๐๐๐๐ฅ๐ฆ๐๐๐ช๐ฐ๐ช
1 year
Kuna day fulani hapo nikiwa primary school tulichinja kuku na tukapika chapo jioni. Sa next day lazima ningebeba lunch nikienda chuo alafu lunch-box ilikua kasuku ya kimbo, simnajua tu hizo siku kupata chapo ama nyama ya kuku ilikua balaa. Nakumbuka hadi chopi wa daro Opiyo