NBCTanzania Profile Banner
NBCTanzania Profile
NBCTanzania

@NBCTanzania

37,071
Followers
1
Following
3,986
Media
7,482
Statuses

Benki pekee inayodhamini NBC Premier League, NBC Championship na NBC Youth League.

Sokoine Drive, Dar es Salaam
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@NBCTanzania
NBCTanzania
6 months
๐‡๐ฎ๐ฎ ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ข ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐›๐š๐ง๐ข. Shinda zawadi mbalimbali kama simu, pesa taslimu, tablet, fridge kali, safari za kwenda nje ya nchi na zawadi kubwa ya ndinga; ๐๐Œ๐– ๐—1, ๐Œ๐ฉ๐ฒ๐š๐š๐š๐š๐š๐š๐š kwa ajili ya mishe zako.
20
33
848
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Neno moja kwa Wananchii @yangasc1935 ๐Ÿ”ฐ , unadhani hali itaendelea hivi mpaka mwisho wa msimu? #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani
Tweet media one
239
397
10K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Hongera @SimbaSCTanzania ๐Ÿฆ Kutoka kwa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara. #NBCDaimaKaribuNawe #SokaLaNyumbani
Tweet media one
64
265
9K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Hongera @yangasc1935 ๐Ÿ”ฐ Kutoka kwa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara. #NBCDaimaKaribuNawe #SokaLaNyumbani
Tweet media one
49
201
5K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Hakuna makato ya ziada ukilipa kwa kutumia NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ, kadi ya malipo inayokubalika kwenye maduka na sehemu za mauzo nyingi zaidi Duniani ๐ŸŒ. #NBCVisaDebitCard #DaimaKaribuNawe #NBCPremierLeague
Tweet media one
50
88
4K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Lipa bili zako za umeme, maji na malipo ya Serikali (GePG) kwa kutumia NBC Kiganjani. Piga *150*55# sasa au Pakua NBC App. Ni rahisi sana. #NBCKiganjani #DaimaKaribuNawe #GePG
Tweet media one
37
72
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Fanikisha malengo yako yote na Akaunti ya NBC Malengo, unaweza kuweka akiba kidogo kidogo na kupata faida ya hadi 7% kulingana na kiasi cha fedha kilichopo kwenye akaunti yako kwa mwaka. #ShindaMechiZakoNaNBC #DaimaKaribuNawe
38
137
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Back 2 Back Champions ๐Ÿ† Mabingwa wa NBC Premier League msimu huu wa 2022/23 ni @yangasc1935 . Neno moja kwa wananchiiiiii ๐Ÿ”ฐ! #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani
Tweet media one
67
228
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Benki ya NBC inakuwezesha kushinda mechi zako za kibiashara na kimaisha ukiwa mtaani kwako. Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kutoa pesa, kuweka pesa, kuangalia salio, kulipa bili, kulipa ada za shule au tozo na kodi mbalimbali. #ShindaMechiZakoNaNBC #NBCWakala
51
78
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC tumekabidhi tuzo na zawadi ya kocha bora wa mwezi Februari 2023, Mecky Maxime kutoka Kagera Sugar FC. Tuzo hiyo imekabidhiwa na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja kutoka Benki ya NBC Salama Mussa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
71
66
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Back 2 Back Champions ๐Ÿ† Mabingwa wa NBC Premier League msimu huu wa 2022/23 ni @yangasc1935 . Neno moja kwa wananchiiiiii ๐Ÿ”ฐ #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
26
213
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
3 years
Dunduliza zaidi ya Tsh 300,000 na kuendelea, kwenye akaunti yako ya NBC kati ya tar 6 - 24 Aprili 2022 ushinde safari iliyolipiwa kila kitu na NBC kwenda Dar es Salaam kwa walio mikoani kushuhudia Derby kati ya Yanga na Simba. Wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa msaada zaidi.
