Simba Queens Tanzania Profile Banner
Simba Queens Tanzania Profile
Simba Queens Tanzania

@simbaqueenstz

2,317
Followers
24
Following
454
Media
776
Statuses

Official X account of Simba Queens Tanzania, The women's team of @SimbaSCTanzania 🏆× 4 Tanzania Women's Premier League Champions 🏆× 1 Cecafa Winner

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Heri ya siku ya kuzaliwa kocha Juma Mgunda. #NguvuMoja
Tweet media one
1
32
2K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Gooooooal Corazooone ana weka mizani sawa. Simba Queens 1 - 1 Kenya Police Bullets. #NguvuMoja
Tweet media one
10
21
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu CECAFA. #NguvuMoja
Tweet media one
6
15
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Mwanahabari nguli Salim Kikeke amekabidhi kiasi cha Shilingi milioni mbili kwa timu ya Simba Queens ikiwa ni kutimiza ahadi ya kununua kila bao kwa Shilingi laki tano kuanzia mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi. 1/2
Tweet media one
1
24
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mwenye mpira wake, Asha Rashid Mwalala #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
6
25
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Winga 🔥 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
8
16
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Left Foot Magician 🪄 #NguvuMoja
Tweet media one
6
25
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Kocha wa boli itembee. Muda wa Tizi. #NguvuMoja
Tweet media one
1
16
1K
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Beki 🔒 #NguvuMoja
Tweet media one
4
11
999
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Assist mbili Precious na magoli matatu 🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
1
21
966
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
🦁❗️ #NguvuMoja
Tweet media one
4
15
941
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mashine ya boli 🔥 #NguvuMoja
Tweet media one
3
18
925
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Siku ya kazi 😁 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
18
918
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mido ⚽️ #NguvuMoja
Tweet media one
5
17
879
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Tumesuluhu. Taarifa zaidi Simba App📱 #NguvuMoja
Tweet media one
5
22
843
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
⏭️ Ngao Ya Jamii 2024. #NguvuMoja
Tweet media one
4
15
840
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mchezo wetu wa kwanza utakuwa dhidi ya FAD Djibouti. #NguvuMoja
Tweet media one
8
31
824
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Heri ya siku ya kuzaliwa Precious Christopher 🎂 #NguvuMoja
Tweet media one
8
18
781
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tunaanza na sala 🤲🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
780
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tupo kundi B katika michuano ya CECAFA. #NguvuMoja
Tweet media one
7
24
761
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
👀 CECAFA '24. #NguvuMoja
Tweet media one
4
16
761
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Kikosi kimeondoka nchini kuelekea Ethiopia kwa ajili ya kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Taarifa zaidi Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
21
724
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Tumepoteza nusu fainali. #NguvuMoja
Tweet media one
40
13
718
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
እንዴት አደረሽ ኢትዮጵያ #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
15
715
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Familia wakati wa furaha 😀 #NguvuMoja
Tweet media one
1
9
702
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
9 days
Nguvu Moja 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
1
13
707
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Tuko tayari. #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
12
698
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Kesho kitaeleweka. #NguvuMoja
Tweet media one
4
14
684
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Kikosi kimefanya mazoezi ya Gym asubuhi kuweka miili sawa. Taarifa zaidi Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
683
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Mapambano ya kusaka ubingwa yanaendelea 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
1
15
658
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Siku ya pili ya mazoezi tukiwa Ethiopia. #NguvuMoja
Tweet media one
2
13
651
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Mchezo muhimu wa nusu fainali CECAFA. #NguvuMoja
Tweet media one
5
20
654
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
⌚️🏟️ #NguvuMoja
Tweet media one
2
7
643
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tweet media one
4
26
630
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
ወደሰው ዘር መገኛ ወደሆነችው ኢትዮጵያ በሰላም ገብተናል�� #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
25
609
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Cecafa Loading ⏳ #NguvuMoja
Tweet media one
3
14
612
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
የመጨረሻ የምድብ ጨዋታችን #NguvuMoja
Tweet media one
6
13
601
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Tutarudi tukiwa imara zaidi 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
