Polycarp The Bibliophile Profile Banner
Polycarp The Bibliophile Profile
Polycarp The Bibliophile

@MdemuPolycarp

14,004
Followers
1,218
Following
6,166
Media
32,863
Statuses

- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering Technician) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)

Iringa, Tanzania
Joined March 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
THREAD ABOUT LOCAL MANUFACTURE (ASIANS) Hapa nimeambatanisha post zangu zenye video za viwanda vidongo ambavyo hata watanzania wakiwezeshwa wanaweza kuanzisha, Tatizo ni makadirio ya kodi na bei za usafirishaji wa baadhi ya machine.
14
50
189
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kijana aliyeshika Namba tatu kitaifa kidato cha sita mwaka 2014 amepata daraja Takatifu la upadri jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, Hongera sana
Tweet media one
199
185
3K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Acha watu wa Samsung waringe bhana.
37
587
3K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
NIKUPE STORY YA HUU MTAMBO. Huu mtambo peke yake una Uzito wa Tani 14,200, Speed yake ni ndogo sana umbali wa Mita 2 wenyewe hutumia Dakika nzima, Namaanisha, Hatua zako mbili huu mtambo unatumia dakika nzima kuzimaliza. (THREAD) 🧵
Tweet media one
161
344
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
NGOJA NIKUPE STORI KUHUSU HII MELI..... Hii pichani ni Meli ambayo ili kupakia mzigo, Basi lazima izame kwenye maji Deck yote. Meli aina hii zinaitwa Semi-submersible heavy-lift ships na hubeba mizigo mizito zaidi kupita hata hizi meli tunazoziona. ( THREAD)🧵
Tweet media one
122
307
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
NGOJA NIKUPE STORY KUHUSU HUU MJENGO. Leo hii hata itokee vita au Uvamizi, Ndani ya Mji wa Roma au Italy Kiujumla, Basi Active Pope Atakimbilia ndani ya Huu mjengo. (SHORT THREAD) 🧵
Tweet media one
51
197
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
UGANDA INATAFUTA SOKO TZ? Ujue Uganda wako Serious wanataka kutuuzia hizi Basi zao! Kiufupi Basi linaonekana ni Bora kabisa, Lakini ni Made in Uganda, Brand Model KAYOOLA. (SHORT THREAD)
Tweet media one
139
201
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 years
Picha hii ilipigwa Wakati wa Vita ya Pili ya Dunia (1945), Ni mvulana wa Kijapani amesimama mbele ya mahali pa mazishi na kungoja zamu yake ya kumchoma kaka yake mdogo aliyekufa. 👇👇👇
Tweet media one
85
278
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
KUTOKANA NA KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II sasa mwili wa Mumewe Prince Phillip utaondolewa pale ulipohifadhiwa tangu kifo chake mwaka wa 2021, na kupelekwa mahali ambako mwili wa Malkia utazikwa. 👇👇👇
Tweet media one
90
174
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
HIZI NDIO NDEGE KUBWA ZAIDI ZA ABIRIA DUNIANI Hizi ni ndege kumi za abiria kubwa zaidi ulimwenguni kwa mujibu wa Mtandao wa masuala ya anga unaoitwa 'aerotime' (THREAD)
Tweet media one
Tweet media two
20
131
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
NGOJA NIKUPE STORY YA JAMAA MMOJA. Pichani ni Mavazi yanayopatikana ndani ya Makumbusho ya Uhalifu (Museum of Criminology) inayopatikana huko Roma, Italia. JE MAVAZI HAYA NI YA NANI? ( THREAD 🧵)
Tweet media one
83
214
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Dah Wakenya ikifikaga hii Time, huwa wanakua wamejiandaa 😁
Tweet media one
42
73
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
8
2
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kwahiyo Mwana FA Alikua Tagged alafu akaji remove sio?
