Joh cabinet Profile Banner
Joh cabinet Profile
Joh cabinet

@Joh_cabinet

11,436
Followers
2,260
Following
5,670
Media
18,955
Statuses

🪵: watengenezaji wa furniture 🪚za aina zote 🏘: sofa set,kabati,kitchen,vitanda,n.k🚪🪑🛋️🛏️ 📍: keko furniture 📲:0710444391

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
KATIKA MAISHA OMBA KUKUTANA NA WATU SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI KWANINI NIMESEMA HIVI TWENDE PAMOJA 👇 Mnamo mwaka 2021 mwishoni nikiwa sielewi nini hatima ya maisha yangu na kukaribia kukata tamaa na kufikiria kurudi mkoani kuangalia jinsi ya kujikwamua kiuchumi, ndipo siku moja
Tweet media one
4
10
59
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Ineos Grenadier 2024 ubaoni sio chini ya 400M mpaka inatua Tz ukishajua kusoma psychology ya watu..basi neema zitamiminika sana kwako haitakiwi akili kubwa sana kutoboa kwenye maisha..
Tweet media one
100
93
2K
@Joh_cabinet
Joh cabinet
10 months
Sanaa ya bongo imekuwa sasa Director kufikia mtu kutoa nywele zake kisa scene moja ni kiashiria imekuwa🙌🙌 Lamatah..
Tweet media one
Tweet media two
80
34
1K
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Moja ya watu ambao sijawahi jutia kukutana nao ni huyu jamaa wajina @kalage_jr jamaa yuko real sana humble,hustler na ilivotokea kanicheki tufanye kazi sikuweka hiana kwasababu tangiapo nilisha muappreciate Tusogee pale mwenge Bamaga ofisi ipo karibu na hotel ya kebbys.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
24
154
975
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Huyu ndo nanga og😂 mwamba aliyeshindikana
19
94
924
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Linanga linajua bwana daah "Eti nilikuwa elfu kumi ila.."em angalia jamaa alivo master mind asee 😅😅
57
103
713
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Kitchen 650k complete na jiko lake
Tweet media one
@_holyi
Holi 🚦🦅
1 year
Quote hii tweet na biashara/huduma yako, kuwafikia wateja wapya.
94
45
249
13
79
559
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Sema biashara united walikichafua Caf
5
24
481
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Huu ndo upande wa pili wa dar ambao hauonyeshwi..hapa ni wapi😁
Tweet media one
60
25
463
@Joh_cabinet
Joh cabinet
8 months
Naomba furniture za ndani tudeal nazo sisi hapo sofa set ndugu mheshimiwa @ExMayorUbungo 🙏🙏
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
8 months
I’m happy, my brother ⁦ @ExMayorUbungo ⁩ is winning. Jah is so good.
Tweet media one
268
296
4K
21
35
465
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Kwa comedy content creator kuna wa kumzidi Nanga Og😂 au ndo mimi sijui vichekesho vipoje?
Tweet media one
40
14
373
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
This cabinet🔥 Naomben rt zenu🙏 Bei:300,000 complete pamoja na jiko lake free deliver rangi unachagua uitakayo Call:0710444391 Tupo manzese argentina
Tweet media one
20
126
364
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Nataka mziki wa ndani familia unaokita na kufeel huku kuna JBL huku kuna Hometheater LG watts 1000 naombeni ushauri asee🙌 NB: nna familia
Tweet media one
Tweet media two
65
33
352
@Joh_cabinet
Joh cabinet
3 months
Daah jamaa kaleta hoja kisomi sana ila majibu yake sasa.. Twende kazi hapa ni mmachinga vs Mkuu mkoa
24
80
345
@Joh_cabinet
Joh cabinet
8 months
Kuna mtu ana sitting room tumfanyie unyama huu.. Utakuwa unawahi sana kurudi home Ni sisi @Joh_cabinet
Tweet media one
16
47
301
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
🙏🙏brother sijui niache nini au niandike nini kiukweli kutoka moyoni una kila sifa za kuwa kiongozi bora Mungu akubariki sana brother Martin sikutegemea kama hii itatokea ila kwa kudra za mwenyezi Mungu imekuwa asante sana kwa support yako brother see you at the top our mentor
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
7 months
. @Joh_cabinet alinisanua jana anatamani ninunue furniture kwake. Nikamuomba ‘sampo’ akanitumia. Nikapenda kabati dogo la nguo na shoe rack. Ameniletea maskani. Ni vitu quality kabisa. Tufanye kitu kimoja, tumfikie, tupate huduma. Mpigie 👉🏽kupitia 0710 444 391 utanishukuru.
