Jerasp | Ajira za Afya Profile Banner
Jerasp | Ajira za Afya Profile
Jerasp | Ajira za Afya

@jeraspORG

3,091
Followers
251
Following
188
Media
2,685
Statuses

#1 site in Tanzania, dedicated to empowering students and graduates who have pursued a career in the healthcare field.

Joined August 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
DISCLAIMER Please be cautious of paying for job opportunities posted online. Legitimate employers do not typically charge applicants. Exercise due diligence, research thoroughly, and be wary of potential scams. Always prioritize your safety and financial well-being. Thanks
1
2
23
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya, Chanika, Dar es Salaam
Tweet media one
101
101
1K
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
A true CKAY๐Ÿฅ€ fan won't pass without liking and retweeting this. #Senegal | #olosho | #doggy | #Sagna
Tweet media one
3
12
160
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
Eddy Kenzo broke the political slavery that was put on artists ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ . They are now FREE !! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Like If you like Eddy Kezo. HAPPENING NOW | #Nate #pesh | Western Uganda | #Gulu | #Mbale #girlsummitug #mubende #grammy
Tweet media one
2
1
69
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
The most underrated medical field in Tanzania. Unadhani ni kwanini fani ya maabara haipewi heshima inayostahili?
Tweet media one
18
5
64
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Kama ulituma maombi ya ajira MDA & LGAs kupitia ajira portal Log in sasa kutuangalia kama umeitwa kwenye usaili Fuata hatua hizi 1. Log in Ajira Portal 2. Bonyeza menu juu kulia 3. Bonyeza My Applications Kama umeitwa dondosha like humu twende sawa
6
4
44
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Dozi inaendelea, ushindwe wewe kitoboa Usaili
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
5
38
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Wataalamu wa Afya mna kiburi, yani ajira zote hizi lakini bado tu hamtaki kunifollow Haya sasa TAMISEMI imeshapita ila namwaga zingine nyingi za private very soon hakikisha umenifollow ili usipitwe
Tweet media one
3
5
36
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Watu humu X wanapenda upuuzi kweli yani, napost ajira hata hawarepost nikipost upuuzi tu repost za kumwaga. Vijana tujitahidi kukimbizana na fursa lakini pia tuwasambazie na wenzetu, ku repost ni bure tu Sharing is caring
1
6
33
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Platnum Medical Care, Morogoro Tanzania
Tweet media one
3
5
33
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
6 months
@fbuyobe Madaktari, wauguzi, Wataalamu wa Maabara, mnifollow sasa ajira zipo acheni kulinda watu lindeni afya za watu.
3
4
32
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Nafasi 38 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Tusijisahau kuwa mkeka hautatuchukua wote, usiache kutuma maombi sehemu nyingine
Tweet media one
3
2
30
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
1
0
26
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Unafikiri ni kwanini wagonjwa wengi hawakiamini hiki kipimo?
Tweet media one
13
2
28
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi za Kazi kwa Wataalamu wa Afya JK Hospital, Kigamboni
Tweet media one
1
3
28
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Hivi Vernier Calliper inatumika kupima ugonjwa gani hospitali? @wizara_afyatz na Sekretarieti ya Ajira inabidi muwaombe radhi wataalamu wa maabara Mmeikosea heshima hii kada kwenye usaili wa leo.
