National Defence College Tanzania Profile Banner
National Defence College Tanzania Profile
National Defence College Tanzania

@Ndc_tz

12,305
Followers
37
Following
357
Media
395
Statuses

An inter-service prestigious Government institution for training Senior Military Officers and Civilian Public Officials on Security and Strategy.

Kunduchi, Dar es Salaam
Joined March 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
6 months
Tarehe 23 Aprili, 24 Chuo kimepata fursa ya kusheherekea kupandishwa Cheo Mshiriki wa kozi ya kumi na mbili Kanali MS Fofanah kuwa Brigedia. Cheo amevalishwa na Meja Jenerali WA Ibuge – Mkuu wa Chuo (NDC - TZ). Chuo kinakupongeza na kukutakia kila la kheri.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
70
466
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Handing over event between Maj Gen IM Mhona – the outgoing Commandant and Maj Gen WA Ibuge @IbugeWil the New Commandant held on 25th September, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
44
432
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Meja Jenerali IM Mhona – Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, akitoa neno la shukrani kwa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Machi 06, 2023.
Tweet media one
4
31
352
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Col RM Msilu – College Secretary, giving the Administrative Brief to the 12th Course Members on 04th September, 2023.
Tweet media one
7
30
355
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Baadhi ya matukio yaliyojili wakati wa mahafali ya Kozi ya Kumi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania tarehe 30 July, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
37
321
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 months
Tarehe 02 Septemba, 2024 Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kimefungua kozi ya kumi na tatu ya mwaka 2024/2025. Kozi hii ina idadi ya Washiriki 61 kutoka katika Mataifa 17 ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
29
331
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Tweet media one
14
42
290
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
10 months
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania tarehe 04 Januari 2024, kimempokea Luteni Jenerali SH Othman – Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania, na ameangalia maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Washiriki wa kozi ya NDC.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
39
269
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Baadhi ya Askari wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania wakifuatilia hotuba ya Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Machi 06, 2023.
Tweet media one
6
14
245
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC –TZ had an opportunity to welcome Brig Gen CJ Ndiege –Acting Chief of Training Tanzania People’s Defence Forces, who delivered a lecture on “Military Power and Strategies” to the Eleventh Course Members on 19th May 2023.The College is immensely gratefully for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
34
242
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Major General IM Mhona – Commandant NDC – TZ, giving the opening remarks and introduction during the opening of the 12th National Defence College Course 2023/24 on 04th September, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
6
17
232
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, alipokuwa akiwasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi leo Machi 06, 2023.
Tweet media one
1
7
223
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Baadhi ya Washiriki wa Kozi fupi ya 13 ya Viongozi wakiwasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo tarehe 01 Agosti, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
38
217
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete – Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akiwasili Chuo cha Taifa cha ulinzi kwa ajili ya kutoa hotuba katika Kongamano la maadhimisho ya miaka kumi ya Chuo cha Taifa cha ulinzi lililofanyika tarehe 08 Septemba, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
4
32
207
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Hon. Abdulrahman Kinana – CCM Vice Chairman Mainland, when he arrived at NDC – TZ,to deliver lecture on Effective Formulation and Management of Policy for Tanzania’s National Security,to the 13th Capstone Course Participants. The College is immensely grateful for the opportunity
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
28
213
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
NDC – Tanzania had an opportunity to welcome H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan – President of the United Republic of Tanzania and Commander – in – Chief, who delivered a lecture to the 12th Course Members on 26th June, 2024. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
47
216
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Jenerali JJ Mkunda – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, leo wametembelea Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania, kwa ajili ya majadiliano ya pamoja na Washiriki wa Kozi Fupi ya 13 ya Viongozi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
44
209
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, katika Mapokezi ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu tarehe 26 Juni, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
45
211
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Baadhi ya Majenerali wastaafu, wageni waalikwa pamoja na Wahitimu wa Kozi ya Kumi, wakifuatilia matukio wakati wa sherehe ya mahafali ya Kozi ya Kumi ya Chuo tarehe 30 Julai, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
30
196
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
General JJ Mkunda – Chief of Defence Forces, during his visit at NDC – TZ to deliver a lecture on “The Role of TPDF in Promoting National Security” to the Eleventh Course Members on 26th June, 2023. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
36
193
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Brig Gen SA Hamisi – General Manager Mzinga Corporation lecturing 11th Course Members on Tecno – Military Institutions: Role of Research and Development on 10th May, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
28
188
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
