Kuna day nilichoma blunt tatu ful kwa bash kurudi kwangu nikapatana na wezi wakani surround na mmoja akaniwekea kisu kwa shingo Mimi nikawambia tulieni kitu mnataka niko nayo wacha tuchome first ndio mchukue hii simu, nikawasha blunts nne nilibaki nayo