Game_Changer🇹🇿 Profile Banner
Game_Changer🇹🇿 Profile
Game_Changer🇹🇿

@NtwinaGerfrid

2,687
Followers
1,697
Following
2,333
Media
20,662
Statuses

IT Technician👨🏽‍💻| @Chelseafc fan 💙(Pride of London)| @YoungAfricansSC fan💚| @Realmadrid fan🤍|Driver🚗🏍| Social Consultant| CEO #ParisFruition 🥤 🍇🍉🍍🥑

Dodoma, Tanzania
Joined August 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 months
Wandugu, nawakumbusha kujali afya zenu kwa kupata juice/matunda fresh kabisa kutoka “Paris Fruition” kwa bei poa kabisa kuanzia 2,000 tu. Karibuni sana🙏🏽🍍🥑🥤🍌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
90
117
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
11 months
@Labella_Mafia95 Hapo unamwambia “nenda kwenye kioo, jiangalie. Unaona nn!?” Akijibu sasa unamwambia “unachokiona hapo mimi naona mara 100 zaidi, umebarikiwa kila kitu kasoro maono ambayo nimebarikiwa mimi tu, so let me ride with you until our last breath❤️ njoo mchana ghetto upike tule wote”
111
61
657
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 month
Hello X, meet my cousin 🤗🤗
Tweet media one
Tweet media two
54
33
483
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Kwahiyo twita washauri hapa tunafanyaje mwanenu ni kama napigwa na kitu kizito hiv🥵🥵
Tweet media one
104
17
371
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
Rasmi leo tar 3 nimemtongoza upya shemeji yenu😂😂😂 Acha @Labella_Mafia95 awe judge anipe marks 1/2
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
65
22
225
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
Happy birthday my Son, 🎂🎉🎊Mungu akulinde na akutunze kwenye kila ukigusacho na kwenye kila njia upitayo🙏🏽🙏🏽 I love you 👊🏽👊🏽 Zaburi 139
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
46
227
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
@IdrisSultan Hii ya kushikwa mkono aisee🙌🏽🙌🏽😂😂 juzi nimekaa kwenye basi na bro mmoja sasa kwenye kukaa kaa vizuri jamaa kaweka mkono pembeni ya paja kujishikiza ila mimi sasa🥵🥵🥵🥵 nishajibana kwenye dirisha nusu nichomoke🙌🏽🙌🏽
20
2
204
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
It’s precious to be called a father🤗🙏🏽 I feel blessed having this family Happy birthday my son❤️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
13
190
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
TFF na bodi ya ligi zinabidi zifanye mchakato wa kuweka sheria ya viwanja bora kutumika kwenye ligi yetu kuu ya NBC🙏🏽 ni aibuu
Tweet media one
10
8
169
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
0
0
151
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 month
Kaka @GeorgeJob14 it's a pleasure kukutag hapa, habari yako. Upo Dodoma kwaajili ya Marathon, hivyo kama ndugu yako tafadhali naomba support yako kwenye biashara yangu ya juice na matunda kwa kufika tu ofisini 0755506535🙏📷
Tweet media one
3
21
89
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
@CFCGabby @DebbyChelsea10 💙💙💙🔥ktbffh
0
0
81
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
Thanks God for blessing her another wonderful birthday, one of the most expensive creatures I’ve ever met❤️ I love her and let us wish a very happy birthday to my love, the mother of my child ❤️❤️🥰🎊🎂🎉
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
6
87
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
Wakuu kwema! Naombeni lift from Dar to Dodoma, yeyote anayekwenda huko hiv karibuni🙏🏽🙏🏽🙏🏽 nina leseni daraja D pia so kama utahitaji msaada wa kuendesha pia nitasaidia Nimemmiss mwanangu😌😌 0755506535
Tweet media one
4
27
82
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 month
Wooow what a day🙏🏽🙏🏽🔥 It was nice having you @SharonMontana20 ofisini kwetu🙏🏽🙏🏽👊🏽honestly you are very humble and direct, natarajia story zaidi next time na michongo kama tulivyoongea sasa😅👊🏽 #X_InDodoma tunaweza kushiriki charity nyingine soon nitakujuza👊🏽👊🏽 #ParisFruition
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
21
81
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
6 months
Mungu ni muweza nimeuona mwaka mwingine🙏🏽🙏🏽 ni baraka kutoka kwake na hakuma mwingine wa kutuwezesha Happy birthday to me🎂
Tweet media one
Tweet media two
25
19
79
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
