SIMON F.MACHIBYA🇹🇿 Profile Banner
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿 Profile
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿

@Simon_Machibya

19,816
Followers
7,695
Following
4,899
Media
132,428
Statuses

| #UDSM Alumnus🎓 🇹🇿 | Social Worker |Entrepreneur| @GBSL_TZ & @dlabTz Ambassador |Member for @wacloudsania | INSTAGRAM👇

United States
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
Thanks @dLabTz for this appriciation on #Sema_Na_Data campaign 🙏
Tweet media one
8
32
86
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Amen🙏
Tweet media one
586
164
4K
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
7 months
SUPER CAPTAIN 👀
Tweet media one
38
24
1K
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Hotel ya Mgonjwa wa Corona Arusha imefungwa, hakuna kuingia na waliokuwa ndani wote hakuna kutoka; mimi nawaza nje ya box,vipi wale waliokwenda na Mpango wa Kuchepuka tu kama walikuwepo ndani? Tatizo lao sasa hivi ni kubwa mara mbili ya Corona 😂😂😂😂😂😂
112
54
1K
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Hujawahi vuta sigara(5 marks) Bado bikra (5 marks) Hujawahi saliti(5 marks) Hujawahi kunywa pombe (5marks) Hujawahi piga nyeto(5 marks) Hujawahi angalia xxx (5 marks) Umepata marks ngap?? 😏
347
34
831
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 months
Ni mtandao gani ni wagumu kutoa MBs za bure?😄 Tuwachane LIVE leo!! ◼️ Vodacom ◼️Tigo ◼️Airtel ◼️Halotel ◼️TTCL
281
35
756
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
2 months
ANAITWA JANETH MGOO AMEPOTEA TOKA JUMATATU ILIYOPITA TAREHE 24 JIONI MAENEO YA TABATA BARAKUDA MTAA WA SAIBABA ALIAGA ANAENDA DUKANI KUNUNUA VOCHA ALIVOTOKA HAKURUDI TENA MPAKA LEO KAMA UTAFANIKIWA KUMUONA POPOTE TUWASILIANE KWA 0716766355/0684519497 MUNGU AWABARIKI ASANTENI🙏
Tweet media one
56
354
689
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa hivi kiingereza cha neno 'IKULU' ni kipi 🤗🤗 Tusaidiane aiseee
127
11
637
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Ukiachana na KUKUmiss na KUKUpenda Ni KUKU gani Mwingine unaemjua??🤔🤔🤔
150
13
502
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wanawake kuweni makini sana na hawa jamaa ,huwa wana wivu hatari!!....vimejaa gubu🤣 @mzeewakaliua 🏃
Tweet media one
Tweet media two
29
21
479
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 months
Leo dada yenu kayakanyaga huko IG🤣🏃
Tweet media one
25
16
477
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
UNAMKUTA KIJANA HANDSOME BOY YUPO SMART ANA ELIMU YA KUTOSHA MCHA MUNGU UKIMCHUNGUZA VIZURI KUMBE NI mkurya.😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
53
13
412
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Nyie hivi kirefu cha "PB" ni nini😁🤔
64
5
296
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 months
Daàh nimelia sana😭 Ndugu zangu uKweli humweka mtu huru. Mwana yuko ICU nafikiri hatamani kupona hata kidogo na anajuta hata kufika ICU😭😭😭
Tweet media one
16
17
314
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wananchi Shusheni handle zenu tuwainue⭐🌟⚡🚀✈️🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
69
29
310
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
Wapwa mwenye kibarua anipe plz😂
Tweet media one
22
11
289
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
NJOOENI TUINUANE WAPWA Kama unahitaji uwe na followers wengi kidogo basi andika jina la akunti yako kisha nifollow nitakufollow back, na wengine wengi watakufollow back ukishawafollow.💥💥💥💥💥💪🏼🙌
131
17
260
