Khamis Suedi Kagasheki Profile Banner
Khamis Suedi Kagasheki Profile
Khamis Suedi Kagasheki

@KKagasheki

161,952
Followers
2,695
Following
2,057
Media
56,559
Statuses

Diplomat and Politician #ProudlyTanzanian

Dar es Salaam, UR of Tanzania
Joined March 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Minister for Finance from Ghana. Waziri wa Fedha wa Ghana.
284
2K
3K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
USIZUNGUMZIE pesa zako mbele ya masikini;afya yako mbele ya mgonjwa;nguvu yako mbele ya mnyonge; furaha yako mbele ya mwenyehuzuni;uhuru wako mbele ya mfungwa;mtoto wako mbele ya mgumba; wazazi wako mbele ya yatima. Usiwazidishie maumivu. ~Sayyidna Ali ibn Abi Talib #KSK_Balozi
225
518
3K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Natoa pole kwa Mtanzania mwenzangu @freemanmbowetz na kwa familia yake. Namuombea kwa Mwenye Enzi Mungu apone haraka. #KSK_Balozi
Tweet media one
70
174
3K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Happy birthday Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. #KSK_Balozi
Tweet media one
65
134
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
1 year
President Museveni of Uganda.
109
631
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mzee wetu, Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi. Mzee nazidi kukutakia afya njema na baraka tele za Mwenyezimungu. Happy birthday 🎂 mzee wetu. Enjoy your day Sir. #KSK_Balozi
Tweet media one
114
123
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Maneno haya ya Mzee wetu, Rais Mtaafu, Ali Hassan Mwinyi mazito kwa maana ya uzito. Tafakari. #KSK_Balozi
118
354
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Wetu ni utaratibu wa kukabidhiana kijiti kwa muujibu wa Katiba yetu, Sheria na Kanuni zilizopo. Tusicheze cheze na Utaratibu huo. #KSK_Balozi
Tweet media one
122
306
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Waziri @Nnauye_Nape wakati serikali ikiliangalia swala la virushi, tafadhali pia angalia "ownership" ya virushi hivi. Haiwezekani mtu anunue kifurushi halafu kibaki ni mali ya muuzaji na siyo mmunuzi. Mtu akisha nunua kifurushi ni chake. Sharti la kisipotumika katika kipindi
180
302
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Hakuna anaekujua zaidi yako wewe mwenyewe. Mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe. Ukidhurika utahangaika mwenyewe. Pigo litakua kwako na family yako mwenyewe. Coronavirus bado ipo. Dawa yake kwa sasa haipo. Isikilize nafsi yako na fuata sayansi na wataalamu. #KSK_Balozi
161
327
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Nakushukuru sana Mhe @jmkikwete kwa kuonyesha mfano mzuri kwa Watanzania. Ubarikiwe sana. #COVID19 ipo na sio utani. #KSK_Balozi
Tweet media one
72
179
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Huwezi kumlazimisha mtu kupenda au kutopenda, kufurahi au kuhuzunika, kucheka au kulia. Mtu unayeweza kumlazimisha haya ni wewe mwenyewe. Uhuru wa mtu una maana pana sana. #KSK_Balozi
76
251
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Bi. Fatma @fatma_karume nakutakia birthday 🎂 njema. Mwenye Enzi Mungu akuruzuku afya, umri na furaha. Best wishes and many happy returns. Enjoy your day. #KSK_Balozi
Tweet media one
28
59
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kuna watu huwa wana mu underrate ⁦ @jmkikwete ⁩. Hotuba yake akimuaga ⁦ @MagufuliJP ⁩ ni darasa kubwa na pana kwa wenye kufamu. Hapana shaka bado tunamhitajia ktk ulezi wa Taifa letu. #KSK_Balozi
Tweet media one
68
138
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Ukingia Twitter kwa shabaha ya kusoma fikra, hoja na mawazo mbali mbali bila kujali ameandika nani, utafaidika na utapanua uelewa wako. Lakini kama lengo ni kupambana na mtu au watu na kupinga kila hoja bila kujali ubora wa hoja, naomba utafakari upya. Lengo,kujenga. #KSK_Balozi