Tweet media one
10
4
28
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
Karibu Tanzania Nchi Ambayo Ukiwa Boyfriend Unakuwa Na Majukumu Makubwa Sana Kuliko Hata Kuwa Baba Mzazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #WajumbeFunFriday
0
3
25
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
6 months
@fumbokhanJr Ukipewa namba na rafiki wa mwanamke, tuma muamala kimakosa then piga hawezi kuuliza tena umeitoa wapi
1
0
25
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
St.Anne Dispensary Chanika Inahitaji Wataalamu wa Afya wafuatao 1. Clinical officer (3 Posts) 2. Enrolled nurses (2 Posts) 3. RN (1 Post) 4. Mtaalam wa maabara (1 Post) Tuma CV kupitia WhatsApp: 0687917680 au Email: frankalfaxard @gmail .com
2
2
26
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
Like and Retweet if #BurnaBoy is the biggest African artist ever #Igbo #osibanjo #Deloitte #Damini #grammy
Tweet media one
1
7
24
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Kwa wataalamu wote wa afya mliotuma maombi, tuanze kupiga msuli kuanzia Anatomy na kuendelea Kwa mujibu wa PSRS ni kwamba taarifa walizo nazo mpaka sasa kutakuwa na usaili kwa waombaji wote ambao utafanyika kwa njia ya mtandao
Tweet media one
8
3
26
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
11 days
Nafasi ya Kazi kwa Wauguzi (Nurses) Retweet iwafikie walengwa Follow @jeraspORG
Tweet media one
2
7
26
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Marking Scheme ya Clinical Offices Usaili Utumishi. Huu ni mfano
Tweet media one
4
1
25
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi
Tweet media one
0
2
25
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Kama ulituma maombi MDA & LGAs na hujaitwa kwenye usaili kwa sababu batili Mfano: Umeandikiwa hujaweka cheti fulani na ukiangalia unakuta ulikiweka Tuma appeal/rufaa yako mapema ili uitwe kwenye usaili Tuma rufaa yako kupitia E mail: ict @ajira .go.tz au malalamiko @ajira .go.tz
2
1
24
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya TFS, Maombi Yanatumwa Kupitia Ajira Portal
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
1
24
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Baada ya mjadala mrefu wa Daktari na Tabibu sasa wote kwa pamoja nipeni elimu Kwanini madaktari/tabibu wengi huwa hamfuati huu utaratibu? Ukifika tu unaulizwa unajiskiaje, ukijieleza imeisha.
Tweet media one
14
0
22
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Nafasi za Kazi kwa Madaktari (Medical Doctors) WHO - Dodoma Salary: USD 2482 (TSH 6.5 M) /mo Deadline: June 11, 2024 Application link ๐Ÿ‘‡
0
5
22
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
@NyandaAmosi
AmosiNyanda
2 years
Pesa Online Hazipo Kwenye UJUZIโ€”Zipo Kwenye KUUZA huo Ujuzi . Mwambie mentor wako Akufundishe na Jinsi ya KUUZA huo Ujuzi anaokufundisha . Kinyume na hapo...itโ€™s Useless! . Pia hakikisha anayekufundisha Anakifanya na Kukiishi Hicho anachokufundisha
1
7
30
0
2
17
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Namna usaili utakavyofanyika kwa ngazi tofauti za elimu Bachelor Degree - Online Amplitude Diploma - Hand Written Certificate - Hand Written
Tweet media one
2
4
21
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Tuwachanganye non medical kidogo. What is this?
Tweet media one
10
1
21
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Anahitajika Mtaalamu wa Maabara Level: Certificate Location: Temeke, Mwembe Yanga Mawasiliano: 0774003682
0
1
20
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Baada ya mawasiliano na wahusika Majibu 1. E-mail ya kampuni iko chini ya mwanasheria wa na hayupo Dar 2. Wamesitisha matumizi ya sanduku la posta kwa sasa 3. Fika ofisini na docunets zako kwa mahojiano na makubaliano ya vigezo na masharti ya ajira. Ofisi ipo Nyeburu, Chanika
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya, Chanika, Dar es Salaam
Tweet media one
101
101
1K
3
2
19
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Anahitajika RN (Nurse) Location: Dodoma Mjini, Chamwino. Muda wa kazi ni jumatatu-ijumaa Saa 2 asubuhi- saa 11 jioni Mawasiliano: 0767936969
2
4
19
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Wataalamu wa Afya muendelee kunifolo, Ajira bado zipo nyingi aise kuna maisha baada ya Ajira Poto.
Tweet media one
4
1
18
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
@Sirajitz1 Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Maabara, Wafamasia mnifollow sasa ajira zipo nyingi
1
0
18
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
@Cliff_LennyK Kwa sasa utaratibu ni kufikisha kwa mkono, niko nafanya mawasiliano nao kuona kama utaratibu unaweza kubadilika
3
0
17
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Anahitajika Mtaalamu wa Maabara Level: Certificate Location: Temeke, Mwembe Yanga Salary: 200K Nauli: 1500 kila siku Shift: 15:00 - 22:00 Mawasiliano: +255774003682
1
3
17
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
@Sirajitz1 Wataalamu wa Afya Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Maabara, Wafamasia mnifollow sasa ajira zipo nyingi huku
0
0
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Tupate elimu kutoka kwa Wataalamu wa Afya Mtuwie radhi hatuna consultation fee Swali: Unamsaidiaje mtu aliye ng'atwa/shambuliwa na nyuki?