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Tafiti zinaonesha kuna mikoa 3 inayoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya VVU Tanzania bara ikiwa ni Njombe (11.4%), Iringa (11.3%) & Mbeya (9.3%). Umewahi kupima VVU ? kapime leo utambue afya yako na uishi kwa amani. Source: TACAIDS 2018 @dLabTz #Sema_Na_Data
Tweet media one
80
75
248
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Serikali ya Tz🇹🇿 imejipanga kupunguza Maambukizi ya VVU Kwa 75% mwaka 2020 na 85% ifikapo 2023. vile vile Kupunguza vifo vitokanavyo na VVU kwa 70% ifikapo 2023.Together We Can End HIV Test Now!🎗️ SOURCE: UNFPA Tz, UNAIDS #Sema_Na_Data @dLabTz @usembassytz @PEPFAR #WordPress
Tweet media one
49
89
232
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 years
OY WAKUBWA HIVI TUNAOWAFOLLOW BAADAE WANATUFOLLOW BACK, AFU MUDA KIDOGO UNAKUTA AMEKU UNFOLLOW TUWAFANYEJE Mimi kuna zaidi ya WAPWA 35 wamenifanyia hivyo lakini Mimi nimepanga kuwareport au mnaonaje nyie🤔🤔🤔🤔
25
9
225
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Sasa miaka 6 imepita ana followers 40 tu , huwa hashushi handle wala kuRETWEET🤣 Mpwa shusha handle yako tukuinue ukue. Good Morning 🌅⭐🌠⚡🌟✨💫✨✈️🚀🔥
Tweet media one
114
55
231
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Ni kosa kisheria kushindwa kumfahamisha mwenzi au mtu ambaye unamahusiano nae ya kimapenzi kuwa una VVU au UKIMWI na pia kutochukua hatua mutambuka ya kutoeneza maambukizi husika. Makosa na adhabu zimeainishwa katika vifungu vya 21 (3),32,35,46&57. #Sema_Na_Data @dlabtz
50
148
209
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Naombeni tofauti ya maneo haya👇 University Institute Collage 🔥🔥🔥
33
5
211
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Nililala na binti wa jirani yangu nashangaa asubuhi mama yake na binti anamfokea mwanae"Ulilala wapi na UKIMWI wako huo, ulionao haukutoshi" Nimewaza sana kwanini hatukupima VVU kabla ya tendo la ndoa🤔 Jua afya yako, okoa maisha ya wengi! #Sema_Na_Data @dLabTz @usembassytz
49
68
216
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa hapa naelekea church. Na moka kaliiii🔥🔥 Hii kwenu mnaiitaje😂😂😂
Tweet media one
91
6
212
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
SIKU DEMU WANGU AKINIPOST NITAENDA HALMASHAURI YA JIJI KUOMBA UFAGIO NIFAGIE BARABARA ZOTE ZA DAR NA NITAOSHA DALADALA ZOTE!☺☺ mpwa naomba Like na Rt yako kwenye pinned post yangu, Pita nayo ......Nisaidie ndugu 🙏
19
20
207
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
WAPWA NATAFUTA MKE WA KUOA Natafuta wife material wa kuoa awe na umri kuanzia miaka 18_21,awe maji ya kunde, awe mnene kiasi,awe mtulivu, awe na Elimu kuanzia kidato cha nne na kuandelea.Uwe wife material kweli kwel napatikana kwa simu 0745105652.Wapwa nimesahau Nini kingine🤔🤔
56
9
202
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
Politics dominate our life 😀
Tweet media one
17
34
205
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa tuaojielewa tutaondoka na @MagufuliJP ambaye kafanya makubwa, leo Tz katupatia heshima kubwa nadhan wanangu wa #UDSM mnaelewa ile #LIBRARY inayopatikana Tz na China pekee. Usidangangike kukimbilia upande wa pili wa shilng hakuna maslah wala hawana experience. UDSM Baba lao
Tweet media one
Tweet media two
39
9
198
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
kuna WAPWA wanaovunga wanaakili nyingi,yaan anakufollow afu unamfollow back,baad ya muda anakuUNfollow.Namie nikimgundua tu namUNfollow Dawa ya 🔥 NI🔥. Afu followers kwake wanapungua anaanza kusota tena kutafuta followers wengine na walivyo wagumu kuwapata atajuta😂😂😂
33
12
193
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Muda wa kuinuana🙌Mpwa drop handle yako tukuinue kisha RETWEET na LIKE tukufollow fasta. Good morning ladies and gentlemen 🌅🔨✈️🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