77
95
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
ORODHA YA DUMP TRUCK 10 KUBWA ZAIDI DUNIANI Hizi dump truck nyingi hutumika migodini, pia ni offroad Trucks hivyo haziruhusiwi kuingia kwenye barabara za uma, Uwezo wake ni mkubwa zaidi na bei yake ni ghali zaidi. (THREAD)
Tweet media one
36
139
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Mbwa wameshindwa kuelewa kabisa
16
244
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Wakenya, Ukipigwa Bomu la Machozi, Jamaa anakuja kukunyunyizia 😁
Tweet media one
35
64
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
7 months
Robbin Van Persie. Robbing Our Tax
Tweet media one
Tweet media two
41
110
907
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Sema CHADEMA ina watu sana, leo Anonymous na Machawa kibao wamefufuka, wakazikwa tena.
Tweet media one
34
73
910
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Huyu mwamba @Eng_Matarra alikutana na Mwanamke akaoa na kufikia 2022 akapata kesi kwa kifungo cha Miaka 5 au Faini ya Milioni 7. Yuko Gerezani na mke alishamuacha na hana mtu wa karibu anaemsaidia. Na sasa jukumu hilo linabebwa na Familia ya Twitter, alipe Faini na Arudi Mtaani.
Tweet media one
Tweet media two
18
137
871
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Hii video nilikua naitafuta sana, Ally Kesi (Mbunge CCM) aliwachana sana Wazanzibari na WanaCCM walipiga makofi na kucheka sana
56
253
850
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Habari za leo. Nina mwanangu anaitwa Dorcas Bryson (04) mwaka jana alipata tatizo la utumbo mpana kutoka nje wakati wa kujisaidia. Ulikua unatoka kidogo na baadae kurudi. Lakini kadri alivyoendelea kukua hali imeendelea kubadilika. Mwezi April mwaka huu sehemu hiyo ilitoka kwa
Tweet media one
99
425
851
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Huyu ndiye Tundu Lissu Wazanzibari wanasema mbaguzi.
52
241
845
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
10 months
Habari kaka? Naomba unisaidie kuokoa maisha ya mdogo wangu. Anaitwa Consolata Mgata, ana umri wa Miaka 17. Tunaishi Luganga, wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana shule ya sekondari Kilolo, Iringa. Mdogo wangu Conso alianza kuona uvimbe wa mguu
Tweet media one
64
418
826
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
10 LARGEST EXCAVATOR IN THE WORLD Hii ni orodha ya Excavator kubwa zaidi duniani zinazotumika kwenye Miradi ya Ujenzi na Uchimbaji wa Madini (THREAD)
Tweet media one
Tweet media two
21
120
826
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
18 days
Howo acha liitwe jini, hili dude lina nguvu sana, Tatizo ni zito sana (Ton)
61
116
830
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Huyo ndio Mchina sasa
25
222
810
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Jamaa anasema, Shetani ameenda nchi nyingine, Pale Kenya kazi zake anafanya Ruto
27
133
771
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Wadau wamefika mbali sana
24
143
727
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Hawa kuna kitu watashindwa kweli? Umeelewa nini hapo ndugu?
27
151
721
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Father of the Year
11
175
676
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Picha ya kwanza ni mahali alipokua akiishi Judith baada ya kutoka stendi ya mabasi Ubungo. Alipanga chumba kimoja huko Boko akaishi na wanae wote watano. Picha zinazofuata ni makazi yake mapya aliyojengewa na Watanzaia kupitia GH Foundation. Mungu awabariki wote mliobadili
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
90
671
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
7 months
Jeshi la Polisi Kuna ujumbe wenu hapa 🙏 Mama etu kaongea kwa uchungu sana.