Tweet media one
3
1
17
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Mambo 7 ya Kuzingatia Wakati wa Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Huwa unasahau lipi?
Tweet media one
0
2
17
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Mtu anakuomba hizi atolee uchafu masikioni Mwelekeze matumizi yake kama mtaalamu
Tweet media one
6
0
16
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Maelekezo kwa Wanaohitaji Kubadili Kituo cha Usaili Fuata hatua hizi 1. Log in Ajira Portal 2. Bofya menu juu kushoto 3. Bonyeza "Personal Details" 4. Badili "Current Resident Region" Fanya mabadiliko haya kabla ya ijumaa saa 10:30 Jioni
Tweet media one
3
5
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Anahitajika Laboratory Assistant Hata asipokuwa na leseni Location: Temeke, Mwembe Yanga Salary: Makubaliano Mda wa kazi saa 15:30 PM mpaka 22:30 PM Nauli juu ya boss Mawasiliano: 0683639428
0
3
16
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
@babalao__ @beingtoxic_ @beingtoxic_ @beingtoxic_ follow nikufollow kwa spidi ya uchumi wa kati
0
0
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
20 days
Nafasi ya Kazi kwa Wataalamu wa Maabara Chanika Retweet iwafikie walengwa Then Follow @jeraspORG
Tweet media one
1
3
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
Most awarded artists in africa ๐ŸŒ๐ŸŽ– 1. Davido ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ 110 awards๐Ÿ† 2. Sarkodie ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ 103 awards ๐Ÿ† 3. Wizkid ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ 79 awards ๐Ÿ† 4. 2Face ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ 74 awards ๐Ÿ† 5. Shatta wale ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ 71 Awards ๐Ÿ† 6. Diamond Platnumz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 64 awards.๐Ÿ† #diamondplatnumz #Wizkid #WizkidXDavido #davido #Sarkodie
1
1
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
10 days
Orodha ya Vipimo Vinavyo Ongoza kwa Kuogopwa Zaidi Hospitali Unaenda hospitali mara kwa mara na unafanya baadhi ya vipimo, je ushawahi kujiuliza ni vipimo gani vinaogopwa zaidi na wagonjwa au wataalamu wa Afya? Uzi ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
3
3
16
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
@heisbixen Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Maabara, Wafamasia mnifollow sasa ajira zipo nyingi
0
0
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Nafasi ya Kazi kwa Wauguzi Kitengule Hospital, Tegeta
Tweet media one
0
4
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Vile polisi wanakuzoom ukidownload pdf Anyways Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Maabara, Wafamasia polisi nayo imepita hola ni muda unifollow sasa ajira za afya bado zipo
Tweet media one
2
1
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Doctors Nielewesheni Hapa Hivi inawezekanaje wagonjwa zaidi ya 100 wakawa na same laboratory investigations? Ni kwamba wanakuja na same history au ni uvivu wa doctors kufikiria kwasababu unakuta hadi recurring patients wanapimwa vipimo vilevile vya last time.
Tweet media one
8
1
15
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
Wanahitajika Wakufunzi Wafuatao: 1. Fani ya Maabara(Lab Technicians) 2. Wafamasia (Pharmacists) 3. Madaktari (Doctors/Clinical Officers) Elimu: Ngazi ya Diploma na Degree, Awe amesajiliwa na bodi husika na ana cheti, awe na uzoefu usiopungua miaka miwili Mawasiliano โฌ‡๏ธ
0
0
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 years
Sijaishiwa chimbo za madini bado Amini usiamini watu wanauza sana kwa WhatsApp kwa kupitia njia hii ๐Ÿ‘‡
@NyandaAmosi
AmosiNyanda
3 years
Tengeneza CHAMBO/Bait ya PDF... . Itoe FREE Twitter au Instagram... . Kisha Tuma Leads Kwenye โ€”WhatsApp yako . Halafu Kusanya Hilo LIST Kijana . Halafu Anza kufanya MAUNYAMA Kwenye WhatsApp Status yako . P. S. Chukua Dini la WhatsApp Marketing Hilo ๐Ÿ˜€
5
15
95
0
1
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Swali gani lilikuwa gumu kwako wakati wa interview?
