Today on 5th July,2024, H.E James G.Bwana, High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of South Africa met with Mr. Mohamed Adan, Mama Money Regional Manager and together they have exciting news for the Diaspora in South Africa who want to send money to
Bw. Karim akiwa hospitali jana mchana sambamba na Maafisa wa Ubalozi waliofika kumjulia hali na kupata taarifa ya maendeleo yake. Pichani, Bw. Karim akizingumza na Mama yake Mzazi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 26 ya familia kutofahamu iwapo angali hai au alikwishafariki.
2/2
Mfanyabiashara wa Korosho kutoka Tanzania Bw.Hassan Salamata atembelea Ubalozi na kukutana na Mhe
@MilanziGaudence
pamoja na maafisa. Bw.Salamata ameitambulisha
rasmi biashara yake Ubalozini na kueleza kuwa tayari amekwisha ingiza tani1 ya korosho hizo kwenye soko la AfrikaKusini
Mhe.
@jokateM
,Mkuu wa Wilaya ya Korogwe atembelea Ubalozi na kukutana na Mhe
@MilanziGaudence
. Mhe.Jokate yupo Afrika Kusini kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa za wajasiriamali wa Korogwe na kujadiliana juu ya kuanzisha ushirikiano kati ya wajasiriamali Tanzania na Afrika Kusini.
🇹🇿 The High Commission is pleased to welcome H.E James G. Bwana, High Commissioner-Designate of the United Republic of Tanzania, as he has officially arrived in South Africa to assume his diplomatic duties.
#diplomacy
#Tanzania
#SouthAfrica
#Botswana
#Lesotho
#SADC
🤝🌍
Tarehe 7 Julai, Ubalozi uliungana na watu wote duniani kusherehekea maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa kufanya matembezi.
"Lugha ya Kiswahili katika kukuza mawasiliano na kudumisha mshikamano duniani"
HE Gaudence Milanzi meeting with Hans Mitchell CEO - Innovative Recycling and Dr Omar Mokiwa discussing on a proposal of importing fruits from Tanzania and establishment of a processing and packaging of food produce factory ( juices and dried fruits) in Bagamoyo Tanzania
@Kilinge
Leo tarehe 29 Agosti 2022, Timu ya taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imewasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya COSAFA ambayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 31 Agosti 2022 na kumalizika tarehe 11 Septemba 2022 Port Elizabeth,Afrika Kusini.
High Commissioner H.E
@MilanziGaudence
with some of Ambassadors/High Commissioners from different countries who visited Tanzania unforgettable booth and got an opportunity to see and taste different products that are proudly made in Tanzania during the African Day Celebrations.
Leo tarehe 26 Aprili, 2024, Bi. Happiness Godfrey, Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi anayesimamia masuala ya Biashara na Uwekezaji amemwakilisha Mhe. Balozi James Gillawa Bwana katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika Makao Makuu ya
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Shule za Afrika Fountain Gate Dodoma High School wametwaa ubingwa wa mashindano ya Shule za Afrika kwa upande wa Wasichana baada ya kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya Timu ya Ecole Omar IBN Khatab kutoka Morocco kwa magoli 3-0.
Mhe. James Bwana, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini (aliyekaa kulia) akiwa na Bw. Riaz Hussein Abeid (aliyekaa kushoto), ambaye ni Mdogo wa Bw. Karim Hussein Abeid Lyimo (aliyekaa katikati), mara baada ya Ubalozi kumkutanisha na kaka yake Karim katika Hospitali ya Pretoria
Mhe. Balozi James Bwana, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini (R) akiagana na Bw. Swedi Ramadhan (L), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Pretoria (TACOP) baada ya Mkutano wao tarehe 19.01.2024.
Kupitia Mkutano huo, Balozi Bwana aliarifu kuhusu matayarisho ya Ubalozi wa
On 8th November, 2023 , Mr. Edward Komba, Chargé d'affaires a.i
and Ms. Happiness Godfrey, Counsellor met with Ms.Nomsa Shabangu, Deputy Director Department of Basic Education of the Republic of South Africa
@DBE_SA
and Mr.Pono Chiloane.
The discussion centered on various issues
Watumishi wa Ubalozi waliojumuika na Wizara na taasisi mbalimbali za nchini Afrika Kusini kumtakia heri Mhe.
@MilanziGaudence
baada ya kumaliza muda wake wa kuhudumu nchini Afrika Kusini.