76
208
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
“Tushikamane” #KSK_Balozi
Tweet media one
49
133
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Ninasoma nukuu kadhaa za Kheri James @uvccm_tz zilizo tapakaa humu ktk mtandao wa Tweeter, nakujiuliza maswali mengi. Sipendi kumhukumu lakini maswali ni mengi sana. #KSK_Balozi
160
134
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Vilio kila kona, sala za janaza misikitini zimeongezeka, watu makaburi kila kukicha, wachimba makaburi walemewa, lakini utaambiwa hatutaki kuwatia watu ktk taharuki. Kuna taharuki kuliko wanayoyaona na kuyasikia nchini leo? #COVID19 ipo na sio mzaha. #KSK_Balozi
67
200
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
"Naomba nitoe agizo kwa CAG na Gavana Benki Kuu yuko hapa, naomba uende upitie FEDHA ZOTE ZILIZOTOKA kuanzia January hadi Mwezi huu Machi kwenda kwenye miradi ya maendeleo TUNATAKA KUZIONA." ✍🏽 Rais Samia Suluhu Hassan #KSK_Balozi
47
140
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kuna mahala nimemskia Mzee Mkapa anatuasa kwamba tunalo tatizo kubwa la kuongelea watu na sio sera. Baya zaidi ni kutukana. Kutoka kwenye hoja na tukenda kwa mtu. Pia tukubali ni wachache wanao jua sera za nchi yetu, ubora au mapungufu yake. Turudi kwenye sera. #KSK_Balozi
Tweet media one
88
166
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kila kiongozi anaongoza kwa style yake. Jipe muda kupitia hotuba na matamshi ya Rais @SuluhuSamia utajifunza kitu mbali na kubaini ubora na ujazo wa hekima yake. Aungwe mkono tusonge mbele. #KSK_Balozi
35
144
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Zipo nafasi za uongozi ambazo kigezo ni : “kusoma na kuandika” tu. Huko nyuma tuliwahi kulipinga hili bila mafanikio. Hata rasimu ya Katiba ya Warioba ililiona hili. Ukiwa na elimu utajua kusoma na kuandika. Kusoma na kuandika ni tools sio elimu. Tunahitaji ELIMU. #KSK_Balozi
79
188
2K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Aliwahi kutamka mtu wa Mungu: Bora nisimame na Mwenyezi Mungu na nihukumiwe na ulimwengu kuliko kusimama na ulimwengu nikahukumiwa na Mwenyezi Mungu. #KSK_Balozi
43
181
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Tunakupenda. Ubarikiwe. We love you. Stay blessed. #KSK_Balozi
Tweet media one
53
140
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kulinda afya yako na ya familia yako ni jukumu lako. Ukidhani yupo mwingine, utasubiri sana. Kubali kuongozwa na sayansi na utaalamu. #COVID19 ipo. #KSK_Balozi
34
196
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Unapopoteza sifa ya kuaminika hata ukisema ukweli inakuwa vigumu watu kuamini. #KSK_Balozi
31
124
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Yakikufika ya kukufika, yawe mazuri au mabaya, fungua kwanza moyo wako kabla hujafungua mdomo wako. #KSK_Balozi
80
170
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
7 years
Ushauri kwa vijana: 1. Soma sana 2. Fanya tafiti 3. Andika sana 4. Kukariri siyo kujifunza 5. Tumia hekima kwenye lugha 6. Jipe uzoefu kuongea mbele ya watu 7. Uliza maswali 8. Weka jitihada ktk kila jambo 9. Tafuta mshauri mzuri 10. Uwe mvumilivu 11. Uwe na adabu #KSK
148
525
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
"Ninamshukuru Mwenyezi Mungu, Pekee Mwenye Stahiki ya Kutukuzwa na Kusifiwa, kwa kunipatia tena uhai asubuhi ya leo. Nakutakia Jumamosi njema, ya mafanikio na furaha tele. Ubarikiwe. #KSK_Balozi
50
58
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Hongera sana @DocFaustine . Best wishes.
