Tumaini MAKOLE Profile Banner
Tumaini MAKOLE Profile
Tumaini MAKOLE

@TumainiMakole

14,260
Followers
4,193
Following
4,811
Media
65,160
Statuses

Pharmacist & Global Health Enthusiast | Research, Advocacy, Leadership, & Youth Engagement | #TrustYourPharmacist | @capelexpharmacy

Tanzania
Joined May 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 months
Are you interested in #AntimicrobialResistance ? I am happy to share that our work titled "Tackling Antimicrobial Resistance in Sub-Saharan Africa : Challenges and Opportunities for implementing new people centered WHO guideline" has been published by @tandfonline Link 🔗 👇
Tweet media one
8
26
71
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Hatimaye : New Office 🏢 is now open (Capelex Pharmacy) 📍Makumbusho Bus Stand #TrustYourPharmacist
Tweet media one
130
181
1K
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Kazi ya kusambaza chanjo ya #Polio Mikoa ya Mpakani Kusini mwa #Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
92
48
959
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Bwawa lililogharimu TShs. 632M... Kazi ipo. Pole sana Ndugu Aweso. Kazi unayo. Aione @bajabiri
Tweet media one
127
91
903
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Vijana Tulonge : Kwa nini baadhi ya Vijana hawapendi kutumia KONDOMU? 📸 Mtandao
Tweet media one
282
58
725
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Akaunti ni yako, umekatwa hela yako halafu unaambiwa UNAPOTOSHA. Tanzania nchi yangu.
41
78
748
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Aweso hii Wizara ya Maji itamzeesha... Hebu angalia Bwawa lililogharimu TShs. 632M Hayo mpaka unachoka...
105
125
732
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Huwa tunasave picha mbalimbali za mtandaoni. Quote hii tweet na picha uliyosave mara ya mwisho kutoka mtandaoni
150
10
651
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Nikiangalia picha hii, nabaki kuumia. Nyuso zimejaa simanzi na huzuni, wanafunzi wa CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI - MUHIMBILI, wakiwa wamebeba jeneza la Mwanafunzi mwenzao wa Udaktari mwaka wa tano aliyefariki 📸 - MUHAS
Tweet media one
35
42
669
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Vuta BANGI at your RISK. Madhara yake haya hapa 👇 👇
Tweet media one
239
64
582
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Tweet media one
38
40
524
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Siku moja itakuwa mkoba wa Bajeti ya Wizara ya Afya 😊. +1 Old.
Tweet media one
74
25
538
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Somewhere in #Tanzania 🙏🙏
Tweet media one
75
25
534
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
5 years
Kama Uingereza ilivyo na British Council katika nchi mbalimbali Duniani ili kufundisha Kiingereza, kwa nini na sisi Balozi zetu kupitia @foreigntanzania tusianzishe Swahili Council ili kuwafunza watu wanaopenda kujifunza Kiswahili? #Kiswahili
82
90
499
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Wapenda ANIMATION tujuane, name this one 👇👇
Tweet media one
179
27
480
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Tweet media one
42
28
478
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
New Office 🏢 (Pharmacy) - Matengenezo yanaendelea. Hongera sana Brother Madoga.
Tweet media one
37
38
466
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Naweza kuwa #Mfamasia wako? New Office 🏢 located at 👇 📍Makumbusho Bus Stand - Capelex Pharmacy #AskMfamasia #TrustYourPharmacist
Tweet media one
31
70
455
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Familia ya #Wafamasia na Taasisi ya TMDA imepoteza #Mfamasia kwenye ajali ya @PrecisionAirTz . Pumzika salama #Mfamasia .
Tweet media one
48
48
465
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Kazi ya kusambaza chanjo ya #Polio kwa watoto katika Mikoa ya Njombe, Ruvuma, Mbeya & Songwe ikiendelea...
