Sophia Kessy Profile Banner
Sophia Kessy Profile
Sophia Kessy

@SophiaKessy

22,139
Followers
7,000
Following
3,732
Media
31,604
Statuses

Journalist/ TV & Radio Personality @CMG : CEO #SophyTours #Finchafricasafaris #Drop4Honey ๐Ÿฏ: Founder of Sophyfoundation!

Tanzania
Joined March 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@SophiaKessy
Sophia Kessy
8 months
๐Ÿ“ŒZaburi 23:1-6 ๐Ÿ“Œ Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa
7
37
151
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Asante Mungu nitalisifu na kulitangaza jina lako siku zote Finally, he can read his text Mungu huyu ni mwema sana #MySon
Tweet media one
Tweet media two
81
69
2K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Ni Habari njema, Mungu ni mwema sana kwetu Tariq na Msaidizi wake , Shangwe, wamerejea salama nyumbani Tanzania! Imekuwa miezi 9 ya mikiki mikiki maumivu na mateso kwa kipindi chote cha matibabu. Tark akiwa India amefanikiwa kufanyiwa upasuaji mara 5. Alifika India akiwa
Tweet media one
Tweet media two
152
100
2K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ amenifanya nicheke kwa sauti ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚walah TID anafuraha wakati wote
170
219
1K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Hebu fanya kuni folo folo na mimi nitaku kufolo back hapa now ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tuanze 1
Tweet media one
Tweet media two
204
60
1K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Wametuheshimisha sana ๐Ÿคโœ…๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @yangasc1935
Tweet media one
Tweet media two
8
53
1K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Wanawake, kina mama, wasichana, mabinti warembo, ombeeni sana waume zenu, wapenzi wenu, wachumba zenu, washkaji zenu aisee!!!wanaume ni wachache sana nowadays eeeeh!!!! nieleweke hivyo. NIWACHACHE.....๐Ÿค
60
69
1K
@SophiaKessy
Sophia Kessy
11 months
Ninachompeendea Gift aka Gigi huwa ni msema kweli sana USITAMANI MAISHA YANGU msikilize kuna la kujifunza.... Usiamini kila kitu kwenye Mitandao ๐Ÿซถ
77
188
976
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
C-BOY moja kati ya simba aliekuwa mashuhuri sana hapa nchini hatari battle yake unaambiwa ilikuwa sio ya mchezo C-Boy kwa wale watu waporini watanielewa vyema huyu anafananishwa kuwa ndio walikuwa jamaa za akina Bob na Marle so ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ #dada Muhifadhi Niko jikoni minezungunza na
Tweet media one
53
55
918
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Wape salaaaaaam ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›
97
99
887
@SophiaKessy
Sophia Kessy
6 months
๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Babu G Captain G Dah ๐Ÿ’” Pumzika kwa Amani Babu G daima Tunakukumbuka
Tweet media one
82
40
831
@SophiaKessy
Sophia Kessy
10 months
Rose Come back if you can , we can't survive without you, bring your kids with us......... anasikia baba wa familia na Mama huyo wakimuomba Rose โค๏ธโค๏ธโค๏ธ aisee ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒwho is cutting onions..... So touching upendo wa kweli sana huu ukweli nikwamba hakuna kitu kizuri hapa duniani kama
74
155
734
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 months
A year older.๐ŸŽˆ ๐Ÿง Happy Birthday Sophie ๐Ÿ’•๐Ÿ’ #Jeremiah 29:11 #May15
Tweet media one
146
52
658
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Niulize swali lolote nitajibu
Tweet media one
173
26
598
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
#Kumbukumbu 28:13 Ombi langu kwa Mungu ๐Ÿคฒ๐Ÿพ ni kwa kina baba wote, vijana wote wa kiume, na wadogo zangu wote wavulana. Ninawaombea sana wanaume wote Baba, Wajomba, Waume, Wachumba ,na kina Kaka wote kwa ujumla mfanyike kuwa KICHWA na SIO MKIA, kila mnachogusa leo Kifanikiwe
Tweet media one
102
52
610
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 years
Ila wa Bongo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ dah mie nimenyoosha mikono ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
Tweet media one
67
36
532
@SophiaKessy
Sophia Kessy
9 months
Unatengeza Antena utakufa kweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #Alamsiki
27
125
547
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Jamani ifike mahali muwe mnasave viakiba hali ni mbaya makampuni mengi yamepunguza staff na wengine hawajalipwa mishahara yao unapopata fedha itumie vizuri mambo yamebadilika sana na hii Covid19 ndio kabisaa so my dear weka akiba kidogo itakusaidia kununua hata dawa baadae.
Tweet media one
51
53
527
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 years
Hivi umeshawahi enda kwenye Job interview mahali halafu ukaulizwa tell us What do you know better than anyone else ?๐Ÿค”๐Ÿค” mlijibu nini hebu njoeni na majibu yenu kuna mtu amerudi home kanuna๐Ÿฅด๐Ÿฅด๐Ÿฅด
82
40
509
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Find your pace โ˜บ๏ธ
Tweet media one
23
10
474
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Kuitengeneza Brand ni kazi kubwa sana ila kuiharibu na kuibomoa ni dakika Moja.
