"They say it's lonely at the top, in whatever you do
You always gotta watch motherfuckers around you
Nobody's invincible,no plan is foolproof"
Guru 1966-2010
Mshawai fanya izo hesabu ukuwa complicated kama Dy/Dx hadi hamuongei tena?
Mwalimu anajikuna tu kichwa na inaelekea 1:30pm ama 3.20 ivi.
Ukienda kutoa suggestion mwalimu anasema "usiguse hapo tutalala hapa" ๐
Acha sasa nizame Canada na visit visa alafu nitabadilisha ikue work visa.
Ikiniramba nakua illegal migrant na nitafute hoodie ya black niwapige nyongolo.
@254_icon
Si ndio nawashow
"The plane had 239 passengers on board, lakini wote walishuka ndani ya maji wajionee live
Baby Shark, doo-doo, doo-doo
Baby Shark, doo-doo, doo-doo
Kambas may look okay but deep down they're wishing for their own artists to 'remove' a song titled Shakahola.
"Ilikua talehe ishilini na samba,
Watu walikataa kula muthokoi hadi wakadendi "
Kuna time hapo mbele huyu atakuwa anaangalia hizi picha anatokwa na machozi......Mimi nlijiambia hakuna kitu ya kucelebrate kwa graduation unless uko na godfather kwa hii serikali ya jambas