Msanii Diomond ameingia katika sintofahamu baada ya wanaharakati na baadhi ya wapenda burudani nchini Tanzania kumpinga kwa kusema hawatampigia kura ya kuwania tuzo za BET, wakimtuhumu kujitenga na wananchi pale ambapo uonevu na ukandamizwaji wa wananchi unapofanywa na watawala.
Dar kunani?
Shuhuda aelezea namna ilivyokua kwenye majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi. Tukio hilo limetokea muda huu katika daraja la Salender jijini Dar es Salaam
#Tanzania
WINNING ‘AFRICAN GIANT’
Burna boy, The Grammy-award winning Afrobeats star has made Africa proud once again. This time, his three highly accoladed albums Twice as Tall, African Giant and Outside have been recognised for reaching 100 million streams each on Spotify.
Former Comptroller and Auditor General of
#Tanzania
, Prof. Mussa Assad says the country’s constitution in its current structure and provisions, gives excessive power to the government, in a manner that infringes on freedom of speech; Assad says the solution is a new constitution.
#TANZANIA
:
"Tunamtaka bwana Kitenge, na genge lake la Jamvi la Habari wakanushe mara moja ndani ya siku 7, upotoshwaji ambao wamefanya ndani mbuga yetu ya Ngorongoro, upotoshwaji kuhusu jamii yetu ya Kimasai, na asipofanya hivyo hatua za kisheria zitafata mkondo wake"
#KENYA
: Martha Karua Condemns Abductions and Killings of Tanzanian Opposition Leaders
NARC-Kenya Party leader Martha Karua has condemned the recent abductions, torture, and killings of opposition leaders in Tanzania.
In her statement via her X account, Karua called on the
#Tanzania
opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday
Mr Lissu will be launching his book titled Remaining in the Shadows:Parliament and Accountability in East Africa
#Kenya
:Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) George Kinoti amehukumiwa kifungo cha miezi 4 gerezani kwa kukosa kutii amri ya mahakama iliyomtaka kuachilia silaha za mfanyabiashara Jimi Wanjigi.Kinoti anatakiwa kujisalimisha gerezani ndani ya siku 7.
#TANZANIA
:
"Vijana wetu wamekuwa wakiwategeshea watu madawa na kisha wanakwenda wanazunguka kisha wanarudi na kikundi cha watu na kusema tumekuja kukupekua, wanasema ana madawa ya kulevya kumbe wamemtegeshea" Rais Samia Suluhu.
#Tanzania
: MAANDAMANO YA BAVICHA
Baraza la vijana wa chama cha Chadema, Bavicha waandamana mjini Msoma baada ya polisi kuzuia kuandaliwa kwa kongamano la katiba mpya mjini humo.
#TANZANIA
: Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu ambaye alikua ni mjumbe wa kamati kuu angeondoka kutokana usaliti kwani alishindwa kuvumilia mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020.
#TANZANIA
: Tanzanian opposition leader Freeman Mbowe’s daughter, Nicole Mbowe, was arrested today, September 23, 2024, in the Magomeni area of Dar es Salaam, just moments after her father was detained. Nicole was taken into custody while speaking to reporters.
Earlier this month,
BREAKING: Tanzania’s BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Women Wing of the country’s main opposition party, Chadema, are holding demonstrations outside the US embassy in Dar es Salaam calling for the release of their Chair Freeman Mbowe, who is being held over terrorism charges.
#TANZANIA
:
“Huko mitaani siku hizi, mtu akikaa na simu yake anajifanya naye ni mchumi, anaelezea masuala ya nchi hii utadhani yeye ndiyo anayajua sana, kwa hiyo upotoshaji ni mwingi sana"-George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),
#Tanzania
: Raia anaedhaniwa kuwa ni mwanachama wa Chadema amekamatwa na polisi nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi ya Freeman Mbowe ikiendelea kusikilizwa.
Rais Uhuru Kenyatta amewasilisha ilani ya kukata rufaa katika mahakama kuu kuhusiana na kesi ya BBI. Rais amepinga uamuzi uliowasilishwa na jopo la majaji walioongozwa na Jaji Joel Ngugi, anapinga pia uamuzi wa majaji kuwa anaweza kushtakiwa kama mtu binafsi na sio kama Rais.
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine
#Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aonekana kavaa barakoa kwa mara ya kwanza katika mkutano na wazee wa mkoa wa Dar Salaam, katika ukumbi wa Mlimani City.
