Bob Chacha Wangwe Profile Banner
Bob Chacha Wangwe Profile
Bob Chacha Wangwe

@BobWangwe

27,949
Followers
623
Following
265
Media
1,180
Statuses

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟLawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
10 months
Jana nimepata nafasi ya kuwaeleza wanachama wenzangu wa CHADEMA nia yangu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini mwaka 2025 Mungu akituwezesha. Hii ni njia nyingine ya kuendeleza mapambano na harakati za kupigania ustawi wa nchi yetu. Ni imani yangu BARAKA zenu ziko na mimi!
127
131
799
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Ndugu zangu. Nimefanikiwa kupata gari yangu naamini ni kwasababu ya ushirikiano wenu. Kwa hatua ya sasa naomba napenda kuwashuru sana. Nikipata wasaa nitapenda kuwahabarisha โ€œMkasaโ€ mzima ambao naamini mtajifunza kitu. Mungu awabariki sana!๐Ÿ™๐Ÿพ
75
167
3K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Hii dhana ya Madaktari wa kiume kuwatibu/kuwazalisha wagonjwa wa kike ni utamaduni au ni uhaba wa wataalamu wa Afya?Kama ni utamdn ulitokea wapi?Kama ni uhaba wa wataalamu wa afya kuna mipango gani ya kuondoa tatizo? Kuna siku nitalipeleka mahakamani tupate busara ya mahakama.
543
198
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Mwamba anaendelea vizuri sana. Anawasalimia sana.
Tweet media one
105
119
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Earlier today with my sisters @halimamdee & @esteramosbulaya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
39
81
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Neno la tumaini na la kishujaa kutoka kwa shujaa!
95
255
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Kutoka maktaba
Tweet media one
37
116
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
TBC wahuni sana. Wamefunga safari kwenda Mbagala Zakheim kufanya uhuni, hujuma na upendeleo wa wazi. Wanahujumu hadi sauti na picha. Theyโ€™re not fair at all. Next time they should be chased away forthwith. Wanatia aibu!
81
116
2K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Askofu Stephen Munga. Kati ya viongozi wachache wa dini wenye ya Mungu tu. Wengi wamekuwa walamba vyayo za Wanasiasa.
71
196
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Mura Choni (John) get well soon mura. Kama wadau wa Denokrasia na Katiba, mchango wako tunautambua na tuna uheshimu sana. Ni maombi yetu kwamba upone haraka na urejee kwenye mapambano ya harakati za kudai Katiba Mpya. Get well soon my brother @HecheJohn
Tweet media one
32
136
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
92.4% ya walioteuliwa kuwa Ma-DED ni Makada wa wazi wa CCM. Asilimia iliyobaki ukada wao hauko wazi. Hawa ndio watakuwa wasimamizi wa Chaguzi.
68
144
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Undisputed fact๐Ÿ“Œ
53
226
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Kuna tweet inayohusu kesi ya Mhe Mbowe inasambazwa na vijana wa CCM kwamba imetoka kwangu. Naomba ipuuzwe imetengenezwa kwa malengo wanayoyajua wenyewe. #KatibaMpya
40
150
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Kuna kipeperushi cha Serikali kinaitwa โ€œHabari Leoโ€. Kinafanya mahojiano kuchukuwa maoni yako halafu kinaenda kuandika maoni yake. Unauliza mwandishi haya maoni yametoka wapi anasema โ€œMkuu ni Wahariri sio mimiโ€. Leo ndio mwisho kutoa ushirikiano wowote na hicho kipeperushi.
29
75
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Timu ya mawakili wa Wananchi ikiongozwa na @fatma_karume iko tayari kumenyana na timu ya mawakili wa Serikali iliyokata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama kuu kuwapiga STOP Ma-DEDs kusimamia chaguzi. Ni July 30 rufaa hiyo itasikilizwa. Karibuni sana muda ni saa 3 asubuhi Posta.
Tweet media one
86
139
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Watu watano waliovaa kiraia wamemkamata kwa nguvu na kumuingiza kwenye gari aina ya Harrier Mwanaharakati na mfanyakazi wa LHRC Ndg. @TitoMagoti na kuondoka naye kusikojulikana muda mfupi uliopita maeneo ya Mwenge. Naomba tushirikiane kumfuatilia na kumpigania Ndg. Tito.