Tarehe 10/06/2024 Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kimepata fursa ya kutembelewa na Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura, ametoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili ya Chuo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
37
191
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC – TZ had an opportunity to welcome General Manoj Pande – Indian Chief of Army Staff, who visited the College to deliver a lecture of Opportunity to the 12th Course Members on 03rd October 2023. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
33
182
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
18 days
NDC - Tanzania had an opportunity to celebrate the commemoration of 58thyears of Independence of Republic of Botswana on 30th September, 2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
38
180
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
H.E. Dr. Philip Isdor Mpango – Vice President of the United Republic of Tanzania, during his visit at NDC – TZ for the Eleventh Valedictory Function on 29th July, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
25
177
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Lieutenant General Salum Haji Othman – Chief of Staff Tanzania People’s Defence Forces, opening Induction Training to AU Military Staff Committee on 16th March, 2023 at Ramada Hotel in Dar es salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
27
177
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC – TZ had an opportunity to welcome Brig Gen MN Mkeremy – Chief of Defence Intelligence who delivered a lecture to the Eleventh Course Members on 19th June, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
41
170
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Maj Gen WA Ibuge – Commandant NDC – TZ (left), @IbugeWil presents Certificate of Appreciation and Plaque to Maj Gen IM Mhona – the outgoing Commandant (right) on 25thSeptember, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
28
170
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
8 months
Tarehe 23 Februari 2024, Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu, umepata fursa ya kutembelea Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
21
163
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 days
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania tarehe 09 Oktoba, 2024, kimepata fursa ya kusheherekea miaka 62 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda. Hongera sana Uganda.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
30
160
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 months
1. NDC - TZ delegation led by Brig Gen CJ Ndiege – SDS Army 1 on behalf of Commandant, had a pleasure of visiting the Mbeya Regional Commissioner’s Office during Socio - Political, Economy and Industries Field Practical Training Tour on 08th Jan 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
30
154
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
17 days
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimepata fursa ya kusheherekea miaka 64 ya Uhuru wa Nigeria tarehe 01 Oktoba, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
21
153
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Kanali EE Mhoro – Mkufunzi Mwandamizi Mwelekezi Jeshi la Anga pamoja na Dkt. Lucy Shule ambaye ni Mkurugenzi wa Mafunzo Chuoni, wakitoa maelelezo mafupi kwa Washiriki wa Kozi Fupi ya 13 ya Viongozi tarehe 01 Agosti, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
2
22
148
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 months
Tarehe 02 Septemba, 2024 Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kimefungua kozi ya kumi na tatu ya mwaka 2024/2025. Kozi hii ina idadi ya Washiriki 61 kutoka katika Mataifa 17 ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
29
153
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
5 months
On 14thMay, 2024 NDC –TZ had an opportunity to welcome Lt Gen Dinesh Singh Rana – India Director General Defence Intelligence Agency and Deputy Chief of Integrated Defence Staff (Intelligence) who visited for a courtesy call.The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
24
151
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
10 months
NDC - TZ had an opportunity to celebrate the commemoration of 60th years of Independence of Republic of Kenya on 12th December, 2023. Maj Gen WA Ibuge – Commandant and Col VW Kang’ethe – from the Republic of Kenya, gave short brief on the relationship between Tanzania and Kenya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
27
150
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Hon. Amb. Liberata Mulamula (MP), - Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation during her visit to NDC – TZ to deliver lecture on “Tanzania’s Foreign Policy” to 10th Course Members on 09th May, 2022.The College is grateful to the Minister for the knowledge imparted
Tweet media one
Tweet media two
1
21
146
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Washiriki wa kozi kundi la 11 wakiongozwa na mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania Meja Jenerali Ibraim Michael Mhona walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyopo jijini Dodoma Februari 20,2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
20
148
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
NDC - TZ had an opportunity to celebrate the commemoration of 62nd years of Independence of Republic of Rwanda and the Republic of Burundi on 01st July, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
25
149
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
3 months
NDC - Tanzania had an opportunity to celebrate the commemoration of 72th years of Independence of Egypt on 23rd July, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
26
149
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
3 months
Matukio mbalimbali katika sherehe ya ufungaji wa kozi ya kumi na mbili iliyofanyika tarehe 27 Julai, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
26
149
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
3 months
Chuo kimepata fursa ya kutembelewa na Balozi Dkt. Samwel Shelukindo - Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa Bodi ya Chuo pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Bodi kilichofanyika Julai 18, 2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
23
148
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Major General IM Mhona – Commandant NDC – TZ (seated centre), in a group photo with Faculty and 12th Course Members after the opening of the Course on 04th September, 2023.