#TANZANIA
:
“Sitaacha kukumbuka kazi njema sana iliyofanywa na Maria Space na Club house katika kujadili mambo mbalimbali hawa walisimama kuiabarisha dunia na kuifungua macho kuhusu madhira yanayoendelea”- Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA
#Tanzania
: Mashabiki wa msanii Diamond Platinumz, aliyeteuliwa kuwania tuzo ya BET nchini Marekani ,wamesema hawatampigia kura msanii huyo baada ya yeye kumtetea Paul Makonda, aliyetuhumiwa kwa makosa ya kudhalimu makundi ya wanaharakati na wanasiasa wa upinzani nchini humo.
#Tanzania
: Kamati ya Mambo ya Nje kwenye bunge la wawakilishi nchini Marekani, imeitaka Tanzania kuwaachia viongozi wa upinzani na kusema kuwa mamlaka nchini Tanzania zimekuwa zikienda kinyume na haki za bidanamu na misingi ya demokrasia.
#Tanzania
: Mahojiano na mhe. Freeman Mbowe Mei 21 2021, alipozungumzia kutokuwa na uhakika wa usalama wake na ule wa wanachama wa vyama pinzani.
Video kamili bonyeza hapa:
Mtanzania Maryam Salim ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania na Mwanadiplomasia Nguli Dkt. Salim Ahmed Salim, ameteuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia baada kuhudumu katika nafasi hiyo nchini Albania kwa miaka 4.
#Kenya
: Jaji wa Mahakama kuu Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya siasa nchini kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya UVIKO 19. Jaji Mrima amesema agizo hilo lilikuwa kinyume cha katiba.
#Tanzania
: International Democratic Union (IDU) Reacts to the arrest of Chadema leader Freeman Mbowe and 10 other members.
IDU says the arrests are a crackdown on Democracy movements in Tanzania and has vowed to take action towards securing the release of Mbowe and the others.
#Tanzania
: Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mwenyekiti CHADEMA
@freemanmbowetz
Je, ni ujumbe upi ungependa umfikie kiongozi huyu wakati huu mgumu akiwa gerezani?
#TANZANIA
: Organisers of the petition against Diamond say he cannot compete with BET award-winners Davido and Burna Boy, who they say use their influence to bring to light injustices in their country. Diamond is up for the Best International Act at this month's BET awards.
Shinikizo la kumtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwateua majaji sita aliowaacha nje katika uteuzi wake wiki iliyopita unaendelea huku shirika la Majaji na Mahakimu wakifikiria kumshtaki rais.
Baraza la Wanawake Chadema mkoa wa Simiyu na Baraza la Wanawake Chadema mkoa wa Dar es salaam, wamefika katika ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es salaam, kuomba umoja huo uwasaidie kuujulisha ulimwengu kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe sio gaidi.
#TANZANIA
:
“Leo Mwenyekiti wa Chadema, ana kesi, sitaki kuingilia lakini naamini kutokana na busara yako (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kutokana na vigezo ambavyo sheria hii imeainisha haya mambo muyamalize kwa haki na kisheria,”-Halima Mdee, Mbunge wa Viti Maalum.
#TANZANIA
: Rais wa Chama cha Wafanyakazi Tanzania, Tumaini Nyamhokya, ameitaka Serikali kufuta Tozo za miamala ya Kibenki zinazowaathiri Wafanyakazi kwa kuwa wanalipa kodi (PAYE) na kukatwa tena fedha zao wanapozichukua Benki. Ametoa wito kwa Serikali kufikiria njia mbadala.
Twitter to open its African headquarters in Ghana.
Why Ghana ?
As a champion for democracy,
#Ghana
is a supporter of free speech, online freedom, and the Open Internet, of which Twitter is also an advocate.
Kenya ya zindua kiwanda cha silaha.
Akizugumza katika ufunguzi rasmi wa kiwanda hicho, Rais Kenyatta alisema ni bora kwa taifa kujitegemea katika usalama wake kupitia uzalishaji wa ndani wa vifaa na teknolojia.
#MwanzoTV
#MwanzoMpya
WAFANYABIASHARA WAIKIMBIA DAR ES SALAAM.
Mbunge wa Ilala Mussa Zungu amesema biashara katika jiji la Dar es salaam, zimekufa na wafanyabiashara wanaondoka kwenda nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu wanashindwa kupita kwenye barabara katikati ya mji.
#MwanzoTV
KESI YA FREEMAN MBOWE
Jopo la mawakili wa utetezi linaloongozwa wakili Peter Kibatala katika kesi ya Freeman Mbowe wametaka kesi hiyo ya ugaidi ipelekwe Mahakama Kuu ili kutazama matamshi yaliyotolewa na moja ya taasisi kubwa nchini
#Tanzania
ambayo yameingilia uhuru wa Mahakama.
