Prof.Harry Enock (PhD) Profile Banner
Prof.Harry Enock (PhD) Profile
Prof.Harry Enock (PhD)

@ProfHarryEnock

12,380
Followers
211
Following
252
Media
2,923
Statuses

orthopedic specialist💼// department of orthopedics and surgery// #CDM -member// Lecturer at K.C.M.C University 🎓📚

Uganda
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kwa siku chache zilizobaki kuingia uchaguzi mkuu, tuwe na imani kupitia hapa. Lissu 🔁 magufuli 💙 @FichuaTanzania
Tweet media one
Tweet media two
154
3K
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
9 months
Shughuli yako ulifanya vyema na Hakuna tunachokudai! 🙏🏽 Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe 🙏🏽🇹🇿
Tweet media one
451
156
4K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Kama unaamini kuwa @kigogo2014 ndiye mwanaharakati bora na mwenye ushawishi mkubwa fanya Ku-Retweet 🔁 mpaka imfikie ili tuendelee kuwa pamoja 🙏💪
Tweet media one
Tweet media two
215
1K
3K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Diwani umezoea kuhangaika na kigogo sindio! Sasa anza kukagua ulipo na usiniulize nimefika vipi. Yani mbana mtahaha mwaka huu, ebu achana na kigogo alafu njoo huku nikupokee 😂😂😂
Tweet media one
93
154
2K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Ndugu @MagufuliJP kama huwezi kwenda India kufanyiwa matibabu basi KAA NA MAVI YAKO NYUMBANI! kama wewe unavyotujibu na sisi tunakupa hivyo hivyo. 😂
114
116
2K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mbeya itabaki kama Mbeya na mbunge wao, Mbeya haijawahi kufeli, chagua @IamJongwe__ kwa maendeleo zaidi mbeya mjini ✌✌✌
Tweet media one
17
131
2K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Hivi ni nani atakaetaka kupigana na Tanzania kiuchumi! @MagufuliJP unajipiga vita mwenyewe alafu unaanza kuhisi unapigwa vita vya kiuchumi, ni nani atakaepoteza mda wake kwaajili ya kupambana na taifa ambalo tayali ni maskini? Kaa na uyatafakari matendo yako ndipo utapata jibu 👐
98
146
2K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Akapigwa risasi, akapoteza fahamu, akateswa kwa mamlaka ya ponsio magufuli, akapona baada ya miaka mitatu ilivyoandikwa na amerudi kwa utukufu, amekuja kuwahukumu MAGUFULI NA CCM nae ufalme wake hautakua na mwisho. Nasadiki kwa raisi mmoja LISSU mleta amani. AMEN 🙏🙏
Tweet media one
Tweet media two
44
173
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Nitoke ndani niende wapi? Yani ni hivi, kwenye hichi chumba nitatoka tarehe 29 ya mwezi huu. Sasa nyie endeleeni kuwaza kuiba tu! ✌✌✌
Tweet media one
60
151
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Justice is conscience, not a personal conscience but the conscience of the whole of humanity. @TunduALissu ✌✌💪
Tweet media one
5
95
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
KCMC referral hospital doctors have started refusing to work for no reason 😂
43
66
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko mipango ya kuharibu uchaguzi huko tarime, nsidhani kwamba hatujui. Mipango mliopanga jana kuhusu @HecheJohn msidhani itafanikiwa. Sasa ngoja tuweke voice record ya mliokua mkiyapanga jana. Yaani kuivuruga heche ni kuivuruga tarime vijijini, sasa we endelea tu.
27
88
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mpendwa @MagufuliJP pamoja na kamati yako, tunaomba utueleze kuhusu euro 27mil 💷 ambazo umechukua huko kwa mabeberu. Kwasababu kama ni CORONA @ummymwalimu alipambana nayo na ukasema tusali siku tatu na baada ya hapo CORONA ikatoweka 😂, sasa hizo pesa za mabeberu umefanyia nini?