Tweet media one
51
77
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
3 years
Ni rasmi sasa. Tunafurahi sana kuwa wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara โšฝ๏ธ๐ŸŸ. Kile kitendawili tumekitegua leo. #NBCPremierLeague #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
200
229
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Sisi tumerahisisha utumiaji wa akaunti yako na upatikanaji wa huduma za kibenki ili uweze kushinda mechi zako. Lipa bili zako za umeme, maji na malipo ya Serikali (GePG) kwa kutumia NBC Kiganjani. Piga *150*55# au pakua App ya NBC Kiganjani sasa. #ShindaMechiZakoNaNBC
Tweet media one
51
84
3K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Kombe ๐Ÿ† rasmi la NBC Premier League. #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani
51
94
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Tunaelewa jinsi vifaa vyako vya elektroniki vina thamani kwako na ndio maana hatutofurahi kuona unapoteza mali zako. NBC tunakulipia Bima yako yote kwa pamoja. Kisha utalipia kidogo kidogo kwa riba rafiki na bila makato ya ziada. Tembelea tawi letu au piga 0800 711 177 (BURE).
Tweet media one
43
69
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Hongera Pape Ousmane Sakho kwa kushinda tuzo ya goli bora la mwaka CAF 2022. #NBCDaimaKaribuNawe #CAFAwards2022
Tweet media one
15
108
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Kila la heri ๐Ÿ”ฐYanga SC. #NBCPremierLeague #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
19
98
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mwalimu anaishi bila wasi. Ukiwa na Akaunti ya Mwalimu ya NBC unapata punguzo la bei la 10% kwenye maduka ya mawakala wa Samsung ili kukurahishia kumiliki vifaa vya umeme vya Nyumbani kwa matumizi yako na ya familia yako. #ShindaMechiZakoNaNBC #AkauntiyaMwalimu
Tweet media one
44
52
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Usisubiri wanao ndio waje kurekebisha nyumba yako, pata mkopo wenye riba nafuu na urekebishe nyumba yako iwe kisukwa kama mpya. Tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu yako kupata mkopo huu sasa au wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi. #MkopoWaNyumbaWaNBC
Tweet media one
70
68
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Utakua upande upi? Yanga ๐Ÿ”ฐ au Simba ๐Ÿฆ? ๐Ÿค” #NBCPremierLeague ๐ŸŸโšฝ๏ธ
Tweet media one
94
65
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
๐…๐š๐ข๐๐š ๐Š๐ข๐›๐ฐ๐ž๐ง๐š Pata faida ya hadi 10.5% kwa mwaka utakayolipwa kila baada ya miezi 3,6 au mwaka. Tembelea tawi lolote la NBC kuwekeza sasa au wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi. #TunaingiaSite #NBCMgodini
53
67
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mapema leo asubuhi timu yetu ilitembelea kituo cha redio cha Wasafi FM kuzungumzia kampeni yetu ya #ShindaMechiZakoNaNBC Huu ni wakati wako wa kushinda mechi zako na NBC. Tatua changamoto zinazohusiana na kipato kupitia huduma zetu mbalimbali mahsusi kwa kila hitaji.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
38
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Tembelea ili kujisajili kwenye NBC Marathon itakayofanyika mji mkuu wa Tanzania, Dodoma tarehe 22/11/2020. Muda umebaki mchache, wahi sasa kujisajili. #NBCMarathon #PamojaTunakataUpepo
Tweet media one
24
41
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Benki ya NBC inakuwezesha kushinda mechi zako za kibiashara na kimaisha. Fungua akaunti ya NBC Kua Nasi leo na utapata faida ya 2% kwa akiba ya Tshs 100,000 na kuendelea. Hakuna makato ya mwezi kuendesha akaunti hii. Fungua akaunti hii kwa Wakala wa NBC. #ShindaMechiZakoNBC
27
53
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mwalimu unaweza kununua nyumba iliyokamilika kila kitu, wewe ukahamia tu na kuendelea kufurahia maisha. NBC inakupa uhuru wa kulipia mkopo taratibu hadi kwa miaka 25. Tembelea tawi letu lililopo karibu yako na ujiunge leo Au piga 0800 711 177 (BURE). #ShindaMechiZakoNaNBC
Tweet media one
94
56
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Unadhani mchezaji gani atakua wa kwanza kucheka na nyavu ๐Ÿฅ…Jumamosi hii kwenye #KariakooDerby baina ya Yanga๐Ÿ”ฐVs Simba๐Ÿฆ? #NBCPremierLeague ๐ŸŸโšฝ๏ธ #YangaSCVsSimba #WataniWaJadi
Fiston Kalala Mayele
8099
Kope Mutshimba Mugalu
2189
Feisal Salum
1126
Meddie Kagere
4152
201
122
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
#FungaMwakaKibabeNaNBC kwa kulipa bili na kufanya manunuzi kwa kutumia NBC VISA Debit Card na ujishindie zawadi nono kama Vocha za Supermarket, Punguzo za hadi 15% pamoja na TV Mpya ๐Ÿ“บ .