#Tanzania
: Katibu Mkuu wa
@BawachaTaifa
,
@CatherineRuge
ameeleza kuwa dhumuni ya kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani ni kutaka dunia ijue kuwa serikali na Rais
@SuluhuSamia
wanavyovunja haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kumbambikia kesi mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
#Kenya
: JAJI MKUU AMUONYA RAIS
Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama na kutoheshimu sheria za nchi. Jaji Koome amemhimiza Rais kuwateua majaji 6 aliowawacha nje,wakiwemo 2 waliopinga muswada wa kubadili katiba wa BBI.
#Tanzania
:Katibu Mkuu wa Bawacha Catherine Ruge, mjumbe wa kamati kuu ya chama ,Susan Kiwanga pamoja na viongozi wengine na wanachama 11, wamekamatwa na polisi wakiwa nje ya mahakama ya Kisutu walipokwenda kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mhe. Freeman Mbowe.
RIPOTI KUU YA MDHABITI NA MKAGUZI MKUU WA TANZANIA (CAG)
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa akaunti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilitumika kupitisha malipo batili ya Sh261 milioni.
#MwanzoTV
#MwanzoMpya
CHADEMA WAMKOSOA SAMIA
Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA nchini Tanzania, John Mnyika amesema bado wanawake nchini humo wana safari ndefu katika kupigania usawa wa kijinsia katika uteuzi wa viongozi kwani pamoja na kuwa kuna rais mwanamke lakini bado wanawake wamewekwa nyuma.
#Kenya
: Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, aliyekuwa uhamishoni Ubelgiji baada ya uchaguzi wa 2020 amewasili nchini Kenya. Lissu anatarajiwa kuzindua kitabu chake, Remaining in the Shadows:Parliament and Accountability in East Africa , kesho 25 Juni.
"IMF Punguzeni madeni kwa mataifa maskini." Baba Mtakatifu.
Baba mtakatifu ametoa wito kwa mashirika ya fedha ulimwenguni ya World Bank na IMF kuyapunguzia mataifa maskini mzigo mzito wa madeni
yanayowafadhaisha .
#MwanzoMpya
#MwanzoTV
Viongozi wawili kati ya 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed na Mselem Ali Mselem waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya ugaidi wameachiwa huru hapo jana baada ya DPP kuwafutia mashtaka yaliyokuwa yanawakabili.
Kesi inayomkabili kada wa CHADEMA Mdude Nyang’áli imeahirishwa hadi June 28.Kesi hiyo ilitakiwa kutolewa hukumu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya.Mdude anakabiliwa na kesi ya kusafirisha heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
#Tanzania
: Rais Samia Suluhu amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
#TANZANIA
: Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati yake na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa virusi vya Corona. Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya kuenea kwa ugonjwa wa Corona utapungua.
#TANZANIA
: Kimeumana, Mbunge asimama kidete kuwatetea Wananchi wa Ngorongoro, Naibu Waziri wa Utaliiadai hakuna watu wanaoishi katika eneo hilo.
Zaidi:
#Tanzania
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika
la ndege Tanzania (ATCL), haina mjumbe mwenye uzoefu wa masuala ya anga, hivyo kusababaishia hasara serikali.
"Kwa maoni yangu kama mtaalaamu wa mikataba na masuala ya Sheria na kwa uzoefu wangu, huu mkataba ni mkataba wa hovyo kuliko mikataba mingine yote ambayo mimi nimeiona na ambayo nimeichmbua tangu tuanze kuitwa Tanganyika,"- Mhe Tundu Lissu- Makamu Mwenyekiti CHADEMA
Kenya -Tanzania Bilateral Talks.
Her Excellency
@SuluhuSamia
, President of the United Republic of Tanzania will arrive in Kenya on Tuesday, 4th May 2021 for a two-day State Visit.
KUAPISHWA KWA RAIS MPYA
Assimi Goita, kanali aliyepindua marais wawili katika muda wa miezi 9 nchini Mali, ameapishwa kuwa rais wa mpito. Katika hotuba yake, Goita amesema atahakikisha kumeandaliwa uchaguzi wa demokrasia nchini humo.
KENYA : "The power to amend the constitution through the Popular initiative route under Article 257 of the Constitution is reserved for the private citizen only.” Justice Joel Ngugi
#TANZANIA
: Ndege aina ya Dash 8 Q300 iliyokuwa mbovu tangu mwaka 2016 imepelekwa nchini Malta kufanyiwa matengenezo makubwa, na matengenezo hayo yanatarajiwa kukamilika Juni mwaka huu hivyo kuifanya ATCL kuwa na jumla ya ndege 12.