Tweet media one
0
13
149
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
3 months
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania tarehe 27 Julai, 2024 kimepata fursa ya kutembelewa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, aliyekuja Chuoni kwa ajili ya ufungaji wa kozi ya kumi na mbili.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
23
145
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Chuo kimepokea ugeni Wa Mabalozi toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki tarehe 27 Septemba, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
17
144
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
5 months
NDC – TZ had an opportunity to welcome Maj Gen Md Mostagousur Rahman Khan – Senior Directing Staff Army and the Head of Delegation from the National Defence College Bangladesh for study Tour visit on 09th May, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
29
136
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
7 months
On 20th March, 2024 NDC – TZ had an opportunity to welcome Col Thomas Baraca - Mozambique Defence Attache’.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
14
133
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy – Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ, akitoa mhadhara kuhusu “Nafasi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika Kujenga na Kukuza Umoja wa Kitaifa” kwa Washiriki wa Kozi Fupi ya kumi na Tano ya Wahariri wa Vyombo vya Habari tarehe 03 Agosti, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
1
31
129
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Maj Gen IM Mhona – the outgoing Commandant (seated forth from left) in a group photo with Maj Gen WA Ibuge – Commandant NDC – TZ (seated fifth from left), @IbugeWil Faculty Members and Supporting on 25th September, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
21
130
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Meja Jenerali IM Mhona – Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, akitoa neno wakati wa kusheherekea miaka 56 ya Uhuru wa nchi ya Botswana tarehe 30 Septemba, 2022.
Tweet media one
0
13
128
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pamoja na wageni waalikwa walipowasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kwa ajili ya mahafali ya Kozi ya Kumi ya Chuo tarehe 30 Julai, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
22
126
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
5 months
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania tarehe 20 Mei, 2024 kimempokea Mr. Meshack Anyingisye – Kamishna wa Bajeti Wizara ya Fedha na ameangalia maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Washiriki wa kozi ya NDC.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
22
124
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
10 months
Matukio mbalimbali siku ya mapokezi ya Luteni Jenerali SH Othman – Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania, alipotembelea Chuoni kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Washiriki wa kozi ya NDC tarehe 04 Januari 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
23
117
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Meja Jenerali IM Mhona – Mkuu wa Chuo, tarehe 02 Agosti, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
1
16
113
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Pichani ni Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (aliyekaa katikati) na Waheshimiwa Viongozi wanaoshiriki Kozi Fupi ya 13 ya Viongozi pamoja na Wanakitivo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
28
111
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
National Defence College Tanzania delegation led by Maj Gen IM Mhona – Commandant, officially visited at Ministry of Blue Economy and Fisheries Zanzibar, Tanzania  during Field Study Tour to Zanzibar on 02nd May 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
16
112
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Matukio mengine yaliyojili siku ya mahafali ya kozi ya kumi na moja tarehe 29 Julai, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
112
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
10 months
NDC - TZ delegation led by Maj Gen WA Ibuge – Commandant NDC-TZ, had a pleasure of visiting the Bank of Tanzania (BOT) during Study Tour on 08th December, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
16
111
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Dr. Anna Makakala-Commissioner General Immigration during her visit at NDC – TZ to deliver a lecture on “Immigration Services in Tanzania and its Impact to National Security” to the Eleventh Course Members on 19th June, 2023. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
15
111
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, wakifatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (MB) - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (hayupo pichani), tarehe 07 Oktoba, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
11
110
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mary Francis Mutagonda Palmer – Commissioner of Immigration – Permit, Passes and VISA, when she arrived at National Defence College – Tanzania to deliver lecture on Immigration Services in Tanzania and its impact to National Security, to the 10th Course Members on 21st June, 2022
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
15
106
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan - President of United Republic of Tanzani... via @YouTube
Tweet media one
Tweet media two
3
19
109
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Leo tumepata fursa ya kusheherekea miaka 58 ya uhuru wa Zambia na Kanali Amosi Simwinga ambaye ni mshiriki wa kozi ya kumi na moja ya Chuo, ametuelezea mengi kuhusu nchi yake. Hongera nyingi kwake na kwa nchi yake Zambia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
106
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 months
Mhe. Albert Chalamila – Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, alipowasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya ufunguzi wa Siku ya Utamaduni ya Chuo tarehe 26 Januari, 2024.
