Honestly nimekuwa speechless juu ya hili😭 'binti ni kahaba, anajiuza' HOW🤔?Wakati tumeona kabisa anaambiwa aconfess kuwa hatorudia kutembea na mume wa mtu😳alikuwa anajiuza hadi maji anaomba(na hakupewa) kujiuza gani huko?Jeshi la Polisi mjitafakari😏😏, hii SIO SAWA KABISA💔🚮