73
63
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yani haribu kila kitu, kamata watu, piga watu na Fanya utakavyoamua wewe lakini ujue tarima tunaenda na @HecheJohn tarime hatutaki UKHANITH. @FichuaTanzania
Tweet media one
12
95
1K
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko hii ni moja ya majengo ambayo nayafatilia kwa makini sana. Biashara ya siri huwa haina manufaa bhana 😂😂😂😂, ipo siku ntakuweka ukiwa unafanya vikao hapa. Endelea kusema serikali itaundwa na CCM 😂
Tweet media one
56
82
920
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Ogopa sana wanawake wenye macho ya kusinzia kama huyu 🚮
Tweet media one
95
55
872
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
2 years
mh @zittokabwe nimesikitishwa sana na madai yako ya kuwakashifu wanaodai katiba mpya.... sasa nikuulize swali, Je ni TUME HURU ndio itazaa KATIBA MPYA au KATIBA MPYA ndio itazaa TUME HURU?? Explain.
91
99
893
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
aisee ila @freemanmbowetz ni mstaarabu sana. Yani kwa ustaarabu alionesha jana! OCD alipaswa ajishtukie na sio kuropoka kama alivyofanya. @FichuaTanzania
22
55
863
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Msigwa atabaki kama msigwa, chagua @MsigwaPeter kwa maendeleo zaidi iringa mjini. Iringa haiwezi kufeli na haijawahi kufeli ✌✌✌
Tweet media one
10
46
818
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Ndugai hana muda mrefu saana hapa duniani!! Wala msihangaike nae maana ndivyo kifo kilivyo yani lazima utapetape kwanza ndio kikuchukue, msihofu hata kidogo kuhusu ndugai 😊
63
35
732
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mwenyekiti wangu @freemanmbowetz na katibu wangu @jjmnyika naomba niwataarifu kuwa kama mtaleta mada nyengine tofauti na kuwafukuza hawa wasaliti basi mjue huo ndio utakuwa mwisho wa chama kinachoitwa CHADEMA, wananchi wote wapo busy kuwaskkiliza nyinyi. Sasa fanyeni tofauti tu!
32
42
707
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yani chuma bado chamotoooo 🔥 🔥🔥sasa mtu aje ajichanganye aone atavyoungua 😁😁😁✌✌ @FichuaTanzania
Tweet media one
19
46
702
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
kuna majimbo manne ambayo yanamsumbua sana meko yaani hapati usingizi 👉Tarime vijijini @HecheJohn 👉Mbeya mjini @IamJongwe__ 👉Iringa mjini @MsigwaPeter 👉kawe @halimamdee Yani haya majimbo yanampa mawazo sana, yani kila akiyafikiria anakosa nguvu kabisa.
57
43
656
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Madaktari wawili KCMC wapo kitandani now! Sasa endeleeni kubisha na mawenzi wamegoma kuhudumia wagonjwa na hatujui shida nini maana nchi yetu ipo salama 😁😁😁 hawa madaktari wawili hata hatutowasikia isipokua familia zao tu. Sisi wengine tuendelee kusema haipo 😂😂
19
64
639
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naomba niwaambie hivi ndugu zangu watanzania, huyu @kigogo2014 amekua msaada mkubwa sana katika safari ya kutete hili taifa na bado anapambana mpaka sasa ili kuhakikisha kila mwananchi anapata haki yake iliyodhurumiwa. Binafsi namuheshimu sana @kigogo2014 mungu azidi kumlinda 🙏
39
66
629
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Bobi wine 🔁 Museveni 💙 🇺🇬🇺🇬✊🔁 🇺🇬🇺🇬💙
Tweet media one
Tweet media two
26
1K
573
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Kweli naomba RT kwa @Naytrueboy kwakweli anatoa ushirikiano wakutosha katika maswala ya kudai haki, Nay yupo tofauti na wasanii wahovyo! Naomba tuutambue mchango wake kwa retweet zakutosha na tumfollow mpaka ashangae...RT kwa trueboy Tafadhali 🔁💯
21
243
573
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kwasasa kigogo atapatikana hapa @FichuaTanzania kwahiyo mashambulizi bado yanaendelea. ✌✌
8
42
549
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
9 months
Je wamjua @Nnauye_Nape mtanzania wa kwanza kutembea kilomita 40 kwaajili ya kwenda kuomba msamaha kwa mwanaume mwenzie ili apate teuzi??