Hon. Dr. Steven Kiruswa (MP), Deputy Minister for Minerals (L), handing over to H.E James Bwana, Tanzanian High Commissioner to South Africa - the QR Code with details about Tanzania's Mining investment opportunities, at the Tanzanian Pavilion. Hon. Kiruswa (MP) headed Tanzania's
H.E Simon D. Michael, Ambassador of the Republic of South Sudan to South Africa paid a courtesy call to H.E
@MilanziGaudence
. The two leaders discussed issues of mutual benefit between the two countries.
H.E James G. Bwana, High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of South Africa has presented copies of his Credentials and officially commenced his Tour of Duty.
Tanzania inashiriki katika Maonyesho ya Meetings Africa 2024 yaliyoanza tarehe 26 hadi 28 Februari, 2024, huko Sandton, Afrika Kusini. Katika Maonyesho hayo, Tanzania inawakilishwa na wadau kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC),
On 11th April, 2024 in the margins of the World Travel Market Africa 2024 Meeting held in CAPE TOWN, H.E James G. Bwana, Tanzania's High Commissioner to South Africa, held a side meeting with Hon. Fredson Bacar, the Deputy Minister of Culture & Tourism from the Republic of
Leo tarehe 17 Februari, 2024 Mhe. Balozi James Bwana, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, ambaye pia anaiwakilisha Tanzania katika Jamhuri ya Botswana na Falme ya Lesotho, amefanya Mkutano na Viongozi wa Jumuiya za Watanzania (Diaspora), wanaoishi Afrika Kusini, Botswana na
The winners of COSAFA Women Champions league 2021
(
@Twigastarstz
)
Paid a courtesy call at the Tanzania High Commission in Pretoria and were warmly welcomed by the High Commissioner
@MilanziGaudence
and other staff.
The High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of South Africa, H.E James Bwana, paid a courtesy visit to Kamal CISCO (PTY) Ltd, a Steel Company located in Cape Town, South Africa.
The Company is the first largest Tanzanian owned investment in South
H.E. MAJ. GEN (RTD) BIDS FAREWELL AS HE ENDS TOUR OF DUTY AS HIGH COMMISSIONER OF URT TO SOUTH AFRICA
H.E
@MilanziGaudence
,High Commissioner of the United Tanzania to Republic of South Africa, paid a courtesy call on H.E. Amb. Nonceba Losi, Chief of State Protocol of the
Tarehe 2 Machi 2023, Maafisa Ubalozi wakiongozwa na Mhe.Balozi
@MilanziGaudence
walitembelea mitaa ya Port Elizabeth-Eastern Cape na kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Watanzania mjini hapo ikiwa ni pamoja na Zanzibar Butcher na garage ya magari Mandela AutoMagic.
Leo tarehe 17/04/2024 Bi.Jane Mhando, Mwambata Uhamiaji amemuwakilisha Mhe. Balozi James G. Bwana, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan. Hafla ya Sherehe hiyo ilifanyika jijini Pretoria, Afrika
Uongozi wa chuo cha
@NCTTanzania
@shogo_sedo
umekutana na uongozi wa chuo cha
@EkurhuleniEast
cha Afrika Kusini na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano katika uendeshaji wa mafunzo bora ili kuzalisha wahitimu wanaokidhi mahitaji ya soko katika sekta ya utalii.
#tz_royaltour
Wafanyabiashara wa jumla na reja reja kutoka nchini Afrika Kusini wamewasili Tanzania katika ziara ya mafunzo. Baadhi ya makampuni hayo ni GIBS, Shoprite, Ackermans, Hypercheck, W&R Seta, Total SA (Pty) Ltd n.k.Ziara hiyo inaratibiwa na Ubalozi kwa kushirikiana na Tan Trade.
Leo tarehe 20 Oktoba,2023, baadhi ya waambata Jeshi, wawakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya nchini Afrika Kusini
@DIRCO_ZA
,taasisi za Serikali na taasisi binafsi zilizopo Afrika Kusini wameungana na watumishi wa Ubalozi kumtakia heri Mhe. Balozi
H. E. Saad Maandi,Ambasador Designate of Algeria
@AlgembPretoria
to South Africa, paid a courtesy visit to H.E
@MilanziGaudence
.During the meeting they discussed bilateral relations between Tanzania and Algeria and ways to strengthen cooperation and promote shared interests.
On 11th April 2024, H.E James G. Bwana, Tanzania’s High Commissioner to South Africa attended the Tourism Investment Forum Africa (TIFA) Conference at
#WTMAfrica2024
in CAPETOWN. Alongside that meeting, H.E. Bwana, held discussions with Mr. Hany El Hady, Director of Sales -
A FAREWELL INTERVIEW BY H.E MAG.GEN. (RTD) GAUDENCE S.MILANZI
@MilanziGaudence
AFTER A SUCCESSFUL COMPLETION OF HIS TENURE OF DUTY AS THE HIGH COMMISSIONER OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TO SOUTH AFRICA AND OTHER COUNTRIES OF REPRESENTATION BOTSWANA,LESOTHO &SADC SECRETARIAT.