Tweet media one
Tweet media two
13
55
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
11 months
Kuwa kinara si kazi ndogo. ๐Ÿ† Benki ya NBC inaongoza kwa huduma bora kwa wajasiriamali kwa miaka 4 mfululizo! Jiunge na benki yenye rekodi ya ushindi, tushirikiane kwa mafanikio yako. ๐“๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐š ๐‹๐ข๐ ๐ข ๐Š๐ฐ๐š ๐’๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐˜๐š๐ค๐จ!
Tweet media one
65
45
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Ukiwekeza na NBC, baada ya ๐— ๐—ถ๐—ฒ๐˜‡๐—ถ 3 ๐—ž๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ. Anza leo na Tsh 500,000 tu upate faida ndani ya miezi 3, 6 au mwaka. Tembelea tawi lolote la NBC kuwekeza sasa ua wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi. #TunaingiaSite #NBCMgodini
50
66
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Wapwaaa!! Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukijishindia Samsung A10's kwa kuposti picha yako ukiwa umevaa barakoa na follow akaunti yetu @NBCTanzania . Na kuweka #NBCBARAKOACHALLENGE ili kushinda. Mwenye RT's nyingi hadi Ijumaa mchana kuibuka mshindi. Twende kaziii!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
81
143
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Kombe ๐Ÿ† rasmi la NBC Premier League. #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani
Tweet media one
68
81
2K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mwalimu akirudi nyumbani anaangalia habari kwenye kioo cha SAMSUNG, kupitia umeme wa Solar huku akipiga mahesabu ya bajaji/boda wake. Kupitia Akaunti ya Mwalimu ya NBC, Mwalimu atapata punguzo la hadi 1๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ% kwenye bidhaa hizo. #ShindaMechiZakoNBC #AkauntiyaMwalimu
Tweet media one
63
53
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
8 months
Epuka usumbufu na gharama za kuja mpaka tawini ili kupata huduma za kibenki. Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kulipa kistraika LUKU, maji, malipo ya Serikali na kodi mbalimbali. #NBCBurudaTime #NBCWakala #DaimaKaribuNawe
92
50
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Wapwaa!!Mshindi wetu wa #NBCBARAKOACHALLENGE ni @mpambazi ambaye amepata RTโ€™s 1.9K hivyo kujishindia Samsung A10โ€™s. @mpambazi_ tunaomba ututumie namba yako DM. Tunapenda kuwashukuru washiriki wote waliojitokeza kwenye challenge hii. Week ijayo kutakua na mshindi mwingine. Usikose
Tweet media one
188
98
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
6 months
Mfungulie mwanao Chanua Account, muwekee chochote kitu huku ukimfundisha nidhamu ya pesa, na upate nafasi ya kujishindia Tablet yake. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako Au piga 0800 711 177 (BURE). #ShindaMechiZako
48
43
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Unaweza kuyafikia malengo yako kama kasi ya mashuti ya NBC Premier League. Jiunge na Akaunti ya NBC ya Mshahara, Malengo, Kua Nasi, NBC Direct na ushinde mechi zako za kiuchumi leo. #ShindaMechiZakoNBC #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
16
46
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Benki ya Wachapakazi iko bega kwa bega na wasambazaji wa bidhaa na wauzaji wa malighafi kwa kuwapa mikopo ya muda mfupi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia +255 768 984 000. #NBCSME #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
13
29
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mechi ipo mtaani kwako, ushindi upo mkononi mwako na wakala wa NBC yupo mtaani kwako. Ni rahisi kufungua akaunti, kuweka, kutoa/kutuma fedha, kuangalia salio kwenye akaunti yako ya NBC na hata kulipia huduma mbali mbali. #ShindaMechiZakoNaNBC #NBCWakala
14
32