16
49
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Nipo Bukoba Mjini na huu ni msafara wa wanafunzi wa KEMEBOS wanafurahia matokeo ya mitihani kitaifa. KEMEBOS imekuwa shule ya kwanza Kitaifa kwa matokeo ya Form IV 2019. Hongera walimu, wanafunzi, wazazi na mwenye shule Ndg Kaizirege. #KSK_Balozi
116
129
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Hii ni Rwanda ukishikwa mitaani unakamatwa na kuletwa ktk stadium kutwa nzima.
Tweet media one
120
106
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Nilimsikia VP anaweka target ya makusanyo ya kodi kwenye matrillion. Lakini ni muhimu pia kuzungumzia ukuaji wa soko la ajira, ukuaji wa uzalishaji, uongezaji wa thamani, upanuaji wa vyanzo vya kodi. Vinginevyo itakuwa ni kutesana tu. #KSK_Balozi
87
142
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Maria @MariaSTsehai mpe rafiki yangu pole kwa kuzushiwa mabaya. Mungu Mwema. #KSK_Balozi
20
46
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Aliwahi kuniambia mzee mmoja: 'Yote niliyojaaliwa kuyaona yananifundisha kumuamini Mwenyezi Mungu kwa yote ambayo sijayaona.' #KSK_Balozi
21
120
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Tunaishi ktk wakati ambao watu kusema uongo imekuwa ni jambo la kawaida sana. #KSK_Balozi
94
118
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Watu wasio ogopa lakini wanaheshimu na wanasema kweli ni muhimu kuwanao maishani. #KSK_Balozi
23
116
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Nikiona Rais aliyemadarakani na yumo ktk uchaguzi, kura zinahesabia, anakimbilia mahakamani, anaitisha maandamano, analia kuibiwa kura, sipati picha. #KSK_Balozi
220
91
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Vijana ambao hamjaoa au kuolewa tafadhali tafakari sana kabla ya kufanya na kufikia maamuzi ya ni nani utakuwa mkeo au mumeo. Uamuzi huu mmoja waweza kuwa asilimia tisini na tano ya furaha au maumivu katika kuishi kwako. #KSK_Balozi
95
211
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Ninaposema “Tushikamane” zipo sababu za msingi kusema hivyo. Chuki miongoni mwetu ni kubwa na uadui umekuwa mkubwa. Tanzania ni yetu sote na sote tunapita na tutaiacha. Tanzania ni kubwa kuliko mtu yeyote. Tushikamane kwa ujumla wetu kuimarisha Taifa letu. #KSK_Balozi
82
129
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Mzee mmoja alikuwa akiwaasa vijana kwa kuwaambia: Wasikilizeni wazee, sio kwa sababu daima huwa wako sahihi lakini wanao uzoefu mkubwa wa kufanya makosa. #KSK_Balozi
53
177
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Happy birthday ndugu yangu Bernard @BeMembe . Nakutakia afya njema na Mwenyezimungu akuruzuku maisha marefu. Enjoy your day my dear friend. #KSK_Balozi
Tweet media one
44
69
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Habari nzito. Mwenyezi Mungu tuhurumie. Anasema Rais @SuluhuSamia "Kodi tunazitaka lakini kodi za dhulma hapana. Kwani hizo HAZITATUFIKISHA MBALI."
