GOOD MORNING WANA KIJIWENI✊🏾
Jua likianza kuzama ndo atataka mwanaume wa kutulia nae, Mwanaume wa kujenga na future, na familia..
Na ndio nyakati ambazo wewe njia zako zitaanza kuwa na majibu, Ndoto zako zitaanza kuonesha mwanga..
Yeye atataka manaume wa kumpokea pamoja na