tweet media one
Tweet media two
0
4
53
@Mjengaomar
Omar Kashera
3 years
Mama is Supreme!
Tweet media one
1
3
54
@Mjengaomar
Omar Kashera
4 months
Nahudhuria maafali ya 7 ya @UONGOZI . Nafarijika sana kuona taasisi hii inaendelea kufanya mambo makubwa kama tulivyotegemea toka tunaiasisi. Mimi ni mmoja wa waasisi wa Taasisi ya Uongozi. Haya ni matunda ya Helsinki Process ambako nilihudumu kama Katibu Mtendaji. @jmkikwete
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
3
53
@Mjengaomar
Omar Kashera
6 months
Nasaha za Omar "Huwezi kumuunguza mwanakmke aliyeundwa kwa moto"
Tweet media one
2
3
52
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
True friends never loose contact. @MilanziGaudence @YHMohammed . Now, ALL DIPLOMATS. Military brought us together and Diplomacy holds us together. True Servants of the people.
Tweet media one
2
8
53
@Mjengaomar
Omar Kashera
5 months
Kesho 🇹🇿 inaadhimisha miaka 60 ya Muungano. Ni siku muhimu sana kuangalia mahusiano ya kidiplomasia kwa miaka hii 60. Sera ya mambo ya nje imekuwa kinara wa mahusiano yetu. Aidha, kesho nitakuwa nasherehekea tar ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Allah kwa Kila Jambo hadi sasa✍️✍️✍️
Tweet media one
7
5
51
@Mjengaomar
Omar Kashera
2 years
Nikimkabidhi Mhe @BernardMembe Tshirt ya CIP mara baada ya mahojiano kuhusu uandishi wa kitabu cha kumbukumbu ya utekelezani wa sera ya mambo ya nje ya 🇹🇿toka kupata uhuru hadi sasa na mustakhbali wa nchi yetu. J4 tutakuwa na Mzee Samuel John Malecela. @SuluhuSamia @mfa_tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
53