9
14
603
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
22 days
Captain Violeth 👊🏼 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
12
607
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tupo tayari kwa mchezo wetu dhidi ya FAD Djibouti hapo kesho 🏟️ #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
11
597
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
28 days
Kazi kazi hakuna kupoa 😎 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
16
581
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
24 days
Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amekabidhi kiasi cha Shilingi milioni 10 kwa Simba Queens ikiwa ni ahadi ya bao la Mama inayotolewa na Rais Samia ikiwa ni motisha baada ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
20
577
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tizi 📸 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
17
567
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
80'| Goooooal Asha Mwalala anatupia kamba ya nne 🏟️ Simba Queens 4 - 0 FAD Djibouti. #Cafwclqcecafa2024 #ShowingHerBeauty #cecafawomen #NguvuMoja
Tweet media one
1
12
554
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Tweet media one
3
18
533
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Kikosi chetu kimeanza mazoezi katika fukwe za bahari ya hindi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ngao ya Jamii kuelekea kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
15
534
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Kikosi cha wachezaji 24 kinachosafiri kuelekea nchini Ethiopia. Taarifa zaidi Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
23
537
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Nusu fainali ya CECAFA. #NguvuMoja
Tweet media one
2
10
526
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mabadiliko ya tarehe ya mchezo wetu. #NguvuMoja
Tweet media one
2
19
517
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
88'| Goooooal Asha Mwalala anatupia kamba ya tano 🏟️ Mwalala anakamilisha Hatrick ⚽️⚽️⚽️ Simba Queens 5 - 0 FAD Djibouti. #Cafwclqcecafa2024 #ShowingHerBeauty #cecafawomen #NguvuMoja
Tweet media one
3
10
509
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
23 days
Ratiba yetu ya Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii 2024. #NguvuMoja
Tweet media one
0
10
507
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Tumepoteza mchezo. #NguvuMoja
Tweet media one
38
13
503
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Hisia Za kweli kwa Simba 🦁
Tweet media one
4
19
488
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
“Captain Bocco nadhani ile ndoto yako ya kuwa Mwalimu wa Youth Team imetimia, kila mara yeye amekuwa akinikumbusha kuwa anataka kufundisha vijana, nataka kuisaidia Simba katika kuvuna vijana, nadhani ndoto yake ile inaendelea kutimia,” Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Try Again
Tweet media one
5
15
481
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Nguvu Moja 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
2
9
492
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Nguvu Moja 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
2
10
491
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
ONE NATION ⚪🔴🦁
Tweet media one
1
11
454
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
4 months
Aisha Mnunka mfungaji bora wa ligi kuu ya wanawake 23/24. #NguvuMoja
Tweet media one
2
21
465
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
19 days
Tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ilala Queens na kuibuka na ushindi wa goli 9-0. ⚽️⚽️⚽️ Shikangwa ⚽️ Dotto (P) ⚽️ Precious ⚽️ Shelda ⚽️ Wincate ⚽️ Mwanahamisi ⚽️ Asha #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
13
478
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Salute
Tweet media one
2
5
452
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Nguvu Moja 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
3
13
454
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
9 days
Tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Amani Queens na kuibuka na ushindi wa goli 2-0. ⚽️ Precious Christopher ⚽️ Asha Djafar #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
459
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mara ya mwisho kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) tulikuwa Mabingwa. Yajayo yanafuraisha 😀 #NguvuMoja
Tweet media one
0
15
451
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Kikosi kimewasili uwanjani 🏟️ Kujua kikosi kinacho anza tembelea Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
6
428
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Kikosi kimewasili uwanjani 🏟️ Kujua kikosi kinacho anza tembelea Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
13
429
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Taarifa kuhusu kikosi kuondoka nchini kwenda Ethiopia inapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
0
11
423
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
AIR MANULA 👊🏽التنزاني. 🤩 #TotalEnergiesCAFCC | @SimbaSCTanzania
2
22
408
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu CECAFA. #NguvuMoja
Tweet media one
3
9
407
