lizzy Profile Banner
lizzy Profile
lizzy

@Lizzymic5050

9,258
Followers
3,886
Following
524
Media
39,044
Statuses

Christian girl, ISAYA 60:11, ISAYA 46:4.🏨💉💊 Simba SC.⚾.

🇹🇿
Joined April 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Ishi maisha yako ukitaka ku fake ili uonekane utajiumiza.
17
33
185
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Mkaka mrefu wastan hivi, mweusi sio mnene sio mwembamba 🤔
100
8
551
@Lizzymic5050
lizzy
10 months
Niende kanisani sasa nikamshukuru Mungu kunipa Mwaka mwingine 💃💃 +1 Happy birthday to me 🎂 😘💞
Tweet media one
109
54
551
@Lizzymic5050
lizzy
1 year
Hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea. 🙏 Uwe na siku njema 😘😍
Tweet media one
68
59
541
@Lizzymic5050
lizzy
1 year
Huyu mdudu kiukweli namuogopa na hataki kutoka ndani nimepiga dawa ya mbu nikirudi namkuta bado yupo ndan, siku ya tatu hii nakosa raha. Dawa ya kufanya atoke nisaidieni kumuua siwezi. 🙆‍♀️
Tweet media one
307
18
531
@Lizzymic5050
lizzy
7 months
January nilipata ajali mbaya hadi nilipoteza fahamu 😥 dereva alikimbia Kuna vijana waliniokota wakanifikisha hospital. Natamani kuwa jua nashindwa naanzia wapi kuwa pata.
Tweet media one
111
44
507
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Hivi kuna ulazima mtu akikutongoza umpe list ya wanaume walio kuwa nao kabla yake? 🤔
136
14
384
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwahiyo sisi wenye miaka 36, tunaolewa lini 🤔 na tupo kwenye kundi gan?
89
11
373
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Wengine tusubirie kunyakuliwa siku ya ufufuo
Tweet media one
49
5
374
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Hivi hiyo boxer yako huwa unafua baada ya muda gan? 😏
79
10
325
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Nyie kuna muda unataman hata Mungu akudondoshee gari 🤔😔😭
31
4
266
@Lizzymic5050
lizzy
10 months
Nianze kupunguza vibubu vya bukubuku 🤪 ✌️🤸💃
Tweet media one
Tweet media two
53
21
277
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Kuna kipindi unapita unatamani kuwa na mtu jiran akukumbatie uongee yoote ya moyoni 🙌😔 I'm in bad mood.
Tweet media one
55
17
260
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Kuwa hai ni Mungu tu, Afya hii ni Mungu tu 🙏 Its my birthdate 💃 Happy birthday to me 30's 🎂🎉
Tweet media one
Tweet media two
66
41
240
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Hivi kuna mama wa kiafrika anaye weza muandaa mtoto asubuhi kwa ajili ya kwenda shule kimyakimya bila kumsema au kumsonya?
27
7
224
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Kwann watu wanakufollow then wanaku unfollow?
36
6
219
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
It's my birthdate today 💃💃 thanks God 🙏
Tweet media one
51
13
214
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Penzi jipya linapoanza unataman ukatoe sadaka ya shukran 😘, Ila sasaaa likichokaaa 🤔😔😢
29
11
219
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Hivi ukimtumia mtu sms na asome asijibu awe rafiki, mpenzi au mtu yeyote huwa linakujia wazo gan kichwan?
42
3
210
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Si mtu aniambie ananipenda nifurahi 😔
65
5
198
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Hivi mtu mwenye fake appointment kila siku huwa mnamuelewaje?
13
3
172
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Mpk sasa sina mpenzi 😂😂, nina wapenda wazazi wangu tu na kesho birthday ya baba yangu Acha nimuandalie zawadi.
13
3
181
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Nakaribia kuachwa sio muda nakimbiwa 😭😭🙆‍♀️
32
2
180
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Shangazi 😍😍
Tweet media one
21
3
169
@Lizzymic5050
lizzy
2 months
One week now 💔😭 R.I.P Mama.💔🕊
Tweet media one
63
14
187
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Tengeneza mahusiano yako bila kusikiliza historia toka kwa mtu mwingine. 😘😘
Tweet media one
30
1
169
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwani hamuwezi kuvaa vizuri suruali mkaficha hizo boxer zenu ambazo hamuwezi kuzifua 🚮
28
4
163
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Katika dunia changamoto ni nyingi saana, Ila Mungu mwema na hili litapita. Siku njema 😘
12
11
150
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Nyie Acheni Mungu aitwe Mungu alichonifanyia Acha niendelee kumuamin. 🙏🙏
8
5
153
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Sifa za kumshawishi mwanaume mpaka akutumie nauli ni zipi?
