E Digital Profile Banner
E Digital Profile
E Digital

@EfmTanzania

51,199
Followers
34
Following
10,761
Media
18,634
Statuses

Official Account for E Digital | Representing E-FM Radio and TV-E Tanzania| #MuzikiUnaongea | #Tunavyoishi

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tweet media one
96
216
4K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwa mtangazaji huyu kazi tunayo 😂🙌🏻 @mkandamizaji
Tweet media one
90
82
3K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tunatambua nafasi kubwa ya jumuiya ya ‘Twitter’ na mitandao kwa ujumla katika mijadala ya kitaifa. Katika kuongeza ladha mpya zinazozingatia vijana kwenye tasnia tumemua kumsajili Roland Barnabas ( @rollymsouth ), mwenye uwezo mkubwa katika kuibua na kujadili hoja.
457
464
3K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Anko Kikatuni 😁 @rollymsouth anapitia vichwa vya habari vilivyoandikwa kwenye magazeti mbalimbali. Sikiliza #JotoLaAsubuhiEFM muda huu Anko Kikatuni yupo LIVE🙌
Tweet media one
27
96
2K
@EfmTanzania
E Digital
9 months
Wametoka Mbali, Wamemfuata Dj Uswahilini, Wamefika Tupo Nao Hapa🙌
99
238
2K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Madini ya Anko Kikatuni @rollymsouth juu ya hoja ya mabasi kusafiri usiku. @rollymsouth @mkandamizaji
73
171
2K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Umesikiliza Busara za #AnkoKikatuni @rollymsouth Leo Kuhusu kwenda MSIBANI ?
Tweet media one
26
48
2K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
"Ni heshima kubwa kupata nafasi ya kujumuika nanyi. Hatua kubwa imepigwa kwenye fani hii ya utangazaji studio hii ina vifaa vya kisasa na nafasi ya kutosha".- @Salym #Septemba11HiiHauijui #HiiHauijui #StudioHiiHauijui
Tweet media one
15
43
2K
@EfmTanzania
E Digital
9 months
😂Dakika 3 za Misso Misondo na wanae. Mliwaita wameitikia wito wapo hapa Uswahilini. Matukio haya yote yapo YouTube EFM Tanzania.
61
153
1K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwa Usomaji Huu wa #MrMagazini 😂 @mkandamizaji Usipoelewa Tena Basi
Tweet media one
83
28
1K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
48
126
1K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwenye Ishu ya Kariakoo : “Kilichofanyika na TRA ni Kutimiza Sheria iliyopitishwa katika Bunge la Fedha la Mwaka Uliopita” - @rollymsouth
Tweet media one
31
35
1K
@EfmTanzania
E Digital
9 months
😂 Misso Misondo alipita kwenye #Genge la Waswahili jana. Samio, Fido na Shila Star wakampokea hivi. Show nzima ipo YouTube EFM Tanzania kuna mengi yalifanyika na mengi ameyaongea Misso kwenye show hiyo.
52
105
1K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
FOREX HAIHUSIKI NA BOT “BOT Hawahusiki Kabisa na FOREX, Hapa Tanzania Hakuna Usajili wa Brokers ambao wanafanya Mambo ya Cryptocurrency, Hivyo Chochote Kinachokukuta Kwenye FOREX, BOT Hausiki” - @msouth_madenge #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
103
110
1K
@EfmTanzania
E Digital
1 year
#Telescope : Kama ambavyo tulitambulisha mtindo mpya wa kusoma magazeti ambao hivi sasa unaigwa sehemu nyingi, leo tunatambulisha msomaji mpya wa magazeti katika namna ya kuvutia. Namleta kwenu @mkandamizaji : #KunyamvuaKunyumbulishaNaKukandamiza . Karibu #JotoLaAsubuhiEFM
65
91
932
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tweet media one
9
22
901
@EfmTanzania
E Digital
2 years
MTOTO WA KIUME ANAKUMBUKWA KWENYE MATATIZO: "Tumetengenezewa 'rehab' kwa ajili ya wateja. Akivuta unga akiharibika ndio anakumbukwa alikuwa mtoto wa kiume. Kipi kilimfanya avute unga? kwanini hatujaanzia huko?. Ulifanya nini kwaajili yake?".- @rollymsouth #MshuaMasta2022
Tweet media one
46
100
897
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Palepale Chamazi, Mudathir Yahya anatakata, anaenda kwenye majukwaa anaonesha jezi ilivyoandikwa mgongoni, anawakumbusha jina lake.