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Mkuu wa Msafara kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Stephania Kabumba (katikati) akiwa na Mjumbe wa Bodi, Asha Baraka, na Mkuu wa utawala na uendeshaji Belinda Paul wakifutilia kwa ukaribu mazoezi ya mwisho ya kikosi chetu leo asubuhi. #NguvuMoja
Tweet media one
0
12
412
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
80' | Simba Queens 2 - 2 Kenya Police Bullets. Tupo Live Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
5
5
407
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Good Morning Simba Family
Tweet media one
2
13
385
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Boli inatembea na Master Mgunda. Muda wa Tizi 🏟️ #NguvuMoja
Tweet media one
0
10
395
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Ikawe Siku njema na Yenye Mafanikio Kwa Timu zetu. Kama Wewe Ni Simba ReTweet au Comment #NguvuMoja
Tweet media one
21
63
368
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
Throw Back Cecafa 2024 🇪🇹 #TBT #NguvuMoja
Tweet media one
4
11
378
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Mwamba anayeishi Dunia yake
Tweet media one
4
16
368
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
👊
Tweet media one
1
10
348
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
ዝግጁ ነን 💪🏻 #NguvuMoja
Tweet media one
4
12
368
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 year
JEAN BALEKE ◽Ndiye mchezaji Pekee aliyewafunga Ihefu SC goli tano (5) kwa michezo miwili. ◽HUYU NI 🔥
Tweet media one
2
16
358
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Nasikia Profwesa alisahau Vyeti Dar 😄
Tweet media one
2
8
329
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Good Morning Simba Fans
Tweet media one
3
10
331
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
21 days
Tizi 🔋 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
343
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
🎥 Mazoezi ya mwisho kabla kikosi hakijaondoka nchini. #NguvuMoja
1
12
308
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
28 days
TAARIFA KWA UMMA. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
3
10
301
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Goli Bora la Wiki kwenye CAFCL Limetoka kwa Mwamba wa Lusaka Clatous Chotta Chama 'CCC'
Tweet media one
2
7
291
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Kila la heri Timu Yangu ⚪🔴✊ Simba Taifa Kubwa 🦁 💪
Tweet media one
1
8
281
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
“Timu [6] za Kaskazini. Belouizdad & Kabylie 🇩🇿 Raja & Wydad Casablanca 🇲🇦 Al Ahly 🇪🇬 na Esperance🇹🇳 Timu [1] Afrika ya kusini Mamelod Sundown 🇿🇦 Na [1]Afrika mashariki Simba SC 🇹🇿 Simba ndio klabu bora CAF kwa Afrika mashariki na kati kwa miaka [6] Sasa” Cc: @gharib_mzinga
Tweet media one
2
12
293
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Moja kati ya Viungo Bora Tanzania, Mzamiru Yasin Said
Tweet media one
1
6
269
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 month
65'| Kawempe Muslim 2 - 0 Simba Queens. Tupo Live Simba App 📱 #NguvuMoja
Tweet media one
8
4
275
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
65'| Simba Queens 2 - 0 FAD Djibouti. Tupo Live Simba App 📱 #Cafwclqcecafa2024 #ShowingHerBeauty #cecafawomen #NguvuMoja
Tweet media one
1
7
267
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
7 days
Tweet media one
2
10
456
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
“Ni lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali Huu ni mlima mrefu kwetu lakini hatuna budi kuupanda Ili uwe mkubwa Afrika ni lazima uwafunge wakubwa wa bara hili Kama tulivyomvua Ubingwa Zamalek mwaka 2003 ni wakati sasa kumvua Ubingwa Wydad”
Tweet media one
6
10
250
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
CLATOUS CHOTA CHAMA 'CCC' 🏅 Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Machi, 2023. #NguvuMoja
Tweet media one
1
9
240
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
HUYU NDIYE CHAMA 👏 ◽Clatous Chama ndiye Mchezaji wa KWANZA kuifungia Simba SC hat-trick katika hatua ya makundi ya CAFCL. ◽ Mzambia wa kwanza kufunga hat-trick kwa upande wa Tanzania kwenye CAFCL
Tweet media one
3
9
245
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
Benchi la ufundi 24/25. #NguvuMoja .
Tweet media one
3
6
239
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 year
Tweet media one
0
8
235
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
𝗠𝗹𝗲𝘇𝗶 wa Simba Queens, Fatema Dewji ametoa zawadi ya Ramadhan TV Inchi 55 wachezaji wa klabu hiyo, ili kuhamasisha upendo zaidi kwao kwenye mwezi huu. Pia, kuwapa motisha ya kuendelea kupambana uwanjani na kutetea ubingwa wao wa ligi kuu msimu huu. @fgdewji Cc: Issa Mbuzi
Tweet media one
2
3
223
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
76'| Goooooal Asha Mwalala anatupia kamba ya tatu 🏟️ Simba Queens 3 - 0 FAD Djibouti. #Cafwclqcecafa2024 #ShowingHerBeauty #cecafawomen #NguvuMoja
Tweet media one
0
3
221
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 years
Tweet media one
0
6
204
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
2 months
55'| Simba Queens 2 - 0 FAD Djibouti. Tupo Live Simba App 📱 #Cafwclqcecafa2024 #ShowingHerBeauty #cecafawomen #NguvuMoja
Tweet media one
0
5
205
@simbaqueenstz
Simba Queens Tanzania
1 year
FULL TIME Baleke ni tatizo Jipya Tanzania
Tweet media one
1
9
207