Tweet media one
84
273
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 months
Tarime
Tweet media one
30
89
1K
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Tulianza 2018 kwa kufungua kesi HC. Kesi ikatupiliwa mbali baada ya POs za AG kukubaliwa. Tukairudisha tena, tukashinda 2019. AG & NEC wakakata rufaa CAT, rufaa yao ikakubaliwa. 2020 tukaenda ACHPR, leo 2023 tumeshinda. Muhimu ni kutokata tamaa.
Tweet media one
82
174
990
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Kama kweli kina @TitoMagoti wanakamatwa kwa lengo la kumsaka Kigogo na hadi sasa @kigogo2014 yuko active hapa Twitter kuliko wakati mwingine wowote, basi intelijensia ya nchi yetu bado haijaanza hata kutambaa. Wawaachie vijana wa watu wajipange upya.
34
91
952
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
56
88
924
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Updates: Kesi ya maombi ya ruhusa ya kufungua shauri la kupinga TAMISEMI kusimamia Uchaguzi. Mahakama imetupilia mbali mapingamizi manne ya Upande wa Serikali. Maombi yetu yamekubaliwa na ruhusa imetolewa kufungua shauri hilo la Judicial Review.
40
202
934
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 months
Malisa GJ na Boniface Jacob bado wameshikiliwa na jeshi la polisi na sasa baada ya kuitikia wito na kuhojiwa, polisi wamehitaji kwenda nyumbani kwa kila mmoja kwa ajili ya ukaguzi. Napenda kuwatia moyo kwamba hao jamaa ni muda tu wanawapotezea na โ€ฆ
Tweet media one
23
93
879
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Another year today, Another decade down. Thanks God for the blessings.
Tweet media one
63
34
854
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Hawa jamaa wa uhamiaji wamenizuia kusafiri bila sababu yoyote. Nimewapa ushirikiano hata kwa maswali yao yasiokuwa ya msingi. Wameniruhusu kuendelea na safari baada ya kuhakikisha muda wa safari umepita. Hakika haya ni manyanyaso makubwa.
Tweet media one
89
83
848
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Jaji Jacob Mwambegele ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ni miongoni mwa Majaji waliokubali rufaa ya Ma-DED kuendelea kuwa wasimamizi wa chaguzi hata kama ni makada kwasababu huwa wakula viapo vya kukana ukada wao kabla ya kusimamia chaguzi. Business as usual!
34
137
832
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Anaitwa Bi. Fatma Amani Karume. Mwanadada ambaye katika nyakati ngumu za awamu ya tano, wakati wengine walipoogopa, kuwa wanafiki, kujipendekeza na kutumia matumbo kufikiri, yeye alisimama na kuhesabiwa. Alibeba gharama ya kufutiwa uwakili, kutengwa na baadhi ya watu wake wa.....
Tweet media one
39
53
824
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Kukutwa na kesi ya kujibu sio kukutwa na hatia. Ni kupewa na nafasi ya kujitetea. Yalikuwa ni matumaini ya wengi kuona mahakama ikiโ€™dischongolize kesi hii katika hatua hii, lakini haijawezejana. Ni wakati wa washitakiwa kujitetea. Naamini ushindi utapatikana hata kwa matuta.
31
82
810
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Barua ya Wazi kwa Mhe @SuluhuSamia
Tweet media one
8
79
780
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Sina hakika kama kuna kitu TAKATAKA zaidi ya TAKATAKA kama Tume ya Uchaguzi ya Nchi Hii. Sina Hakika!
39
83
749
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Kesho 22, Wanademokrasia & Wapenda Haki Wote tutakutana katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tz, Dar es Salaam ambapo shauri la maombi ya kuzuia TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji litatajwa. TAMISEMI kusimamia Uchaguzi ni uhuni ambao haukubaliki!