21
84
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Tuache hadithi za Kinjekitile Ngwale, zibaki kuwa simulizi tu. #KSK_Balozi
43
126
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Ingia na utoke ofisini kwa wakati. Kama ofisi ni muhimu, hivyo hivyo familia yako. Ukianguka maishani, ofisini kwako wanaweza wasiwe na msaada lakini familia na marafiki watakuwa nawe. Hukusoma kuja kuwa mtumwa wa ofisi. Kuna dunia pana nje ya ofisi. #KSK_Balozi
63
180
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Watakuja watu wengi maishani mwako. Wako watakao kuwa wanapita "transit", pishana nao kwa salama. Wapo ambao hamtaelewana, pokea mafunzo. Wapo wamaslahi, waepuke bila shari. Wapo utakao dumu nao, jifunze kuwavumilia. Kumbuka hutaishi milele ipe amani nafsi yako. #KSK_Balozi
90
184
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Best wishes for a happy birthday 🎂 @halimamdee . Be well and God bless. Enjoy your day #KSK_Balozi
Tweet media one
22
63
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Let us rally behind our President @SuluhuSamia while she is skillfully navigating us through the storm. "Be patient and calm; no one can catch fish in anger." #KSK_Balozi
Tweet media one
25
105
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
“Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wamawazo, ni umaskini mbaya sana. 🙏🏽Mwalimu Julius K Nyerere #KSK_Balozi
Tweet media one
26
168
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Safi sana. Light and moving easily. #KSK_Balozi
Tweet media one
33
56
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu, Pekee Mwenye Utisho wa Utukufu, kwa kunipatia tena uhai asubuhi ya leo. Nakutaia Jumapili njema, ya baraka na furaha tele. Ubarikiwe. #KSK_Balozi
51
43
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Chuki miongoni mwetu inazidi kuwa kubwa. Tusipokuwa waangalifu itatugharimu. #KSK_Balozi
87
80
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
1. Nampenda mtu mwenye uwezo lakini sio jeuri 2. Mwenye sifa lakini hana majivuno 3. Mwenye nguvu lakini sio katili 4. Mwenye huruma lakini sio dhaifu 5. Aliye jaa wema lakini sio mwoga #KSK_BALOZI
67
244
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Uongozi sio jambo jepesi. #KSK_Balozi
47
83
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
“Itakuwa ni kosa na haina umuhimu kudhani kuwa ni lazima tusubiri hadi viongozi wafariki kabla ya kuanza kuwakosoa.” ✍🏽Mwalimu Julius K Nyerere #KSK_Balozi
Tweet media one
20
157
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Vijana mtanisamehe sana kuwakumbusha: “Mbora miongoni mwenu ni yule anayekuwa mnenyekevu kadri anavyo panda cheo.” ~ Mtume Muhammad (S.A.W) #KSK_Balozi
51
147
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Mh Rais ⁦ @SuluhuSamia ⁩ huu ni mwaka wa nne Rugemalira na wenzake watatu wamo gerezani. Ni aibu DPP anasema hajakamilisha ushahidi miaka minne. Kama upo ushahidi washtakiwe. Kama hakuna waachiwe. Rais wangu mpendwa usibebeshwe dhulma isokuwa yako. #KSK_Balozi
Tweet media one
98
148
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Honorable Minister @JMakamba if it hasn’t been brought to your attention,please note @tanescoyetutz power cuts have gone beyond tolerable limits. The damage being endured by brutal destruction of home appliances is beyond words. People are unhappy to put it mildly. #KSK_Balozi
94
206
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Mimi na familia yangu twatoa mkono wa pole kwa Mzee Salim, Mariam, Ali, Ahmed, Aunt Faika, Lulu na wote wote. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun. #KSK_Balozi
Tweet media one
72
60