This is our own job, own boys, own purpose. This is #Chelsea ✊🏽✊🏽💙🧢
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
7
71
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Thanks for this guys🤤🤤👀
Tweet media one
10
7
64
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 months
@mokertz__ Ndio maana wapo strong na wanaishi maisha marefu🙌🏽🙌🏽 sisi tunaokazana na science zilizoletwa na wazungu tukifika miaka 50+ utakuta miguu inavimba na kuuma, mara mtu husikii vizuri, mara huoni😂😂🙌🏽hapo anapiga damu + nyama na hapati shida kama sisi kwasababu wanaishi naturally
6
0
68
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Hivi vibanda umiza bhn🙌🏽🙌🏽🙌🏽 kwani huu (ufugaji wa kucha) ni ujanja au huwa na maana gani!?😂
Tweet media one
18
6
62
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Hello my Dodoma people tupo live “Paris Fruition” kukuhudumia mteja wetu juice na matunda fresh karibu aina zote🧃🥤🍍🥑 Kuanzia 1,000Tsh tu unaweza kujipatia mzigo fresh kwa afya yako Tupo karibu na Kimbinyiko bus stand/Barabara ya kuelekea VETA/Tunaangaliana na BSS Stationery
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
22
66
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
The tour is not over yet🙌🏽🙌🏽 we will face Liverfool in the final✊🏽✊🏽🧢 #KTBFFH
Tweet media one
5
4
61
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 month
Binafsi nipo ofisini tangu asubuhi nawasubiri wateja 😅😅👊🏽👊🏽wale wa “nitakuja nitakuja” ndio nipo nawasubiri hapa Kuna juice na matunda fresh kabisa, uje upate kwaajili ya afya yako 0755506535 Dodoma, Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
35
64
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
6 months
Sasa wateja msipokuja sisi tunaishije!? Wanangu wa Dodoma mje kula na kunywa matunda safi na pure hapa “Paris Fruition” Barabara ya kuelekea VETA/ Mkabala na Taasisi ya Elimu ya watu wazima👊🏽👊🏽🥕🥑🍍🥭🍉
Tweet media one
Tweet media two
10
18
65
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
@YimzyAgain @DebbyChelsea10 ✊🏽✊🏽✊🏽🔥🔥💙ktbffh
1
0
53
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
@EduTalkTz Mijadala itakuwa mingiii ila kile chuma ndio kilikuwa best kwa nchi kama yetu🙌🏽🙌🏽 kuna watu walihisi wao ndo kila ktu kwenye hii nchi (miungu watu) jamaa akawakomesha, mamb ya ufisadi na kuonea watu wa hali za chini😂😂😂 yaan aligusa kwenye kidonda
4
3
60
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
11 months
Bro I really appreciate that you followed me but sitaki mazoea na machawa na wanafiki wa taifa 🚮wewe na sisiemu wenzako kazi kusifia hata vibovu🚮🚮 Kindly unfollow or block me kabisa @__abdulazack
Tweet media one
15
6
57
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Happy birthday to my favorite club 🔥🔥💙🧢🧢 @ChelseaFC
Tweet media one
2
8
57
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
Kama Mungu amekujalia chochote basi hakikisha familia inafurahia uwepo wako ukirejea nyumbani🙏🏽🙏🏽🙌🏽 Dogo anapendelea sana hiv vi bites😅😅😅hapo ananiona mwamba sana kumbe ni buku buku tu
Tweet media one
7
7
57
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Tomorrow is not promising let’s fix this early in the morning ✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽
Tweet media one
5
5
56
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
No more mercy 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 come on bluez
Tweet media one
3
4
51
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Happy birthday to me🤗🎂 Thanks to my family and everyone who supports me in every steps of my life🙏🏽🙏🏽🙏🏽 may God bless you all Karibuni Dodoma mjipatie juicena matunda safi kwa kuanzia 1,000Tsh. Tupo karibu na Kimbinyiko bus stand/Barabara ya kuelekea Veta #CEOofPARISFRUITION
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
7
55
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Vamooooos🔥🔥🔥🤍
Tweet media one
0
2
50
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Wagalatia 5:16-21 16 “Basi nasema, Enendeni kwa roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.” 17 “Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na roho, na roho hushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.”