Tweet media one
50
40
562
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Yule afande aliesema anamtafuta @kigogo2014 amefikia wapi?
26
23
530
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yaani kigwangala ni mpumbavu sana, yani 🚮🚮🚮
34
28
480
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Halelujaaaah! Watanzania bwana yesu asifiweeeee!!! Sasa tusubiri Habari njema hivi punde 🙏🙏 🇹🇿
Tweet media one
29
30
439
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko unaona? Haya sindio unayoyataka? Yani subiri bado kidogo unakaribia kuvuna uliyoyapanda. @FichuaTanzania
Tweet media one
28
34
444
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Akaunti hii ni kwajili ya mashambulizi dhidi ya maadui wetu wa haki. 💪💪 👉follow hapa ili tuweze kwenda pamoja katika safari ya kukemea uovu ufisadi unaofanyika katika taifa letu. 👉follow hapa @ProfHarryEnock @fredrickjustne @FichuaTanzania @lwaitama1 @FichuaTanzania ✌✌
Tweet media one
12
36
438
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Alafu saivi linapanua mdomo et nitatoa ajira 8,000,000. Yani meko na serikali yake ni 🚮
6
38
431
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko usidhani tunasahau, hii ni ilani yenu ya mwaka 2015. Sasa we endelea kutuona sisi ni wapumbavu. @FichuaTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
40
392
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Peeeeeeeeeeeeoples ✌✌✌(power) kama unajua kuwa leo unakwenda kumpigia kura yako Tundu Antipas Lissu naomba uretweet hapa ili twende sawa. Yani tundu lissu ndio tuuakaribia kumtangaza hivyo, yani janja janja haitofanikiwa 💪💪✌✌🇹🇿
Tweet media one
11
174
339
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Mama @SuluhuSamia kaa ukijuwa kuwa unajidanganya na unapoteza muda bure kwa kupambana na mbowe maana katiba mpya ni lazima muitapike yani mtake msitake #Moto_ni_Uleule
11
37
322
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kwa yanayoendelea sasa katika hii nchi. Naomba siku ya jumapilia ukienda kanisani usisahau kuwaombea mashujaa hawa 👇 @kigogo2014 @fatma_karume @MariaSTsehai @ngurumo @godbless_lema @freemanmbowetz @TunduALissu Juma pili iwe siku ya kuwaombea watete wetu tegemezi 🙏🙏🙏
15
27
317
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
CCM is a group of hooligans 😏
15
28
317
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Endeleeni kusema mnaiba, yani msione tumepiga kimya. Ni ushahidi tunatafuta, meko endelea tu.
Tweet media one
8
25
303
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naomba kila mtu awe makini kuretweet na kufollow account hizi hapa. 👇👇👇👇 👉 @ProfHarryEnock @FichuaTanzania @FichuaTanzania @ProfHarryEnock ✌✌💪💪 Account hizi ndio zitakazowajulisha kila kitu kitakacho endelea kuanzi tar 28 mwezi huu, ,,,,,follow and retweet. ✌✌✌
Tweet media one
8
70
296
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naomba niwajulishe wanachama wetu wa CHADEMA kwamba tuna vyombo viwili tu vya Habari ambavyo vinatakiwa viheshimiwe na vilindwe kwa wivu mkubwa. Vyombo hivyo si vingine bali ni @kigogo2014 na @FichuaTanzania kama hamtaamini basi msitegemee kuamini sehemu nyigine tofauti na hapa.
