Ezekiel 34:12
Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake waliotawanyika; ndivyo nitakavyowatafuta kondoo zangu; nami nitawaokoa katika mahali pote walipotawanyika, katika siku ya mawingu na giza.
#JusticeForSativa
@prossoff
Me naweza sema it depends with the kinda woman bros, you can't keep forgiving the woman who's cheating twice or thrice a year just because you're escaping that loss of divorce, bros that kinda woman can kill you one day.
@nyuki_malkia
Hii mashine unaambiwa inaweza ikakata miti heka tano kwa saa moja, na ikapalilia heka kumi kwa nusu saa hapo huyo mtumiaji akiwa amechoka......
@nyuki_malkia
Unaambiwa ikifika usiku hii sayari inatukodishia mwezi wake ili uimulike dunia yetu, na kwenye hiyo sayari ndo kuna internet ya bure, hakuna sayari ingine inayoifikia kwa speed ymtandao wake.....
@pprosperous2021
Chukua prompt hii
street style photo, medium shot of model wearing
Bohemian 1950s outfit, in New Orleans, natural lighting,
shot on Sony A7S IlI high resolution digital camera, global
illumination -ar 2:3 -style raw