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Naishukuru jamii yangu ya Twitter kwa kuungana na mjukuu wangu Ayah kunitakia kheri nyingi ktk siku yangu ya kuzaliwa. Nathamini sana upendo wenu na nashukuru sana kwa kunionyesha hilo. Pia nawaombeeni kheri na baraka MwenyeziMungu maishaini mwenu. 🙏🏽 #KSK_Balozi
Tweet media one
52
35
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Professor Benno Ndugu, Former Governor wa Benki Kuu ya Tanzanania, Pumzika kwa Amani. #KSK_Balozi
Tweet media one
32
73
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Wakati watu wanasheherekea hizi sikukuu na mapumziko tusisahau kuna watu wamo magerezani kwa kesi za kumbambikiziwa, wagonjwa mahospitalini, wasafiri safarini, nk. Tusisahau kuwaombea. Mwenyezingu ni kila kitu na daima ni mwema. #KSK_Balozi
39
122
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
"Napenda nitamke wazi kwamba tunakopita ni tete. Hali si Shwari na ni Mbaya. Tunapita ktk Wimbi la maambukizi ya virus vya COVID ambavyo VINAUA. Raia wenzetu wengi wameathirika na kupoteza uhai. Wengine wako wanahangaika mahospitalini" ✍🏽Bishop J T Ruwaichi #KSK_Balozi
11
131
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Sina tatizo na mtu kuandika yake ya moyoni ktk kukabiliana na hoja. Pambano la hoja kwa hoja huvutia sana. Tatizo linakuja pale mtu anapotoka kwenye hoja akaanza kumshambulia mtoa hoja pamoja na ndugu zake au jamaa zake. Ndugu zangu, hiyo sio sahihi. Hoja kwa hoja! #KSK_Balozi
54
102
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
7 years
Ukiwa unaongea na mtu, na kila mara anakukumbusha: "Mimi, Mimi, Mimi", fahamu kwamba unae ongea naye siye. #KSK
112
176
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Tarehe ya leo, mwaka 2011, Muammar al-Gaddafi, alipinduliwa na kuuawa huko Sitre, #Libya . Kipinduliwa ni jambo moja na kuua kinyama ni jambo jingine. Kifo chake kina mikono mingi bila kuwasahu #Obama #Cameron #Sarkozy #AU RIP Muammar #KSK_Balozi
Tweet media one
81
144
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Mambo mengine yanachekesha. Kuna watu waliamini bila mtu fulani hakuna maisha. "Hakika hao mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu hawakumilikiini rizki yoyote. Takeni riziki kwa Mwenyezi Mungu, na mumuabudu Yeye, na mumshukuru Yeye. Marejeo ni Kwake." ✍🏽 Qur'an 20:17 #KSK_Balozi
100
147
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
"Kuna upotevu mkubwa wa fedha TAMISEMI na TAMISEMI wanafanya kama sheria zinazotungwa Serikali Kuu kuwa wao haziwausu.." ✍🏽 Rais Samia Suluhu #KSK_Balozi
23
83
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Uhuru wa kuabudu tunao. Hilo halina mjadala. Lakini katika mazingira ya sasa duniani kweli hii ni sawa? Jilinde, akulinde, ndio maana katupa akili. #KSK_Balozi
Tweet media one
107
84
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Hivi sasa nipo nyumbani kwangu Bukoba. Mvua zinanyesha na hali ya hewa ni degree 19 centigrade. Nje pamepoa. #KSK_Balozi
150
34
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Mambo mawili hayadumu kwa binaadam: "Ujana wake na nguvu zake." #KSK_Balozi
37
148
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Tanzania ni nchi ya amani. Tusikubali chuki. Ni wajibu wetu sote kuilinda amani hiyo. Watu wanakuja na kuondoka. Tanzania ipo. #KSK_Balozi
72
77
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Nilimuona Mhe Rais kwenye runinga akiwataja baadhi ya wateule wake na kusema wakati mwingine hulazimika kuwapigia simu usiku na hata kuwaita wapumbavu. Nilistuka.Lakini baada ya kuona mijadala hivi karibuni iliyoanzia BBC, nimeamini Rais @MagufuliJP alikuwa sahihi. #KSK_Balozi
83
187
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Nimekuwa nikimsikiliza Mhe Rais kuhusu TRA, hapa namsikiliza Ndg Godfey Mwambe, Mkurugenzi wa TIC kuhusu TRA. Najiuliza maswali mengi kuhusu chombo chetu hiki kinachoitwa TRA.