95
225
654
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
KILA RANGI YA KIFUNIKO CHA CHUPA YA MAJI HUWA NA MAANA YAKE. Hii jana niliiona kaandika kwa ufupi @deokya40 mahali, nikasema au jamaa anataka kutupiga butwaa, nikaenda kuchunguza Reddit ebwana kumbe ni Kweli, Kila rangi ya Kizibo cha chupa ya maji huwa na maana yake "Bottle Cap
Tweet media one
48
294
629
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Jamaa katengeneza Design yake ya Swing Bridge, 💪💪💪 chakutafuta ni ideas Generator's
38
156
618
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Nini Tofauti ya Hizi Road Sign mbili ambazo zote huonyesha Kivuko cha watembea kwa miguu ?
Tweet media one
Tweet media two
77
39
603
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Nipe picha moja ya KIAFRICA hapo kwenye Gallery yako.
Tweet media one
165
24
597
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Sijui Mmenielewa?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
89
593
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
8 months
Picha hii inamuonesha mwanaume mmoja nchini Kenya ajulikanae kwa jina la Dan Shisia Matakhaya, mwenye umri wa miaka 33 na ni Askari polisi nchini humo. Hakuzaliwa na sura ya kutisha namna hii. Unachokiona ni matokeo ya mabishano kati yake na mke wake. Siku moja, Matakhaya na
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
116
108
589
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
KITABU CHA HENOKO (THE BOOK OF ENOCH) SEHEMU YA KWANZA - Biblia ina Vitabu 73 lakini isiwe Mpaka wakusoma hivyo 73 tu, Canon ya Vitabu 73 iliapitishwa mwaka 382 na Baraza la Maaskofu wa Roma kuna Vitabu Vilipitishwa vikiwa Havina Sifa E.g (Waebrania) lakini kuna vitabu
Tweet media one
62
222
579
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Mtoto Jordan Edwin wa Kihesa, Iringa anahitaji msaada wa dharura kuokoa maisha yake. Jordan (01) anasumbuliwa na maradhi yanayojulikana kitaalamu kama Hirschprung Disease. Haya ni maradhi ya kuzaliwa ambapo sehemu ya utumbo mpana inakosa neva za fahamu hivyo haiwezi kusafirisha
Tweet media one
31
319
570
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
@SyedaaAiman I stand with helicopter
37
18
520
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Dunia inakwenda kasi sana
40
97
547
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Indian Local Manufacture wakiunda Sprocket Gear, Kuna namna hivi vifaa tuvipate.
54
140
543
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
11 months
@kitchie_witchie @DrEliDavid Why always Palestine supporters try to act as all Palestine civilian are "CHILDREN'S AND WOMENS"?
60
7
496
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kitambo sana hii mchezo mnaitaje huko kwenu.
118
127
532
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kama kawa, Hapo Mtaani Pakistan jamaa anaunda Chepe
51
114
520
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
19 days
Hawa Wanakijiji wametisha sana, Wamebana kengele za RUWASA. Jamaa wa Kwanza amesema "Wakichukua pesa yangu basi mimi sio Mwanaume" Msikilize wa pili 👇
37
112
519
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Utaskia "mi mfugaji wa samaki" Tukifika site kwako tunaona maji 😁 ona Wafugaji hawa mkuu
69
124
514
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Jamaa anatengeneza Plastic Water Tank, Yuko zake kwenye Workshop yake nje ya Home. Akili mtu wangu
19
110
507
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Hili pimbi ni Kabila gani, Tuanzie hapa @Jizzlewantandu
Tweet media one
129
24
501
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kumbe zile Mesh Nets, Nyavu za Madirishani wahuni ndio wanatengeneza hivi 💪
24
90
494
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
26 days
Mambo ya Hisense haya
21
127
491
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
11 months
Ile Entrance ya Magufuli terminal kuna kakipande Kama 5 mita rough kabla hujaianza hilo daraja (Overhead), Yaani tuseme wameshindwa hata kumwaga lami baridi (Emulsion Bitumen) au hata mabaki ya Zege, Unajua magari yanavyoingia pale yanadunda sana, yaani hii defect niliiona
Tweet media one
55
42
481
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
KUTOKA KANISA MPAKA ZIWA Ndani ya Italy kuna ziwa linaitwa Lake Reschen, Japo jina hili la Kiingereza si maarufu sana, Jina Maarufu ni lile la Kijerumani "Reschensee" ziwa hili lina eneo 6.6 KM² hivi. (THREAD)
Tweet media one
3
44
481
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
19 days
Tumshari mama, Ili tuweze kulipa mikopo ya SGR dude lifungwe namna hii lizame kongo
45
65
475
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
HAPPY BIRTHDAY TO ME 💪
Tweet media one
88
52
471
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Mzee Local Manufacture wanatengeneza Njiti za viberiti simple sana, hiki kiwanda Mbongo akianzisha kuna idara ni tatizo sitaki kuitaja
39
132
464
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
SIKU NYINGINE YA KUMSIKILIZA MWAMBA TUNDU LISSU Hii ni clip maalumu ambayo Tundu Lissu alilielezea Bunge la katiba ni Jinsi Gani Tanganyika Ilipotea, Ni Vipi Mali za Tanganyika kama Mahakama, Wafanyakazi wa Umma na Katiba viliibiwa. ENJOY
27
172
467
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
29 days
Hili ni Bunge la Wapi kwani?
