My love is burning, baby
Feels like time is frozen and the night is for us
And we're alone again and every moment's golden, yeah
Feelings I've been holding in, it must be love..
Nimekumiss mno! Natamani nikupigie uniambie mawili matatu,Sema namba zako kashapewa mtu mwingine ila nitabaki nazo siwezi kufuta ๐ข!!
Endelea kupumzika kwa amani Baba โค๏ธโค๏ธ!
Dear God, Ashe nalengโii for giving me the opportunity to exist in this wonderful earth..This year has brought me new friendships, experiences and there are lots more in store for me to learn. Happy birthday to me!!๐
Hivii mnaowafundisha wanawake walioolewa waachike kwa nini huo muda msiwafundishe kuwaheshimu waume zao??
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mwenye heshima na utii!!
Mwanamke mwenye kiu ya maendeleo ni hazina kwa mwanaume wake lakini mwanamke mwenye kiu ya urembo ni mzigo kwa mwanaume wake!!!
Alhamdullilah kumekucha tena ๐
Kuwa na mwanaume ambaye ameshapita ile stage ya matamanio ya kimwili,ambaye matamanio yake ya sasa ni amani ya moyo,maisha bora na kutulia na mmoja!! Nukta ๐ซฃ๐
Mapenzi matamu sana!!! Ningepost picha zetu sema watamloga ๐๐๐๐!! Halafu sina mwingine ๐๐!!!! Baada ya couple yangu nii hiii๐
Naipenda sana hii couple