7
25
299
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naitwa prof. Harry Hillary Enock, ni mwanasheria wa kujitegemea. Ndugu zangu watanzania naomba mliombee taifa kwa hizi siku chache zilizobaki ili mwenyezi mungu akafanye uchaguzi huu uweze kuwa wa amani. Kwasisi tunaoifatilia hii nchi kwa kila hatu tunaelewa nini kitatokea! ✌💪
Tweet media one
Tweet media two
16
42
291
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
2 years
Uchaguzi wa 2025 utakuwa wa kihistoria kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyia nchini Tanzania, ✌️✌️✌️✌️✌️🏳️🏳️🇹🇿
19
23
286
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Alikua diwani kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 mpaka 2020, tukamfanya akapata kazi miaka hiyo hiyo akawa wakili. Sasa baada ya kumaliza udiwani akahamia CCM na sasa ni diwani kwa tiketi ya CCM. Leo kaingia kanisani watu wakahama siti aliokaa. 😁😁
Tweet media one
22
30
284
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Tatizo ni ushamba tuu, Anatafuta umaarufu nigeria akati huku taifa lake linaangamia. Yani alikiba ni 🚮
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 years
Mnakera wasanii #Tanzania - mko mstari wa mbele kupigia kelele #BlackLivesMatter #EndSARS - mnafikiri ni fashion? Lakini mko kimya kuhusu ukandamizaji unaoendelea in your own backyard! Eti mnadai "you have a lot to loose" Watanzania wanapoteza maisha na mali yao nyie KIMYA!
158
288
2K
8
30
275
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naona tangu jana mnanipigia simu sijui mnashida gani kwakweli! Ila niwaambie tu kwamba mimi sio kigogo yani mkidhani kwamba nitacheka cheka na nyie. Sasa nampa taarifa meko kuwa napatikana hapa 👇👇waambie watu wako waje wanifate hapa 👇👇maana walionipigia wate nawafahamu. 🚮
Tweet media one
20
30
262
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Ebu mpe neno moja la kishujaa lenyekumtia uchungu, ili aweze kuhamia CCM kwa machungu 😂😂
Tweet media one
64
11
239
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Wanaomwombea Rais wetu (like 💙) na wasiotaka kumuombea (Retweet 🔁)
Tweet media one
23
263
232
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Jumatatu mimi nimepanga watu wangu kisawa sawa, maandamano yetu yataanzia jimbo la HAI. Hatutojali itakavyokua lakini jumatatu lazima tuanze kudai haki yetu ✊✊✊✊✌✌
Tweet media one
6
14
229
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
@kigogo2014 Ndugai sio mzima wa akili yule! Sasa tangu juzi anahangaika kumtongoza dada yake bashe. Yani ndugai 🚮
12
11
226
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
😂😂😂 tutatangaza tuu 😂😂
@RadioOneStereo
Radio One Stereo
4 years
Tume ya Uchaguzi yaonya waliojipanga kutangaza matokeo ya uchaguzi.Soma zaidi->
Tweet media one
43
23
337
6
17
218
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
wale wanaosema nimegoogle picha, nikweli nimegoogle lakini ingekua ni vizuri mkafikiria mara mbili kabla ya kuanza kutoa povu. Sipo hapa kwaajili ya kutafuta followers bali nipo hapa kwaajili ya kuhakikisha kuwa kila mtanzani anapata matokeo kamili tar 18. ✌✌
21
17
216
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yani kitilila ndio mgombea wa hovyo kuwahi kutokea UBUNGO, maana anaongea kama amaekatwa kichwa yani!
@halimamdee
Halima James Mdee
4 years
HUYU ndio anataka kuwa MBUNGE wa UBUNGO...
408
226
2K
5
18
213
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
9 months
Baba mwenye mke na watoto wakubwa tu alafu anashindwa kutambua kuwa anachoandika mtandaoni kinasomwa na mkewe pamoja na watoto wake! Mheshimiwa unatakiwa unyamaze tu ili kuficha ujinga wako na kuepusha aibu kwenye ukoo wako pamoja na familia. Acha maana unatia aibu 🚮
Tweet media one
11
24
214
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Leo iwe ni siku ya maombi kwaajili ya kuiandaa furaha yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu sana katika kipindi cha utawala wa mabavu mamboleo, leo tusali ili kumuomba mungu afanye kazi yake na atuoneshe kuwa yeye yafananishwi na kiumbe chochotd hapa duniani 🙏
5
16
207
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
“This, then, is the state of the union: free and restless, growing and full of hope. So it was in the beginning. So it shall always be, while God is willing, and we are strong enough to keep the faith. @MsigwaPeter ✌✌💪🙏
Tweet media one
0
16
205
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kuna watu huwa wanadhani tumekuja twitter kutafuta fallowers, sasa ni hivi kama ukiona ninamaana kwako endelea kufatilia tweets zangu na kama ukiona sina cha maana kwako basi ni ruksa ku-unfollow. Tanzania sitoiacha ipotee....... ✌✌✌🇹🇿🇹🇿
12
12
209
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Sasa subiri muone kama mtaiba hapa! Nyie simnadhani sisi tunawatania, subirini muone. Yaani matokeo tutayatangaza mapema sana yani.
