jenny🌹 Profile Banner
jenny🌹 Profile
jenny🌹

@jennieleo28

2,729
Followers
2,017
Following
5
Media
12,901
Statuses

Be the best version of you.

Tanzania
Joined February 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
R.I.P kwa akaunti zote za wana ambazo ziliacha kupost chochote baada ya umauti kuwafika, tunawaombea mwanga wa milele uwaangazie daima.
32
71
450
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
"Moshi ndio sehemu yenye single mother wengi kuliko sehem nyingine yoyote dunia nzima." Je, kuna ukweli wowote kwenye hii comment ya mdau?
44
31
309
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Ni njia gani rahisi ya kujua mwanamke anakupenda kweli.?
44
11
197
@jennieleo28
jenny🌹
16 days
Mshukuru Mungu kama umeamka salama 🙏🙏 Good morning God’s people
44
52
109
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
35
44
106
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Happy birthday to me 🎂🤍
Tweet media one
44
39
102
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Mshukuru Mungu kwa kila jambo 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️❤️
31
36
100
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Kwa hayo mambo unayopitia bila mtu yeyote kujua,ukipata muda upe pole moyo wako.
11
24
98
@jennieleo28
jenny🌹
20 days
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people
36
41
97
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people
39
45
92
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Tuambie tabia yako moja ambayo hata wewe mwenyewe unaipenda ?
22
22
88
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
33
38
82
@jennieleo28
jenny🌹
6 months
Haijalishi humpendi mtu kiasi gani, chuki zako hazitamzuia kubarikiwa au kufanikiwa kwake maishani.
7
34
77
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
22
25
83
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
22
31
77
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Mtu akikutendea mema, usisahau lakini ukitenda mema kwa mtu yeyote, sahau.
12
33
76
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
26
33
79
@jennieleo28
jenny🌹
9 days
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🏿🙏🏿 Good morning God’s people ❤️
33
42
78
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Nyakati ngumu hazidumu. Good morning God’s people ❤️
27
28
76
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Good morning God’s people 🤍✨
29
37
74
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Kama mwanaume, utafanyaje ukigundua kuwa mwanamke uliyenaye anatumia njia za uzazi wa mpango na hana mtoto?
10
7
72
@jennieleo28
jenny🌹
25 days
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
27
35
73
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🏿🙏🏿 Good morning God’s people
28
30
71
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Mshukuru Mungu kwa kila jambo 🙏
24
32
68
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
18
25
67
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🏿🙏🏿 Good morning God’s people
27
32
68
@jennieleo28
jenny🌹
27 days
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people
31
30
68
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
22
31
65
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Wewe ni mshamba wa kitu/vitu gani?
10
14
62
@jennieleo28
jenny🌹
18 days
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people
27
27
61
@jennieleo28
jenny🌹
6 months
Chunya na Tunduma ni sehemu ambazo hata vijana wadogo wako na pesa vibaya mno.
7
19
61
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Mshukuru Mungu kwa kila jambo 🙏🙏 Good morning God’s people 🤍✨
19
29
62
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Wewe ni shabiki wa vitu gani?👇
9
6
60
@jennieleo28
jenny🌹
13 days
Good morning God’s people 🤍
32
37
61
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people 🤍✨
24
30
61
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kama una mtu kwanini unajipost sana?
8
19
58
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ili uone maisha ni mepesi kwako unatakiwa ufikie hatua gani?
10
18
59
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Tafuta mwanamke ambaye anawaza mbali, mbali na kupaka make ups, kuweka kope na kucha sentimita 5.
8
16
59
@jennieleo28
jenny🌹
6 days
Mungu ni mwema sana 🙏
18
33
60
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ukikutana na mwanamke anakwambia anapenda kuwa single maza basi ujue huyo ni MALAYA.