Tweet media one
Tweet media two
54
161
1K
7
41
276
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Nitumie design yako nikutolee Exactly what you want uzuri wa Customized order ni kuwa kile ambacho una kiadmire kwenye moyo ndo kinakuja kwenye uhalisia wa umbo la nje hapo sasa upate sehemu sahihi na bora kwako sio ilimradi upate furniture hapana bali upate furniture bora Hii
Tweet media one
Tweet media two
21
70
261
@Joh_cabinet
Joh cabinet
5 months
Msaki:Joh nataka design kama hio unaweza kuitoa? Mimi: Easy kaka lipia advance Msaki: nakuaminia nishauza uza kile changu kaka fanya kweli Mimi: Poa kaka usiwaze Hiko hapo kimetoka Msaki:🙌🙌🦺🪵 kaka utengwe wewe ni fundi mkali afrika mashariki na kati Hahah msaki kwa chumvi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
55
255
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
meza imara za kupikia bei nafuu mbao imara hairibiki kwa maji bei ni 160000 tupo mabibo loyola tupigie 0623011171
Tweet media one
13
56
228
@Joh_cabinet
Joh cabinet
18 days
Daah wazee hiki ndo kipigo cha mbwa mwizi au..🙌🙌 hivi wale walioaminiwa na umma wanaopiga madili wangekuwa wakidakwa aanafanywa hivi ingekuwaje?🤔
47
13
233
@Joh_cabinet
Joh cabinet
13 days
Wanangu huyu jamaa smart au ndo mm sijui mtu smart kichwani yupoje🤔
8
21
222
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Kibongo bongo kuna levels za huyu mchambuzi Jamaa anacheza na statics ana full background kiasi kwamba huwezi bisha unabaki kusema yaah yaah jamaa apewe maua yake sijui jina lake nani
Tweet media one
15
12
211
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Mwezi huu wa tano ukawe wa baraka katika maisha yetu,kazi mahusiano,afya zetu na mambo yote yatuzungakayo Amen🙏
Tweet media one
5
24
202
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Nataka nijue hapa wanaojua usingizi mzuri unapatikana kwenye bed ipi A au B usifanye machaguo kwa kufwata mkumbo wewe kama wewe unaenda na wapi alafu sisi kama @Joh_cabinet tutakuja na majibu mwishoni A B
Tweet media one
Tweet media two
49
38
185
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Bado soko la Hardboard linakuwa sana Unajua siri yake? Karibu tukuhudumie 🛏🛋Kitanda pamoja na bedside zote mbili Dimensions:5×6 Price:980,000 Bila bed side:680,000 Call:0710444391 Tupo manzese argentina Tunatengeneza kwa oda siku 3 karibu tukuhudumie.
Tweet media one
20
48
167
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Hii combo🔥naomba Rt yako🙏 Ukiweka kwako panabadilika mpendwa😊 Kitanda:480k Kabati:650k Wall tv show case:580k Sofa:280k Tupigi:0710444391 Whatsapp: Handle: @Ilomo11 Rangi chaguo la mteja karibuni sana tunafanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
60
171
@Joh_cabinet
Joh cabinet
10 months
Tunairate ngapi hii sofa jamani kutoka kwetu @Joh_cabinet
Tweet media one
8
24
167
@Joh_cabinet
Joh cabinet
17 days
Unakalia sofa brand ipi😎
Tweet media one
6
22
160
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Kuna jamaa nimemkubali sana kaniambia kaka @Joh_cabinet nataka uninyooshee kabati liwe na unyama wa kutosha milango mitatu Bajeti yangu ni 850,000 nikasema basii ilo limeisha kimetoka kitu hiki jamaa hajaamini kanipa mpaka bonus🙏 yupo humu humu Twitter ☎️0710444391 karibuni