Tweet media one
11
23
199
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Hivi CCM mtaweza kuishi maisha ya upinzani kweli? Mtaweza kuishi maisha walioishi CHADEMA kipindi nyie mpo madarakani? Kama jibu ni HAPANA, punguzeni uovu mnaoufanya dhini ya wapinzani wenu maana siku hazihesabiki tena.
4
25
195
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
@kigogo2014 @MariaSTsehai @fatma_karume @HecheJohn @MariaSTsehai kuna baadhi ya wananchi wanahisi hawa watu kazi yao ni kushinda mitondoni tu! Lakini ukweli ni kwamba kama sio hawa ndugu zetu basi hili taifa lingekuwa limeshateketea mda mrefu sana!! Tuuapaswa kuwaombe kila siku.
18
22
194
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Na ukimaliza kupiga kura linda kura. Mpaka kieleweke
@rollymsouth
Madenge
4 years
Sisi kama vijana tuna kila sababu ya kwenda kupiga kura siku ya tarehe 28 oktoba 2020, kwenye vituo tulivyojiandikisha, maana kura yetu ndio ushiriki wetu katika maendeleo ya nchi yetu #KuraYetu
25
81
834
6
14
187
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko anaukimwi! Nani anabisha?
24
18
187
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mshindi halali wa jimbo la HAI ni mbowe mwenyewe! Maana kilichofanyika hai kila mwananchi amekiona. Ole Sabaya amefanya uhalifu mbele ya wananchi kwa kushirikiana na police. Sasa sisi hayo matokeo hatuyafahamu na sisi ndio tutakao amua.
8
19
187
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Lissu and robert kyagulanyi are historic fighters in Africa. ✌✊💪🇹🇿🇺🇬 @NUP_Ug @CHADEMATaifa
Tweet media one
Tweet media two
1
20
184
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
INTERNET imefungwa kabisa Yani, ila kama bado unashindwa kutumia mitandao ya kijamii! Comment hapa nitakuelekeza namna ya kjfanya ✌✌
71
16
183
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Sasa kama Diwani anajiamini si aachane na kigogo? Mimi namsubiri huku au anajifanya hanijui. Diwani nimekuita huku njoo 😂😂, mbona unanikwepa kwepa? 😂😂😂 achana na kigogo bhana!
9
14
166
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Alafu @esteramosbulaya tulikuaga hatumpi ukweli sababu alikua ndani ya chama na tulimchukulia kama mpambanaji, lakini kiukweli ester bulaya ni mbayaa yani sijui kama anajiangaliaga kwenye kioo. Ebu toa maoni yako kuhusu bulaya.
21
6
161
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
9 months
Kati ya hawa wawili yupi anajielewa? Retweet 🔄 Like 💙
Tweet media one
Tweet media two
34
421
147
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko sisi bado tunapambana huku ili ukimaliza kuvuruga uchaguzi huu! Unyooshe moja kwa moja ICC pamoja na tume yako 🚮
Tweet media one
0
17
153
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Watu wangu ambao nahitaji kuongeanao kabla sijafa ni hawa wafwatao @MariaSTsehai @fatma_karume @kigogo2014 @godbless_lema @rollymsouth @TunduALissu @IamJongwe__ @MsigwaPeter @zittokabwe @ExMayorUbungo Hawa watu ni watu muhimu sana kwangu na nitawatafuta nchi yeyote walipo 🙏
9
17
149
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kwahakika @freemanmbowetz ni mwenyekiti anayestahili kupewa heshima sasa. Nampangeza sana kwa maamuzi yake ✌✌✌
4
10
143
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Sisi tunasonga mbele! Kwahiyo hayo maswala ya jeshi la polisi kuwataka watu watumie vizuri mitandao ya kijamii, sisi haituhusu hiyo. Na kama ni matokeo mjue @FichuaTanzania atayatangaza mapema sana yani. Nyie endeleeni kuchimba biti tu, yani hamtaamini. ✌✌
3
12
145
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Nchi imeshachafuka hii! Sasa bado kunuka tu. Kesho naingia wilaya ya HAI mkoani kilimanjaro ili tukamalize michezo ya Ole Sibaya na OCD wake @freemanmbowetz kuwa na amani.