Tweet media one
35
280
758
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Na kusakata rumba haikuwa kuvunja sheria๐Ÿ˜…
25
127
754
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 months
Updates: Msafara wa Jeshi la Polisi unaelekea katika kijiji cha Kidia, Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ukaguzi. Naambiwa huko nyumbani Mzee Malisa (Baba wa Malisa) ni mgonjwa wasiwasi wangu ni kwamba huenda ukaguzi huu ukamletea shida zaidi ya kiafya. Tumuombee
Tweet media one
30
94
713
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Kujadili Katiba sio jinai
Tweet media one
13
109
678
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Maandalizi ya uamuzi wa mahakama ya rufaa kuhusu Wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Letโ€™s get ready. Muda wowote moshi mweupe utaonekana.
Tweet media one
40
64
659
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Boniface Kajunjumele Anyisile Mwabukusi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
8
105
674
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Ingekuwa watu kama hawa wananunuliwa, Ingependeza sana Tanzania kujipatia hata Mwabukusi 500 ili tuweke hii nchi kwenye misingi hata kama kuwanunua ingemaanisha kukabidhi mapafu ya Madalali wote wa Bandari ambao wamejificha kwenye ofisi za umma.
29
193
657
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Picha ya @masoudkipanya enzi za โ€œmama anaupiga mwingiโ€.
Tweet media one
12
53
616
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Hii ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi. Mazingira ya tukio yanaonesha wazi watu wote wawili waliuawa na Polisi kwa lengo la kupora fedha na kuficha ukweli wa uparaji wa ile 70m na mauwaji. Viongozi wa Polisi wanatakiwa kuwajibika zaidi. Polisi kuwa wezi na wauaji ni AIBU.
40
189
617
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Kikatiba Rais hana uwezo wa kutengua ubunge wa mbunge hata aliyemteuwa mwenyewe. Anaweza tu kufanya hivyo kwa njia za kijanja janja kama ilivyotokea kwa Polepole. Ila anaweza kutengua ubalozi wakati wowote. Hii ni kama kumshughulikia nyoka ambaye amejificha shimoni.
46
56
609
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Asante sana Madame @MariaSTsehai . Huu ni ushindi wa wanademokrasia na waumini wa utawala bora. Tushangilie!
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 years
Hongera @BobWangwe na mwanasheria mbobezi Shangazi @fatma_karume Mmeweka historia โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ This is how we #ChangeTanzania Step by step Aluta continua #TutaelewanaTu
34
83
577
23
59
586
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Kuna watu wanauliza ni Mawakili gani tulionao kwenye kesi ya kuomba zuio la TAMISEMI kusimamia Uchaguzi. Hadi sasa yupo Wakili Mpale Mpoki, Tundu Lissu, Jebra Kambole, Rugemeleza Nshala, Peter Kibatala, Boniface Mwabukusi, Fulgence Masawe, Peter Madeleka na wengine wengi.
25
131
615
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Hali ni tete. Tuendelee kuchukuwa TAHADHARI!
58
62
604
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Wakili wangu mahiri ameonewa pasina sababu. Hii sio kwa bahati mbaya. Ni mbinu ya kuwatisha mawakili wanaojitoa kwajili ya maslahi ya umma. Wanataka mawakili wote wa Tz wawe ni wapigania tumbo kama wao. Hii haikubaiki.2
21
51
582
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Tweet media one
12
67
578
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Ubwabwa Republic!
Tweet media one
9
32
595
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Leo nikiwa Nyumbani Tarime nilipata nafasi kutoka kwa Brother @HecheJohn kusalimia watu wa Tarime Mjini.
47
122
592
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 years
Nimesikiliza hii โ€œVoice Noteโ€ inayodaiwa kuwa ya Mabodi(Kiongozi wa CCM) na Amina (mke wa Balozi wa Tanzania Comoro, Pereira). Inadaiwa mwanamama Amina alikuwa anagombea โ€œUNECโ€ na alipomfuata Mabodi amsaidie ndio akamuomba Rushwa ya ngono.
47
127
572
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Somewhere in Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
41
567
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 years
Mwanaharakati wa Utu na Heshima ya Mtu Mweusi kupitia Soka. Pumzika kwa amani Tata PELร‰.