#TANZANIA
“Tunamtaka Rais Samia Suluhu Hassan, amuondoe ofisini IGP Wambura, amuondoe ofisini DCI Kingai, amuondoe ofisini RPC Mara, amuondoe ofisini Kamanda wa polisi wa wilaya ya Serengeti.Rais amuondoe Masauni kwa sababu hii ni mstari wa genge ambao unatengeza uhalifu"-Kigaila
A call to BET Awards to disqualify Diamond..WHY?
Diamond used his popularity to whitewash the brutal repression of the late dictator John Magufuli and his regime.
Makonda, his media company Patron, was flagged by the US for gross violations of human rights.
Kampuni za Kenya Airways na Ethiopian Airlines zimeungana na Shirikisho la Usafiri wa Angani Afrika Magharibi na Kati (ASKY) kutumia mfumo wa kidijitali wa PANABios, unaoendeshwa na AU ikishirikiana na Vituo vya Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC).
#TanzaniaAir
HASARA YA MABILIONI KUTOKA ATCL.
Ukaguzi wa fedha wa mwaka 2019/2020 ulionyesha hasara ya Tsh.150 bilioni katika miaka mitano iliyopita ikiwa ni Pamoja na hasara ya Tsh.60 bilioni mwaka jana.
#MwanzoMpya
#Mwanzotv
#GUINEA
:Wiki moja baada ya mapinduzi ya serikali, mkuu wa junta Luteni Kanali Doumbouya amewaalika viongozi wa vyama vya kisiasa, wanadiplomasia, asasi za kiraia na viongozi wa dini kwenye kongamano.Kongamano la siku 4 litakuwa lakuweka mikakati ya kurudi kwa uongozi wa raia.
#TANZANIA
: Manase Mbowe, an uncle to Tanzania’s main opposition party (Chadema) Chairman, Freeman Mbowe, has passed away today at the country’s Machame Hospital where he was undergoing treatment. James Mbowe, Freeman's son, has confirmed the reports.
HABARI ZA HIVI SASA
#MOTO
WAZUKA UGANDA
Zima moto wanaendela kukabiliana na moto katika jengo la kuhifadhi dawa lililopo viwandani. Chanzo cha moto huo hakijabainika.
#MwanzoMpya
#MwanzoTV
Rais Yoweri Museveni ameamuru gari la mpinzani wake,mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi au Bobi Wine, lenye uwezo wa kukinga risasi kuachiwa na mamlaka ya ushuru (URA) baada ya kufanyiwa utathmini upya.
#ESWATINI
: YUWAPI MFALME MSWATI ?
Kulingana na taarifa kwenye mitandao ya kijamii nchini Eswatini, Mflame Mswati 111 ameikimbia nchi yake baada ya maandamano na ghasia kuzuka kutoka kwa wale wanaotaka uongozi wa kidemokrasia nchini humo.
President Joe Biden has said the newly announced sanctions against Russia are a proportionate response to cyberattacks against the US and interference in 2 presidential elections, but also emphasized that "now is the time to de-escalate" tensions with the country.
Tundu Lissu, the Vice chairman of Tanzania’s main opposition party, CHADEMA, joins supporters of the party during the peaceful demonstrations held by the CHADEMA today in Dar es Salaam.
The peaceful demonstrations are aimed at fighting for rights to a new constitution and
Na Nimewaambia CCM, Kama Mumefikiri mumeiuwa CHADEMA, mumeiongezea mwendo... Adabu mliowapa ya kuwa utumwani kwa miaka 7 mtaiona hasira yake mwaka 2025 - Freeman Mbowe
Tazama:
Baraza kuu la chama cha wananchi nchini Tanzania CUF limetoa onyo kali kwa taifa la Urusi kukoma kuwatumia watanzania katika vikosi vyake vitani.
Tazama:
BREAKING |
#Tanzania
’s BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Women Wing of the country’s main opposition party, Chadema, has delivered a letter to Ambassador Donald Wright
@USAmbTanzania
requesting intervention on the deteriorating Human Rights Situation in Tanzania.
@TunduALissu
amtaka Rais Samia Suluhu kufanya mabadiliko kwa vitendo na si maneno, asema kazi aliyonayo ni kusafisha yaliyofanywa na hayati Magufuli.
Video Kamili Bonyeza Hapa: