laffy Profile Banner
laffy Profile
laffy

@laffy

111,779
Followers
25,174
Following
2,696
Media
73,232
Statuses

memecoin connoisseur | @the_fcompany partner • dm for inquiries

posts/rts = nfa
Joined May 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@laffy
laffy
3 years
Tunatembea na Nani👇 Retweet kwa Burna Like Kwa Sadala..
Tweet media one
Tweet media two
111
762
3K
@laffy
laffy
2 years
Nasoma Comments 😃
Tweet media one
428
96
2K
@laffy
laffy
2 years
Inaitwaje Hii wazee😎
Tweet media one
503
54
2K
@laffy
laffy
2 years
Andika Namba unazoziona hapa Ngoja tujuane😂😂
Tweet media one
1K
116
2K
@laffy
laffy
4 years
Nina Diploma Ya Udaktari Alafu Kuna Jamaa Kaishia Darasa La 4 Anataka Kumuoa Dada Yangu Nifanyene Wapwa....😭
791
36
2K
@laffy
laffy
2 years
What's your Types....?
Tweet media one
596
73
2K
@laffy
laffy
4 years
Hili Gari Huwa lina Kazi Gani👇👇
Tweet media one
241
77
2K
@laffy
laffy
2 years
Twitter Wajuaji ...Hivi Kirefu Cha SM Ni ninii ??
Tweet media one
442
60
2K
@laffy
laffy
2 years
Hii movie gan wazee
Tweet media one
231
67
2K
@laffy
laffy
2 years
Hivi Kuna Movie Kali Kushinda APOCALYPTO ?
Tweet media one
169
77
2K
@laffy
laffy
3 years
Sifa za Wadada Wanaobeba Hivi Vibegi Huwa ni Zipi🤔👇
Tweet media one
305
71
1K
@laffy
laffy
2 years
Unaahisi hiki kigari huwa kinatumia mafuta gani😂😂
Tweet media one
536
65
1K
@laffy
laffy
2 years
Faida Za Kutumia Tangawizi🍂 #RetweeetPlease 🙏 🗯️Tangawizi ni Zao Ambalo Hutumika Kama Kiungo Katika Chakula na Unga wake Hutumika Katika Vinywaji Kama Juisi,Chai na Katika Chai Pia Tangawizi Iliorodheshwa na Serikali Ya Marekani Kama Dawa Kwa Ajiri Ya Binadamu Mwaka 1873
Tweet media one
76
356
1K
@laffy
laffy
4 years
Kuna Watu ni Waongo Duniani Alafu Kuna Huyu Jamaa😂😂😂
Tweet media one
162
46
1K
@laffy
laffy
5 years
Wazee UKIMWI upo!! Nyie Endeleen Kupiga Kavu! kwa kupeana imani Ya ukimchezea vzur Huwez kupata. Nasema Ivi Sisi Tutaendelea kuwapa Dozi na Hatutawatangaza.😅😅
137
126
1K
@laffy
laffy
2 years
Ebu panga bajeti yako hapa iishe leo leo
Tweet media one
352
29
1K
@laffy
laffy
4 years
Mke Wangu Kabahatika Kujifungua Mtoto Wa Kiume Mngependekeza Tumuite nani😌
540
16
1K
@laffy
laffy
3 years
Chelsea Akishinda Leo Naombeni Mniite Jina Lolote la Kike... 🙏
808
45
1K
@laffy
laffy
3 years
Mimi mgeni Humu Huyu Dada Kafanya nini😎
Tweet media one
235
28
1K
@laffy
laffy
2 years
Hizi neti huwa zina kazi gani katika ujenzi wa maghorofa
Tweet media one
275
65
1K
@laffy
laffy
2 years
Bila Kutaja Kazi Yako Andika Kifaa Chochote Kinachopatikana Kazini Kwako Alafu Mimi Ntakuambia ni Kazi Gani Unafanya 👇🏿👇🏿
747
64
1K
@laffy
laffy
3 years
Njia gani huwa unatumia kusafisha pasi?
Tweet media one
252
62
1K
@laffy
laffy
2 years
Ebu panga bajeti yako hapa iishe leo leo
Tweet media one
312
65
1K
@laffy
laffy
2 years
Hivi kuna wanaume wanatumia haka kadude kuogea???
Tweet media one
189
58
1K
@laffy
laffy
3 years
Natoa Vocha ya 10000 kwa Watu Watano.. Cha Kufanya Hakikisha Comment Yako Haijibiwi na Mtu Yoyote Wala Kupata Like Ndani ya Dakika 30...👇 Mwisho wa Challenge Saa 4 Usiku🙏
1K
54
1K
@laffy
laffy
2 years
Daudi alimuuwa Goliath, Samson akauwa Simba. Wewe umeuwa nini? 🤔 😂
Tweet media one
370
74
1K
@laffy
laffy
4 years
Nataka Kufungua Gesti Nitumie Jina Gani Ambalo Litanivutia Wateja😣
300
9
1K
@laffy
