Nishai enda sleep over kwa dem, after round one nikasema wacha nijiekele kidogo as the 1 minute man I am😄, chali yake akabisha mlango, nikaruka kwa kiti, jamaa kuingia dem akasema "baby usipige kelele utaamsha bro wangu mdogo." Usiku nilikua naskia dem akipigwa vitu naskia kulia