6
12
57
@jennieleo28
jenny🌹
11 days
Mwenyezi Mungu akakupe sawa sawa na hitaji la moyo wako 🙏🏿
19
31
55
@jennieleo28
jenny🌹
30 days
Ni siku nyingine tena tumshukuru Mungu 🙏🙏 Good morning God’s people 🤍
23
30
55
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Kuna wale wanetu sana huwa wanatutafuta siku ambazo hata sisi hatuna kitu kabisa.
9
16
54
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Ukiota unakula/unalishwa nyama, jiandae na msiba.
10
7
55
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Good morning God’s people 🤍✨
18
19
54
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Usijidharau kamwe kwasababu utajirudisha nyuma wewe mwenyewe.
4
12
50
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ukiachana na hofu ya Mungu ni hofu gani nyingine uliyonayo?
11
19
52
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kwanini wanawake hawapendani wenyewe kwa wenyewe?
9
17
53
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena 🙏🙏 Good morning God’s people ❤️
23
30
53
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Drake ndiyo msanii pekee mwenye bifu na wahuni wengi kule mamtoni.
11
12
49
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ni biashara gani ushaifanyia tafiti vizuri na unatamani uifanye?
10
14
49
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kama una mtu kwanini unajipostpost sana?
6
11
50
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Good morning God’s people 🤍✨
25
28
52
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kwahiyo wanangu, siku nikijichanganya humu mtanipika?
13
14
51
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Unajua nini kuhusu biashara ya Nafaka?
6
13
48
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Sijawahi kuelewa kabisa uimbaji wa Burna boy
9
9
51
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kama mwanaume, ukiona hakuna mwanamke anayekupenda kweli wakati ukiwa huna kitu basi hakuna mwanamke atakayekupenda kweli ukiwa na pesa.
7
16
51
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Mshukuru Mungu kwa kila jambo Good morning God’s people 🤍✨
21
27
50
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kuanzisha mahusiano kwa kudinyana ni bora zaidi kuliko kuanzisha mahusiano kama marafiki.
5
14
45
@jennieleo28
jenny🌹
6 months
Hivi ikitokea wazazi wamekosana mpaka wakaamua kuachana na watoto wakiwa wanajitambua kabisa je watoto wana haki ya kuuliza sababu ya kuachana kwa wazazi na kuchagua kuwa upande wa baba au mama?
11
16
47
@jennieleo28
jenny🌹
24 days
Mungu ni mwema sana 🙏
20
24
46
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
God is Good 🙏🏿
24
30
47
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Kuna hii kitu inaitwa amani ya moyo itunze sana ukibahatika kua nayo .
9
23
47
@jennieleo28
jenny🌹
2 months
Sali sana kuna watu kuanguka kwako ni moja ya maombi yao .
10
27
46
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kuna mwanangu ni mwalimu wa physics na maths anaishi dodoma alituma maombi kwenye shule ambayo ipo arusha iliyokuwa inahitaji mwalimu wa maths na bahati nzuri akapigiwa simu na mkuu wa shule kuwa aende arusha akafanye interview 👇
4
5
45
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Rafiki zako wa zamani uliopotezana nao ukikutana nao tena wakikuuliza unafanya nini siku hizi unatakiwa uwajibu vipi?
9
10
44
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Wapo watu ambao hawaamini katika Mungu lakini wanafanya kazi usiku na mchana na wana asilimia kubwa ya kutoboa kuliko wale watu ambao wenyewe muda wao mwingi wanapiga ibada bila kufanya kazi.
5
9
43
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ni line gani ya mtandao wa simu uliyoitumia kwa muda mrefu sana.
16
14
43
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Wagonjwa wa cancer wanaongezeka kwasababu watu wapo busy sana kunyonya viungo vya uzazi.
7
15
42
@jennieleo28
jenny🌹
6 months
Kuwa suspended tu kidogo tayari mmenisahau wazee.😂
14
15
41
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
Good morning God’s people ✨🤍
22
24
42
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Nyimbo za Ambwene Mwasongwe ni ibada tosha!
3
3
38
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Nyakati ngumu hazidumu
5
12
38
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
TANGAZO! TANGAZO! Mapenzi ni matamu!