Tweet media one
1
2
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Maelekezo Kutoka Utumishi Namna Usaili Utakavyofanyika
Tweet media one
0
1
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Anahitajika Clinical Officers (CO) Aliyemaliza Mwaka 2023 Awe anajua kujaza bima na mwenye uwezo wa kutumia computer vizuri Awe anaishi Dar es Salaam Kituo kipo Mbezi, Dar es Salaam Mawasiliano: 0620393611 WhatsApp Only
1
4
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
A true TIWA ๐Ÿฅ€ fan won't pass without liking and retweeting this. Seyi Tinubu | The Griot | Kizz Daniel | #Dangote | #Papaya | #Wari | #Usman | #Bobrisky | #Lagosians | Bode George | James Brown | Happy 30th |
Tweet media one
0
1
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
Wanahitajika wataalamu wafuatao 1: Clinical Officer (1 Post) 2: Lab Technician (1 Post) 3: Enrolled Nurse (1 Post) Kituo kipo Morogoro Mawasiliano: 0743347977
2
2
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Tupe experience yako mtaalamu Mara ya kwanza kuchungulia kwenye hii kitu uliona nini?
Tweet media one
9
1
14
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Kufahamu mkoa ambao utafanyia usaili wa mahojiano 1. Log in Ajira Portal 2. Bonyeza menu juu kulia 3. Bonyeza "My Applications" Angalia sehemu iliyoandikwa "Employer" utaona mkoa utakaofanyia usaili wa mahojiano
Tweet media one
2
2
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Asante sana kwa kuappreciate kazi tunayoifanya, tunaomba support yako kwa kulike na kurepost ili ziwafikie wataalamu wengi zaidi wapate updates za ajira Natanguliza shukrani
Tweet media one
0
2
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Unapotafuta kazi mpya, ni jambo gani muhimu huwa unalizingatia? A) Mshahara, B) Usawa wa maisha ya kazi, C) Utamaduni wa kampuni, D) Kitu kingine (Kitaje)
2
1
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Viambatanisho vya kubeba wakati wa kufanya Usaili
Tweet media one
0
0
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
6 months
Natafuta Clinical Officer (CO) kufanya kazi zahanati Kwa aliyepo Dodoma tu Piga No: 0655219626
0
1
13
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
@earadiofm Sahihi kabisa ubunifu ni kuunda kitu kipya, mfano ukiunda viatu ambavyo vitasaidia watu kutembea kwenye maji ni ubunifu kwasababu hivyo viatu havijawahi kuwepo kabla. Huu mwingine ni utundu au uboreshaji tu.
3
0
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
Anahitajika MTAALAM WA MENO (Dental Therapist) Sifa Awe na LESENI MSHAHARA: 1.8M/mo LOCATION: MBURAHATI, DARESALAAM MOBILE: 0679324986 / 0652299995
0
1
11
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 years
Madini ya kuuza kwa kupitia simu tu. Ukiongea na mteja lazima azame mfukoni atoe hela
@NyandaAmosi
AmosiNyanda
3 years
Ukiwa Unaongea na Mteja Kwenye Simu na Ukafanikiwa Ku-CLOSE Deal... . Basi Record hayo Mazungumzo yako na Mteja kisha yapeleke Kwenye Maandishi... . P. S. Mbinu za Kuuza Kwenye Maandishi na Kwenye Maneno ni zile zile!