80
43
194
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
2 months
Morning X Family 🌅
Tweet media one
14
20
197
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
TUELEWANE wakubwa. Guyz iko hivi kuvikwa kofia na MR.PRESID ni heshima kubwa sana. Ikumbukwe walivishwa KING KIBA & MJESHI KODE BOY hata kama ningekuwa ni mimi ningejivunia sana.Kama kuna mtu hajavikwa hii kitu ujue ni mgambo🤣😁😃 @Giantism255 @OfficialAliKiba @harmonize_tz
Tweet media one
10
8
188
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Mpwa Hivi Kumuwish Birthday Mtu🎂 Kwa Status Na Hana NambaYako Ama kumwish Twitter lakini Hajakufollow. Hali Hii Kwa Kitalaam tunaiitaje 🤗
32
12
179
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Hivi kwenye pita pita zako umewahi kuwaona wamasai wakiimba HAPPY BIRTHDAY TO YOU. Au wenzetu hawajazaliwa..!!😂😂😂😟😟😟
20
9
166
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Tafiti zinaonesha Tanzania inazaidi ya watu 1.6M waishio na maambukizi ya VVU. Kapime VVU leo itambue afya yako. @dLabTz @usembassytz #Sema_Na_Data SOURCE: TACAIDS 2018. @officialsmatboy @NoelMtafya @RichieMnene @KabukaTz @tycoon_tz @JoeMchome @fmwasyola @henrizemitindo
Tweet media one
43
76
170
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Nyieee mko wap😂😂😂
Tweet media one
47
6
169
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Nyieeeee! Ogopa sana mtu anayekutumia pesa halafu yuko nje ya nchi na hujui kazi anayoifanya huko.😥😥😥
Tweet media one
9
5
176
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Oya ni wewe kweli🤣.......Drop handle yako mpwa tukuinue muda huu. RETWEET na LIKE tukufollow hapo hapo. GOOD MORNING ⚡🌟⭐🌟⚡✈️🚀🚀🔥
Tweet media one
42
18
177
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Mpwa umeamka salama?? Shusha handle yako tukuinue chap,LIKE na RETWEET tukuFOLLOW. Morning 🌅🌟⚡✨🌠✈️🚀🔥
Tweet media one
78
34
165
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Kama hujioni hapa ,ongeza speed ya kushusha handle, RETWEET na LIKE uingie kwenye kitabu cha wapwa . ⚡⭐🌟✈️🚀🚀🔥🔥🔥🔥 Shem @CyancutyTz 👮
Tweet media one
55
40
166
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Inasemekana mwanamke akikupenda anaweza kukupa mtoto wa tumboni kwake ambae sio wako.Wapwa huu upendo mnauonaje??🙂
24
6
155
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
FURSAAAAA🔥🔥🔥 Wanahitajika wasichana 2 na mvulana 1 wenye degree ya Mass communication wenye uwezo wa kuwa watangazaji kwenye online Tv in Kampala Uganda 🇺🇬 Wenye sifa ya kuongea Kiswahili na kiingereza fasaha tuwasiliane haraka kuchangamkia hii fursa kindly call +255754281775
4
41
160
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
HAPPY BIRTHDAY TO ME. 🎂🙏
Tweet media one
33
16
162
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Kuna watu wakiweka status kuzimaliza unatakiwa ununue Energy drink kabisa maana ni nyingi kama series ya Jumong!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺
12
6
148
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Mmeamkaje wafu wa Twitani🐶 Shusheni handle zenu tuwainue ,usisahau RT, like✈️🚀⚡⭐🌟🔥
Tweet media one
48
19
155
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Ni kosa kisheria kushindwa kumfahamisha mwenzi au mtu ambaye unamahusiano nae ya kimapenzi kuwa una VVU au UKIMWI na pia kutochukua hatua mutambuka ya kutoeneza maambukizi husika. Makosa na adhabu zimeainishwa katika vifungu vya 21 (3),32,35,46&57. #Sema_Na_Data @dlabtz
85
75
151
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
HIVI UKIMPA MIMBA MWANAFUNZI ASIYE PENDA SHULE NAPO UNAFUNGWA? 🤷🏼‍♂ 🤔🤔🤔🤔😛🤔
33
10
146