Tweet media one
5
21
563
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Leo @court_afchpr imekubaliana na maombi yetu ya kupinga Wakurugenzi wa Halimashauri kusimamia Chaguzi. Imeiagiza JMT kufanya marekebisho ya sheria ya Taifa ya Uchaguzi ktk vifungu vinavyowaruhusu Ma-DED kusimamia chaguzi na kupeleka ripoti ya utekelezaji ndani ya miezi 12
Tweet media one
48
132
562
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Huu ndio ukweli. Miaka minne iliyopita niliwahi kusema ukweli huu nikaishia kukamatwa na kuhukumiwa kulipa fine ya 5m. Sijawahi kubadili wala kukana maneno yangu yale.
11
23
553
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 months
Huyu anaitwa Prof Adolf Mkenda. Ni Waziri na Mbunge wa Rombo. Kwamba anaweza kutumia mamlaka yake kumuumiza Malisa kwasababu kwamba moja ya maandiko yake lilimuhusisha Mkenda na mtuhumiwa wa mauwaji ya Beatrice Minja, ni jambo ambalo bado โ€ฆ..
Tweet media one
27
81
559
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
With comrade @TitoMagoti
9
50
528
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 years
Nimefuatilia hotuba ya @godbless_lema akiwa Mwanza. Ni mtu mkweli sana na anajitofautisha sana na Wanasiasa wengi Duniani. Ukweli ni kitu adimu sana kwenye siasa maana wakati mwingine huwa una gharama yake lakini heshima ni kubwa. Ni kama anafungua ukurasa mpya wa siasa za Tz
20
73
538
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
7 months
Hii inaonesha tayari kulikuwa na utamaduni wa kupuuza Katiba. Ndiyo kusema isingekuwa busara za kutaka Katiba iheshimiwe, inawezekana Rais wa sasa angekuwa mtu mwingine kabisa au nchi ingekuwa kwenye mikono ya Kijeshi.
26
91
518
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Anaitwa Jenerali Mdude Nyagali 7x70 Sumu ya Nyigu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ”ฅ
7
87
501
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Tweet media one
19
50
499
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Maisha yangu nimechagua kutoa sadaka kwa ajili ya haki za binadamu. Hata kama itamaanisha kuwa sababu ya kuondoka kwenye uso wa dunia, uoga hautakuwa rafiki yangu.
11
83
495
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 years
Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya Upinzani Tanzania. Ni hatua nzuri kwani jitihada na nguvu kubwa za Maalim Seif na wenzake zitahamia katika kupambana na CCM moja kwa moja badala ya kupambana na vibaraka wake. Nawatakia kila lakheri! @IsmailJussa @zittokabwe
Tweet media one
13
36
475
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Muhimu zaidi ni mahakama kufuta โ€œcriminal recordโ€ kwenye ile kesi ya kibabaishaji. Kuhusu kurudishiwa faini, mimi huu ni mwaka wa pili na kitu wananipiga danadana kunirudishia faini baada ya kushinda rufaa. Wanasemaga faili halionekani. Labda kama wamebadilika kidogo.
15
45
468
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Leo ndio @kwanza_tv imemaliza kifungo cha miezi 6. Karibu sana uraiani. We missed you! @MariaSTsehai @fatma_karume @halimamdee @Advocate_Jebra @zittokabwe @HecheJohn
5
36
463
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 years
Breaking News: Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali mapingamizi ya upande wa Mwanasheria mkuu wa Serikali kwenye kesi ya kikatiba No. 17 ya 2018 inayopinga wakurugenzi kuwa wasimamizi wa Uchaguzi. @fatma_karume @jjmnyika @millardayo @Nipashetz @OleMtetezi @TanzaniaLawyer
37
62
445
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Tumeshinda Hakika!
@TitoMagoti
Tito Magoti
5 years
TUMESHINDA. Hongera sana Comrade @BobWangwe na Shangazi @fatma_karume kwa uthubutu na hatimaye TUMESHINDA kesi hii muhimu sana. Aluta continua. ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช #ChangeTanzania #DemokrasiaYetu
15
61
353
17
47
436
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
9 months
Wedding things!
Tweet media one
3
24
442
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Nimepata habati ya kualikwa na Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) kwenye Kongamano la Katiba litakalofanyika Julai mosi. Hii ni fursa kwa wadau wa KATIBA kufika na kuzungumza lugha ya Katiba. Karibuni sana.
Tweet media one
13
63
420
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Forward ever, Backward never!
