Kwenye safari ya kujenga utajiri mwaka huu
✅ Jali afya. Afya ndio utajiri namba moja.
✅ Jenga nidhamu ya fedha, nidhamu ndio uhuru.
✅ Lipa madeni (pamoja na lile la bodi ya mkopo), na usirudi tena utumwani.
✅ Ishi maisha yako halisi. Safari ya kiuchumi ni safari binafsi.
Taasisi nyingi tulizonazo leo, ikiwemo TRA, zilianzishwa na mzee Mkapa. Maono ya 2025 ni yake. Zuri zaidi, yeye ndio rais wa kwanza kutuachia zawadi ya kitabu cha maisha yake.
Kama Nyerere ni baba wa taifa, basi Mkapa ni baba wa sekta binafsi Tanzania. Apumzike kwa amani 🙏🙏
Weekend hii nimesoma kitabu kuhusu kesi iliyomkabili Nyerere ya mwaka 1958. Huenda historia ya Tanzania ingekuwa tofauti kama kesi hii ingeamuliwa vinginevyo.
Kuna vitu vingine vizuri nimejifunza kuhusu wakati huo vyenye mafunzo kwetu leo - THREAD
Vitu vichache alivyoanzisha Mkapa
- TRA
- Mfumo wa VAT (1998)
- PCB (Baadae PCCCB)
- TANROADS
- SUMATRA
- EWURA
- BRELA
- TASAF
- NHIF
- National Business Council
Alipoanza, fedha za kigeni zilitosha kununua bidhaa mwezi mmoja na nusu tu, alipoondoka ilikua miezi mitano+.
Taasisi nyingi tulizonazo leo, ikiwemo TRA, zilianzishwa na mzee Mkapa. Maono ya 2025 ni yake. Zuri zaidi, yeye ndio rais wa kwanza kutuachia zawadi ya kitabu cha maisha yake.
Kama Nyerere ni baba wa taifa, basi Mkapa ni baba wa sekta binafsi Tanzania. Apumzike kwa amani 🙏🙏
Ukitaka kuwachota watanzania, mtaje taje sana Mungu. Sisitiza unyenyekevu wako, na namna agenda yako ni dhihirisho la upendo wa Mungu kwa watanzania.
Ukipata watumishi wa Mungu kukuzungumzia, umemaliza kazi.
Mwaka ni mpya, ila kanuni za fedha ni zilezile.
✅️ Chukua sehemu ya kipato, weka akiba na wekeza.
✅️ Dharura humtokea kila mtu, jiandae.
✅️ Madeni sio ya kuyafuga. Lipa uwe huru.
✅️ Safari yako ni yako binafsi, usijilinganishe na wengine (utaepuka wivu na dharau).
Magugu huota yenyewe, ngano ndio inabidi ipandwe na kupaliliwa.
Matatizo yanakuja yenyewe, mafanikio ndio lazima yatafutwe.
Nyumba ukiiacha huchafuka yenyewe, usafi ndio lazima ufanywe na mtu.
Kifo kinakuja chenyewe, maisha marefu ndio lazima yapaliliwe.
Swali la 'niwekeze kwenye nini?' halijibiki kirahisi. Ni sawa na kumuuliza daktari 'dawa gani ni nzuri kuliko zote?'. Uzuri wa dawa hutokana na gonjwa la mtu, umri, uzito, allergies, historia n.k. (Uzi)
Wadogo zangu vyuoni. Changamkieni sana fursa zenye kunoa uwezo wenu wa kujieleza. Jitoleeni kwenye vikundi, darasani, makanisani, kwenye jumuia zenu n.k. Tunaokutana nanyi huku sokoni tunaona pengo kubwa.
Ukitaka kuwachota young professionals, andaa tuzo. Hakuna haja ya kutafiti wanachofanya. Issue sio impact. Usiingilie ya watu, we watambue tu.
Weka hata kiingilio wajipendekeze wenyewe, watalipa tu. Categories ziwe za kutosha. Malizia na gala moja safi. Usisahau picha za kutosha
Speaking of historical Sheroes, many people know of Chief Mkwawa, but few have heard of his powerful, no-nonsense sister, Semudduda.
She was a general in Mkwawa's army and behind many of his successful raids against the Germans.
There is no shame is saying, 'I can not afford it.'. Time, money, energy and attention are limited resources. Managing them wisely means saying NO more often than saying YES.