The High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of South Africa H.E James Bwana with Hon. Geordian Hill - Lewis, the Mayor of Cape Town during the 2024 Annual Diplomatic Brunch.
The two leaders discussed a wide range of things, including prospects for
On March 23rd, 2024, H.E. James Bwana, Tanzanian High Commissioner to the Republic of South Africa participated in the commemoration of the Battle of Cuito Cuanavala fought in Angola, from 14th Aug 1987 to 23rd March 1988 between the People's Armed Forces for Liberation of Angola
On 02nd June,2022, H.E
@MilanziGaudence
, presented his Letters of Credence to His Majesty King Letsie III at the Royal Palace in Maseru, thus oficially assumed his position as the High Commissioner of the United Republic of Tanzania accredited to the Kingdom of Lesotho.
Leo tarehe 21/04/2024, Maafisa na watumishi wa Ubalozi wamehudhuria katika kikao cha Kufungua mwaka cha Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini (TACOSA) na kushiriki katika uchaguzi wa Viongozi wa Chama wa Watanzania waishio Johannesburg (TCJ) ambacho awali hakikuwepo.
Tarehe 23 Aprili, 2024 Bi. Jane Mhando, Mwambata Uhamiaji, alimwakilisha Mhe. Balozi James Bwana, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini, kuweka saini katika kitabu cha Maombolezo kulichofunguliwa na Ubalozi wa Jamhuri ya Kenya uliopo mtaa wa
Mhe.
@MilanziGaudence
amewaomba Viongozi wa jumuiya za Watanzania waishio nchini Afrika Kusini,Botswana na Lesotho kuwahimiza Watanzania wasio na kazi maalumu kurejea nyumbani Tanzania ambako Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka mazingira wezeshi ya biashara na Uwekezaji.
Tarehe 4.03,2023,Mhe.
@MilanziGaudence
ameitisha kikao na Viongozi wa Jumuiya za Watanzania wanaoishi nchini Afrika ya kusini,Botswana na Lesotho. Kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali kuhusu Wanadiaspora ikiwemo changamoto za kiutendaji na ushirikiano katika Jumuiya zao.
Tarehe 21 Oktoba, 2023, jumuiya za Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) waliopo nchini Afrika Kusini, Botswana na Lesotho walijumuika na Ubalozi katika kumpongeza na kumtakia heri Mhe. Balozi, Maj.Gen.(Mst) Gaudence S.Milanzi
@MilanziGaudence
kwa kumaliza muda wake wa
Ubalozi unampongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutimiza miaka miwili tangu aingie madarakani Machi 19, 2021.
On 18 October, 2023, Mr.Edward Komba,Chargé d'affaires met with Mr. Pierre Senghor, Head of New Business Development and Policy from Volkswagen South Africa Ltd
@VolkswagenSA
.
Among other issues, the discussion centered around the future of mobility in Africa, VW strategy in
On 7.08.23,H.E
@MilanziGaudence
met with Mr.Hasnayn Ebrahim,Executive Director at Africa International Advisors (AIA)
@AfricalA
and his team. Among other issues, they exchanged views on different areas of cooperation and AIA investment plans for Tanzania in the near future.
Mhe.
@MilanziGaudence
akimuonesha Mhe.Saad Maandi,Balozi Mteule wa Algeria nchini Afrika Kusini ramani ya Tanzania inayoonesha vivutio mbalimbali vya utalii na maeneo mengine ya kitalii yaliyopo Tanzania.Pia,alimualika Mhe.Maandi kutembelea vivutio hivyo atakapopata nafasi.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma kozi ya urubani nchini Afrika Kusini wameutembelea Ubalozi na kukutana na Mhe
@MilanziGaudence
.Mhe.Balozi aliwasihi wanafunzi hao wasome kwa bidii ili kuongeza wataalam wa Taifa katika fani ya urubani na kuweza kuipeleka sekta ya anga mbele zaidi
Today,10.7.23.H.E
@MilanziGaudence
attended
#KALUSHIDAY10756
Event 2023Wreath-laying ceremony in commemoration of Solomon Kalushi Mahlangu’s Birthday at the grave site of Solomon Mahlangu at Mamelodi West Cemetery.During the event H.E Milanzi laid a wreath and delivered a speech.