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Safari ya kelekea 10k followers. Wapwa Shusheni handle zenu tuinuane , LIKE na RETWEET tukuFOLLOW Asap. GOOD MORNING 🌅🌟💥✨⚡🌠⭐🏆🏅✈️🚀🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
64
32
152
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Vijana wengi wamekuwa waoga wa kupima VVU,sasa Unaweza ukajipima mwenyewe kwa kutumia vipimo vilivyopendekezwa na madaktari. Ni rahisi tu angalia hii video Kisha fanya maamuzi leo.Kijana unakwama wapi? Pima VVU okoa maisha ya wengi. @dlabtz @tacaidsinfo @PEPFAR #Sema_Na_Data
46
96
139
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Nikiambiwa nitaje team iliyohusika kwenye kura za mwamba wa Lusaka @ClatousCC Hakuna mwingine ni huyu malkia wa nguvu @CyancutyTz she played a great role 🥰🙌 NI USHAURI tu kama itawapendeza wana Msimbazi awe mmoja wa wahasishaji kwa Team yetu. CEO @imani_kajula Think for her
Tweet media one
25
10
152
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Unakwepa Corona kwa kuvaa mask na gloves, Unashindwa kushusha Chandarua afu unang'atwa na kimbu kidogounagua Malaria kali Unakufa na Mask Yako 😷
7
7
138
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa hivi tofauti ya AJIRA na KIBARUA ni Nini???🤗🤗🤗
16
5
136
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Happy birthday to me 🎂🎂🎉
Tweet media one
Tweet media two
32
9
140
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Ukiwa unamtongoza mwanamke siku hizi zingatia kitu kimoja tuu...Urefu wa sketi yake ndio urefu wa mahusiano yenu.🤔🤔🤔
14
9
136
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wapwa mmeamkaje??? Shusheni handle zenu tuwainue asubuhi hii.... RETWEET na LIKE tukufollow muda huu. Good morning⚡⚡🌟⭐✈️🚀🚀🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
51
28
144
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Kwanini Upime VVU? 1.Utafahamu ukweli juu ya afya yako na kuchukua tahadhari⚠️ 2.Ukijua afya yako utawalinda na wengine👨‍👨‍👧‍👧 3.Utaweza kubadili maisha yako mf.kuanza kutumia dawa mapema. Faida gani nyingine anayoipata mtu anapopima VVU? 🎗️🎗️ #Sema_Na_Data @dLabTz 🇹🇿 @usembassytz
Tweet media one
28
52
134
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa leo tuinuane💪 Mpwa weka handle yako, Atakufollow mwingine nawe pia utamfollow back ili life liendelee.Achia handle yako hapo uone akaunti yako itakavyokuwa na followers,💥🙏🙏
49
13
126
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
KING 👑 @OfficialAliKiba A Pure man with no scandals 🤞💪
Tweet media one
14
14
136
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 years
Wakubwa kuna mwamba nilimfollow akanifollow back ila sasa kaniUNFOLLOW anasubiri nimelala ndo anatweet nisione nami leo nimeamua nisilale nisubiri atweet nimkamate vizuri,et nimfanyeje akitweet 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
15
4
132
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 months
Ila hii nchi nyie🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
21
18
139
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Good morning everyone 🌅 Wapwa zishusheni chini handle zenu tuwainue, follow kila anaye RETWEET na LIKE🏆💙🔵 ✨🌟⭐⚡💫💥✈️🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
66
29
132
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wapwa tuko nyuma ya muda,wekeni haraka handle zenu tuwainue ..... RETWEET na LIKE tukufollow. Good Morning 💫💥✨⭐⚡🌟✈️🚀✈️🚀🚀✈️🚀🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
59
31
131
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
“Good news! HIV related services are free of charge 💯 % in any government hospital or health center... services include testing, counseling, medicine and education 👍🏾” @JoeMchome #sema_na_data #Sema_Na_Data 🇹🇿 @PEPFAR @wizara_afyatz @dLabTz @usembassytz