64
92
466
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kenya Demos, Vijana wa Tz machawa ndio tunazalisha.
25
77
453
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Hapo Garage huwa mnatumia dakika ngapi kuingiza hili tairi?
13
83
452
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 days
Hili tukio nililikosa ilikuwaje kwani?
29
39
442
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 years
@AVFCOfficial @Samagoal77_ Here we Come, Thats is Clouds Tv Rooms, our famous Tv and Radio Station
Tweet media one
2
14
413
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
"Friji halikai sebuleni mkuu pambana sana"
Tweet media one
102
25
417
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Hii inaweza Kukufunza kitu, Please watch it 💪💪💪
13
111
416
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kwa kuwa kadri anavyochelewa kutibiwa ndivyo utumbo wa mtoto Jordan unavyozidi kuharibika, wazazi wameshauri kwa sasa tutafute 3M tu ili mtoto afanyiwe upasuaji kwanza, kisha fedha nyingine za kuuguza tutawachangia baadae. Kiasi tulichochanga kwa ajili ya matibabu ya Jordan
Tweet media one
30
193
419
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Dogo Katisha sana
38
90
412
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
23 days
Kitimoto kachukuliwa shimoni,
26
62
418
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Ni lini Waafrica Wataongelea kuhusu Congo kama wanavyoongelea Palestine Ukraine. Kuna Yule Dr/Prof huwa anaitisha maandamano kupinga mauaji ya Palestine (Gaza) ni lini ataitisha kuhusu Wacongo.
Tweet media one
51
48
414
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Daaah 😁
23
61
408
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Nani ajaribu hii kitu 😁
23
74
406
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
KITABU CHA HENOKO SEHEMU YA PILI. Basi katika Sura ya 8 tunaona Malaika AZAZEL anawaonea huruma Binadamu, Anaanza kuwafundisha Kutengeneza Silaha, Mapanga (Swords) , Visu, Ngao na Ngao za Vifuani (BREASTPLATED) hapa ndipo zana za chuma zilipogunduliwa (MWANZO 4: 22)
Tweet media one
47
155
395
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
8 months
Fundi wenu wa Umeme mnayempa kazi ana vifaa kama hivi?
52
74
390
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
16 days
KANSA YA JICHO INAMTESA MTOTO NEHEMIA MBEMBATI 📌 UMRI WAKE NI MIAKA 5 ANAISHI MGOLOLO MSHIKAMANO 📌 GHARAMA ZA MATIBABU NI M1.5(MUHIMBILI) 📌 MAWASILIANO 0687102720 JINA: YOHANA MSOLA 📌 REJESHA TABASAMU LA MTOTO NEHEMIA SASA Maumivu yasiyoelezeka yameendelea
Tweet media one
49
237
392
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Wauza Madafu ikulu nadhani wameshajulikana sasa.