Tweet media one
9
43
156
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
Jamaa Kaonyesha Ugenius sanaa wakati wenzake kina eliud wanavaa nguo za kikorea na kuchekesha mwamba kajifungia sehemu anaandaa documentary moja safi sana Uwezo wa huyu jamaa asee🙌🙌 wa kipekee sana @IdrisSultan congrats mzee wa hizi kazi
Tweet media one
Tweet media two
2
8
148
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Mimi ni mfuasi sana wa vitanda vya board jamani navipenda sana,vinadumu pia 🙌 kikubwa utengenezee sehemu sahihi tu Hivi vitanda kwetu utatengenezewa kwa Tsh 500k ✅ bila bed side Tsh 1050,000✅ (complete set na bedside mbili, na taa zake mpaka system charge) ☎️0710444391
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
39
142
@Joh_cabinet
Joh cabinet
10 months
Kuna jamaa kimasikhara kaja workshop akasema anataka kabati lake la nguo liwe na nembo ya Yanga @YoungAfricansEN kwakuwa ni kazi ya mapenzi ya mtu yaani kama tatoo hutakiwi kuikosea pamoja na kumtajia pesa mingi ila jamaa katoa unajua nini kilichotokea? Kutoka kwa @Joh_cabinet
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
26
138
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Huyu ni mtu mmoja katoa oda ya dining table ya viti 8 pamoja na kitanda super mninga Dining table 2.7M Kitanda 1.5M Jina kasema tusimtaje ila mnamjua Asanteni kwa kutuamini sisi ni vijana tuendelee kupushiana pale inapobidi tulianza chini mpaka sasa Mungu mwema ☎️0710444391
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
14
42
137
@Joh_cabinet
Joh cabinet
16 days
Nimesikitika sana wazee wangu..🥲🥲
8
18
137
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Naomba Retweet🐐 yako🙏 Tv show case yenye white stones decoration na remote ya kubadilisha mianga zaidi ya 10 Bei💰:380k Dimensions:feet 6 Tunatengeneza kwa oda siku 3tu 📍Location: Manzese Argentina ☎0710444391 Karibu sana🙏
Tweet media one
4
39
133
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
@IAMartin_ Karibu sana kaka lakini kwa ukubwa wako ntafurahi kama nikikutengenezea kwa special order ili nikuwekee na special Specifications hasa kwenye sofa karibu sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
29
129
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Ukweli kuhusu saving money kwenye kopo la dawa😊 👇 Wengi wetu tumekuwa na nadharia juu ya kuhifadhi akiba zetu ndogo ndogo zinazobaki mwisho wa siku zinakuja kutusaidia kwa mambo makubwa sana mbeleni kama kodi na emergency sasa hii njia nzuri na salama tofauti na kibubu👏
Tweet media one
8
9
128
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Mpendwa 🙏Naomba Rt yako👇 Hamna radha nzuri unaipata pale unakuwa home alafu unafeel comfortable na kufurahia matunda ya hustling zako hizi Pannel Tv showcase zinafanya sitting room yako ivutie sana Bei zinarange kutokana na size ya ukubwa na details zake ila nzuri na classic
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
71
125
@Joh_cabinet
Joh cabinet
18 days
Sema ili jamaa linakipaji cha kuongea watu wote hao limejaza wanamskiliza tu🙌
5
14
127
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 months
Hongera lilian rema kwa kutimiza miaka 30..jirani kabisa..