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Kama ua linavyo chanua likitunzwa, ndivyo mwanao atakavyo nawiri kimaendeleo ukimfungulia Chanua Akaunti. Akaunti hii ni kwa watoto kuanzia mwezi mmoja hadi miaka 18, pia haina makato ya mwezi. #NBCChanuaAccount #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
19
31
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Nyumba yako ni mchongo unaoweza kukutoa kimaisha. Pata mkopo kwa kuweka nyumba yako dhamana na ulipe taratibu kwa muda wa hadi miaka 20. Tembelea tawi lolote la NBC kupata mkopo huu sasa au wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi. #MkopoWaNyumbaWaNBC
39
46
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Usikae mbali na simu yako, Jumamosi hii tunakuletea mapinduzi halisi ya huduma zetu kidigitali. #DaimaKaribuNawe
7
33
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Unahitaji kukamilisha hitaji lako la biashara kwa wakati? Njoo upate mikopo ili utimize malengo yako. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0768984000 au tembelea tawi letu lolote lililo karibu nawe. #NBCSME #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
28
38
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Historia imeandikwa โœ… Hongera sana Wananchiii @yangasc1935 ๐Ÿ”ฐkwa kuliwakilisha vyema Taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Kutoka kwa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. #NBCDaimaKaribuNawe #SokaLaNyumbani
Tweet media one
10
83
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mechi ya hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika. #NBCPremierLeague #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
12
47
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Kuelekea mchezo wa leo kwenye NBC Premier League Kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba. ๐Ÿ—’๏ธ Ruvu Shooting Vs Simba โฐ 1:00 Usiku ๐ŸŸ๏ธ Mkapa #NBCPremierLeague #SokaLaNyumbani
Tweet media one
2
26
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
7 months
Huduma yetu ya NBC Kiganjani inakuwezesha kucheki mshahara wako kama tayari HR kacheka ukiwa popote pale. Piga *150*55# au pakua app ya NBC Kiganjani uweze kufurahia huduma hii. #NBCKiganjani #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
57
34
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
NBC YAJIVUNIA MAFANIKIO KATIKA KUHUDUMIA SEKTA BINAFSI. Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Theobald Sabi akizungumza na wadau wa sekta binafsi kuhusu mchango na huduma za NBC katika kuinua sekta binafsi nchini wakati wa Mkutano maalumu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
28
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
7 months
Wa kwanza kutoa jibu sahihi kujinyakulia tiketi ya VIP ya kwenda kutazama mtanange baina ya Simba SC dhidi ya Al Ahly SC. #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
242
24
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Hongera @yangasc1935 ๐Ÿ”ฐ Kutoka kwa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. #NBCDaimaKaribuNawe #SokaLaNyumbani
Tweet media one
11
63
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
#FungaMwakaKibabeNaNBC kwa kulipa bili na kufanya manunuzi kwa kutumia NBC Kiganjani na ujishindie zawadi nono kama Simu Janja, Malipo ya Kisimbuzi, TV mpya pamoja na fedha taslim. ๐™‘๐™ž๐™œ๐™š๐™ฏ๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฏ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ฌ๐™–. #NBCKiganjani #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
Tweet media two
4
28
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Baada ya kuvutiwa na video iliyosambaa ikimuonesha Afande Brown akitoa elimu juu ya uvaaji wa barakoa, sisi kama NBC tuliona kuna umuhimu wa kutoa motisha. Hapo jana tulitembelea kituo chake cha Salender Bridge na kumkabidhi Sh. Milion 1 kwa mchango wake wa kupambana na COVID-19.