27
75
120
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Nitaacha Ushamba Wote Ila Sitaacha Kuoga Na Kipande Cha Gunia Hiyo Kitu Inasugua Hadi Dhambi.. 😂😂
11
0
118
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Good morning wapwa🌅 Shusheni handle zenu tuwainue, RETWEET na LIKE tukufollow ukue zaidi✅🌅💫⚡⭐🌟💥⚡🔵🏅🏆✈️🚀🔥
Tweet media one
48
26
125
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
20 anniversary of JD Mlimani city @JideJaydee @CloudsMediaLive 🔥
Tweet media one
4
4
122
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Nime ZOOM mara kadhaa...ni Cleansheet mtupu😃🙌🏃
Tweet media one
Tweet media two
24
2
125
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wapwa Leo nimeota ndoto nakimbizana na mdada.mmoja hum TWITTER na nia ya kukimbizana ilikuwa Nzur tuu 🤗
9
3
116
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Mwanaume Unalala kwenye chandarua una mimba?😀
10
0
116
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Jirani yangu ameniita kwake nikamsaidie kusearch channel nimemkuta amevaa night dress Nifanyaje?🤔🤔🤔
39
1
113
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 years
YAFAHAMU MAJINA YA KANDA YA ZIWA👇🤣🤣 1.Kabula 2.masanja 3.mabula 4.mashili 5.masangwa 6.masalu 7.masumbuko 8.Mpuya 9.kabo 10.makune 11.shilyabiye 12.Nyanda 13.Hoja 14.Ndaki 15.mateso 16.Dotto 17.kulwa 18.ligwa 19.Tabu 2o. Mwana shija TAJA NA WEWE JINA MOJA TU TUONE 😂😂😂
47
4
119
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
MORNING EVERYONE. Gaining time🔋⛽ Wapwa Shusheni handle zenu sasa tuwainue.... RETWEET na LIKE tuongeze FOLLOWERS 🏆✈️🚀🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
29
23
117
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Hivi nikitengeneza juice ya pera na parachichi inatakiwa niongeze na nini?🙈
11
5
110
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Ahsante madam @CarolNdosi kwa kunitoa kwenye kifungo cha miezi kadhaa. Nimepata kujifunza mambo mengi tangu nilipokuwa nimekukosea , niliwaza sana na nikatafakari kwa marefu na mapana...😔 Imeandikiwa samehe 7x70 nawe ukaitimiza ,Ahsante kwa kunisamehe na pole kwa kukuosea🙏
Tweet media one
55
6
115
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 months
Nyie watu wa Football ⚽ Miguu ya nani hii😃
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
7
98
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
MORNING WAPWA⌚👋 TIME FOR GAINING 🔋⛽ Shushehi handle zenu tuwainue kisha RETWEET na LIKE tukufollow Asap⛽⛽🔋✈️✈️🚀🚀🚀🔥
Tweet media one
36
15
112
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Good morning everyone, wapwa acheni kuzubaa hebu Shusheni handle zenu tuinuane kisha RETWEET na LIKE tuongeze FOLLOWERS🏆🏅🥇✈️🚀🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
26
7
97
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Ni Kweli Twitter ina Wanawake wazuri wengi sana ila @HildayaD tumpeni tu maua yake for no reason🎉🌺 🌹🤪 Happy Birthday baby Girl❤️🤩
Tweet media one
23
14
104
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Good Morning Everyone👋 Mpwa drop handle yako tukuinue sasa hivi. Anaye RETWEET na LIKE ni kipaumbele kumFOLLOW🌟⭐⚡✈️🚀⭐🚀✈️🚀🚀🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
36
28
101
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
@CAFCLCC @yangasc1935 @RiversUnitedFC @Football2Gether Kama unaungana na mimi kumpa MAUA YAKE .....Fundi FISTON KALALA MAYELE gonga like hapa😃😃😃🙌
1
2
109
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
Merry Christmas & Happy New Year to you all.😜
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
22
6
102