Tweet media one
18
29
449
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Never FORGET
Tweet media one
6
45
452
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Appreciation tweet kwa @Kudu_ze_Kudu kwa anachokifanya kupitia this 🐦 app
Tweet media one
10
19
424
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Mhe. Neema tunaweza kujilinganisha na vingine? Mfano Mh. Rais wa Zambia 🇿🇲 @HHichilema amekataa kununua MAGARI MAPYA YA IKULU, pia amewataka Maafisa wengine wa Serikali wanaotaka kutembelea V8 kujinunulia kwa pesa zao... Tunaweza kujilinganisha pia? 🤔
@neemalugangira
Neema Lugangira
2 years
Nimepitia takwimu (source zipo chini) za gharama za data za intaneti na kwa kila GB 1 kwa nchi jirani Tanzania 0.71$ Kenya 0.84$ Rwanda 1.10$ Uganda 1.32$ Mozambique 1.33$ Zambia 1.36$ Burundi 1.85$ Malawi 2.42$ Botswana 15.55$ Mhe Waziri @Nnauye_Nape tufanyaje tushuke zaidi?
1K
86
1K
83
74
418
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
More than just a FRIEND. #RIPMax
Tweet media one
30
19
416
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
+1 YEAR. Glory to God 🙏🙏 #YourTrustedPharmacist
Tweet media one
86
25
385
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wamekuandalia MADHARA YA BANGI. 🔵 BANGI SI NZURI
Tweet media one
178
44
361
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
R.I.P @maxmillianway Kijana mwenzetu ameondoka.
Tweet media one
27
28
360
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Kwa mara ya kwanza nitakuwa mjengoni @CloudsMediaLive kuzungumzia Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wafamasia #Tanzania . Karoho kanadunda. Fuatilia tafadhari.
Tweet media one
36
41
343
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Name the place 😊 #Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
85
7
334
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Made in Tanzania 🇹🇿 Nimejipatia pair moja kuunga mkono viwanda vya ndani.
Tweet media one
Tweet media two
19
33
329
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
State of ART HEALTH FACILITY - MLOGANZILA. Sasa inaenda kuwa Hospital 🏥 inayojitegemea. #Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
14
28
332
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Simple Public health message - Morocco 🇲🇦 📸 @hallaboutafrica
Tweet media one
6
88
331
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Mama Maria Nyerere
Tweet media one
16
21
309
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Hichi kipimo sijui kwa nini watu wengi wanakiogopa? 🤔
Tweet media one
67
22
297
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Akikataa msitumie Kondomu mkiwa bado HAMJAPIMA HIV, utafanya nini?
Tweet media one
91
15
284
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Prof. Janabi - Moja ya wataalam wa Afya ambao ni HAZINA kwa nchi. #Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
20
25
282
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Watanzania ni wabunifu. 📍Nangurukuru
Tweet media one
26
19
274
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
AJALI tena inaondoka na maisha ya Kijana mwenzetu. RIP my young brother @maxmillianway ... Uwezo wako kila mtu aliuona. Young, Energetic and Talented.
Tweet media one
42
35
282
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
I am proud to be a #Pharmacist Happy #WorldPharmacistsDay
Tweet media one
8
20
275
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Hii picha 🙌🙌
Tweet media one
7
17
269
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Happy birthday 🎂 Daktari @Kudu_ze_Kudu
Tweet media one
6
9
266
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Ni sehemu gani ya #Tanzania 🇹🇿?
Tweet media one
48
12
254
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Interns ni COLLEAGUES, acheni kuwaonea kwa namna yeyote.
11
42
262
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Majengo haya wamepita watu wengi waliofanya makubwa katika nchi yetu ya #Tanzania 🇹🇿. Hapa ni wapi #Tanzania ?
Tweet media one
44
12
246
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
"Jiandaeni vizuri. Someni kwa makini. Msituangushe. Na zaidi sana Msipate UKIMWI" Ujumbe wa Mh. B. W. Mkapa kwa Vijana 2014.