Tweet media one
5
5
123
@Joh_cabinet
Joh cabinet
10 months
Hii sanaa yaani Art of woodworking inahitaji moyo,kuipenda,na kuthamini ukifanya hivo hautatoa boko na Clients watafurahi kazi za mikono yako naipenda sana hii kitu hata kama ntakuja kujaliwa mapesa mingi sidhani kama ntaiacha.bali ntaiwekeza kwa ukubwa sana Mungu nisaidie🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
33
118
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
Nyumbani kwako kuna meza ya kupikia au unapikia kwenye kona alafu chin? Njoo uipate hii kwa 400,000 tu Call us 0710-444-391
Tweet media one
2
27
118
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Kuzo kochi sofa moja ya sofa ya kibabe sana hii hutakiwi kuikosa asee ndani kwako Hii sofa inakuwa na show ya mninga muonekano wake ni kama kochi very comfortable sofa Material ya kitambaa ni pure velvet very advanced Set ya watu saba yaani 3:2:1:1 📲0710444391 📍keko
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
35
114
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Riziki ya mbwa ipo miguuni mwake Asante Mungu kwa kila kitu bado pumzi tunavuta ni ya bure ni kwa neema zake bado tupo hai asante kwa walio nitakia pole mapambo yanaendelea tusisahau kumwomba Mungu tunavoenda kutafuta riziki zetu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
18
114
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Ukiwa na familia yako hii mali king Double decker imana na yenye kazi mbali mbali inawafaa kabisa achilia mbali usingizi tu bali watahifadhi nguo zao pamoja na documents zao muhimu Juu ni 4×6 chini 5×6 Material manufactured Pure and super Mninga Price:2,800,000 Kazi zetu ni za
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
34
108
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
VITU MUHIMU KWENYE UJENZI una nyumba yako unahitaji frame za milango pamoja na milango 🚪 ya kisasa yenye muonekano bora wa kisasa na imara basi hapa ndo mahali sahihi mlango unakaa square kabisa Super and Clean mninga ☎️ 0710444391 📍Keko furniture 🛣 Oda 7-14 kwa uaminifu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
37
108
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Naitwa Johnson Antony Ilomo Almaarufu JOH CABINET @Joh_cabinet ni mjasiriamali mdogo nnayehusika na Utengenezaji na uuzaji wa furniture kwa bei ya workshop 95% ni customized order yaani kile anachotaka mteja ndicho anachofanyiwa au kutengenezewa nna mengi zaidi ya kujifunza na
Tweet media one
Tweet media two
10
30
108
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Ilikuwa jumatatu moja chungu sana sina kitu napokea simu no. ngeni "naongea na joh?" Nikamjibu yaah ndo mim "Naweza fika hapo ulipo tuongee nimeona kazi zako twitter" Nikamjibu bila shaka Kweli bwana jamaa kaja kaacha oda ya vitu vyake Jamii ya Twitter Mungu awabariki sana🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
21
105
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Kuna wadau humu twiter mmekuwa kama ndugu wetu hatujawahi kuonana lakini mmetufanya tuone undugu unawezekana wana twiter ni real clients may God bless you just imagine mtu anaagiza kila kitu kwako thanks so much bos @Erickkimambojr umekuwa moja ya client mzuri kwetu thanks bro🙏
Tweet media one
5
23
100
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 months
Sawa wazazi mmelala sehemu nzuri mtoto je? Au mnalala nae kati kati mkibana je
Tweet media one
2
18
103
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Kutana na pastor David richard a.k.a DALE jamaa ni car collector mzuri sana G wagon,hizi Rangerover vogue kama upepo kwake wamekutana wote kapola wazee wa ndinga kali.. Tuendelee kuutafuta ufalme wa mbingu..🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
9
101
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 months
Ushauri wangu ukitaka furniture nzuri usiwaze kuhusu Bei nikwambie kitu ndugu yangu hakuna kitu kizuri,qualitu kwa bei ya dondokela, siku moja unajiambia hivi "Mimi sio wa cheap,sijidharau tena nataka nipate kitu quality" Amini nakwambia hio ndo itakuwa tabia yako.🙏 tuishi humo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
21
104
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Mungu akatubariki siku hii ya leo ikawe siku ya baraka tena kwenye harakati zetu🙏 Naomba rt yako kwa hii bidhaa pendwa kabisa ya mbao alisia nzuri ya Super Mninga Ni kabati Classy sana la milango ya kuslide upana wa fut 5.5 urefu×urefu fut 6.5 Width(kina)nch20(cm60) Price
