@IdrisSultan
Naitwa One Ghetto Child. Fundi Viatu maarufu hapa twitter (X). Ningependa ndungu mwanafamilia uliyepo hapa X unisaidie nipate 500,000 kwa kuretweet, comments na kulike ili niweze kuboresha kijiwe changu na tuendelee kushona na kung'arisha viatu sehemu nzuri zaidi 🙏