h Profile Banner
h Profile
h

@p_makonda

6,466
Followers
4,000
Following
2,401
Media
66,279
Statuses

h

Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@p_makonda
h
2 years
Mwaka huu usipoweza mambo madogo kama (kuloga) kuhusu mafanikio sahau📌 GM.
43
53
277
@p_makonda
h
2 years
@VannesserMalick @P8Anco Sisemi wewe ni mbaya. Lakini kwa wadada walivyo warembo miaka hii, soko lako ni gumu mno.
10
35
238
@p_makonda
h
2 years
Based on true story: Siku ya kwanza kufanya mapenzi nilifadhaika saana, saaana tena saaaaaana😥. Kwanza kabisa ni muonekano wa uchi; Nilichokitarajia sio kilichokuwa kinaonekana mbele yangu😂, nilikuwa nawaza kwa akili zangu za kitoto kwamba ile sehemu ni ya kuvutia sana
20
35
201
Hivi kwanini madem wanataka urafiki uendelee baada ya yeye kukukataa au baada ya kuachana!?🤔
27
40
149
Haya sasa ni @TecnomobileTZ tena wamekuja na hii ya moto 🔥🔥 naomba rt 1500 tuichukue hii. #CAMON20ikoplenty @TecnomobileTZ
@TecnomobileTZ
TECNO TZ
1 year
Kumekucha! Retweet Challenge 🔔 Wakwanza kufikisha retweets 1,500 atakua amejishindia CAMON 20 kutoka kwetu 1. Kumbuka kuweka #CAMON20ikoplenty 2. Follow page yetu na Tag @TecnomobileTZ 3. Andika ujumbe mfupi wa ushawishi katika kuipata CAMON 20 Soma vigezo na masharti 👇👇
Tweet media one
54
112
231
13
105
117
@p_makonda
h
2 years
"Usitake kumla usiyemlisha" vice versa yake ni "Usikubali kulishwa na asiyekula" Ladies sijui tumeelewana!?
8
27
119
@p_makonda
h
2 years
Wazungu bikini ndio zinazama Ikweta ila Mbeya hata chupi kubwa unalikuta ndaani😂
16
22
116
@p_makonda
h
2 years
Tabata ina malaya sana siku hz. Serikali iiingilie Kati hili suala vijana tunaangamia😂
19
21
107
@p_makonda
h
2 years
@chapo255 Mzee wale vixen akifanya video moja anaomba inteview kwa Diva anasema anatumia mil 5 kwa siku😂😂
5
0
119
@p_makonda
h
2 years
Whatever ila Arsenal hatokuwa bingwa. Hii save kabisa📌
@George_Ambangil
George Ambangile
2 years
@Hendrix_2ro Kwahiyo mnataka niwape nafasi City ya ubingwa halafu nisiwape nafasi Arsenal ya ubingwa ? Au
56
8
295
24
3
111
@p_makonda
h
10 months
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, na ndio skill ambayo sina kabisaa😅 hata kumfariji mtu huwa siwezi
19
35
103
@p_makonda
h
2 years
One day (Ijumaa) nimekaa sina hili wala lile gheto (Mbagala-Zakhiem) nimepoa, nawaza kodi, jobless as ever, mambo hayaendi Dah 🤒. Nikaamua nipande gari za Kawe nikazuge zuge nile upepo wa beach, nione chupi 👙 kichwa ipoe. Nikapanda gari za Kawe, nikatia earphone zangu nakula
32
22
98
@p_makonda
h
11 months
Jana space kuna mtu kasema unaweza save average 8-9M ukiwa unasoma afya na akasema yeye amejiongeza nje ya Box kumbe kuna msela wamesoma naye na anamjua akachukua mic akaanza kumpasua😅
21
17
97
@p_makonda
h
2 years
Dj Sinyorita pamoja na kujipost post ana folowaz 16.6k na engagement namzidi. Bila magroup soko ni gumu sana😂
12
21
91
Tafuta mwanamke wako mmoja mzuri, mpendane. Matako makubwa, hayatokusaidia kitu📌
20
31
96