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
45
103
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Ni jumamosi ingine tulivu sana wadau wangu Wardrobe nzuri sana rangi grey matty Ina dressing table kwa pembeni Bei:480k tu Call us 0710444391 Tupo manzese argentina Kwa sample zaidi tuma 0623011171
Tweet media one
1
22
100
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Kuna muda nawaza 🤔 hivi sofa zangu, au kitchen siwezi pata tumifuko kama hii? Anyways huyu mwanangu @kalage_jr ana Perfume bomba sana alafu Last long..kwenye nguo
Tweet media one
2
13
98
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Nipo hapa naona wasomi wataifa wanashuka hapa yaani ile feeling wanayoipata wanangu wa UDSM maisha yote..hapa ndo ile nikimaliza mshahara chini ya 1m sifanyi...😁😁
Tweet media one
6
13
99
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Naomb rt yako kwa hii bidhaa nzuri sana iwafikie walengwa Sofa nzuri sana msimu kama huu wa wageni tofaut kuja kukutembelea kwako usikose hii set nzuri Inachukua 5 seats yaani 2:2:1 Price:780k Call:0710444391 Tunapatikana:Manzese argentina. Oda ni siku 4 tu karibu tukuhudumie
Tweet media one
6
64
101
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Kuna mtu mmoja aliwahi kuniuliza nnaweza kutengenezewa kitanda cha mbao luxury kwa soft wood? Jibu ni ndio sahivi mambo yamebadilika mfano ukitumia hardboard na finishing iliyotulia kitanda unadumu nacho sana kuliko mbao yenyewe Hiki kitanda full set ni:1.4M tu 📲:0710444391
Tweet media one
8
21
97
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Naomba rt yako🙏🐐 kwa hii meza nzuri ya plate 4 ndani unahifadhi vyombo mtungi ipo vizuri sana hata kwa wale wa plate 2 na mtungi mdogo bado tunawajali Call 0710444391
Tweet media one
6
32
98
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
Classic Tv show case with Coffee table Length dimension 7 feet 400,000 Cofee table 350,000 Material hardboard+Mvule Customised order ni 4 days Call us 0710444391 📍chang'ombe-Temeke KEKO
Tweet media one
1
26
96
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
@Roma_Mkatoliki Brother hili jambo Mungu atusaidie uzuri sisi wote wa mavumbini na ipo siku tutaenda kulipa kwa yale tunayoyanya duniani bila kujua vizazi vyetu vitapitia wakat gani...Mungu atusaidie
5
5
92
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Hakuna familia naithamini na kuijali kama ya humu X kwasababu tumetoka mbali sana yaani nikiambiwa habari kaka mimi mdau kutoka X nakubali kazi yako nahitaji unifanyie kazi fulani huwa naona kama kazi ya ndugu yangu kabisa hivo kichwa kinatulia na kuifanya kwa ubora the thing
Tweet media one
3
16
95
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Sema hili jamaa linajibu kwakujiamini sana anatulia bonge moja la coach
Tweet media one
4
9
96
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Wadau wangu hamna kitu kizuri kama kupapenda kwako🙏 rt yako muhimu sana kwa hii post👇 mpangilio mzuri wa kwako unakupa taswira nzuri ya maisha yako Hizi ni meza tofauti² za kupikia kwa size kutokana na sehem yako Milango 5 /=480k Milango 3/=200k Frame no3./=250k 📲0710444391
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
37
92
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Wadau wangu karibuni sana kwa meza nzuri na za kisasa. Kwa ww unayetaka kuanza kutumia plate vizuri kupata na meza yake hii unaweka mtungi ndani na vyombo Bei vyote kwa pamoja /=300,000 Meza peke ake /=200,000 Simu:0710444391 Handle: @Ilomo11 Manzese argentina Rt yako🙏
Tweet media one
6
33
90
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Cabinet ya vyombo kalii imesimama kwa 350000 tu unajipatia karibu location mabibo loyola na za kupikia tupigie 0623011171
Tweet media one
5
14
85
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Nikikumbuka hii order ya dining table boss wangu ni mnyama naonaga anapost picha za mnyama naishiwa nguvu dua zenu wadau game iishe vizuri na mimi nipate ujira wangu🙌🙌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
11
91
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Leo nataka kujua wataalamu wa interior design unachagua huku ama kule umetumia vigezo gani?😁 Ntakuja na majibu yangu mwishoni vitu vya kuzingatia ndani kwako kuwe na mvuto na usiichoke mapema nyumba yako twende kazi👇HUKU Vs KULE
Tweet media one
85
15
87
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Tweet media one
Tweet media two
5
28
88