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wapwa hizo handle zenu zishusheni, RETWEET na LIKE tukufollow ili uweze kuinuka kama wengine. Good morning🌅🔵💙💫⚡🌟⭐✨✈️🚀🔥
Tweet media one
41
20
104
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
MAGUFILI alipendwa jamani😢 #PumzikaBaba 🙏
Tweet media one
14
7
100
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Morning Every Body 🌅 Wapwa shusheni handle zenu tuwainue kisha RETWEET na LIKE tukufollow sasa hivi🏆⚡✨⭐💫🌟💥✈️🚀🔥
Tweet media one
47
28
105
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Wakenya wapo tayari kumpea naibu waziri wao😂😂😂
Tweet media one
8
5
99
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 years
1. Engineer ni mkandarasi 2. Legend ni mhenga 3.laptop ni Tanakilishi mpakato 4. Mouse ni kipanya 5. Soup ni mchizi HEBU TAJA MANENO MENGINE TUONE KAMA KWELI 😜🤔
18
4
100
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
GOOD MORNING 🌅 Wapwa kumekucha , Shusheni handle tuwainue. RETWEET na LIKE uongeze followers zaidi.🥈🥉🥉🔧📌🔨✈️🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
35
18
98
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wapwa Shusheni chini hizo handle zenu tuwainue. Kisha RETWEET na LIKE ukuze followers. MORNING ⌚⌚⛽🔋🚀✈️🔥
Tweet media one
35
20
103
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Morning Everyone 🌅👀 Mpwa LIKE na RETWEET kisha shusha handle yako tukuinue na Morning GAIN🌅🌠⭐💥⚡🔧✨🔨🏅🏆✈️🚀🔥
Tweet media one
27
24
101
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Haya wapwa LIST ya Leo hii hapa. Kama haupo hapa tafadhali ongeza juhudi ya kushusha handle yako, RETWEET na LIKE mara kibao tukuFOLLOW⚡⭐🌟⚡⭐🌟✈️🚀🚀🔥🔥 ila @GLORYPETER2017 sikuoni my🙄
Tweet media one
44
26
104
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
Wapwa tuinuane asubuhi hii. Shusha handle yake kisha RETWEET na LIKE tukufollow na kufollow back. Good morniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing💙💫⚡🌟⭐✨✈️🚀🔥🔥🔥
Tweet media one
47
27
101
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 months
GBSL CHALLENGE KUBWA KULIKO🔥 MASHARTI (UZI)👇 1. Follow Page yetu @GBSL_TZ 2. Jiunge na Group letu la whatsapp 👇 3. Tembelea website yetu👇 2.Jipige picha ukiwa na simu/laptop ikionyesha unatumia website yetu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
91
100
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 months
JISHINDIE GB 8 NA @GBSL_TZ 🔥 VIGEZO👇 1. Follow akaunti yetu @GBSL_TZ 2. Mention/Tag akaunti 10 za marafiki zako na waombe like. Comment itakayokuwa na like nyingi itajishindia 8GB za mtandao wowote unaotaka. #GBSL
Tweet media one
10
86
99
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
1 year
MORNING 🌄 Wee mpwa lete hiyo handle huku tukuinue. RETWEET na LIKE upate followers. Twende kazi🔋⛽⌚✈️🚀🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
32
21
100
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Kuwa Baba ni kazi sana, imagine unatakiwa kuoga kila siku ili uwe mfano bora kwa watoto wako😂😂😁
9
4
87
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 months
Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana Mungu wako yu pamoja nawe popote uendako. JOSHUA 1:9 GOOD MORNING 🙏
24
36
101
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
4 years
Ukiachana na ALLIANCE IN MOTION GLOBAL ni fursa gani nyingine ya kutumia smartphone tu unapiga mamilioni ya pesa😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
12
4
91
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
3 years
YANGA tunaamka saa ngapi😀
7
5
84
@Simon_Machibya
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
5 years
Wanaume tunapitia mengi , yan Kuna mda chunusi zinajaa usoni , ad uso unakuwa kama Keyboard 😂😂😂😂😂
10
9
88