laffy
3 years
Hii Nchi Ukifa Kwa Stress ni Maamuzi Yako Tuu😂😂
Tweet media one
165
81
1K
@laffy
laffy
5 years
Kuna Watu Wana Vipaji na Kuna Huyu Mwamba🔥🔥
Tweet media one
92
26
1K
@laffy
laffy
4 years
Mke Wangu Amejifungua Mtoto wa Kike Naombeni Jina la Kike Linaloanzia na Herufi👉T
480
17
1K
@laffy
laffy
3 years
Ebu panga bajeti yako hapa iishe leo leo
Tweet media one
318
41
1K
@laffy
laffy
2 years
kijana mwenye miaka 25 anatakiwa awe anamiliki chombo gani cha moto?
369
38
1K
@laffy
laffy
3 years
Hivi IST huwa inatumia mafuta gani...?
302
25
1K
@laffy
laffy
5 years
Hivi Demu Kuja Geto Akiwa Hedhi Huwa Anakuja Kufanyaje😭😭
347
19
1K
@laffy
laffy
3 years
FAIDA ZA KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO NI ZIPI.
159
23
1K
@laffy
laffy
3 years
Bila Kutaja Kazi Yako Andika Kifaa Chochote Kinachopatikana Kazini Kwako Alafu Mimi Ntakuambia ni Kazi Gani Unafanya 👇🏿👇🏿
482
42
1K
@laffy
laffy
3 years
Wanawake wa Hivi Wanapatikana mkoa Gani..🤔
Tweet media one
241
27
1K
@laffy
laffy
2 years
FAIDA ZA KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO NI ZIPI.
199
57
1K
@laffy
laffy
2 years
Nimesoma biblia vizuri,naomba maswali...👇
255
67
980
@laffy
laffy
4 years
Macomrade Hii Batani Nyekundu Ilikuaga ya Kazi Gan🤔
Tweet media one
259
34
955
@laffy
laffy
2 years
Hebu caption ziwe Fupi fupi😎
Tweet media one
170
60
963
@laffy
laffy
3 years
Jamani Leo Nmegundua Mke Wangu Anajiuza,Nifanyeje😭😭😭
523
24
925
@laffy
laffy
4 years
Ni Biashara Gani,Naweza Kuanzisha Karibu na Polisi Station🥴🥴🥴
286
14
926
@laffy
laffy
3 years
Njia gani huwa unatumia kusafisha pasi?
Tweet media one
206
60
936
@laffy
laffy
2 years
Ukiachana na MwanaChuo, MwanaHarakati,MwanaChama ni Mwana gani mwingine unamfahamu..?!😂
579
47
921
@laffy
laffy
3 years
MKE WANGU ANATEMBEA NA MHINDI, Nifanyeje!?😭😭
460
20
903
@laffy
laffy
3 years
Marekani kila baada ya Mita 100 kuna uwanja wa Basketball China kila baada ya Mita 100 kuna public garden Tanzania kila baada ya Mita 100 kuna nini...👇👇👇
459
38
893
@laffy
laffy
4 years
Sina Uhakika Kama Kuna Series Ya Kibabe Kupita Huu Moto
Tweet media one
166
35
885
@laffy
laffy
5 years
Wakuu mliopo Daslam ivi huko huwa kuna nni mbna mademu zetu wakijaga huko huwa hawachelewi kutuambia ''Leave me alone''🙅
128
25
873
@laffy
laffy
3 years
Chakula Gani Huwezi Kuacha Kula Hata Ukija Kuwa Bilionea?.........
329
25
857
@laffy
laffy
4 years
Bado nini Wakuu☺️
Tweet media one
341
34
862
@laffy
laffy
3 years
Nimechoka Kuvaa boxer nivae nini ?🙄
369
17
864
@laffy
laffy
4 years
Ukiona Natoka Chumbani Kwa Dada Yako nimejifunga Kanga Ya Dada Ako,Mimi ni nani wako
262
18
856
@laffy
laffy
3 years
Tuweke Ushabiki Pembeni ni Picha Ipi Hapa Imekuvutia♥️
Tweet media one
158
23
855
@laffy
laffy
2 years
TANGAWIZI🚨 #RETWEET KWA FAIDA YA WENGINE 🗯️Tangawizi ni Zao Ambalo Hutumika Kama Kiungo Katika Chakula na Unga wake Hutumika Katika Vinywaji Kama Juisi,Chai na Katika Chai Pia Tangawizi Iliorodheshwa na Serikali Ya Marekani Kama Dawa Kwa Ajiri Ya Binadamu Mwaka 1873
Tweet media one
36
355
861
@laffy
laffy
2 years
Hivi Vidude huwa vjna kazi gani Barabarani🤔
Tweet media one
62
40
868
@laffy
laffy
4 years
HIVI UKIMPA MIMBA MWANAFUNZI UNAENDA WAPI?
254
20
838
@laffy
laffy
4 years
Kuuliza Sio Ujinga Hivi G-Spot Huwa Inakaa Maeneo Gan😎😎😎
168
17
837