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Hivi wateja huwa mnafikiria nini aisee 🤣🤣🙌🙌👇 kabati lilifika huwezi amini...wazee vitu vya kuitishaa aise
Tweet media one
Tweet media two
8
14
86
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Lamada Sofa set watu saba (3:2:1:1) Kitambaa Advanced leather na rangi ya utulivu ni sofa ambayo haichoshi machoni na ina details nzuri sana Socket charge,saving drinks Hii sofa imeshuka bei kutoka 2,400,000 mpaka sasahivi kwa order ni 2,100,000 Tupigie ☎️:0710444391 au
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
26
86
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
@IAMartin_ Kabisa brother one day najua utatumia furniture zetu🙏
2
1
85
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 months
Hamna kitu kizuri na kinatia moyo kuona Mteja wako anafurahi na kuwa satisfied kwa kitu alichotegemea kukipata asante sana @MiriamMkanaka kwa moyo wako wa kuendelea kuni recommend kwa wadau mbalimbali Mwenyezi Mungu azidi kukubariki kwa moyo wako Hii sofa ni Cloud sofa very
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
16
87
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
Twitter watu wako smart X ni watu wenye misimamo asee 🙌 no kupindishwa..kwa hili nimelishuhudia hata kwenye hii kazi ya furniture mteja wa X na mteja wa facebook sijui ni maji na mafuta🙌 Watu wa humu wamenyooka jamani Mungu azidi kuwabariki na kuwasimamia kwenye biashara zenu
Tweet media one
3
25
85
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Neno moja kwake homeboy wa Iringa
Tweet media one
10
8
83
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Unachagua kipi black matty qu white 2k clear Vyote 1.1M 5×6 With 2 bed side each porting charger,2 lamp light Ni kwa @Joh_cabinet unapata hizi oda za uhakika Call:0710444391 Tunapatikana keko furniture 🛣 Oda ni siku 5-7 Karibuni sana ulale usingizi wa mtoto mchanga😁
Tweet media one
Tweet media two
5
35
82
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Meza za gesi za jikoni itakayo kusaidia sana ambayo hustahili kuikosa kwetu zipoo za kutosha sana ni wewe kupiga simu na kusema ni ya rangi gani unahitaji kama hii ya plate mbili milango mitatu inakusaidia kupikia na ndani unapanga videli vya unga,mchele,sukari na vyombo baadhi
Tweet media one
1
31
82
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Tujitahidi sana kuwa na perfect woman ambaye hata ona uvivu kukupikia hizi chapati hazijanunuliwa mgahawani😁zimesukumwa na kupikwa magetoni Karibuni 🙌🚶
Tweet media one
19
7
82
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Naomba rt🐐 yako mdau🙏 Kwa wale nye nafasi ndogo zipo double decker za kisasa kabisa unahifadhi documents na nguo zako🙌😊 Bei:1.8M Call:0710444391 Location:Manzese Argentina Karibuni sana ni kwa oda
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
31
80
@Joh_cabinet
Joh cabinet
4 months
Aisee men! Daah mtaani kwetu nashuhudia msichana mdogo kachomwa visu utumbo nje kisa ushamba wa mapenzi🚮unauaje mtu amekuzalia amekuvumilia kwa kila hali na mtoto mdogo anawategemea
Tweet media one
16
5
79
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 month
Simple and neat 😁 kwa 1.2m unapata hii mali Call 0710444391
Tweet media one
2
21
81
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Mikoani mnaupiga mwingi sana shukrani sana wadau wetu
Tweet media one
2
8
80
@Joh_cabinet
Joh cabinet
3 years
@IAMartin_ Like kwa kibatala
Tweet media one
0
3
79
@Joh_cabinet
Joh cabinet
17 days
Mheshimiwa akizindua bomba la maji kwa wananchi Statement ipi inaendana na hii video😂 "Chemli imevunjikia kwenye kikao cha famili" "andazi limeingia mafuta ya taa" Ongeza yako mwana X
32
13
81
@Joh_cabinet
Joh cabinet
3 years
@IAMartin_ Ambao tupo live kwenye ukurasa wa jamaa gonga like huku kila mmoja anamfollow mwenzake kwa taarifa zaidi naanza na mimi @Ilomo11
1
0
78
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Naomba niwe muwazi kwenu🙏 Humu kuna wadau hawacomment lakini kupitia trust yangu kwenu mtu simjui ananitumia pesa yote na anataka Set nzima kama hivi Sofa,Show case,coffee table,kabati, Sina cha wakuwalipa zaidi ya kusema asanteni na endeleeni kuniamini sitawaangusha🙏 Hii set
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
28
75
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Tukizungumzia Selection ya character @lamataleah1 hapa umeshinda wahusika wanajua kuubeba uhalisia asee hapa naanza kuamini kwann professa alimwambua huyu kubwa jinga oa kwanza ndo uje uwatambulishe ndugu.