Tweet media one
8
10
49
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
Wandugu, nawakumbusha kujali afya zenu kwa kupata juice/matunda fresh kabisa kutoka “Paris Fruition” kwa bei poa kabisa kuanzia 1,500 tu. Karibuni sana🙏🏽🍍🥑🥤🍌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
32
53
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Haloooo kwenye line
Tweet media one
1
2
51
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Wakazi wa Dodoma mkaribie “The Paris Fruition” Karibu na ofisi za Kimbinyiko/barabara ya kuelekea Veta/ mkabala na BSS stationery Karibu ujipatie juice fresh ya matunda aina zote🙏🏽🙏🏽🥑🥭🧋🍍🍉🍎🍊🍇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
10
45
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
It’s a match day✊🏽✊🏽💙🧢
Tweet media one
4
6
47
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
11 months
Kampuni: Betpawa Code: 8EA0D2B Odds: Mlima @CharlesChelsea_ liangalie hili treni mabehewa yake yapo safe kiasi
Tweet media one
2
8
48
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 months
We are open Watejaa wangu wa Dodoma karibuni sana👍🏽👍🏽🤗🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
16
46
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
9 months
Binafsi namkubali sana huyu bwana @nikkwapili 👊🏽👊🏽👊🏽🔥 kama ikitokea kaiona hii 🙏🏽🙏🏽 kama kijana ninaomba support ya moja kati ya biashara ninazofanya hapa Jijini Dodoma, hii ya juice na matunda ipo jirani kabisa na bungeni eneo ambalo linafikika kabisa @MwanaFA pia karibuni sana
Tweet media one
8
20
43
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
We are the World’s Champions 💙🧢🎊🏆🎊🏆🔥🔥🔥
Tweet media one
0
9
43
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 month
It looks like TANESCO Dodoma wameishiwa LUKU😂😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
10
3
45
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
Hello friends in Dodoma, karibu ujipatie juice na matunda fresh kutoka “Paris Fruition” kwa gharama nafuu kabisa kuanzia 1,000Tsh tu. Kata kiu yako na jenga afya yako kwa juice bariidi Tupo karibu na Kimbinyiko bus stand/Barabara ya kuelekea Veta/ Tunaangaliana na BSS Stationery
Tweet media one
Tweet media two
2
7
44
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Na kila goti litapigwa wakiimba kwa kusifu “Eeh baba eeh baba eeh baba pokea sifa”😂😂😂🙏🏽
Tweet media one
5
4
40
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
What would you expected!?😁😁🙅🏽‍♂️🌎 this is Chelsea and we are through to UEFA quarter-final
Tweet media one
5
4
38
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 months
Umekaa zako unawaza hela, dogo anakuja anakwambia “nipige piicha” 😅😅🙌🏽🙏🏽watoto ni baraka aisee, unajikuta tu mawazo yote yamepotea
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
7
43
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
@millardayo Sasa ndo naelewa kwann hayati Magufuli alikuwa na maelewano mazuri na huyu mzee👊🏽👊🏽👊🏽🙌🏽
0
0
41
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
7 months
Ndugu @ummymwalimu tafadhali ikikupendeza naomba ufike ofisini kwangu ni karibu na bunge, barabara ya kuelekea Kimbinyiko kama unatokea bungeni, tunaangaliana na BSS Stationary Tunauza juice na matunda fresh aina zote🙏🏽🙏🏽🙏🏽🍇🍉🍌karibu ujenge afya na Paris Fruition 0755506535
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu MP🇹🇿
7 months
Mapema leo asubuhi, Bungeni Dodoma na Naibu Waziri wangu #DktMollel #TeamAfya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
139
40
850
3
27
41
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Anyway feedback hii mwanenu nilikaza kimtindo😋😋penzi linaendelea kama kawa😌😌❤️nampenda
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
1
40
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
10 days
Ishini na watu vizuri aisee 😂😂🙌🏽🙌🏽 yaan sina hili wala lile njaa inauma sina hata mia mara paaap!! Ndugu yangu @MpellyTech1 huyu hapa kaagiza msosi😂😂 basi imebidi nichukue na mimi kijiko📌📌👊🏽 Bila yeye nawaambia hii Dodoma ningeshahama🙌🏽🙌🏽barikiwa sana mkuu
Tweet media one