Tweet media one
2
49
879
@EfmTanzania
E Digital
10 months
TUSIINGIZE SIASA KWENYE MICHEZO, JEMEDARI AONYA @jemedarisaid anasema timu ya taifa inapaswa kutuunganisha bila kujali itikadi na mitazamo yetu.
96
189
826
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Wenzetu wanapiga wanaongelea kuongeza computer sisi tunapiga stori za matundu ya vyoo” @rollymsouth . @musakipanya anashangaa kusikia stori za uhaba wa matundu ya vyoo pamoja na fedha nyingi zinazopelekwa. Cc: @IreneKillenga #JotoLaAsubuhiEFM
21
69
767
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Makombe ambayo Simba ‘wamekufa kiume’ msimu huu: -Mapinduzi Cup - Mabingwa Afrika - Azam Federation Kwa upande wa Ligi Kuu bado bingwa hajapatikana. Yanga wakifungwa mechi zote zilizobaki, Simba wanaweza kuwa mabingwa ‘kiume’ na mashabiki wao ‘wasiwadai’. #ESports
Tweet media one
72
45
756
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwenye Utaratibu wa Mtaa anaotoka @rollymsouth Wao wanajiita WANANZENGO : Waliamua Kununua Vyombo ambavyo Vitatumika Kupika, Michango, na Hata Kushiriki Kuchimba Kaburi Utaratibu wa @musakipanya na @irenekillenga : KUZIKA SIO LAZIMA Utaratibu Wenu Upo Vipi Huko Ulipo ?
183
59
746
@EfmTanzania
E Digital
6 months
Joto Jazz Band, Music Friday : Unakumbuka Wapi Ukisikia Wimbo Huu? Cc @rollymsouth @mkandamizaji @IreneKillenga
301
81
741
@EfmTanzania
E Digital
4 years
"Sipendi kutaja mali zangu kwa sababu zijapata ili nikukomeshe...nimetafuta kwa ajili ya familia yangu na nitaendelea kutafuta" @OfficialAliKiba . #MshuaMasta #SoHot
Tweet media one
50
39
716
@EfmTanzania
E Digital
1 year
@rollymsouth anasema Bilioni 900 ni chache sana kwa Serikali kuwezesha ubunifu wa vijana. @IreneKillenga anasema zigawanywe kwa wabunifu waliopo, ametolea mfano wa @masoudkipanya na ubunifu wa gari. #JotoLaAsubuhiEFM wanasisitiza kwamba ubunifu wa Masoud haufai kubezwa.
51
61
730
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Mwamba Huyu Hapa🫡 ( @Salym ) Tupo LIVE muda huu kupitia ( EFM & TVE ) Youtube ( EFM TANZANIA ) #HiiHuijui : Sep 11
20
27
713
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kivumbi leeoo : 😂 . #MrMagazini @mkandamizaji anasikika mara baada ya taarifa ya habari inayoanza saa 1 kamili. Msikilize. . #JotoLaAsubuhiEFM
Tweet media one
32
18
706
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Suala sio Jinsia ya Ng’ombe, Suala Kubwa Hapo Ili Ng’ombe atambulike Inabidi Awe na Alama : Alama ambayo Ilipitishwa ni Kuwekewa Hereni” - @rollymsouth @musakipanya @IreneKillenga @SwebbeSantana @rdj_mafuta @mkandamizaji @rollymsouth
32
58
682
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Mzee Wassira naye yupo. #RIPMembe
Tweet media one
10
12
679
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tuko na @JotiOfficial hapa Mbagala
Tweet media one
4
12
651
@EfmTanzania
E Digital
9 months
Tweet media one
479
45
634
@EfmTanzania
E Digital
2 years
"Ukitazama mechi ya Al Hilal vs Yanga na ile ya Azam vs Akhadar, utagundua kuwa Azam walicheza kwa kuhitaji zaidi matokeo kuliko Yanga."- Mwalimu Mwinyi Zahera anaunguruma kwenye #SportsHQ Cc @twalib20
Tweet media one
19
25
602
@EfmTanzania
E Digital
1 year
@rollymsouth atakuwa daraja muhimu kati ya redio yetu na mijadala ya ‘Twitter’ na mitandao kwa ujumla na muwakilishi mwema wa vijana. Atasikika kwenye #JotoLaAsubuhi kila Jumatatu hadi Ijumaa, saa 12 - 3 kamili asubuhi. #MadengeEFM
13
38
614
@EfmTanzania
E Digital
2 months
Nguvu Ya Mtandao Ni Kubwa - @rollymsouth ✍️ @bigthemadness #JotoLaAsubuhi
9
52
621
@EfmTanzania
E Digital
1 year