Tweet media one
5
51
249
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Kama Vijana: Kwa nini baadhi ya Vijana hawapendi kutumia Kondomu? #ElimikaWikiendi
Tweet media one
110
17
244
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Aliyepiga hii picha ametisha. Madaktari Bingwa wa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza wanashauri kushabikia SIMBA ili kupunguza SONONA. #NguvuMoja
Tweet media one
9
16
247
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Leo ni Siku ya Kimataifa ya #Mfamasia Duniani. Wafamasia ni wataalam wa Afya waliobobea kwenye dawa. Let's CELEBRATE together. #TrustYourPharmacist #WorldPharmacistDay2022
Tweet media one
18
26
243
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Lugha ya STAHA na kutokuvunjiana HESHIMA ndiyo Msingi wa majadiliano (mijadala) ya kujenga.
7
23
235
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
5 years
Uongozi ni HEKIMA na KUSIKILIZA UNAOWAONGOZA. @JMakamba
Tweet media one
8
14
239
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Happy birthday Daktari @JuliethSebbaMD
Tweet media one
10
4
233
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Bidhaa ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHIMBILI @muhimbiliuniver yenye virutubisho MUHIMU kama Zinc, Calcium, Madini ya Chuma, Vitamin A na C.
Tweet media one
Tweet media two
25
39
234
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Tuelewane : Ukileta Conspiracy Theory za KUPOTOSHA kuhusu #UVIKO19 kwenye TL yangu unaweza kukutana na hichi 👇👇alichobeba Mwl. @MabalaMakengeza
Tweet media one
21
15
237
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Beautiful Church ⛪ - Songea
Tweet media one
12
19
217
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Ziwa Tanganyika lina Samaki watamu wanaitwa KUHE. Wana mnofu wa kutosha. Ulishawahi kumla au kumsikia?? #Tanzania 🇹🇿 📸 Ukurasa @tonytogolani
Tweet media one
52
18
213
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa - TFDA(sasa TMDA), M #Tanzania 🇹🇿 #Mfamasia @hbsillo ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Regulation and Safety kwenye Idara ya Regulation na Prequalification Makao Maku @WHO 📸 @mwelentuli
Tweet media one
12
28
216
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Matokeo ya Mitihani ya Usajili - Baraza la Famasi. Pharm Tech waliofanya mtihani - 1618 Waliofaulu - 380 SUPP - 1104 FAIL - 134 VIJANA wa vyuo vya KATI KULIKONI?
Tweet media one
74
42
216
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Ushamba ni mzigo.. Hivi viglasi vyekundu watu wanatembea navyo hapa #TOTBonanza ni vya nini 🤔
27
3
200
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
UVUMBUZI WA VINCRISTINE NA VINBLASTINE DAWA ZINAZOTUMIKA KUTIBU SARATANI YA DAMU UZI Madagascar imekuwa gumzo Duniani na “formula yao” wanayodai inatibu Corona. Katika historia ya Tiba, kuna mmea unajulikana kama Madagascar periwinkle kitaalam ukiitwa Catharanthus roseus.
Tweet media one
15
57
204
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
MAGONJWA YA ZINAA: MATUMIZI YA KONDOMU NA FAIDA ZAKE Kumekuwa na misemo ya vijana kama vile kuzama chumvini, potelea pwete, ajali kazi, daa siwezi muacha kisa sina ndomu, siwezi tumia ndomu kwa demu mkali kama yule na kuzibua mitaro. Yote hii imekuwa ikiliweka kundi la vijana..
Tweet media one
19
57
195
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
My article tittled "How pharmacists can help tackle antimicrobial resistance in the African Region" has been published by @PLOS - a nonprofit publisher of open access journals in science, technology, and Medicines based in California, United States. Enjoy IT. Link 👇 👇
Tweet media one
14
96
205
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Hapa ni wapi?
Tweet media one
54
3
195
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Uoga wa ndoa - GAMOPHOBIA
Tweet media one
11
25
195
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Tweet media one
6
15
192
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
No words to describe their JOY. Hongereni sana new #Pharmacists
Tweet media one
3
11
190
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Harvard ya #Tanzania 🇹🇿 MAKTABA BORA kabisa ambapo Vijana wa Ki #Tanzania 🇹🇿 wanapata maarifa kwa ajili ya kuijenga nchi yao.