Tweet media two
8
13
39
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
9 months
Tujipost kidogo🤲🏽🤲🏽👊🏽 Mungu wa mbinguni ndio tegemeo langu✅🙌🏽
Tweet media one
Tweet media two
4
8
41
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Saawa uchumi sio mzuri lakini ndo nisile!? Aaah weeee🤤🤤🤤
Tweet media one
7
2
39
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
Upo Dodoma, unapenda Detox juices, Smoothies na mixing juices na haujapata the best place to have them😉 usijali “Paris Fruition” tupo kwaajili ya kukusikiliza na kukupa kile unachostahili kwa afya yako Kwa affordable price kabisa utapata kile unachopenda na kustahili🍉🥑🍌🍍🥕
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
8
39
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
🙁🙁
Tweet media one
2
6
36
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
We are ready to fight✊🏽✊🏽💙🧢 #NoToRicketts
Tweet media one
3
4
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
11 months
Itoshe kusema kwamba leo nimemtoa jasho huyu Muhindi😂😂😂🙌🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
7
38
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
@GilbertPaul95 @thealpha24_ Huyu jamaa ni complete aisee🙌🏽🙌🏽 kama akiwa na consistency kwa mamb ya namna hii ipo siku tutamuweka kwenye kundi la akina prime Hazard na Prime Alexis Sanches wakiwa na Chelsea & Arsenal🔥🔥🔥 what a goal
2
0
36
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
@TMnyama4_ Hyu na dem wake bhn😂😂🙌🏽 hapo akihisi mkojo ukishaanza kumuuliza uliza ndo unamkata stimu, wewe ukiona imefikia hali hiyo ndo unachochea kisawasawa hatokuwa na budi itabidi tu maana hawezi tena kuubana
0
0
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
11 months
Huko #SportsTradingTanzania ni kwa motooo😂😂😂🔥🔥🔥ni code za hela tu zinatembea Muone @Mtalojr28 akufanyie miamala ya 1XBET then automatically utajiunga tu kwa groups ukuze hela uliyo deposit kwa wakala wa dunia @1xbetcashwakala
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
7
36
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
@FrankKhalidUK @todd_boehly have you ever heard about this guy!??🤔🤔🤔 he is the special one He can not finish the season without a trophy 😅😅👊🏽👊🏽
0
0
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
12 days
✍🏽Mwenzenu mapema sana napiga mixer yangu safi, inasaidia afya ya ngozi yako na mmeng’enyo wa chakula 😌😌🙌🏽 Unasubiri nini? Kama upo Dodoma sogea upate juice na matunda kwa bei kuanzia 2,000 Tsh tu. Karibuni sana 🍍🥭🥑🥕🍌🍉🍒🍊🍊🥑👇🏽👇🏽location👇🏽+ communication 👇🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
20
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Let’s show them kwamba bahati haijirudiagi mara 2😎
Tweet media one
5
0
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
Una kiu!? Hujui pa kupoozea kiu yako!? Check video chini🫰🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Tweet media one
Tweet media two
2
4
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
10 months
@eastafricatv Huyu ndo mwamba sasa (Michael Scofield) 🔥🔥👊🏽👊🏽
0
1
34
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
Hiv kwa kawaida mayai inabidi yachemke kwa muda gani!?🤔🤔
Tweet media one
12
3
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
Mwanetu leo upo live kwenye kideo umetoboa🙌🏽🙌🏽🙌🏽😅 @alvin255_
Tweet media one
2
5
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 months
2
0
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
8 months
Karibu ofisini upate huduma safi ya juice na matunda fresh kabisa😉🤗🍍🥭🥑🥕🍉hata bila cash utalipa kwa e-money (lipa namba)👊🏽👊🏽 Tupo Dodoma karibu na Kimbinyiko bus stand/ Barabara ya kuelekea Bungeni au VETA/ Tunaangaliana na BSS Stationery
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
10
34
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
It’s a matchday✊🏽✊🏽💙🧢 First match of the year, the big one✊🏽 Let’s win it bluez💙 @ChelseaFC @MChelsea1221 @chelseaxtra @tsdismas @DRCharless22 @ChelseaSwahili2 @ChelseaTzFans @AbsoluteChelsea @OfficialFad123
Tweet media one
2
5
35