Unachohitaji ni makazi yenye kurahisisha maisha yako. Haimaanishi lazima umiliki nyumba.
Vijana wengi wanajitwika mzigo wa kujenga nyumba zisizo na tija kwa kufuata mkumbo. Tunazika mitaji
- Nukuu isiyo rasmi ya
@tonytogolani
Cost is what you pay, value is what you extract from what you pay for.
Not all expensive things are valuable. High cost of living does not always equal high quality of living.
The first goal of saving is to build an emergency fund, which is not an investment, but insurance. Only after you have this can you start investing peacefully.
Tafuta namna ya kistaarabu ya kujadili na ndugu zako kuhusu masuala ya hela na matarajio yao kwako.
Sio kazi rahisi kwa muktadha wa utamaduni wetu, ila ni mazungumzo muhimu sana.
Hela unazozisikilizia sio hela za kuahidi watu, sio za kupangia matumizi na kwa hakika, sio za kukopea. Zisikilizie kimya kimya mpaka zifike.
Kama huna jifunze kusema 'sina', halafu weka nukta. Usiongeze ahadi ambazo hata wewe mwenyewe huziamini. Waelewa hawatakwazika.
Caught up with a friend whose job was impacted by COVID yesterday. She is searching but under no pressure. Why?
✅ She is debt free
✅ With a fully funded emergency fund covering a year's expenses, She ain't touching her investments. 👏👏
Financial discipline will shield you.
You do not live in your house. You live in your head. Clean it up constantly, upgrade it regularly.
It is the only place you never get to leave. Make it habitable.
Kamishna Mkuu wa TRA anatuarifu.
✅️ Walipa kodi waliosajiliwa Tanzania wako milioni mbili tu.
❎️ Walio hai wako milioni moja.
❗️Wanaolipa na kuwasilisha hesabu wako laki tano tu.
Utamaduni wa ulipaji kodi kwa hiari bado tuna mwendo, bado mzigo unabebwa na wachache.
Books expand minds...
Books awaken possibilities...
Books are therapeutic...
Books change lives...
Books make you interesting...
Books are intellectual vaccine against charlatans who would exploit your ignorance...
I've never met a serious reader who was boring to talk to...
Invest first, optimise later.
Read first, curate later.
Start first, improve later.
Save first, increase the rate later.
Write first, edit later.
Work out first, improve form later.
It is futile to change direction if you are not moving. Move first, shift direction later.
Anga lina nafasi ya kutosha kwa kila ndege kupaa. Bahari ina nafasi ya kila samaki kuogelea. Ardhi ina nafasi ya kila kiumbe kufurahia. Kuna nafasi ya kila mmoja wetu kufanikiwa. Tatizo sio uhaba, huenda tatizo ni ulafi.
It is almost impossible to con someone who is neither desperate nor greedy.
Get your finances in order so you are never in a desperate situation. Understand your behaviour so that your own greed does not blindside you.
To my fellow brothers. The world needs your strong masculine energy. Don't dim it, express it.
May we be the brave, competent and compassionate men that our communities need.
Happy men's day.
Learn to say 'NO' quickly and clearly and...
✅ Escape the pain of a deferred decision.
✅ Avoid having to come up with last minute lies (apologies).
✅ Spare people from avoidably unmet expectations.
✅ Earn yours and everyone's respect.
A quick and clear NO is the kindest NO.
Kuwa makini na matumizi madogo madogo. Pesa nyingi huwa haipotei kwa mkupuo. Anza kuziba mianya midogo midogo, hio ndio siri ya kukabili ‘matundu’ makubwa.
Usikubali kufanikiwa peke yako. Kadri uwezavyo, jitahidi watu wako wa karibu nao watoboe.
Kuna usalama kwenye kufanikiwa pamoja na wenzako, hasa kwenye familia.
Tuliosoma uchumi, uhasibu and fedha tunajua. Unaweza hadi kufuzu CPA, ila hukutani na somo la ‘personal finance’. Watakupa utaalamu wa kuwekeza na kutunza pesa za waajiri, kampuni binafsi, au hata za nchi. Ila za kwako mwenyewe hawakuambii chochote (1/2).
Ukitaka kuwachota millenials, ongelea afya ya akili, msongo wa mawazo na changamoto za mahusiano.
