Mahojiano yetu exclusive na
@Wakazi
kuhusu industry ya muziki Tanzania, nguvu ya Wanaijeria kimuziki, ujio wa album yake Beberu na mengine kibao unaweza kuyatazama hapa
Part 1
Part 2
Part 3
@IdrisSultan
Nimesikiliza episodes zote za hii podcast, I wish ingekua ni kipande kimoja kirefu sana hata cha masaa mawili.
Wewe na Bro Bundala ni watu amazing sana. Nimejifunza vitu vingi, pia nimecheka sana😂, we jamaa ni chizi sana😂😂
Uki mtoa
@millardayo
Huko Mjini YouTube kuna mwamba Huyu hapa
@simulizinasauti
Anafanya Vizurii na Hana Hata kelele na mtu Na anatoa ubora wa Hali ya juu kabisa kwenye mauzui yake mm sijuti Bando langu
@SkyTanzania
Hongera Sana Kwa kazi Kubwa
#MediaTanzania
Jamaa ni mnyama mkali sana 🙌🏼
Aliwahi kutoa onyo kwa wakali wa afternoon shows kwamba ni suala la muda tuu 😀😀
Alihama Twitter baada ya kupishana na Papaa mchoyo
Jumamosi hii usikose kuungana nasi kwenye mahojiano exclusive na Asmah Jamida! Amefunguka yote kuhusu uhusiano wake na Baba Levo. Mengi aliyosimulia yatakushangaza
February 12,
@JideJaydee
atafanya uzinduzi wa album yake mpya '20' kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Wafahamu wasanii walioshirikishwa kwenye album hiyo
@JoeyAkan
This is the reason why few months ago
@MI_Abaga
insulted you. You are a notable music journalist in Nigeria but your reasoning is always very childish and irrational. Grow up
Tunayo furaha kuwajulisha kuwa podcast yetu ya
#TheOutsiders
imetajwa kuwania tuzo za African Podcast and Voice Awards,
#APVA2022
kipengele cha News And Current Affairs. Kura zitaanza kupigwa July 1
Cc
@APVAofficial
Kwenye sehemu ya pili ya SMART TALK,
@Wakazi
anazungumzia kile alichokishuhudia kwa macho yake jinsi
@ZariTheBosslady
alivyochukua mchongo wa SOFTCARE mbele ya mastaa wengine wa kike wenye nguvu Tanzania. Anasema ni mtu professinal sana >>
Ramadhan Brothers zile ni juhudi zao wenyewe na meneja wao. Sky Walker ni media pekee ambaye alikua nao bega kwa bega tangu mwanzo.
Naweka rekodi sawa kabla hamjaanza jipakulia minyama.
Tweets za
#WasafiFestival
iliyofanyika Nairobi usiku wa kuamkia leo ni za chuki si tu kwa wasanii wa WCB bali muziki wa Tanzania kwa ujumla. Wengi hawakuridhishwa na show hiyo na wanahisi walitapeliwa. Lakini chuki hii ya WanaNairobi inatisha. Ina chembechembe za wivu wa wazi
Asante sana kwa kukubali tushee story hii. Sauti yako na uwezo wa kisimulia vizuri huenda ukakupa career mpya kama 'voice artist' siku za usoni. Hongera sana
Link:
👉 Moja ya Vitu Vilivyo Nifurahisha Leo ni Kuona Creez Favors 🇹🇿 Kutoka Kiwanda Cha
@simulizinasauti
Ameingia Kwenye Tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA).
👉Kitu Cha Kukipa Sifa Zaidi ni SNS Pia imemfanya Mwamba Kuonekana Kile Anacho Kifanya Kila Kukicha.
#SMARTTALK
Basilisa Biseko, Mtaalam wa Masoko anayefanya kazi EATV/RADIO,
@raheemdaprince
anayefanya kazi kwenye agency ya Think Tank pamoja na rapper
@Wakazi
wanazama ndani kuchambua masuala ya BRANDING, ENDORSEMENT NA INFLUENCE. Bofya link hii >>
Asante sana Mzee wetu
@ZahirAlly
kwa kutukaribisha kwako na pia kuwajulisha mashabiki hali yako kwa sasa. Haya yalikuwa moja ya mahojiano bora kabisa..
Part One
Vijana mnaojipambania kimaisha ingia YouTube na tafuta channel ya
#SimuliziNaSauti
(SNS)
Binafsi nilikuwa siijui hii channel wala page. Siku nilipoipata nilianza kuifuatilia. Kwa kweli Kuna watu wanafundisha maisha kutoka na walichokiishi.
Appreciation kwako
@simulizinasauti