YA KWANZA TANZANIA NA IPO HAPA USWAHILINI 🙏 Ndoto zinatimia, Safari yetu ya kujitafuta na kujipata imetufikisha kwenye uwekezaji mkubwa zaidi wa chumba cha matangazo kuwahi kufanyika Tanzania. Karibu Makao Makuu ya Waswahili, Mkurugenzi @officialmajizzo yupo hapa kukupa dondoo
66
88
598
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Mwanamke Anapigama kuwa Mwanaume? @rollymsouth : #MshuaMasta2023
79
77
568
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Shida Ilikua Nini Kwa RC Makala dhidi ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ? - @rollymsouth
23
56
561
@EfmTanzania
E Digital
1 year
😂 Peter Msechu Anasema licha unene kumsumbua sana lakini haujawahi kuwa kikwazo kwenye ile time ya 'Watoto Wamelala Thread' #JioniYaLeoEFM
25
37
525
@EfmTanzania
E Digital
8 years
#BiHinduKasema Aliyekutoa mwiba wa makalio mthamini, ndo anakupa jeuri ya kukaa kitako ukautoa wa mguuni. #Rarua
Tweet media one
39
135
495
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Hapo vipi Waswahili? Tanzania inamtambua nguli @Salym sisi Waswahili tunatambua mchango wake pia kwenye tasnia ya habari. Kwa wino wa dhahabu studio mpya ya kisasa imeandika jina lake. #SeptembaHiiHauijui #StudioHiiHauijui
Tweet media one
7
22
501
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Pesa za Mwanamke sio za kuendesha Familia, Hilo ni jukumu la Mwanaume. @rollymsouth : #MshuaMasta2023
454
67
490
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Hivi Karibuni Watu Kuachana Imekua ni Kawaida Sana, Zamani Mtu Akiachika Ilikua Tabia Mbaya, lakini siku hizi imekua suala la kawaida” - @rollymsouth @mkandamizaji 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
22
60
485
@EfmTanzania
E Digital
8 months
Tunaitambulisha Kwenu “Migando Style”😂 #MisoMissondoEFM
16
32
481
@EfmTanzania
E Digital
5 months
Kwa mfano hili jengo letu la EFM limejengwa na Mafundi wa Mtaani Engineer alikuwa mmoja tu, lakini ukijiuliza hawa mafundi wameonyesha wapi uwezo wao ? Mwingine akiwataka anawapataje ? alisema @majizzo
Tweet media one
11
15
476
@EfmTanzania
E Digital
1 year
MWITA WAITARA: - Amesema anawatangazia watu wa Tarime adui wao lakini hakumtaja. - Amesisitiza kwamba majibu ya Serikali ni uongo. - Amesema kama kuna mtu hataki awe Mbunge, aseme. Je, unadhani Waitara anatumia njia sahihi kushughulikia kero za jimbo lake? #EDigitalUpdates
Tweet media one
82
28
452
@EfmTanzania
E Digital
5 months
Baleke na Phiri kuondoka Simba SC ilikuwa ni suala la viwango? Anajibu C.E.O Imani Kajula hapa. Vipi kuhusu salute za Jenerari Phiri tutaendelea kuzipiga Msimbazi? Tupo Live Youtube : EFM Tanzania
16
19
439
@EfmTanzania
E Digital
11 months
Aziz Ki ⚽️⚽️⚽️ Mpeni maua yake hapa
Tweet media one
5
16
422
@EfmTanzania
E Digital
4 months
Kibegi Kimeshakabidhiwa✅ #Konde005 For Everybody🔥
Tweet media one
Tweet media two
3
17
432
@EfmTanzania
E Digital
4 months
Jengo La EFM Ni Kama Tausi Mweupe😂 Tupo LIVE YouTube ( EFM TANZANIA ) Cc @JabirSaleh
14
26
431
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kama Mtaani Hakuna Ajira, Wasomi wenye Degree wapo Wengi na Bado hawana cha Kufanya : Kwa Nini Tunazalisha Wengine Tena ? “Kinachotakiwa Kufanyika ni Kutengeneza mazingira ya Watu Kujitegemea na Sio Kuwa Tegemezi” - @rollymsouth 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana
41
60
420
@EfmTanzania
E Digital
1 year
FCC ni Tume ya Ushindani KIBIASHARA na FCT Ni Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara ✅ @rollymsouth @mkandamizaji #kunyamvuakunyumbulishanakukandamiza #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
27
39
413
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Dar es Salaam na Tanzania yote isimame : #MrMagazini @mkandamizaji anakandamiza kwenye #JotoLaAsubuhiEFM .