Tweet media one
Tweet media two
37
34
384
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Jamaa sijaelewa kafanikishaje hapa!?
24
51
390
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Idea, Hizi nazi vifuu si mnatupa'ga' tu huko Pwani?
17
77
386
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Nadhani idea 💡 iko sawa 👍
11
82
382
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Ile ishu ya kufukuza ndege mashambani imepata ufumbuzi, hii hapa Solar Powered Scarecrow
52
102
381
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 months
Mungu tunaomba ujuzi hata huu kidogo, yaani USB cable wanatengeneza wahuni nyumbani. Local Manufacture
31
103
381
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 days
Wawekezaji
4
32
380
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Kwa masaa 12 tumefanikiwa kumchangia mtoto Jordan gharama zote zinazohitajika kwa ajili ya upasuaji. Mungu awabariki wote mlioshiriki 🙏🏽
Tweet media one
6
81
379
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
@SyedaaAiman Don't call you and your family a whole world
4
6
363
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Kumbe Ahmed Ally @ahmed__ally "Kuhaso" kaanza kitambo sana
37
82
374
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Hivi india viwandani wana Hizi Compliance kama OSHA, NEMC, TRA nakadhalika kama huku Kwetu, Hawa jamaa wako bize sana nini
47
104
373
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Hizi Sandals huwa mnanunua "shingapi" hapo mtaani?
24
58
372
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Daah watu wameshatoa kitu 🤣
Tweet media one
31
56
362
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Hakuna Kiwanja kisichojengeka wakuu, Tutafute hela.
24
103
365
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
@EuropaLeague @Atalanta_BC Lookman is the first African player in history to score a hat-trick in a European final • Lookman is the first player in history to score a hat-trick in the European League final
Tweet media one
4
22
344
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Nilipo upload video ya machine hii watu wengi waliuliza bei yake. Ngoja nitengeneze short thread hapa, Hii machine wachina wanaiita MINI TILLER TRACTOR MACHINE kampuni za kichina nyingi zina manufacture aina hii ya machine.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
79
363
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Portable Power Station 2000W
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
5 months
Kama una kibunda nunua power station kwa matumizi ya nyumbani achana na majenereta kizamani sana.
Tweet media one
94
167
2K
17
58
360
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Anaandika @MalisaGJ_ Picha ya kwanza ni chumba cha mjane Judith tulipomtembelea mwaka 2021 baada ya kutoka stendi Ubungo. Chumba kimoja cha giza chenye godoro tu bila kitanda. Alijilaza hapo na watoto wake wote watano. Hichohicho ndio chumba, sebule na stoo hapohapo. Ndio maana
Tweet media one
Tweet media two
27
45
356
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
In Case ulijua Baiskeli ni Kazi Kutengeneza, Jamaa wanakupa solution 💪
16
72
356
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Wakenya Wana siri sana, Huu ni upande wa Pili wa Nairobi, Hii Uswazi hata DSM sidhani kama ipo
94
76
354
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Erick Omondi kumbe alifika bungeni kabisa
13
62
353
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
30 days
Hii ni Heavy duty ya kukata kiepe, Unadhani ingefaa maeneo gani ya Tanzania
35
98
354
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Tumrudie Jamaa anayetengeneza Water Heater, 💪
16
78
344
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Kwenye construction site, Hakuna mwenye akili 100% Mtoto anapeleka chuma yake ipakiliwe kifusi Mama anaogopa, majamaa wanampokea kwa shangwe 😂
28
66
340
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
NI SIKU NYINGINE YA KUMSIKILIZA TUNDU LISSU Hapa ilikua Tarehe 14/04/2014 Bunge la katiba, Siku hii ilitoa taarifa Kamati ya 3 naya 4, Part 4/4. Humo ndani Wamekaangwa sana CCM kwa mafuta yao, Kwa mbali utamuona Kigwangala hapo. ENJOY
21
161
343
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Sema Simba ni Mgumu sana kukata tamaa
64
53
340