22
0
143
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Uwe na siku njema
Tweet media one
12
20
147
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Tuishi kwa kujuliana hali 😭 leo napokea habari mbaya kuhusu kifo chake 💔💔😭 R.I.P dear 💔💔😭😭
Tweet media one
28
5
141
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Kuna vilema tunajivunia katika maisha sababu tuna historia navyo na vimetufanya tuwe hai mpk leo nikiona mtu ananidharau kilema changu huwa namuona 🚮
Tweet media one
25
17
134
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Watu wanajibizana na maparody yao nimecheka leo 😂😂 Uwe na siku njema 😘😘
10
4
134
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Bas na tujinyenyekeze chini ya mkono wa Mungu ili Mungu atukweze kwa muda wake.
4
4
128
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kkchefuchefu, kutapika, mdomo mchungu, kukosa nguvu mwilini 🤔
31
0
124
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Tukuyu - Mbeya
Tweet media one
25
3
123
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kuamka mzima na Ukaweza kwenda kwenye Shughuli zako ni miujiza tu, na yatakiwa kumshukuru Mungu🙏 Uwe na siku njema 😘
16
9
125
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Tambua ya kwamba kuna mtu mahali anasubiria uamke nayeye apate fursa. Usichoke, usikate tamaa😘 Uwe na siku njema.
9
10
119
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Ukiwa na msongo wa mawazo ( stress) huwa unafanya nini? 😔
33
2
116
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Muache aende, usimkumbatie wakati hataki kuwepo maishani mwako. Yupo aliye wako 😍😍
Tweet media one
22
7
119
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Hata sasa Bwana amenisaidia 🙏🙏, (EBENEZER) Nikutakie siku njema yenye baraka.
10
5
110
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Happy birthday to me💃🙏
Tweet media one
31
2
114
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Mwanaume akiniacha sio adui kwangu, na wala sifuti no. Yake labda simu ipotee🤗
15
0
109
@Lizzymic5050
lizzy
1 year
Good Friday 😘 ❤️
Tweet media one
17
12
122
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kitambi ni bora kuliko vidonda vya tumbo kula ushibe wewe 👌
15
12
110
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Ifurahie siku yako uliyopewa na Mungu, haijarishi unapita katika pito gani. 😘😘 Uwe na siku njema.
9
0
110
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Uongo huvunja mahusiano mengi. Siku njema 😘
15
7
107
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwani kumpata mtu mkapendana huwa mnatumia vigezo gan?
13
5
109
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Siku njema 😍😍
Tweet media one
15
2
110
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Umewahi fua nguo ukaanika zoote na kamba ikakatika 🙆‍♀️😭
15
3
103
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Maumivu ya jino ni shiida 😭😔
19
2
105
@Lizzymic5050
lizzy
7 months
Kuna sauti ile ya ndani ikikuambia jambo jitahidi usipuuze, huwa inakuokoa na hatari iliyopo mbele yako. Mara nyingine huja kama mawazo. Uwe na siku njema 😘😍
7
22
114
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwan kuna ulazima wa kupika chai au kunywa chai asubuhi?
9
1
105
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Mafua yameniweza leo hadi homa😔😥😢
20
3
97
@Lizzymic5050
lizzy
1 year
Natamani nijifunze jinsi ya kutengeneza marafiki au kutafuta marafiki kuna muda nakuwa mpweke saana hasa hizi siku ninazo Kuwa off.
Tweet media one
27
6
108
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Huyu jamaa kwenye folen hapa ya mwendokasi anavyonibana eeeeh
11
3
93
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Leo nimefanikiwa kufuta namba zoote kwenye simu ambazo hazina msaada kwangu, hawanipigii siwapigii, no sms, ni kama pambo nakaa nazo tu zinanijazia phone book 🚮
16
3
99
@Lizzymic5050
lizzy
7 months
Jana usiku nilikuwa makumbusho nimenunua kitu Jamaa kanifungia mzigo wangu kwenye bahasha, muda huu nifungua bahasha nakutana na hizi Pete.
Tweet media one
22
12
110
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kuna kipindi nataman nipate mtu wa kupiga naye story lakini sipati 🙆‍♀️😔
16
4
97
@Lizzymic5050
lizzy
1 year
@BigBroAfrica Ebubu all the best in your life 😘
1
2
107
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kama ulisoma hicho kitabu shulen 😂😂😂😂 my friend..............
Tweet media one
21
2
95
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Every prayer increase our holiness, brings us closer to God and empowers us to be more like Jesus. But holiness does not come quickly nor easily. We must continually rely on God’s spirit in order to resist temptations and grow in faith. 🙏❤️❤️❤️
7
19
96
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
The flag shangazi
Tweet media one
Tweet media two
12
6
98
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Kwan mtu anatakiwa aolewe au aoe akiwa na Umri gan?