Tweet media one
Tweet media two
4
5
77
@Joh_cabinet
Joh cabinet
10 months
Jinsi mawazo yangu yalivokuwa juu ya huu mtandao wa X (Twitter) 👉Hapo mwanzo nilikuwa naona huu mtandao ni wa politics au siasa kama ilivokuwa ikichukuliwa hapo awali i was Wrong🤦‍♂️ mpaka pale nilipokutana na baadhi ya wadau humu wasio wachoyo wa maarifa na wenye kujaa moyo wa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
22
78
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Naomba rt yako🙏 Classic Tv show case length 6 feet very classy Rangi Black matt with classic finishing Ipo vizuri sana Bei: 380,000 Call:0710444391 Order with us upate kilicho bora zaidi 📍Tupo keko furniture Tufollow @Joh_cabinet kwa sample zaidi na usipitwe na post zetu
Tweet media one
3
40
78
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Wadau wangu wa nguvu👏👏 sina cha kusema zaidi ya neno Asanteni sanaa huyu mteja kazi aliyooda na iliyoenda katupa bonus asee😁 itoshe kusema kazi nzuri zonapatikana kwetu Hiki kitanda Size:6×6 Material:hardboard+hugo kitambaa Price:980k Call:0710444391 Oda siku 5 Karibuni🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
19
78
@Joh_cabinet
Joh cabinet
3 months
Moja ya muundo mpya unaosumbua kwa sasa na utakaosumbua siku za mbeleni fashion yake haichoshi na haitakuja kupotea ni hii hapa👇 ZUPER KOCH This design ni unique sana Ina mbao imara sana Super Mninga, kitambaa kizuri kisichoshika uchafu(Titan) Unapewa na dawa yake ya kusafishia
Tweet media one
Tweet media two
10
23
78
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 months
@mangekimambi Hio picha inamaanisha hivi viongozi wanatumia madarka yao kunyanyasa wengine sasa kuna mmoja kachoka kunyanyaswa kaamua kuonyesha umakini wachache wakaanza kumuelewa mwenzao wote wakiungana wakiwa na nguvu kiongozi anakuwa na hofu kwamba linaweza tokea jambo so anakuwa obedient
3
2
79
@Joh_cabinet
Joh cabinet
9 months
Ila kuna muda hii familia ya X inakuonyesha love mpaka unatamani kulia mtu anaona hustling zako anaamua kukubless full house Furnished Mungu awabariki kazi za mikono yenu mtu anatoa kazi anapata vilevile mtu hajutii kukuamini kuliko kwenda showroom 25M+ unajikuta umeokoa 15M+
Tweet media one
6
17
77
@Joh_cabinet
Joh cabinet
1 year
Lets make wonders with this beautiful Tv show case Buffalo Kwa 380k tu ☎️0710444391 🛣Manzese argentina
Tweet media one
3
17
75
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Unaenda na lipi Yote ni same price 480,000 Upana fut 4 urefu fut 6 Call 0710444391 Finishing imezingatiwa White 2k clear Karibuni sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
22
77
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
Moja ya kitanda kinafanya vizuri sana ukubwa wake ni 5×6 Rangi: ni tulivu sana BlackMatt Material:Softwood +Mvule treated Price:1,200,000 Call☎️:0710444391 📍Keko furniture 🔁Order ni 5-7 days Tufollow @Joh_cabinet Kuona sample zetu mbalimbali za kazi zetu.
Tweet media one
4
29
76
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
ENGLISH SOFA, PENDWA HII KUANZIA KITAMBAA FIBER,DODOMA SHEET set capacity ni watu watano (3:2) Full fiber,spring, full comfortable kama inavoonekana ni English sofa Price: 1,550,000 Call:0710444391 /0623011171 Loc:Keko furniture Oda ni siku5-7 kazi unaipata kwa uaminifu mkubwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
32
74
@Joh_cabinet
Joh cabinet
2 years
Tweet media one
2
13
72
@Joh_cabinet
Joh cabinet
7 months
@IAMartin_ Unaweza mkuu unaweza kama hizo naweza nikaa chini nikadesign ukapata kali sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
5
76
@Joh_cabinet
Joh cabinet
6 months
Imagine una hii cabinet ndani kwako ndani kuna videli vya mchele,unga, umelipa kodi yako unapikia hapo huna mtu anayekudai Bei yake 400,000 tu Call:0710444391 / 0623011171 Tufollow @Joh_cabinet Kuzidi kupata kazi bora zenye upekee Huyu alichotaka ndicho alichofanyiwa.
Tweet media one
1
29
74
@Joh_cabinet
Joh cabinet
5 months
Hakuna pesa nyepesi
Tweet media one
4
14
73