19
29
416
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Mkurugenzi Mkuu, Francis Cizza ( @officialmajizzo ) akiongoza jopo la manguli wa habari Tanzania wakiwemo pia wafanyakazi wa E-Fm na Tv-E kwenye uzinduzi wa studio mpya za kisasa ( Multimedia Studio ). #Septemba11HiiHauijui #HiiHauijui #StudioHiiHauijui
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
19
412
@EfmTanzania
E Digital
1 year
DONDOO ZA STUDIO YA KISASA Tukujuze kuhusu studio pekee inayoweza kuwahudumia watangazaji 7, Studio inayoweza kukusanya idadi kubwa ya watu na vikafanyika vitu tofauti kwa wakati mmoja. Hii ni studio mpya iliyozinduliwa leo. #Septemba11HiiHauijui #HiiHauijui #StudioHiiHauijui
Tweet media one
Tweet media two
6
18
404
@EfmTanzania
E Digital
2 years
Roland Malaba ni #MshuaMasta . . Jumamosi atahudhuria mkutano mkuu wa wanaume, ambapo atakuwa miongoni wa watakaoketi kujadili kwa kina mjadala wa uchumi na biashara. . Ni wapi tunapitia kwenye uchumi kama wanaume? Ni wapi tunakosea? Cc: @rollymsouth
Tweet media one
18
50
410
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tweet media one
Tweet media two
5
6
401
@EfmTanzania
E Digital
3 months
Mchezaji wa klabu ya Yanga Sc Aziz Ki, Muda mchache uliopitia kupitia ukurasa wake wa Instagram amewapa “Thank You” Yanga na Kumshukuru mungu pamoja na Kuushukuru uongozi wa klabu hiyo na Mashabiki wake kwa ujumla na Mafanikio aliyoyapata katika Msimu wa 2023-2024. Hatimae 🙏
Tweet media one
44
10
397
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwa Kuthibitisha Kwamba Kweli @rollymsouth Aliingia Fainali na @Rayvanny - Tumepa Battle na @naitwamaarifa na Amemkalisha 😂😂😂 Unampa Maksi Ngapi Hii Michano !? Arudi Kwenye Hip Hop ? #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
19
38
387
@EfmTanzania
E Digital
10 months
#SportsHQ Anasema Kamanda Geof Leah hayakua maamuzi sahihi kumchezesha Aishi Manula kwenye dabi ya Kariakoo hapo jana.
18
19
374
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Kuna Vitu Sio vya Ghafla Kwenye Maisha : Kwani Hujui Baada ya Miezi 6 Kodi Yako Itaisha, Ujipange Mapema ?” - @rollymsouth @swebbesantana Anasema Kuna Wakati Mwingine Unajipanga lakini Katikati Inatokea Dharura Je, Upo Upande Upi Katika Hizi Pande Mbili za mambo ya Ghafla ?
18
42
375
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Bwana Harusi! hii ndoa itadumu kweli? 😂
Tweet media one
17
8
342
@EfmTanzania
E Digital
8 months
Tunakutakia Heri Ya Krismasi Na Mwaka Mpya🎄: Ahsante Kwa Kuwa Nasi Kwa Kipindi Chote👊 #MuzikiUnaongea 🎵
10
31
369
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Jina lake nani?