Tweet media one
11
15
183
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Kwenye hili sikuachwa, nilituma na akathibitisha kupokea 🙌 🙌 🙌. Bora ningempa @EASarakikya akanunue D10 tuu.
Tweet media one
78
7
178
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
ZINGIBER OFFICINALE MAARUFU KAMA TANGAWIZI KWA KISWAHILI: KEMIKALI ILIZONAZO (BIOACTIVE COMPOUNDS) NA FAIDA ZAKE KIAFYA UZI Corona imetufanya kurudi kwenye “ASILI YETU” yaani kuanza kutumia vitu vya asili ikiwemo dawa za asili na hata kujifukiza/nyungu. Tangawizi ni mojawapo..
Tweet media one
13
58
181
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Branding ya namna hii ni MUHIMU sana katika kukuza soko la Utalii nchini #Tanzania 🇹🇿. Watu wa Maliasili na Utalii mtumieni @OsseGrecaSinare . Ubora wa kazi yake unaongea, mchukueni awe mpiga picha wenu.
Tweet media one
Tweet media two
10
37
183
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Aspirin siyo Dawa ya kutumia HOVYO. Ni dawa inayoathiri uwezo wa Damu kuganda (Blood Clotting) Unapotumia tuu bila vipimo kama Thrombin Test, Activated partial thromboplastin time (aPTT) kufanyika unajiweka katika HATARI. ACHENI SELF MEDICATION #AskMfamasia
10
41
176
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Kati ya nafasi za AJIRA 1650 za Afya, #Wafamasia ni nafasi 15 pekee 😲😥! Serikali imewekeza MABILIONI YA SHILINGI kwenye kununua dawa na Vifaa Tiba lakini WAHUSIKA WAKUU ( #Wafamasia ) wa kusimamia rasilimali hizo wanaajiriwa wachache.
Tweet media one
Tweet media two
27
45
179
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
5 years
Picha za Simu : Hapa ni wapi?
Tweet media one
50
7
170
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
#Wafamasia wapo tayari kutoa Huduma bora kwa wananchi. #WikiYaFamasi
Tweet media one
11
18
175
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
#Tanzania 🇹🇿 ina Mikoa mingi. Hapa ni Mkoa gani?
Tweet media one
68
10
158
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
5 years
Maisha baada ya Chuo ni kama pantoni ya Kigamboni. Ikitia nanga : 🔵 Kuna wanaoshuka kwa kukimbia 🔵 Kuna wanaoshuka taratibu 🔵 Kuna wale wanasubiri mpaka watu wapungue ndipo nao washuke na ⚪Wengine huamua kurudi na pantoni ilikotoka. #ElimikaWikiendi
7
35
158
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Binafsi nimeona DHAMIRA ya DHATI ya Mama, hasa pale alipotumia mfano wa Mama mwenye matamanio ya kumpendezesha mtoto wake lakini hana uwezo. Nia ya kutoa ajira mpya 40000 ni jambo jema lingine hasa kwa sekta ya Afya na Elimu. Mwanzo mzuri. 👏👏
Tweet media one
5
14
163
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Mwaka 1981, wakati wa kumchagua Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa, China 🇨🇳 pamoja na nchi za Afrika zilimpendekeza Mjumbe wa #Tanzania 🇹🇿 Salim Ahmed Salim, ambaye aliwahi kuwa Balozi wa #Tanzania nchini China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.
Tweet media one
3
38
164
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Moja ya watu SMART na HAZINA kwa Taifa letu #Tanzania . Mhadhiri katika Chuo Kikuu na mtu anayewapa maarifa vijana bila kuwabagua... Hii ni appreciation tweet kwa @SwahiliBible
Tweet media one
9
37
162
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
11 months
I am excited to be part of SEP between Muhimbili University of Health and Allied Sciences @muhimbiliuniver and University of Bergen @UiB . I am looking forward to exploring and learning at @UiB .