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Kesi mpya wakurugenzi kusimamia uchaguzi yatua Mahakama ya Afrika
14
75
658
17
52
433
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Tweet media one
33
27
439
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Huu ni moshi wa aina ya Kajunjumele umeanza kuonekana kutokea makao makuu ya nchi. Suti zishonwe!
Tweet media one
11
49
430
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Happy birthday Mwamba. Mtu akiniuliza kama kuna Mtanzania ambaye amefanya harakati โ€œto the fullestโ€, nitakwambia huyo Mtanzania ni Tundu Lissu. Live long!
Tweet media one
6
25
415
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Nimepokea taarifa za kifo cha Dkt. Milton Mahanga (kulia) kwa masikitizo makubwa. Mzee Mahanga alikuwa ni rafiki, mshauri na mtu ambaye alikuwa kiungo muhimu kwenye harakati za mahakamani ambazo sasa ametuachia. Ametangulia tu. Tunamuombea apumzike kwa amani. @fatma_karume
Tweet media one
7
26
410
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Inaenda wiki ya pili sasa baada ya Deusdedith Soka kutekwa na wenzake wawili. Watawala hawataki kuona uwepo wa vijana wa aina hii ya Soka bali wanapenda vijana Machawa, waoga na wanafiki ili waendelee kutawala kwa anasa inayotokana na jasho la wananchi ambaoโ€ฆ.
7
117
406
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Leo tulitarajia kupata uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kuhusu hatma ya Bandari zetu. imehairishwa hadi tarehe 10 mwezi huu. Tumuombee sana Jaji Dunstan Ndunguru!
Tweet media one
16
52
396
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Jana tumeshinda kesi baada ya mapingamizi ma4 ya Serikali kutupiliwa mbali na maombi yetu kukubaliwa ktk shauri la maombi ya kufungua kesi ya kupinga TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa S/M. Wiki hii tutafungua kesi hiyo rasmi. TAMISEMI haina uhalali wa Kusimamia Uchaguzi wa S/M.
Tweet media one
5
78
392
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Jeshi la Polisi linapaswa kuwaachia huru kina Boniface Mwabukusi bila masharti.
8
107
384
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
โ€œSuala la wasimamizi huru limesemwa na wananchi zaidi ya mara moja. Mwaka 1995 tuliajiri wasimamizi huru wa kutosha nchi nzima na kwenye ripoti yetu tukapendekeza hilo Maoni ya katiba mpya pia yalitaka iundwe tume huru ya uchaguzi.โ€:- Jaji Augustino Ramadhan (Jaji Mkuu Mstaafu)
Tweet media one
5
66
369
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Nakukaribisha kushiriki kwa chochote kuchangia Haki. Haki inayouzwa pale gulioni Kisutu. Karibu sana kwa namba hizi zinazoonekana pichani. Asante!
Tweet media one
11
51
357
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 months
Kesho tarehe 2, tutakuwa Mahakama Kuu ya Tanzania kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia mahakama itatoa uamuzi kuhusu maombi yetu ya kuomba kufungua shauri la kupinga TAMISEMI kusimamia Uchaguzi. Weโ€™re on!
11
93
367
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Home!
Tweet media one
11
33
366
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
21 days
Boni Yai Yuko Huru Kwa Dhamana
Tweet media one
8
36
368
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Nimeumizwa sana na kitendo cha mahakama kuu chini ya Jaji Feleshi kusimamisha uwakili wa madame @fatma_karume Tz bara. Hili ni pigo kubwa kwa demokrasia ya Tz kwani askari wake mahiri amepokonywa siraha yake ya maangamizi na vibaraka wa wale wasioamini kwenye utawala wa sheria.1
9
36
348
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Asante sana kamanda @PatrickJAssenga
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Mpeni Maua yake Mpiganaji huyu wa CHADEMA na mzalendo wa kweli kwa NCHI yake. @BobWangwe hongera kwa kufungua kesi hii muhimu kwa mustakabali wa NCHI yetu.๐Ÿ™๐Ÿ™โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
9
86
395
6
53
354
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
8 months
Tweet media one
6
24
353
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 years
Mswada wa vyama vya siasa: 4(5)c โ€œRegistrar shall monitor intra-party elections and nominations processes.Msajili amepewa mamlaka ya kusimamia chaguzi na michakato ya kuwapata wagombea wa vyama.Hii ni njia ya CCM kuchagua wa kupambana nayo.Tuamke tupinge mswada huu kwa nguvu zote
21
62
327
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
9 months
Nilipata fursa na bahati ya kushiriki katika ibada ya uponyaji wa Taifa letu. Matatizo yamekuwa mengi sana. Ni wakati wa kila mmoja wetu kuona ana wajibu wa kushiriki katika kujenga kesho nzuri ya watoto wetu.