12
12
38
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Option ni mbili tu; utumie pesa ili akupende au utumie pesa ujipende ili akupende.
4
11
36
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Kuna zile movie huwa picha linaanza alfajiri adhana inalia halafu kuna land cruiser iko na mateka na iko mafuta mbaya halafu "somewhere in Afghanistan "
3
7
36
@jennieleo28
jenny🌹
6 months
Natafuta mwanamke mwenye kazi nzuri, mwenye pesa, nyumba, gari, mrefu mweupe,mwenye shepu kama lote, umri chini ya miaka 30 na mwenye hofu ya Mungu.
11
20
36
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Uko makini kusoma post za watu kuliko ulivyokuwa unasoma shuleni.
3
13
37
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Taja kikosi chako kwenye team ambayo unashabikia ambacho ulikuwa ukiangalia kikosi tu unajua mechi imeisha hata kabla mechi haijaanza.
3
8
36
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kama mtoto, hutakiwi kuingilia ugomvi wa wazazi kwa namna yo yote ile na usichague upande.
8
17
37
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Mwanaume anatulia kwa mwanamke mnyenyekevu na mtii. ~ @Consolataally 2024
6
9
36
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ombi lako la kazi likapate kubaliwa ili uweze kubadilisha hali ya nyumbani.
2
12
36
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Utafanyaje ukijua tu huyo mtoto unayejua ni mwanao kwa kumhudumia vizuri kwa kila kitu kuwa siyo damu yako?
5
11
34
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kizazi cha majina kama Baraka, Emanuel,Frank,John,Eliah,Elias kinapotea kinakuja kizazi ambacho hebu fikiria babu yako awe anaitwa Junior.
7
7
37
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Album ya chris brown 11:11 bila shaka itaenda kumpa Grammy.
3
10
35
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kutofanya mapenzi mara kwa mara kunaleta msongo wa mawazo na unakuwa na hasira sana.
4
10
34
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Good morning, habari ya asubuhi.
8
18
35
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Simba mnyama mnyama! Sijui nini na nini mnyama😂😂
0
10
33
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Kama ulipotezana na marafiki zako wa zamani we ingia tu facebook.
6
7
33
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Niamini mimi, miezi mitatu ijayo utakuwa kwenye hali nzuri sana.
5
11
32
@jennieleo28
jenny🌹
1 month
Good morning God’s people 🤍✨
13
14
34
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Mwanamke akikupenda kweli ANAKUZAA.
4
3
32
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Maisha ya @raphyrodrick ni kama ya kwenye movie vile yani yeye hali dagaa, maharage ,nyanya chungu, mlenda wala mboga majani amebadilisha ni nyama ya kuku,mbuzi,ng'ombe,mdudu.
3
5
31
@jennieleo28
jenny🌹
3 months
Ni brand/company ipi imekukosa kama mteja?
7
10
32
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Wanawake wenye matako makubwa wanapendeza tu wakiwa wamevaa nguo, akivua nguo wakati wa sex akikaa doggy huwa wanatoa harufu nzito sana inaweza katisha mtu hamu ya kupiga show tena yaani kiufupi tu huwa hawajioshi vizuri uko ndani wananuka sana. Yours truly, Ngadu.
10
8
33
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Ukioa kwa sababu ya uzuri na kuweka pembeni vitu vingine vya msingi kama tabia njema ndiyo utagundua kumbe ule wimbo wa lucky dube " IT'S NOT EASY" aliimba wakati hajala jani.
3
9
32
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Vita ya wanawake kuchukia wakiona wanaume zao wapo busy kufatilia mpira haiwezi kuisha milele.
2
7
32
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Nilijunga twitter 2018 nikawa active mwaka 2020. Wewe je?👇
7
7
32
@jennieleo28
jenny🌹
4 months
Unakuta unamheshimu mtu vizuri kumbe ni mtaalamu wa kunyonya viungo vya uzazi na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula🚮
8
10
29