Tweet media one
23
25
163
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
8 months
"Unfortunately, acetaminophen, during cooking, hydrolyses into a toxic compound known as 4-aminophenol, which damages the liver and kidney and results in organ failure" To read more, link 👇👇
Tweet media one
25
57
158
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Tweet media one
7
66
161
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Ikiwa ni ya Mazingira Duniani #WorldEnvironmentDay #WorldEnvironmentDay2021 , share picha ukiwa katika mazingira ya uoto wa asili. Me : Marangu, Moshi - 2020
Tweet media one
12
23
157
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Maduka ya Dawa yanapiga muziki? 🤔 🤔 I'm speechless 😶
Tweet media one
33
22
151
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Mwanamama aliyeaminiwa na Shirika la Afya Duniani na kupewa majukumu ya KUONGOZA mapambano ya kutokomeza MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE (Neglected Tropical Diseases) Duniani, wanayoziathiri hasa jamii maskini. Huyu ni M #Tanzania Madam @mwelentuli #HappyBirthday
Tweet media one
4
29
154
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Vijana wa #Tanzania 🇹🇿. That's the tweet. SGD 3️⃣
Tweet media one
4
13
152
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Chama Cha Wafamasia #Tanzania kimeondokewa na Mwanachama wake Prof. Malele ( #Mfamasia ). Alikuwa Mkufunzi Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHIMBILI kabla ya Kujiunga na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala campus ya Dar es Salaam. #RIPMalele
Tweet media one
24
28
153
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Tweet media one
11
12
149
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Kuanzia leo naitwa Mfamasia Makole. Ukiniita Makole bila kuanza na Mfamasia siitiki 😁😁. #ThursdayThoughts
32
9
148
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
1 year
Bangi mpaka kwenye biskuti 😬😬
Tweet media one
48
5
150
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Ulishawahi kwenda hospital kufanya check up ya Afya ingawa huumwi?? #AfyaBora
Tweet media one
30
13
145
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
2 years
Madaktari mnawapiga spana Mitandaoni, kwa ground mnapiga simu kuomba ushauri...
20
11
147
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
7 months
#Mfamasia na Professor wa Pharmacology, aliyechapisha zaidi ya machapisho 110 - Prof. A. Kamuhabwa, NEW Vice Chancellor wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHIMBILI @muhimbiliuniver Congratulations!!
Tweet media one
7
31
149
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
ULEVI WA GUNDI Kwenye jamii kuna mambo mengi yanaendelea na inawezekana usiyajue kama haupo karibu na jamii. Nikiwa mitaa ya Nyerere Square mwanzoni mwa mwaka huu niliona vijana wadogo wenye umri kati 10-16 hivi wana chupa ambayo wanapokezana.
Tweet media one
12
23
135
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
4 years
Siku za usoni sheria ITARUHUSU mtu kujipima HIV. 1. Je, utakuwa tayari kujipima mwenyewe? 2. Utamshirikisha mwenza wako majibu yako?
Tweet media one
28
24
134
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
11 months
Congratulations Professor Kaale @eliangiringa1 - Winner of #Pharmacist of the year prize at @TzHealthSummit .
Tweet media one
2
29
142
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
#Tanzania 🇹🇿 ina sehemu nzuri za kuvutia. Hapa ni wapi #Tanzania 🇹🇿??
Tweet media one
32
10
141
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
11 months
Happy #WorldPharmacistsDay to all Pharmaceutical Personnels around the world. My message is 👇 #YourTrustedPharmacist #TrustYourPharmacist
Tweet media one
2
37
138
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
15 days
"We regret to inform you that..." But we move. Ukiziona zingine @MatumlaAJ nisogezee.
Tweet media one
33
10
141
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
This Photo is HOT - H.E @SuluhuSamia 📸 @jaliluzaid
Tweet media one
3
9
132
@TumainiMakole
Tumaini MAKOLE
3 years
Baba Levo sasa ana PhD na ataitwa Dkt. Baba Levo wakati @Nkololotz na mashule yake haitwi Dokta.
Tweet media one
40
6
131