9
22
146
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kabudi sisi hatutaki kubishana nawewe wala hatupingani na maelezo yako, yani umetoa maelezo mazuri kabisa tena yameeleweka vizuri sasa 😂 👉 ulichokifanya hapo ni kutuelezea historia ya Tanzania!..... Sasa tuje hapa 👇 👉SWALI; Euro 27mil mmezipeleka wapi? Hivyo tu.
8
11
144
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mwenye kiti @freemanmbowetz pamoja na Katibu @jjmnyika mimi nilikuwa napendekeza kwamba baada ya kumaliza hili la WASALITI, mimi nilikua naomba tufanye uteuzi mpya wa viongozi ndani ya chama ili tuweze kupata viongozi wenye kuheshimu matakwa ya chama. "Tuwe na viongozi sahihi" ✌
6
8
140
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Website ni yangu na picha ninazopost hapa ni zangu, sasa kuna mapumbavu yanatoka huko vichakani yanaingia Google alafu yanatafuta picha nilizoeka hapa yanaanza kutoa povu bila kufikiri. Sasa meko ndio anaejua ukweli wote kuhusu hizo picha ila wewe raia wake hutonielewa kabisa.
3
10
141
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Hivi @mwigulunchemba1 huwa unaakili zote timamu kabisa? Maana unaonekana kama zombie vile 😷
8
3
132
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yani mnapiga simu alafu hata hamuogopi kuona kama namba ipo tofauti! Asee nyie watu acheni ukiherehere mtakuja kufa siku sio zenu. Sasa nipigieni tena alafu niwarecord mbwa nyie! Narudia tena mimi sio kigogo na sipo apa kwajili ya kucheka na nyie 😏
4
14
130
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Nimemsikia @Nnauye_Nape akisema kwamba @BernardMembe akimaliza kazi yake huko @ACTwazalendo atarudi nyumbani tu. Sasa nasisi tunampa taarifa kwamba huyo membe hata akicheza vipi hawato toboa uchaguzi huu. Yani kama ndio mipango yenu basi umjue mmeshafeli 😂
3
15
135
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
CHADEMA! siwezi kukuacha mwenyewe ata waondoke wote lakini najua wapambanaji hawawezi kuishi kamwe. Ee mwenyezi mugu nisaidie ❤❤❤❤✌✌✌✌✌✌✊✊✊✊🇹🇿
Tweet media one
3
10
133
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Ila @godbless_lema ni mwanaume, alafu auajitosheleza yeye mwenyewe yani! @tanpol jichungeni sana maana sehemu zingine sio zakenda kichwa kichwa.
3
6
125
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Unaposikia watu wanasema mwanamke shupavu, mwanamke mpambanaji, mwanamke mkakamavu na aseyetetereshwa na kitu chochote. Basi ujue watakua wanamzungumzia @fatma_karume 💪✊👊🙏
Tweet media one
3
18
127
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Ndugu mtanzani nakumbusha kuwa kesho ni siku muhimu sana kwako kufanya mabadiliko kwa kumchagua kiongozi unaempenda au anaeona atakufaa, naomba tujitokeze kwa wingi ili tukapige kura ya haki. Kura yako ndio amani yako 🇹🇿🙏
Tweet media one
3
17
133
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kuna watu wakisikie neno ICC wanadhani tunapiga kelele tu! Ndio maana wengine wanadiriki kutuita mbwa. Yani meko ukae ukijua huo upepo unaokuja sio wa nchi hii, sasa endelea kusubiri utajua kuwa tunatania au tunamaanisha.