Tweet media one
1
12
110
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
10 months
Dkt. Hashil Twaibu Abdallah – Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, awasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhala kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 13/12/23.
Tweet media one
4
7
105
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
NDC – TZ delegation led by Major General IM Mhona visit to Arusha Regional Commissioner’s Office during Economy - Tourism Field Practical Training on 14th November 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
100
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
Hon. Amb. Dr. Moses Mpogole Kusiluka – Chief Secretary of The United Republic of Tanzania and the Chairman of NDC – Tanzania Governing Board and other Members of Governing Board, arrived at NDC – Tanzania for the College Governing Board Meeting on 28th June, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
21
106
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
7 months
We had an opportunity to celebrate the commemoration of 34th years of Independence of Republic of Namibia on 21st Mar, 24. Maj Gen WA Ibuge – Commandant and Col SU Kotti – Course Member from Namibia, have given short brief about the relationship between Tanzania and Namibia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
13
99
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC – TZ had an opportunity to welcome IGP Camillus Wambura, who delivered a lecture on “An Overview of Tanzania’s Security Concerns and Role of Police Force” to the Eleventh Course Members on 12th June, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
103
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
3 years
On Friday March 25 #NDC_TZ warmly received @DrTaxs , Minister for Defence and National Service and former Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC) who delivered a lecture on SADC: Prospects and Challenges to NDC Course Ten Members.
Tweet media one
5
17
103
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete – Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoa hotuba wakati ufunguzi wa Kongamano la maadhimisho ya miaka kumi ya Chuo cha Taifa cha ulinzi lililofanyika tarehe 08 Septemba, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
20
96
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Prof. Eginald Mihanjo kutoka St. Augustine University, akitoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi Fupi ya 13 ya Viongozi tarehe 01 Agosti, 2022.
Tweet media one
3
15
97
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
kozi fupi ya Viongozi kundi la 14 Chuo cha Taifa cha Ulinzi imefungwa rasmi tarehe 10 Februari 2023 na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla huku akisistiza Washiriki kuyafanyia kazi kwa weledi yale waliyojifunza ili kuleta tija katika Taifa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
10
98
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania kilipata fursa ya kutembelewa na Mhe.Balozi Manfredo Fanti- Kiongozi wa Ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Afrika Mashariki aliyetoa mada kwa Washiriki wa kozi kundi la 11 inayohusu Sera ya Umoja wa Ulaya kwa Afrika Februari 15, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
10
96
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
5 months
Tarehe 17/5/24 Chuo cha Taifa cha Ulinzi–Tanzania kimepata fursa ya kutembelewa na Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe-Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ametoa mhadhara juu ya Nafasi ya Majeshi ya Ulinzi katika Maendeleo ya Taifa kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
20
95
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC – TZ had an opportunity to welcome Hon. Hussein Bashe (MP) - Minister for Agriculture, who delivered a lecture on “The Role of Tanzania Agricultural Sector in promoting National Security” to the Eleventh Course Members on 14thJune, 2023. @HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
13
95
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania kimefanya Sherehe za Maadhimisho ya siku ya Utamaduni (cultural day) kwa kozi ya NDC kundi la 11 iliyofanyika chuoni hapo iliyohudhuriwa na mgeni rasmi Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo - Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa tarehe 27 Januari, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
11
95
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
8 months
Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu, tarehe 20 Februari, 2024 umetembelea Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji walipokuwa katika Ziara ya Kimafunzo katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
17
95
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
8 months
NDC – TZ had an opportunity to welcome Amb. Christine Grau –Ambassador of the EU to Tanzania and to the EAC, who delivered a lecture on “European Union Policy towards Africa” to Twelfth Course Members on 14 February 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
21
92
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
NDC-TZ led by Ambassador Noel Kaganda - Senior Directing Staff Foreign, visit to Sumbawanga Municipal Council and Katumba Bus Terminal during the Domestic Field Practical Training Tour on 9th January 2023.