Tweet media one
17
8
362
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kwenye Ratiba zako za Leo ! Hakikisha Umetoka Umependeza na Beba Charger ya Simu Yako LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA 😂 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana @rollymsouth #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
15
26
358
@EfmTanzania
E Digital
8 months
Wazee Wa Makoti Wamelala Studio😅 #MissoMisondoEFM
10
20
357
@EfmTanzania
E Digital
6 months
Tulianza Kuvaa Platinum Watu Walidhani Ni Silver - @TheRealJongwe Cc @rollymsouth @bigthemadness
3
27
360
@EfmTanzania
E Digital
5 months
WANATAKA NDEGE WAENDE MISRI 😂Ameangua kilio, Anataka ikibidi wapewe lile dege jipya. Anasema yeye ni shabiki wa Mhe. Hamis na Mhe Hamisi na chama lake ni familia. #JotoLaAsubuhi Cc @mkandamizaji @IreneKillenga @rollymsouth @Dreammswazi
26
28
342
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Ukiona BANGO LIMEVUNJWA ujue UJUMBE UMEFIKA🚨 Umeme unaotumika hapa ni Mkubwa sana, TRANSFOMER tunaitambulisha kwenu Waswahili🔌 Tupo LIVE kupitia YouTube channel yetu ( EFM TANZANIA ) #HiiHuijui
Tweet media one
13
14
341
@EfmTanzania
E Digital
3 years
MADAME RITA KUHUSU MAHUSIANO YAKE "Mimi sijaolewa na wala sina mchumba. Mimi ni binadamu pia, akitokea mtu tukaelewana sina tatizo kabisa. Japo kwangu sio kipaumbele sana, isipotokea pia ni poa tu." #MadameRitaAnaongea na @Gerald_Hando LIVE kupitia @EfmTanzania na TV-E.
Tweet media one
81
13
333
@EfmTanzania
E Digital
2 months
NB : Wanaogelea Muda Huu Daz Nundaz😂 ✍️ @bigthemadness : Cc @rollymsouth #JotoLaAsubuhi
6
24
348
@EfmTanzania
E Digital
8 months
@mkandamizaji Anatueleza Kuwa Siku Ya Kwanza Kumuona @rollymsouth Alidhani Hanywi😂 Cc @bigthemadness
19
25
346
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Tukiweka Mfano Kila BAR ilikua na Wafanyakazi 10 - Katika BAR 89 Tumepoteza Ajira za Watu 890 kwa wakati Mmoja” - @msouth_madenge @mkandamizaji #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
28
30
343
@EfmTanzania
E Digital
1 year
9
38
337
@EfmTanzania
E Digital
7 months
Mbwembwe Zimeruhusiwa😂 @mkandamizaji Akumbushwe Kuwahi Studio😂 #JotoLaAsubuhiEFM
9
16
336
@EfmTanzania
E Digital
1 year
WOTE WANATAMANI KUWA KAMA NYINYI: BETTY MKWASA "Nyinyi sasa mmekua mfano wa media houses nyingine, Sisi kama TCRA tumetembelea media nyingi hasa huko mikoani na wote wanatamani kuwa kama nyinyi.
Tweet media one
2
3
324
@EfmTanzania
E Digital
8 months
NI KWELI KIPA ALIDAKA NJE LAKINI NI KONA Singida FG Vs Simba SC, Mwamuzi alipotafsiri kona alikuwa sahihi. #SportsHQEFM
11
20
328
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Bango Jonijooo anakusanua kuhusu kifuko kidogo cha jeans. #TransfomerEFM Cc @IamAlmando
8
21
324
@EfmTanzania
E Digital
1 year
“Mpaka Watu Wanahangaika Kutafuta Mbinu Tofauti za Kutumia BANGI : Ina Maana Uhitaji wa Watumiaji wa Bangi ni Wengi Sana” - @rollymsouth 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana @mkandamizaji #kunyamvuakunyumbulishanakukandamiza #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
20
21
323
@EfmTanzania
E Digital
1 year
WANETU WAMERUDI 🔥 | GENGE LIPO HEWANI Mitaa iliheshimishwa na Genge lililojaa bidhaa za muziki. Vipaji vikazaliwa na kuendelezwa hapa Gengeni.