Tweet media one
Tweet media two
84
83
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Huu ni wakati wako wa kushinda mechi zako na NBC. Tatua changamoto zinazohusiana na kipato kupitia huduma zetu mbalimbali mahsusi kwa kila hitaji. Jiunge na Akaunti ya NBC ya Mshahara, Malengo, Kua Nasi, na ushinde mechi zako. #ShindaMechiZakoNaNBC
9
31
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Epuka usumbufu na gharama za kuja mpaka tawini ili kupata huduma za kibenki. Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kutoa pesa, kuweka pesa, kuangalia salio, kulipa ada za shule au tozo na kodi mbali mbali. #NBCWakala
Tweet media one
2
19
996
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Unaweza kuyapatia magoli ๐Ÿฅ… hata ukiwa mtaani kwako. Jiunge na Akaunti ya NBC ya Mshahara, Malengo, Kua Nasi, NBC Direct, na ushinde mechi zako. Tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu nawe au wasiliana nasi BURE 0800 711 177. #ShindaMechiZakoNaNBC
Tweet media one
12
20
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC tumekabidhi tuzo na zawadi ya mchezaji bora wa mwezi Mei 2023, Aziz Ki kutoka Yanga ๐Ÿ”ฐ. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Mkurugenzi wa Fedha kutoka Benki ya NBC Bw. Waziri Barnabas katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tanzania Prisons ๐Ÿ†š Yanga.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
49
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
8 months
๐…๐š๐ง๐ฒ๐š ๐Œ๐ข๐š๐ฆ๐š๐ฅ๐š ๐Š๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐š๐ข๐ค๐š Hakuna makato ya ziada ukilipa kwa NBC Visa Debit Card ๐Ÿ’ณ, kadi ya malipo inayokubalika kwenye maduka na sehemu za mauzo nyingi zaidi Duniani ๐ŸŒ. #NBCBurudaTime #NBCVisaDebitCard
68
47
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Mwalimu unaweza kununua nyumba iliyokamilika kila kitu, wewe ukahamia tu na kuendelea kufurahia maisha. NBC inakupa uhuru wa kulipia mkopo taratibu hadi kwa miaka 25. Tembelea tawi letu lililopo karibu yako na ujiunge leo Au piga 0800 711 177 (BURE). #AkauntiyaMwalimu
Tweet media one
40
32
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Maswali na majibu kuhusu NBC Twiga Bond. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu nawe au Wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa msaada zaidi. #NBCTwigaBond #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
14
43
991
@NBCTanzania
NBCTanzania
8 months
๐Š๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐š๐ข๐ค๐š ๐™๐š๐ข๐๐ข Unaambiwa NBC kila kitu ni Buruda, gharama nafuu, faida kwenye akaunti mbalimbali, mawakala kama wote nchi nzima, huduma buruda kila kitu buruda ili wewe ushinde mechi zako kistraika. Fungua akaunti ya NBC Kua Nasi, Chanua, Jamii, au Johari, weka
46
31
1K
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Funga Mwaka KIBABE na NBC kwa kufanya miamala mbali mbali kwa kutumia NBC Visa Debit Card au NBC Kiganjani na ujishindie zawadi nono kama Simu Janja, TV Mpya, Malipo ya Kisimbusi, Punguzo za hadi 40%, Pesa Taslim pamoja na Vocha ya Supermaket. #FungaMwakaKibabeNaNBC
Tweet media one
9
32
957
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Bora uwe mama mwenye nyumba ๐Ÿ  au mama mwenye gari ๐Ÿš™ kwanza? Chukua mkopo wa hadi shilingi ๐—•๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ 1 kwa ajili ya kununua nyumba na ulipe taratibu kila mwezi hadi miaka 25 kwa riba nafuu. #MkopoWaNyumbaWaNBC #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
62
38
971
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Umekata BIMA ya nyumba yako au liwalo na liwe? Hakikisha unakata BIMA ya nyumba yako ili yakutokea yakitokea usipoteze mali yako. NBC tunakulipia Bima yako yote kwa Pamoja. Kisha utakuwa unatulipa kidogo kidogo kwa riba rafiki na bila makato ya ziada.