139
297
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Muhammad Seif Khatib, Mwenyezi Mungu akupe kauli thabit. #KSK_Balozi
Tweet media one
42
52
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Wewe unayesoma ujumbe huu, siku ya leo iwe ya baraka kwako, kauli yako iwe dawa kwa utakao kutana nao, ufanikiwe kujifunza kitu siku ya leo, ukiweza msaidie mtu, wapende na wahurumie wenzako, kwa rehema za Mwenyezi Mungu mafanikio yakutafute. #SikuNjema #KSK_Balozi
95
100
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Mtu anaye kuchukia bila sababu, hawezi kukupenda bila mitego. #KSK_Balozi
30
114
1K
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Matamshi yasiyo zingatia madhara kwa wananchi au mataifa mengine ni hatari! #KSK_Balozi
59
96
993
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kwa wale waliojaaliwa kumuona Rais Samia leo baada ya kuapa akitoa hotuba yake, naamini kuna jambo tumejifunza. Utaratibu uliozoeleka duniani viongozi husoma hotuba zao. Nampongeza Rais @SuluhuSamia kwa mwanzo mzuri. #KSK_Balozi
Tweet media one
36
58
999
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Anasema Mhe Senator Shehu Asani wa Nigeria: Kuna aina nne za watu wanashabikia mateso ya wenzao; Wale ambao hawajawahi kuteswa, wale waliosahau mateso yao, wale walio lewa vyeo, na wale ambao kuishi kwao wanaona kunategemea kuwaunga mkono watesaji. #KSK_Balozi
49
180
982
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Nimeyaelewa vizuri sana maelezo ya Dr. Bashiru kuhusu upigaji kura wa wananchi, uhalali wa serikali, matamshi ya viongozi nk. Anao mtizamo mpana kuhusu Chama chetu na Taifa letu. Maneno yale yale ningeyasema mimi naamini baadhi ya wanachama wenzangu wasingeniacha salama. #KSK
Tweet media one
81
174
974
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Matusi sio hoja. Hoja itabaki kuwa hoja. Ukishindwa kujibu hoja ukamlenga mtoa hoja, fahamu unatatizo. #KSK_Balozi
23
84
982
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Imam Ali ibn abi Talib anasema: Usizungumzie pesa zako mbele ya maskini; Afya yako mbele ya mgonjwa; Nguvu mbele ya mnyonge; Furaha mbele ya mwenye huzuni; Uhuru mbele ya mfungwa; Watoto wako mbele ya mgumba; Wazazi wako mbele ya yatima kwa sababu wazidisha maumivu kwao. #KSK
60
274
982
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
2 years
Yachekesha leo kuona baadhi yetu wamsema #Magufuli . Unafiki wetu ifike mahali tuseme imetosha. Zipo sauti tunazijua zilipaa wakati wa uhai wake bila woga. Leo wanajitokeza wapuuzi waliowazomea wapaza sauti wa wakati ule eti wao walikuwa na ... Pls stop the nonsense. #KSK_Balozi
Tweet media one
3
159
989
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Alisema Mwanafalsafa mmoja: Nioneshe Taifa lenye watu wanaopenda kusoma na kuhoji, na mimi nitakuonesha watu wanaotatua changamoto zao wenyewe. #KSK_Balozi
17
82
980
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Kabla hujaijibu tweet, muhimu kuisoma na kuielewa. Ondokana na matusi na mashambulizi binafsi. Jielekeze ktk ujumbe wa tweet na sio mtuma tweet. Ni haki yako kutokukubalina lakini sio haki yako kumvunjia mtu heshima. #KSK_Balozi
55
133
966
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Wakati #Bunge lilipo mzonga na kumdhalilisha Professor Assad bila sababu yoyote ya msingi nilisema ilikuwa dhulma. Safari ni ndefu, tukijaaliwa tutafika. #KSK_Balozi
52
124
965