2
20
150
0
1
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
Tunisia into the lead with a superb goal from Khazri ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia 1-0 France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท #Tunisia #TUNFRA #TeamTunisia #WorldCup #ู…ูˆู†ุฏูŠุงู„_ู‚ุทุฑ_2022
1
2
11
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Tweet media one
0
0
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
Ukiona mbwa wako kaanza kukubwekea Ujue kuna jirani anamlisha chakula kizuri, wanaume nadhani tunaelewana #WajumbeFunFriday #WajumbeTuinuane
4
1
11
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
Pharmacist Anahitajika Location: Kahama Posho 700K Mawasiliano: 0765652994
1
5
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Anahitajika Mtaalamu wa Maabara Certificate Level Location: Pugu, Dar es Salaam Mawasilian: 0718738838
0
1
11
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 years
Spana VAR Video Version inspired by @spana_Konki Kindly Retweet. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
1
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Aahitajika mtalaam wa maabara Level: Certificate Location: Shinyanga Malazi ni free Mshahara: Maelewano Contacts: 0692180222
1
0
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Nafasi 56 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Kilindi Lutheran Hospital Deadline: July 27, 2024 Application link ๐Ÿ‘‡ Kwa fursa nyingi za Wataalamu wa Afya Follow ๐Ÿ‘‰ @jeraspORG
1
4
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Are you invited?
Tweet media one
1
0
12
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 years
I agree with this 89%
@NyandaAmosi
AmosiNyanda
3 years
Ukisoma Dark Psychology utagundua kwamba... . Kuna POWER Kubwa Sana Kwenye Kuvaa PLAIN T-shirts ambazo hazina Maandishi yoyote.... . Fuatilia kwa kina Mavazi ya Mark Zuckerberg, Steve Jobs, Jeff Bezos, Billy gates, . Pamoja na 98% ya Genius Utagundua kitu!
14
23
102
0
2
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
6 months
@fbuyobe Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Maabara, Wafamasia, mnifollow sasa ajira zipo acheni kulinda watu lindeni afya za watu.
1
0
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Changamoto ya ajira kwa vijana ni janga kubwa sana Afrika. Je ni kweli kwamba ajira ndio msingi pekee wa maisha bora kwa vijana?
Tweet media one
2
0
11
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
R.I.P Legend Maradona, unamkumbuka Maradona kwa kimbwanga gani uwanjani?
Tweet media one
0
1
8
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 months
Wanahitajika Wataalamu wa Maabara 2 Level: Diploma Sifa: Awe na leseni (FRP) Offer: 400,000 Location: Mbande Bamia Mawasiliano: +255719240391
2
2
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Nafasi Zaidi ya 122 za Ajira kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Deadline: June 25, 2024 Application link ๐Ÿ‘‡
1
0
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
6 months
Anahitajika: Medical Attendant kuuza Duka la Dawa Location: Iringa Vijijini Mshahara: Maelewano Mawasiliano: +255767314218
1
0
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
@TMnyama4_ Kwa Matangazo ya Ajira za Afya Follow @jeraspblog Tunatoa taarifa zote za fursa zinazohusu wataalamu wa afya Tanzania kila siku Maalamu Nifollow sasa ajira zipo nyingi kwa ajili yako
0
0
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
5 months
Anahitajika Nurse Assistant kufanya kazi kweny Dispensary Location: Tabata Kisukulu Mawasiliano: 0658111763
2
0
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 months
Anahitajika Clinical Officer Kuuza Duka la Dawa. Jinsia: KE Location: Bunda, Mara Kula na mahali pakulala juu ya boss Mawasiliano: 0769253334
0
1
9
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
#SundayTakeAway If a lie is repeated often, it becomes part of your reality. When many people believe it, it turns into a culture. Passed down through generations, it becomes a tradition. Do you agree this?
2
2
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
4 years
0
0
9
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
3 months
Nafasi za Kazi kwa Wateknolojia Dawa (Pharmaceutical Technologists) Bunge la Tanzania Deadline: August 2, 2024 Application link ๐Ÿ‘‡ Kwa fursa nyingi za Ajira za Afya Follow ๐Ÿ‘‰ @jeraspORG
0
3
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
1 month
Anahitajika Mtaalamu wa Maabara Level: Certificate Location: KIGOMA MJINI-UJIJI Mawasiliano: 0764148443
0
1
10
@jeraspORG
Jerasp | Ajira za Afya
2 years
Whole crowd singing for Palestine after a Tunisia fan invaded the pitch while waving Palestine Flag. #TUNFRA #Tunisie #WorldCup #FIFAWorldCupQatar2022 #TeamTunisia #Palestine #Yanissa #Mandanda
0
4
10