Tweet media one
34
25
975
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 months
๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ข๐ญ๐ฐ๐š ๐๐š๐›๐š ๐š๐ฎ ๐Œ๐š๐ฆ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐๐Œ๐– ๐—1. Fungua akaunti ya NBC, weka akiba, uwe kwenye droo ya kushinda BMW X1 na mazawadi kibao kila mwezi. Hili ndinga ๐Ÿš˜ ukiwa nalo sio lazima utembee na ๐Ÿงฏ๐Ÿงฏkama lile la wale. ๐Ÿคช
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
29
32
976
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Unawafurahisha vipi wakwe? Wapeleke lunch na kuwaspoil kisha lipa kwa kutumia kadi ya NBC VISA upate nafasi ya kujishindia zawadi. Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi BURE kupitia 0800 711 177. ๐™‘๐™ž๐™œ๐™š๐™ฏ๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฏ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ฌ๐™–. #FungaMwakaKibabeNaNBC
Tweet media one
7
30
947
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Bonyeza linki hii ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ kujisajili kwenye NBC Marathon itakayofanyika tarehe 22/11/2020 jijini Dodoma. Njoo ushiriki mbio hizi na watu mashuhuri na uweze kuchangakia kwenye mapambano dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi. #NBCMarathon #PamojaTunakataUpepo
Tweet media one
8
34
933
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 months
Wewe mwenyewe unafunguo ya maisha yako. Mwaka huu unaweza kuitwa Baba au Mama mwenye BMW X1. Fungua akaunti ya NBC, weka akiba, uwe kwenye droo ya kushinda BMW X1 na mazawadi kibao kila mwezi. Tembelea tawi lolote la NBC au piga 0800 711 177 (BURE) #ShindaMechiZako
18
40
953
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Moja ya faida ya Akaunti ya Mwalimu ya NBC ni kupata mkopo wa kukamilisha ujenzi au ukarabati wa nyumba๐Ÿก yako. Unaweza kupata mkopo wa kuanzia TShs million 20 hadi TShs bilioni 1. Mkopo huu pia umeunganishwa na BIMA ya mali/moto ili kuhakikisha unaendelea kufurahia maisha.
Tweet media one
25
29
942
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
UHAKIKA WA ELIMU YA MWANAO! Kata bima ya Elimu (EDUCARE) kupitia mpango maalum wa akiba kwa urahisi na unafuu zaidi kutoka NBC. Tembelea tawi letu lolote au Piga 0768 984 000 kupata huduma hii. #BakiSalama
Tweet media one
18
57
917
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
NBC tukishirikiana na SANLAM, Tuna bima ya elimu ambayo itahakikisha elimu ya mwanao kipindi chote cha maisha yake hata ukiwa unapitia changamoto mbali mbali zitakazopelekea kushindwa kupata pesa. Tembelea kwa maelezo zaidi
Tweet media one
8
26
916
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Ahsante sana!! Tumefanikiwa kuwa miongoni mwa benki 5 bora zaidi Afrika. Ushirikiano wenu umetufikisha hapa tulipo, tunaahidi kuendelea kukupa huduma na bidhaa bora zaidi. #AfricanBankersAwards #NBCDaimaKaribuNawe
Tweet media one
43
34
909
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wanakuletea mdahalo wa Bima Mada: โ€œMchango wa Bima Katika Mabadiliko ya Kiuchumi Jumuishiโ€ Siku: Ijumaa Tarehe 12 kuanzia 9 Alasiri hadi saa 11 jioni Mahali: Youtube chaneli ya NBC Tanzania na Zoom Jiunge: Usikose!!
Tweet media one
29
68
901
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Sasa ni wakati wa Mwalimu kutoboa kimaisha! Akaunti ya Mwalimu ya NBC ipo kwa ajili ya kumrahisishia maisha mwalimu. Kwa kumpa Mkopo wa Nyumba iwe ni Kukamilisha ujenzi / kukarabati nyumba, kununua Nyumba au kupata Mkopo kupitia dhamana ya nyumba. #NBCAkauntiYaMwalimu
Tweet media one
20
31
908
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
NBC kumetaradadi!!! Njoo ufufue akaunti yako ya NBC sasa, bure kabisa na hautatozwa malimbikizo ya nyuma. Muda ndio huu, tembelea tawi letu lililo karibu nawe au tupigie 0768984000 kwa maelezo zaidi.