11
81
342
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Leo nimepata kualikwa na @kwanza_tv kwenye kipindi cha Live cha โ€œHoja kwa Hoja.โ€ Tumepiga story nyingi na Shangazi @MariaSTsehai . Kuangalia mahojiano yote ingia hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
Tweet media one
3
24
316
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Baada ya timu ya Jukwaa la Katiba Tz na LHRC kuzunguka vituo vya polisi zaidi ya 8 vya DSM kumtafuta Tito Magoti bila mafanikio, Taarifa njema kiasi ni kwamba muda huu kuna watu wameibukia nyumbani kwake Kimara kwajili ya kufanya search. Tutaendelea kuwajuza.
18
59
320
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 months
Nilipata nafasi ya kuzungumza na Mama zangu na Wasubhati wa Tarime. Wanasema wako tayari kwa mabadiliko๐Ÿ”ฅ
7
59
330
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Kesho saa 8:00 mchana Mahakama kuu ya Tz DSM inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya Kikatiba inayopinga sheria inayowafanya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Tufike kwa wingi. @fatma_karume @zittokabwe @TitoMagoti @OleMtetezi @IsmailJussa @MariaSTsehai @HecheJohn @halimamdee @jjmnyika
13
53
312
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
Bila uwajibikaji katika madudu yaliyojitokeza kwenye ripoti ya CAG, hali itaendelea kuwa mbaya. Uwajibikaji ni muhimu kwa lengo la kuzuia madudu zaidi katika siku za usoni. Fedha za Watanzania lazima zilindwe kwa wivu mkubwa!
6
37
303
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Heri nyinyi mliotayari kulinda na kutetea uhai kuliko wapumbavu wachache wanaofikiria kuathiri uhai. Waombee!
12
34
289
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
4 years
This is unacceptable! Mhe Rais @DrHmwinyi hii hali haipaswi kuendelea chini ya utawala wako. Hawa sio wanyama ni binadamu sawa na wewe
@hassankham1s
Hassan Khamis ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ
4 years
A day light assassination in Zanzibar by Police Force.... Another life lost today...
35
115
539
13
42
298
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
1 year
Kuomba radhi unapokosea ni sio ujinga!
Tweet media one
6
35
294
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Faida ya kuweka akiba ya maneno. Hii niliiandika baada ya uteuzi.
Tweet media one
15
35
274
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
22 days
Sina hakika kama ni D mbili peke yake zinazohitaji kuelewa utani wa Mwalimu Makaramba.
6
59
292
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
17 days
Leo amezaliwa Mama @udamela Bisimba. Ametimiza miaka 70. Kwa mchango wake aliotoa kwenye harakati za kuhami haki za binadamu na Demokrasia nchini, ni sahihi kabisa nikisema hana deni analodaiwa na Tanzania. Mungu aendelee kukulinda Mama. Watoto wako katika harakati tunakupenda!
Tweet media one
2
25
290
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
6 months
Theyโ€™re Free on Bail๐Ÿ™๐Ÿฟ
Tweet media one
4
26
285
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
2 years
Tweet media one
4
51
262
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
5 years
Binafsi napenda sana kutoa shukurani za kipekee kwa chama cha ACT kwa kutambua mchango wetu katika kupigania Tume huru ya uchaguzi nchini. Pia pongezi nyingi kwao kwa hatua wanayotarajia kuchukuwa ya kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uamuzi wa kesi ya MaDED. @ACTwazalendo
2
38
255
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Ni jambo la kishenzi kwa nchi yenye umri wa miaka 60 kutegemea chanzo kimoja cha uzalishaji wa umeme.
11
39
254