Tweet media one
9
9
317
@EfmTanzania
E Digital
1 year
"Wote tunaitakia kila la kheri @yangasc1935 na msimamo wangu bado naamini nafasi yao ni ndogo na Sioni kama kuna kitu cha kuongeza lakini nadhani kuna umakini tu unatakiwa kuongezeka" - Geoff Lea
83
24
317
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Hakuna sababu ya kukaa pamoja kama Mwanamke Anatumia pesa zake mwenyewe #MshuaMasta2023
27
63
302
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Mpoki swali anamuuliza bro @twalib20 😂
6
20
294
@EfmTanzania
E Digital
9 months
Uliwahi Kuona Viongozi Wa Simba Wakivaa Jezi Za Timu Pinzani? @jemedarisaid Anauliza : #SportsHQ
31
25
291
@EfmTanzania
E Digital
5 months
Tazama video ya (Drone) Hali ilivyo katika Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. 🙏 - #LiveCoverageRufiji #EDigital
24
45
288
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Taja Washkaji zako ambao wanaishi MASAKI 😂😂😂 Tuone ni Kitu Gani Huwa Wanahisi Wanacho Wengine Hawana 🏡🏠 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana @rollymsouth @mkandamizaji #kunyamvuakunyumbulishanakukandamiza #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
17
14
292
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Tunakutakia heri Mswahili, jina lako livume sana, livume kwa mema kama @mkandamizaji , kamwe usipoe wala kuboa. #HatupoiHatuboi #JotoLaAsubuhiEFM
12
19
283
@EfmTanzania
E Digital
4 months
Producer #S2kizzy Zombie anasema kuwa “Songa amtafute amfanyie Hit song Bure kwani Amepotea sana”- S2kizzy Aliiambia #Transforner 😂
11
14
281
@EfmTanzania
E Digital
7 months
JOTO LA ASUBUHI WAZINDUA SANAMU LA MAJIZZO 😂 😂😅🤣Kwa hiyo tumekubaliana na hawa ndugu zetu kuwa huyu ni Prof @officialmajizzo ? Cc @mkandamizaji @rollymsouth @IreneKillenga
60
31
280
@EfmTanzania
E Digital
1 year
@rollymsouth Anahoji : JE NI MUDA GANI SAHIHI KWENDA MASSAGE ? #JotoLaAsubuhi #JotoLaAsubuhiEFM
Tweet media one
8
7
272
@EfmTanzania
E Digital
4 years
#HomaYaDadaMkuu : Cheki @JideJaydee alivyopita na mashairi ya #ProfJ kwenye #JotoHasira .
12
13
273
@EfmTanzania
E Digital
8 months
Tax Mtandao Imekuwa Hatarishi - @rollymsouth Cc @bigthemadness
8
11
266
@EfmTanzania
E Digital
6 months
MTUNZI WA NYIMBO ZA MISIBA ABANANISHWA 😂😂😅 Wasanii wenzie wamjia juu. #JotoLaAsubuhiEFM Cc @mkandamizaji @musakipanya @irenekillenga @rollymsouth Live Youtube EFM Tanzania
25
12
271
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Kipimo cha Muziki Kwenye Kinacholeta Kelele Kwenye BAR ni Kipi ? “NEMC Wangefanya Utaratibu kwa Wamiliki wa BAR na Ma-DJ Kujua Kiwango sahihi ambacho hakitaonekana ni Kelele kwa Jamii” - @rollymsouth 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana #JotoLaAsubuhiEFM
36
18
264
@EfmTanzania
E Digital
1 year
@rollymsouth Apatiwe Msaada wa Haraka na Wana @yangasc1935
Tweet media one
7
13
261
@EfmTanzania
E Digital
7 months
UKITAJA WATANZANIA WENYE AKILI NYINGI LISSU YUPO: IRENE KILENGA Anasema @IreneKillenga ukitaja orodha ya Watanzania wenye akili nyingi huwezi kuacha kumtaja Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Ndg Tundu Lissu ( @TunduALissu ) Cc @mkandamizaji @rollymsouth @Dreammswazi
9
54
264
@EfmTanzania
E Digital
9 months
We Miso Wewe, Una Hatari Wewe😄🎶 #MisoMissondo
4
24
264
@EfmTanzania
E Digital
1 year
Je, Unaweza Kumuaga Mume/Mke Wako Kuwa Unaenda Kufanya Massage ? - @rollymsouth Au Sehemu Hizi Watu Wanaendaga Kwa Siri ? @mkandamizaji Na Muda Gani Sahihi wa Kwenda Kupata Huduma Hizi na Maeneo Gani ? 🎤 @musakipanya @irenekillenga @swebbesantana #JotoLaAsubuhiEFM
16
34
258
@EfmTanzania
E Digital
10 months
Ni Tanzania Pekee Tunajadili Dabi Hadi Mwaka Unaisha - @ahmed__ally Cc @bigthemadness @Dreammswazi
30
6
259