Tweet media one
36
43
901
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Tumekurahishia mambo!! Angalia salio na kupata taarifa fupi ya akaunti yako kwa bonyeza *150*55# weka namba ya siri kisha bonyeza namba 7 na hapo hapo utapata kujua salio lako. #NBCKamaNBC #DaimaKaribuNawe
11
29
881
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Nunua bidhaa za nyumbani na uipe familia yako tabasamu kama lote. Lipa na kadi yako ya NBC VISA na upate nafasi ya kujishindia zawadi kibao kama voucher ya supermarket yenye thamani ya hadi TZS 300,000. Ni njia rahisi na salama ya kufanya malipo. #FungaMwakaKibabeNaNBC
Tweet media one
6
27
874
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Hebu fikiria unafanya kazi ofisi fulani kwa bidii sana, mhasibu anaweka mshahara wako kwa wakati lakini ukienda Benki kutoa unakuta mambo sio mambo. Fungua akaunti ya Mshahara NBC sasa kwenye letu lolote chap na upate Mshahara wako kabla jasho halijakauka. #ShindaMechiZakoNaNBC
35
30
885
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Epuka usumbufu na gharama za kuja mpaka tawini ili kupata huduma za kibenki. Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kutoa pesa, kuweka pesa, kuangalia salio, kulipa bili, kulipa ada za shule au tozo na kodi mbalimbali. #NBCWakala #DaimaKaribuNawe
7
21
895
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Tumekuletea #NBCTwigaBond , hati fungani inayokupa faida ya asilimia 10 kila mwaka. Wekeza kuanzia TZS 500,000 na utapokea faida mara mbili kwa mwaka, yani kila baada ya miezi sita. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu nawe au Wasiliana nasi BURE 0800 711 177. #NBCTwigaBond
Tweet media one
14
44
858
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Watani wa jadi wanakutana 30 Aprili, 2022. Retweet ๐Ÿ” kama unasapoti Yanga ๐Ÿ”ฐ na like โค๏ธ kama unasapoti Simba ๐Ÿฆ. Usisahau kuendelea kujaza kibubu ili ushinde safari itakayolipiwa kila kitu na NBC na uweze kushuhudia mtanange huu. #NBCPremierLeague #WataniWaJadi #YangaVsSimba
13
104
840
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Kila la heri @yangasc1935 kwenye mechi ya hatua ya ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. #NBCPremierLeague #DaimaKaribuNawe
Tweet media one
9
52
872
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 months
We angalia upepo ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ wako tu ukoje halafu jikadirie kwa idadi. Kama hata admini hapa ntakimbia we ushindwe nini? Chukua tiketi yako mapema ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ #NBCDodomaMarathon2024 #KataWeseOkoaMaisha
Tweet media one
33
36
860
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 months
Kuna mtu huwa anasema yeye hata bila tizi anaweza kukimbia Kilometa 21, fanya kumtag hapa ajiandae na #NBCDodomaMarathon . Jisajili sasa kwa kutembelea #NBCDodomaMarathon2024 #KataWeseOkoaMaisha
Tweet media one
54
42
865
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Majanga hayana hodi ni lazima kuchukua tahadhali kabla hayatokea na kuharibu mali zako, hivyo Bima ni muhimu. Ndio maana Benki ya NBC tumekuletea Mkopo wa Bima kwa kuwa tunatambua sio wakati wote unaweza kuwa na kiasi chote cha pesa ili kupilia Bima ya mali zako. #NBCMkopoBima
Tweet media one
10
22
847
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Unamfurahisha vipi mtoto wa mama mkwe? Mpeleke lunch na kumspoil kisha lipa kwa kutumia kadi ya NBC VISA upate nafasi ya kujishindia zawadi. Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi BURE kupitia 0800 711 177. ๐™‘๐™ž๐™œ๐™š๐™ฏ๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฏ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ฌ๐™–.
Tweet media one
7
23
826
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
Sisi tumerahisisha utumiaji wa akaunti yako na upatikanaji wa huduma za kibenki ili uweze kushinda mechi zako. Unaweza kujihudumia mwenyewe wakati wowote kupitia NBC Kiganjani (Piga *150*55# au pakua App ya NBC Kiganjani) #ShindaMechiZakoNaNBC
Tweet media one
11
29
826
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Maswali na majibu kuhusu NBC Twiga Bond. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu nawe au Wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa msaada zaidi. #NBCTwigaBond
Tweet media one
4
24
816
@NBCTanzania
NBCTanzania
7 months
๐๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐จ ๐ง๐ข ๐ฆ๐œ๐ก๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š. Pata mkopo kwa kuweka nyumba yako dhamana na ulipe taratibu kwa muda wa hadi miaka 20. Tembelea tawi lolote la NBC lililopo karibu yako kupata mkopo huu sasa au wasiliana nasi BURE 0800
71
40
818
@NBCTanzania
NBCTanzania
5 months
Karibuni NBC mfungue Akaunti ya Kikundi, wekeni akiba mshinde hadi Tsh 1,000,000. Akaunti hii itawawezesha kupata riba kila mwezi kutokana na kiasi cha akiba ya kikundi na haina makato wala gharama za kila mwezi. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu nawe kufungua Akaunti hii.