Sisitiza kuwa kila mmoja wao ana hisia zake. Tambua 'trauma' walizopitia. Wakubali jinsi walivyo. Ni jamii tu haiwaelewi. Waambie they are perfect the way they are.
The Tz🇹🇿 - EU🇪🇺 business forum.
✅️ Witnessed signing of deals of over USD 1 Bil of investment into Tz
✅️ Showcased Tz's economic potential and attractiveness
✅️ Displayed high-level policy seriousness about making Tz 🇹🇿 an investment magnet
Glad to have been part of it.
Ukitaka kuwachota wafadhili, sisitiza usawa wa kijinsia. Usisahau mabadiliko ya tabia nchi kwenye chochote ufanyacho.
Lenga vijana, maneno 'kujenga uwezo' na 'fursa' ni lazima. Andaa kongamano kubwa, halafu tenga bajeti ya maana ya picha. Achana na content, picha ndio kila kitu.
Msajili wa hazina anasimamia taasisi za uma / kampuni zenye mali za zaidi ya TZS 75 Trilioni. Yeye ndie mwekezaji mkubwa nchini.
Muswada wa uwekezaji wa uma, ukipitishwa na bunge, utamsaidia (kitaasisi na kiutendaji) kufanya kazi kama mwekezaji, sio tu muangalizi.
Haijalishi fursa inang'aa kiasi gani, na kuna shuhuda ngapi za waliofanikiwa kwayo. Kamwe usiweke hela yako kwenye kitu usichokielewa.
Hio ndio kanuni ya kwanza ya uwekezaji. Kama huielewi pishana nayo kwa amani tu.
Disemba hii kuna watu watakula mavuno, na wapo watakaotafuna mbegu.
Japokuwa mbegu na mavuno vinafanana, hakikisha huli mbegu ili tu kufanana na wenzako wanaofurahia mavuno yao.
Shaaban Robert alikufa mwaka 1962, hakuwahi kuwa raia wa Tanzania. Ila tunamuenzi. Ngugi alikimbia mateso Kenya, lakini Kenya wanamuenzi.
Sio suala la passport. Wala hatutaki kugawana zawadi aliyoshinda. Tunafurahi tu kuwa mtu aliezaliwa hapa kafanya vizuri. Ni hilo tu.
Nafikiri huwa mnaingiza stress zenu kwenye mijadala ya kitaifa. Vitu vingine si mbaya kuishia kusema "Aisee!" au "Wow!" Then you go buy a book and read.
✅ Healthy people see doctors,
✅ Fit people go to the gym,
✅ Rich people get financial coaching,
✅ Mentally fit people speak to therapists,
✅ Top players have coaches.
You need not be in trouble to seek professional help. In fact, you will be in trouble if you don't.
Madeni ni minyororo ya utumwa isiyoonekana. Ni mzigo mzito utabeba kimyakimya. Yanaweza athiri afya yako ya akili (mental health).
Watu wanapata sonona (depression) kwa sababu ya madeni. Jihadhari sana na kukopa kopa ovyo.
Respect the process.
The prodigal son lost everything, not because he did not deserve it, but because he got it too soon.
The process helps you handle what comes after it.
I will be on BBC focus on Africa at 8:30 onwards (+3GMT) sharing my views on the upcoming budget. The focus must be building resilience in the Tanzanian economy, businesses and communities in these uncertain times.
@BBCAfrica
Never miss an opportunity to celebrate people when you can. Even for those who look like they've got it together, life can be discouraging.
✅️ Offer a genuine compliment
✅️ Recognise effort
✅️ Encourage someone
✅️ If your criticism is useless, hold your peace.
The power to tax. That is the ultimate power. Rulers throughout history have gambled with it at their peril.
Because the power to tax is not only the power to build, it is inherently the power to destroy.
✅️ For being an amazing dad.
✅️ And an even better husband (mom says so 👏👏).
✅️ For modelling integrity, faith, decency and strength every day.
Thank you, and happy birthday, Mchungaji Ndandala.
Umaskini ni fedheha. Mtu akikutukana na ikakuuma, ujue kuna sehemu kagusa ukweli. Matusi haya yataendelea mpaka Afrika itakapoamka na kujiinua kiuchumi. Tujibu kwa matendo ili vizazi vyetu visipitie fedheha hii.
@Semkae