14
1
94
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kuna mtu ntampiga picha muda sio mrefu naona anachungulia sm yangu
9
1
87
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Habari..! Karibu @dorca_dorca kwa karanga za mayai na Popcorn zenye ubora, na tamu 😋 Tunatengeneza na kusambaza kwenye Shughuli mbalimbali, madukani, ofisini, shuleni, vyuoni na majumbani Wasiliana nasi kupitia namba 0658252693 gharama ni nafuu Karibuni sana.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
36
94
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Leo sina pa kwenda, sina la kufanya zaidi ya kulala, 😌
11
0
85
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Katika maisha kuna kupanda na kushuka. Kikubwa ni kumtegemea Mungu na kuendelea na maisha mengine. Uwe na siku njema😘😘
8
5
88
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwa wale single: Tumeanzisha mchezo wa ndoa kila wiki mmoja anatoka 🙏. Karibuni
19
2
91
@Lizzymic5050
lizzy
7 months
Ukiona unafanya jambo na lina kukosesha amani ni bora kuliacha na kuendelea na harakati nyingine.
7
14
100
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Gas imekwisha katika ya mapishi 😭
14
4
86
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kuna muda unapata vikwazo kwenye maisha mpk unataman ukatishe malengo yako 😔
8
6
88
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Kwa sababu ya udhalimu wa maskini, na kuugua kwa mhitaji, sasa nitaamka, asema Bwana; Nitamweka salama kutoka kwa yule amwoneaye. 🙏 Uwe na siku njema ❤️❤️
Tweet media one
15
4
89
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Hivi gari gan nzuri la kwenda mbeya ukitoa SAULI NA IMANI?
28
5
90
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Nikipata pesa ntawamis saana💃💃💃💃
7
1
91
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Hivi kwann wanawake huwa hatupendani? 🤔 Wewe ni mwalim unamjengea chuki mwanafunzi wa kike bila sababu hata hujui katoka wapi na hata huna msaada kwenye maisha yake HASA VYUONI 😏🚮🚮
6
3
87
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Mwaka huu usipite bila kumzalia mtoto wa mtu 🤔
13
2
85
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
@dr_moremi 2Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. 3 Basi, yo yote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani; na mliyonena sikioni mwa mtu katika vyumba vya ndani, yatahubiriwa juu ya dari.
0
4
94
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Masikio yanauma 😔
16
0
83
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Shangazi wa dar 😍 Umri umeenda mjomba anahitajika sasa. #inafutwa
Tweet media one
19
8
88
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Faida uijuayo ya kuwa na kitambi ni?
18
0
80
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
💃💃💃 Hatimaye TTCL wamerudisha 😂😘
10
3
86
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Uwe na siku njema, Mungu akulinde, akufanikishe kila unalolifanya siku ya Leo la halali, Ikawe siku ya Baraka na furaha tele, mwenyezi Mungu asikupungukie, akuepushe na magonjwa, ajali, kila hila potofu siku ya Leo. Tuenende kwa amani ya Bwana.🙏 😘😘😘😘😘❤️
8
4
86
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Ukawe mwezi wa baraka na mafanikio kwako. Mungu wa Mbinguni asikupungukie😘😘 Kila la heri 😘😘
10
9
82
@Lizzymic5050
lizzy
7 months
😚😚
Tweet media one
9
6
88
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Natafuta rafiki tu.
20
0
82
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Jiran kaja kuanika nguo kimya kimya kwenye kamba kwangu bila kuomba Kamaliza aondoke kamba ikakatika nguo zote chini 😂😂😂 Nimecheka ndan alafu kachukua nguo zake kaondoka kimyakimya anadhan sijajua kinachoendelea nje.
10
3
78
@Lizzymic5050
lizzy
8 months
Twende kilioni (5 kichwa) 😍💃
Tweet media one
13
11
87
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Natural hair ❤️❤️❤️❤️💃
Tweet media one
15
1
78
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. Tuwe na siku njema 😘🙏
8
6
77
@Lizzymic5050
lizzy
6 months
Happy birthday mdogo wangu 🥰😍 Huna baya fundi 😍💃
Tweet media one
21
14
86
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Nani tupige naye story nipunguze haya mawazo dah 😭😭😭
11
0
72
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Sawa hatukatai vaa Barakoa lakin sio kwa Barakoa ninazo kutana nazo barabaran huku chafuu 🙌 dah.
11
1
75
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Tumwabudu Mungu wetu 🙏 Uwe na Jumapili njema 😘❤️
Tweet media one
7
12
81
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Usiku mwema ❤️❤️
Tweet media one
20
2
70
@Lizzymic5050
lizzy
5 months
Huwa sipendi kujiita wala kujiweka kwenye kundi la walemavu sababu najiona nipo kawaida ila Jamii inakukumbusha jinsi ulivyo 😉 mwanzo ilikuwa inanipa shida saana. #jiaminiwewepiaunaweza 💪
Tweet media one
10
10
81
@Lizzymic5050
lizzy
2 years
Natural hair ❤️❤️
Tweet media one
Tweet media two
11
6
75
@Lizzymic5050
lizzy
4 years
Kuna kipindi unapita unahisi Mungu akuoni😔 japo natakiwa kushukuru kwa kila jambo🙏 Uwe na siku njema 😘😘
9
1
68
@Lizzymic5050
lizzy
3 years
Mafua nashindwa kulala 😪🤧
15
0
70