18
21
459
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Karibu sana Dar Es saalam Mheshimiwa Mkuu wetu wa Mkoa .๐Ÿค๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
12
11
468
@SophiaKessy
Sophia Kessy
11 months
Safari yako itakuwa nyepesi na rahisi zaidi ikiwa hautabeba mambo ya zamani zako ๐Ÿฅฐ
Tweet media one
25
37
455
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Chibonge
Tweet media one
45
11
434
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 years
Njoo uone tofauti ya Embe na Nazi # Mnyamaaa TID sikuwezi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ no What?.....
50
70
424
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Jumamosi tulivu sana yenye Amani na upendo teleee ๐Ÿ˜
Tweet media one
43
13
429
@SophiaKessy
Sophia Kessy
9 months
Wataalamu hii ikoje!? Mweeh ๐Ÿ˜ณ
51
91
424
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 months
Kwaheri Babu G .. ๐Ÿ’” kaka Gadna G Habash
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
26
424
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Eid Mubarak jamani tukutane wapi!?
Tweet media one
26
9
386
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
More than anything, I wish myself more grace, more prosperity, more happiness and more years ahead. Happy birthday to me! โค๏ธ๐Ÿฅฐ๐Ÿ’๐Ÿ˜
Tweet media one
Tweet media two
78
19
355
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Naomba kuwasilisha msichukie jamani ndio mpira watani zetu vumilieni
29
37
342
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Unapoingia kitandani kwako kulala hakikisha umesamehe woote waliokukwaza, sahau mabaya waliofanya leo juu yako samehe kabisa, usilale ukiwa na kinyongo au hasira na mtu moyoni mwako Maisha ni mafupi sana. Mshukuru Mungu kwa kila jambo ushuhudie baraka zako.
10
17
340
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Mwanamke mvuta Sigara na Mlevi unamchukuliaje?......
134
27
346
@SophiaKessy
Sophia Kessy
10 months
Unawakumbuka nani na nani hapo #FBF ๐Ÿซถ๐Ÿพits all about Flashback Friday ๐Ÿ˜‰ those days ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ”ˆnimemiss kamwili kadogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰ hakika Tulichonga barabara ๐Ÿ–Œ๏ธ
Tweet media one
35
17
345
@SophiaKessy
Sophia Kessy
9 months
Nani yuko Moshi Mndenyi tupate kitochi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‰
Tweet media one
71
18
341
@SophiaKessy
Sophia Kessy
7 months
Chizi ma ndinga wenzangu Mpooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ tutafika kweli !? mweeh
30
52
345
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Ohooooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ round ya kwanza jamaa KO amekula lol ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜… aliingia kinyonge sana
Tweet media one
Tweet media two
27
6
312
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
21
12
321
@SophiaKessy
Sophia Kessy
6 years
Ulisema ukweli kaka hakuna anaeijua kesho yake Nenda kaka kapumzike umeumaliza mwendo.
13
39
314
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Hii ndio hali halisi ya mto Wami ndani ya Saadan National Park hakuna maji na hata yale yaliopo kidogo sana hayana oxygen ya kutosha samaki wanakufa wanaelea kama hiyo picha namba 2 hali ni mbaya Lets protect our Enviroment #protect #DadaMuhifadhi #enviromentalJournalist
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
46
40
314
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Dada yakeโค๏ธ
Tweet media one
18
5
308
@SophiaKessy
Sophia Kessy
11 months
Iringa, Mbeya, kilimanjaro au Arusha niweke kitu kama hii itanifaa sana Mungu anipe uhai ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿค” #OtandotoKubwa tamani kuwa Mbalamwezi ili hata ikishindikana basi walau uwe Nyota by #RugeMutahaba ..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
35
43
316
@SophiaKessy
Sophia Kessy
7 months
Acha kulala na Matukio utakumbana na mi spirit ya Mikwamo ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Pastor Tonny Ameeleweka sanaaaa kuna watu wana mikwamoooo ๐Ÿ˜‚
14
105
298
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 months
Mpendwa โ˜บ๏ธ Maombi lazima yawe mtindo wako wa maisha, sio mawasiliano yako ya dharura tu. I have God. Iโ€™m good ! Kwasababu ananionyesha hata yale ya sirini Nitamtukuza daima sitaona haya wala woga Nitasimama imara nikikiri kwamba yeye ndio Mwokozi wa maisha yangu na daima yeye
14
51
302
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Mndenyi ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aika Ruwako Mangi๐Ÿ™๐Ÿฝ tuone ukiwa kijijini kwenu... #MaranguTanzania #womanOfFaith