22
27
816
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Sasa unaweza kuhamisha hadi Tsh. Milion 10 kwa siku kutoka akaunti ya NBC Kwenda Benki zingine popote ulipo kupitia Internet Banking. Pakua NBC App kupitia Playstore au Appstore sasa
Tweet media one
18
30
788
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Gonga Retweet ๐Ÿ” za kumwaga kama unashabikia @yangasc1935 ๐Ÿ”ฐ. #TwendeTukampigeMtani #SimbaVsYanga #NBCPremierLeague #KariakooDerby
Tweet media one
9
294
806
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
NBC tuliandaa hafla maalum ya chakula cha jioni kwa wateja wetu wa jijini Mwanza, hafla hiyo iliyoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Bw. Theobald Sabi, ilikuwa na lengo la kuboresha mahusiano baina ya benki na wateja huku ikifafanua kuhusu maboresho ya huduma za mikopo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
16
769
@NBCTanzania
NBCTanzania
6 months
Weka akiba kadri uwezavyo kwenye akaunti yoyote ya NBC upate nafasi ya kujishindia mchuma wa uhakika yani ๐๐Œ๐– ๐—1 ๐Œ๐ฉ๐ฒ๐š๐š๐š๐š๐š, halafu uendelee kushinda mechi zako ki namna yako. Fanya deposit kwa wakala yoyote wa NBC au tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako.
13
16
778
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Wapwaa!!Mshindi wetu wa #NBCBARAKOACHALLENGE ni @DosaRahma ambaye amepata RTโ€™s 2.5K hivyo kujishindia Samsung A10โ€™s. @DosaRahma tunaomba ututumie namba yako DM. Tunapenda kuwashukuru washiriki wote waliojitokeza kwenye challenge hii. Endeleeni kuwa nasi.
Tweet media one
86
45
752
@NBCTanzania
NBCTanzania
3 years
Kesho kinaanza kutimka tena katika viwanja vya soka ๐ŸŸโšฝ๏ธ nchini kwenye NBC Premier League. Timu gani unadhani itaibuka na ushindi? #NBCPremierLeague
Tweet media one
18
32
746
@NBCTanzania
NBCTanzania
1 year
NBCTFFAwards2023: Tuzo ya Beki Bora wa #NBCPremierLeague imekwenda kwa Dickson Job wa Yanga SC akiwapiku Hennock Inonga, Mohammed Hussein, Shomary Kapombe wa Simba SC na Bakari Mwamnyeto wa Yanga SC. #NBCTFFAwards2023 #NBCPremierLeague
Tweet media one
4
24
770
@NBCTanzania
NBCTanzania
5 months
Mfungulie mwanao Chanua Account, muwekee chochote kitu huku ukimfundisha nidhamu ya pesa, na upate nafasi ya kujishindia Tablet yake. Akaunti hii haina makato ya mwezi na utapata faida ya kiasi utakachomuwekea. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako au Piga 0800 711 177 kwa
24
35
763
@NBCTanzania
NBCTanzania
2 years
Tumezindua rasmi kampeni yetu ya Mkeka wa Ushindi Na ATM za NBC. Ambapo kila utakapofanya miamala kwenye ATM za NBC zilizopo Dar es Salaam na Pwani utapata nafasi ya kujishindia zawadi za NBC Premier League kama jezi, mpira, kofia na zawadi nyingine kibwena.
Tweet media one
12
18
730
@NBCTanzania
NBCTanzania
5 months
Yanga Bingwa ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† Mabingwa wa NBC Premier League msimu huu wa 2023/24 ni Young Africans SC. Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa wananchi Young Africans SC kutwaa ubingwa wa NBC Premier League. Hongera sana Young Africans SC kwa ubingwa huu. Neno moja kwa wananchiiiiii ๐Ÿ”ฐ!
Tweet media one
18
64
739
@NBCTanzania
NBCTanzania
4 years
Kumekucha!! Uko tayari kukata Upepo? Piga tizi mapema ili tushiriki pamoja kwenye NBC Marathon itakayofanyika Dodoma tarehe 22/11/2020. Usipitwe na tukio hili la kihistoria, tembelea link hii kujisali sasa.
3
19
711