Tweet media one
Tweet media two
1
11
90
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
NDC - TZ delegation led by Maj Gen IM Mhona – Commandant, officially had a pleasure of visiting the Revolutionary Government of Zanzibar State House during Field Study Tour to Zanzibar on 02nd May 2023. @ikuluzanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
10
91
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga - Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (kushoto), akimkabidhi zawadi Jenerali VS Mabeyo – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (kulia), tarehe 24 Juni, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
14
87
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mwalimu Nyerere Pan- African Young Leaders Fellowship led by Mr. Joseph Butiku – The Chairman of Board of Trustees MNF @Nyerere_Fellows , have visited NDC- TZ for the short course on 28th November 2022. Wishing them a successful course.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
21
93
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
CP Benedict Wakulyamba – Commissioner of Administration and Human Resource Management, Lecturing 10th Course Members at NDC Auditorium on 13th June, 2022. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
3
14
87
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Nigeria Armed Force delegation led by Maj Gen Kangye, during their visit at NDC – TZ on 13th July, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
13
87
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
7 months
Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) pamoja na Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (Mb), wamefanya ziara Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kuona maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Washiriki wa Kozi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
11
86
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
11 months
NDC - TZ delegation led by Brigadier General CJ Ndiege – Senior Directing Staff Army, had a pleasure of visiting the Arusha Regional Commissioner’s Office during Domestic Field Training Study Tour on 13th November 2023. @john_mongella
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
25
91
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Commissioner General of Prison Mzee Nyamka, during his visit at NDC – TZ to deliver a lecture on Tanzania’s Security Situation: The changing Role of Prisons Service to the Eleventh Course Members on 14th June, 2023. The College is immensely grateful for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
13
90
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga - Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi, na Wajumbe wengine walipokuwa wakiwasili Chuoni kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Bodi ya Chuo tarehe 24 Juni, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
16
86
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Hon. Dr. Stergomena Lawrence Tax (MP) - Minister for Defence and National Service (seated centre), in a group photo with Faculty and NDC – TZ Alumni on 07th October 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
12
89
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 month
Bw. Macrice Mbodo, Postamasta Mkuu, amemtembelea Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi-Tanzania, Maj Gen (Balozi) Wilbert Ibuge tarehe 09/09/2024. Bw. Mbodo Mhitimu wa kozi ya 12 aliyefanya vizuri katika shahada ya uzamili ya Usalama na Stratejia. Mkuu wa Chuo amemtakia majukumu mema
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
14
90
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
8 months
Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongozwa na Meja Jenerali WA Ibuge - Mkuu wa Chuo, ulipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walipokuwa katika Ziara ya Kimafunzo tarehe 19 Februari, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
15
86
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
4 months
Prof. Adolf Mkenda (MP) - Minister for Education, Science and Technology, during his visit at NDC - TZ to deliver a lecture on “The Role of Tanzania’s Education Sector in Promoting National Security" to the Twelfth Course Members on 12th June, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
16
87
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 months
Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongonzwa na Brigedia Jenerali EE Mhoro, wakiwa katika Ziara ya Kimafunzo tarehe 15 Januari, 2024 umepata fursa ya kutembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
17
87
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 months
NDC - TZ delegation led by Brig Gen EE Mhoro, on 18th Jan 24, had pleasure of visiting Hydro Electric Power Station and Metal Smelting at Kisangani Company in Ludewa District. We thank Hon. Victoria Mwanziva - Ludewa District Commissioner for the opportunity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
19
86
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
9 months
Baadhi ya Washiriki wa Kozi ya kumi na sita ya Viongozi wa Juu wa Vyama vya Siasa, Dini, Asasi za Kiraia na Wahamasishaji wa Usalama, katika Ufunguzi wa Kozi tarehe 05 Februari, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
20
85
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
1 year
Hon. Dr. Stergomena Lawrence Tax (MP) Minister for Defence and National Service at NDC-TZ during the launch of “African Perspectives on Preventing and Countering Violent Extremism” book held on 4th October 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
16
86
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
NDC-TZ is commemorating its tenth anniversary through a series of events which will culminate in a grand ceremony to be held on the 8th day of September 2022 at the College’s new campus in Kunduchi, Dar es Salaam. Other major events to precede the aforementioned will include: …
1
26
83
@Ndc_tz
National Defence College Tanzania
2 years
Baadhi ya matukio yaliyofanyika Chuoni katika kusherehekea miaka 33 ya Uhuru wa Jamhuri ya Namibia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
15
86