Tweet media one
Tweet media two
53
9
298
@SophiaKessy
Sophia Kessy
8 months
Mashangazi hoyeeeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mimi sijasema jamani ni Pastor Rose
36
50
292
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Hivi matapeli kumbe bado wapo!? wanapiga simu wanatukana watu dah hiyo namba nikiiposti hapa wapwa washuhulike nao ntakuwa nimekosea!? Maana its too much kero yani wamekosa kuniibia bado wananitukana balaa ๐Ÿคฆ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ
42
11
274
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 months
Thank you Family @CloudsMediaLive ๐Ÿ’๐Ÿ“Œ๐Ÿ’•
Tweet media one
36
29
292
@SophiaKessy
Sophia Kessy
3 years
Thank you God for giving me the strength to keep going. ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
22
7
282
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 months
Kuna nyakati ndani ya dakika moja unajikuta huna kitu kabisaaaaa , na kuna wakati mwingine kikombe chako kinafurika haswaa, hii yote ni kwasababu ya neema ya Mungu. โ˜บ๏ธ Mpendwa endelea kubaki katika maombi, Jibu lako liko karibu kuliko unavyofikiri. ๐Ÿค”
19
49
287
@SophiaKessy
Sophia Kessy
6 months
TAARIFA ๐Ÿ’” Clouds Media inasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Gardner G Habash, ambaye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kilichotokea usiku wa kuamkia leo. Taarifa zaidi kuhusu msiba zitatolewa baadae. Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki, wafanyakazi wenzake na
Tweet media one
23
40
285
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Bado ukinywa maji unamuona kwenye glass ama imeshavunjika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐ŸพMy
Tweet media one
59
17
285
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 years
Happy birthday Clouds fuatilia clouds fm na clouds tv tukiadhimisha miaka 20 utapata kuwasikia Watangazaji Manguli ambao wamepita kwemye mikono ya Clouds pamoja na ma Djs na usiikose Aftika bambataa leo ni Moto tunakumbuka enzi zetu๐Ÿพ
10
16
266
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Mpende Mume wako, Mheshimu, Mjali, Msikilize, Msamehe akikosea yeye pia ni binadamu, Mlinde, Msimamie, Muongoze katika imani, Muombee kila wakati, , yakubali Madhaifu yake, Msitiri, Mshauri usimnyanyulie mdomo hovyo ila USIMUABUDU. Mungu pekee ndie wa kuabubiwa . #Mungumbele
Tweet media one
Tweet media two
44
42
277
@SophiaKessy
Sophia Kessy
5 years
Sometimes kwa mwanamke inapendeza kujisitiri kichwani nimeanza kuwa mzoefu sasa ๐Ÿ˜‰
Tweet media one
43
12
256
@SophiaKessy
Sophia Kessy
8 months
Karibu ๐Ÿ˜‹
Tweet media one
29
14
272
@SophiaKessy
Sophia Kessy
7 months
Prayers Time ..... HATA HICHO UNACHO KIPITIA LEO HUTO KIONA TENA Ezakiel 21:27 Ayubu 7:9 Ayubu 14:7,9 Mhubiri 9:4 Hilo unalo lipitia Bwana anasema huto liona tena. Haijalishi unalo pitia lina ukubwa gani Anasema ishara zingine hazipatikani kwa kusali tu bali ni kwa
29
64
273
@SophiaKessy
Sophia Kessy
10 months
Ipo siri kubwa iliyofichika katika Maombi Simama imara katika Imani ๐Ÿ™๐Ÿฝ Nawapenda โค๏ธ
14
26
270
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 months
Mtu fulani aliwahi kusema, "Si tu kwamba Mungu hubadilisha kile ambacho umepoteza, bali pia hukiboresha kile anachokupa'' ! โ˜บ๏ธ Endelea Kumuamini Mungu hakuna kinachoshindikana chini ya hii dunia.๐Ÿฅฐ akisema iwe inakuwa.. nimeona ukuu wake.
9
42
272
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
They say a person needs just three things to be truly happy in this world: Someone to love, something to do, and something to hope for.
Tweet media one
10
9
263
@SophiaKessy
Sophia Kessy
6 months
#Mashujaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
20
20
266
@SophiaKessy
Sophia Kessy
7 months
Zab 118:24-25 Hii ndiyo Siku aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia. Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi.๐Ÿคฒ๐Ÿพ happy Sunday ๐Ÿค๐ŸคŽ
Tweet media one
3
31
254
@SophiaKessy
Sophia Kessy
2 years
Happy Malkia wa Nguvu Day ๐Ÿ˜› #Dadamuhifadhi
Tweet media one
Tweet media two
12
8
246
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Sitaki kuwa mwalimu wa maisha yako lakini ukiutumia muda wako vizuri kwa malezi ya watoto wako itawasaidia wasipite katika njia zako. It's me again, #DadaMuhifadhi . Let's call it a day ๐Ÿ˜ด
Tweet media one
23
18
237
@SophiaKessy
Sophia Kessy
4 years
Ya mwisho kwa leo
Tweet media one
13
21
231
@SophiaKessy
Sophia Kessy
1 year
Happy world ๐ŸŒŽ tourism day kutoka kwangu #DadaMuhifadhi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
18
234