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Nipo ktk makaburi ya Kisutu tukimzika Bi Asia bint Ali Zahoro, mke wa Said Seif Zahoro. Hii ni maiti ya tatu kusaliwa Maamur na kuzikwa Kisutu leo baada ya sala ya A'sr. Mwenye Enzi Mungu awarehemu na awafariji wafiwa. Mambo sio poa. #KSK_Balozi
Tweet media one
79
104
976
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kama vile unavyo futa messages na mapicha katika simu yako ili iwe na spidi na nafasi kwa maana ya kuipunguzia mzigo, hivyo hivyo jitue mzigo wa matofali uliyobeba kwenye moyo wako na fikra zako na kuzungu ka nayo. Maisha sio mzigo kiasi hicho. #KSK_Balozi
20
109
959
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
"Imani yangu ni kwamba ndani ya shirika kuna ubadhirifu kama wa TSH. Billion 3.6 lakini WAZIRI MKUU amefanya ukaguzi na waliosimamishwa NI Wa CHINI. Naomba mara moja nitoe agizo la kusimamishwa MK wa Bandari halafu uchu guzi uendelee." ✍🏽 Rais Samia Suluhu Hassan #KSK_Balozi
28
75
952
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Kujipendekeza kuna mwisho na daima huwa mwisho mbaya. #KSK_Balozi
35
127
961
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Ndugu yetu Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar tunakutakia birthday 🎂 njema. Tunajiunga na wewe na familia yako katika kufurahia siku yako, leo. Mola akujaalie afya njema, umri mrefu na furaha tele. #KSK_Balozi
Tweet media one
27
72
940
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Wakongwe wanasema: Chunga fikra zako; huzaa kauli zako. Chunga kauli zako; huzaa matendo yako. Chunga matendo yako; huzaa tabia yako. Chunga tabia yako; huzaa hulka yako. Chunga hulka yako; huzaa hatma yako. #KSK_Balozi
19
221
959
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari ya kifo cha mkewe na IGP mstaafu Said Mwema. Pole sana ndugu yangu kwa msiba huu mzito. Pole zangu kwa familia yote ya Mwema. Mwenyezimungu amrehemu na ampe Jannah. #KSK_Balozi
Tweet media one
53
52
948
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
6 years
Mtu mmoja aliamka asubuhi akiwa mnyonge na mwenye hofu. Akamuelekea Mwenyezi Mungu kwa kilio: Ewe Mwenye Enzi, najisikia dhalili na dhaifu. Najihisi kuwa na hofu. Tafadhali itulize nafsi yangu. Inusuru roho yangu. Niondoshee hofu na wasiwasi wangu. Ameen. #KSK_Balozi
33
98
934
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Tarehe ya leo mwaka 1996, meli ya MV Bukoba ikitokea Bukoba kwenda Mwanza ilizama na kuua watanzania wenzetu takriban 1,000. Bukoba, Kagera na Tanzania kwa ujumla ilikuwa simanzi, huzuni na vilio. Kwa wahusika wengi tukio hili nikama jana tu. Tujipe pole na maombi. #KSK_Balozi
Tweet media one
Tweet media two
52
120
953
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
5 years
Akili za kuambiwa changanya na zako. ~ Jakaya Mrisho Kikwete #KSK_Balozi
27
81
946
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
3 years
Usikate tamaa, mambo hayatakuwa yale yale daima maishani mwako. Miezi na miaka hubadilika. Mchana hupisha usiku. Njaa hupisha shibe. Huzuni hupisha furaha. Leo hupisha kesho. Siku hazifanani. Hakuna ajuaye mwisho wa maisha yake. Sasa wewe wakata tamaa kwa nini? #KSK_Balozi
63
186
938
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Usiamini sana watu, njaa imekua kali sana. #KSK_Balozi
34
105
938
@KKagasheki
Khamis Suedi Kagasheki
4 years
Lengo la kutotaka kuleta hofu na tahataruki kwa wananchi ni jema sana. Lakini yanayotokea majumbani mwao hivi sasa yanafanya hofu kuwa kubwa na hata kuchukia serikali na viongozi. Serikali isijisikilize bali ijaribu pia kusikiliza kauli za wa wananchi kuondoa hofu. #KSK_Balozi
59
125
940