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 months
Na hii jersey ndo kabisaaa kanimaliza leo🔥🔥🔥😋
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 months
Shemeji yenu amewakaa leeoo🔥🔥🔥😅
1
2
6
3
6
33
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 months
Wapendwa muda si rafiki naomba tuwasiliane kama upo tayari kushiriki na familia ya Dodoma kwenye kutembelea watoto wenye uhitaji siku ya sabasaba #X_InDodoma Voda lipa: 5899672 Paris Fruition Ukiweka mchango wako wasiliana na namba hapo chini🙏🏽🙏🏽ahsante
Tweet media one
3
15
33
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
4 months
@iamcleopatricia Hello naitwa Gerfrid Ntwina, nina biashara yangu hapo Dodoma mjini ya Juice na matunda fresh 😋🍍🥑njoo ujenge afya ya ngozi na mmeng’enyo wa chakula kwa kutumia matunda tunayoyaandaa kwa usafi na ustadi mkubwa kulinda afya ya mteja wetu 0755506535 karibuni sana Dodoma😉
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
11
34
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Ok here we go tonight ✊🏽😋 cone on bluez
Tweet media one
3
6
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
Hello twitter family, leo nina haka ka fridge kangu nahitaji kukauza. Ipo kwenye hali nzuri kabisa mlngo mmoja ina sehemu ndogo kwaajili ya freezing ni mpya imetumika for two months only. Location:Dodoma,Tanzania Contact:0755506535 Additional:Risiti na warranty vyote vipo valid
Tweet media one
Tweet media two
2
8
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
@iamvenga2 Hivi si vile vi Bluetooth speaker hapo kanakuwa tayari na nyimbo ile ya EPL
0
0
30
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
27 days
July was supportive
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@LuckyLu____
FUNDI JUMA 🇿🇦
1 month
July photo dumps lets have it
44
16
152
2
8
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Tweet media one
0
0
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
🔥🔥🔥🏆🎊🏆🎊🏆🎊
Tweet media one
0
8
23
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
Let’s do a simple tour as we always do ✊🏽✊🏽✊🏽 #KTBFFH 💙
Tweet media one
1
1
27
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
Tweet media one
7
5
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
0
0
31
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
12 days
Utajuaje kama natokea #Mbeya 😎😎🥑kidoogo mchana unipite Thanks to boss @MpellyTech1 kwa udhamini wa mchana🙏🏽🙏🏽 nishushie na juice sasa #ParisFruition
Tweet media one
4
16
31
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
10 months
Kidaftari cha leo hiki hapa🔥🔥👊🏽formula ni ile ile, mi sio Malaika. Chagua mechi zako 6/7 weka hela amka na hela👊🏽👊🏽👊🏽 #Kidaftari
Tweet media one
4
9
32
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
9 months
@Sativa255 Halafu waTanzania ndo tunaongoza kwa kusema “usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu” 😂😂😂😂
1
0
31
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
@_Nemmyy Hali ngumu ndio maana haya matukio yanarudi tena nchini, kuna vitu inabidi virekebiashwe kwanza ndio haya mamb yatakwisha
7
0
31
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
@AbsoluteChelsea @David_Ornstein 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️they were willing to take £50M from City why are they wanting more from us!? If they can’t take that it’s better to step aside 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
1
0
27
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
3 years
Tweet media one
4
4
28
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
2 years
@OfficialFad18 I never thought 🤔
0
0
30
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
1 year
@IAMartin_ Suala ni simple tu hapa pato la wananchi limeongezeka maana tunapambana kufanya kazi usiku na mchana na makodi mengi tunalipa Uchumi umeshuka maana hela zinaingia halafu zinaliwa na watu wachache wapumbavu wasioitakia mema nchi 🚮 wa kwanza ni huyu kunguni anayetutangazia haya
1
0
27
@NtwinaGerfrid
Game_Changer🇹🇿
5 months
@TMnyama4_ Hawa wote ni ma gangsters kila mmoja anahisi mwenzake hajui😂😂🙌🏽
6
0
28