7
10
128
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Kuna mgombea mmoja alisikika akisema kwamba, tukienda kupiga kuru pale kwenye karatasi ya kupigia kura tutakuta jina lake ni lakwanza kwahiyo tuchague jina lake yeye hayo mengine hayatuhusu. Mimi sidhani kama mgombea huyo atakuwa anaakili sawa Sawa kabisa 🤔
4
8
125
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Yaani wakisikia hivi wanatetemeka kuliko! 😂😂
4
10
129
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Raisi wa mindege 😂
Tweet media one
1
10
126
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
@Sirjeff_D ni mtu muhimu sana kwa vijana wa sasa anaweza kukomboa kundi la vijana kimawazo! Nitaandaa spaces kwaajili ya vijana na nitamshirikiaha maana naamini wapo baadhi ya vijana watakaotoka na kitu kwake.
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
3 years
Moja ya udhaifu mkubwa wa mfumo wa elimu yetu ni kutufundisha ‘nini cha kufikiri’ badala ya ‘jinsi ya kufikiri’. Ndio maana asilimia kubwa ya graduates wanawaza almost the same. We were not trained to think beyond the syllabus.
21
70
510
5
6
125
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
@halimamdee na @esteramosbulaya kwanini mnataka kudhalilisha chama? Kwani bila ubunge hamuwezi kuendesha maisha yenu? Mara ya kwanza nilijua kigogo anawasingizia au anatafuta kiki kumbe sivyo! Kigogo alikua anauhakika na anachokisema. Katibu @jjmnyika kuwa makini na hawa watu!
5
5
124
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Wanaomfahamu tusaidiane 😂😂😂
Tweet media one
23
6
122
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Tunaomba viwanda vya bia muanze kupunguza bei na kumbi za starehe mkae attention siku hizi zinazokuja hivi karibuni! 🍷
3
3
116
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Naona sasa elimu ya kupiga kura imepelekwa mashuleni, watoto wetu wanafundishwa kupiga kura. Endeoeeni tu,
2
9
123
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Mimi sitachoka kuwakumbusha watu wa singida magharibi kuhusu huyu mtoto wetu, mchapa kazi, mnyenyekevu, asiye na ubaguzi wowote tena mtu wa watu. Msikubali kumpoteza @SuphianJuma naomba tumpe kura za ndio kwa kishindo kikubwa! Tutaanza nae na tutamaliza naye 💪💪
Tweet media one
1
16
121
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Sasa kwa taaarifa yako, kura tunampa Lissu alafu tuone mtatufanya nini mbwa wewe. Yani kama mmejipanga kuiba kwenye uchaguzi huu, mjue mmeshafel. Yaani nyie endeleeni kutishia wananchi mkidhani watawaogopa mbwa nyie! Yani tutagawana mbao mwaka huu ✌✌
0
13
119
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Meko kura hamtaiba mwaka huu, yani kama mmejipanga kufanya hivyo hesabuni maumivu maana mipango yenu yote tunaijua. Sasa nyinyi endeleeni kusema tunatishia alafu siku ya uchaguzi tuwaoneshe kazi.
4
16
118
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Ndugu yake Ole Sabaya! Ndio wamefanya uchafuzi wa matokeo tunayoyasikia sasa katika jimbo la HAI.
Tweet media one
1
10
117
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
3 years
Tusiishi kwa kutishiana! Acha kila mtu aishi kwa uhuru wake, mimi nitishieni lakini mkae mkijua kuwa sitoachakusema kile ninachkjiskia kusema
2
4
116
@ProfHarryEnock
Prof.Harry Enock (PhD)
4 years
Leo natangaza rasmi kuwa nimefungua kampuni ktakayohusika na maswala ya utengenezaji wa Air conditions za nyumba na magari, popote ulipo tutakufikia. Naomba tusaidiane kutangaza hili tangazo. @rollymsouth @kigogo2014 @MariaSTsehai naombeni msaada wenu 🙏🙏✌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
17
104