Necto Kitiga Profile Banner
Necto Kitiga Profile
Necto Kitiga

@NectoKitiga

43,561
Followers
2,367
Following
6,442
Media
30,440
Statuses

๐Œ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ค๐ข๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐๐š๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐š ๐Œ๐ค๐จ๐š ๐ฐ๐š ๐ˆ๐ซ๐ข๐ง๐ ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ—/๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’ - ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’/๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ—

Iringa, Tanzania
Joined August 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
Mithali 9:11 Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa. Amina ๐Ÿ™ Happy Birthday ๐ŸŽ‚ To Me ๐Ÿ™
Tweet media one
16
27
190
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Utawala wa hayati Magufuli haukuwa na dira ama maono ya nini alikusudia kukifanya na mengi aliyoyafanya hayakuwa na nia njema kwa nchi hii" Professor Mussa Assad, CAG Mstaafu.
Tweet media one
282
244
3K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
Padre Kitima: Kanisa Katoliki ni Taasisi kubwa yenye kila mizizi hadi ngazi ya kaya na hatubahatishi "....tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa mda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu. Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na .....
Tweet media one
50
146
2K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
"Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.โ€ โ€”โ€”โ€” @HHichilema
Tweet media one
60
231
2K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Cc., @jmkikwete
Tweet media one
107
191
1K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
20 days
ALERT ๐Ÿšจ ๐Ÿšจ๐Ÿšจ Anaitwa Jackline ameokotwa Kinyanambo C Mafinga MJINI kwenye pori dogo ameuwawa na Wasiojulikana na kutupwa . # Justice 4 Jackline # MASAUNI MUSTRESIGN. # MASAUNIMUSTGO
Tweet media one
82
342
1K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
13 days
Bado ukaguzi unaendelea hapa nyumbani kwa @ExMayorUbungo
Tweet media one
38
75
1K
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Walionipiga Risasi waliambiwa baada ya mimi kupigwa Risasi nizikwe baada ya masaa matatu, haya yote niliambiwa na watu wa Serikalini baada ya kupona", Mhe. @TunduALissu
Tweet media one
30
124
990
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Usiku mwema pamoja na mateso yote unayopitia mhe. @freemanmbowetz lkn bado upendo wako haulinganishwi na wanakutesa. Wewe ni kiongozi muongoza njia nasi vinginevyo. #RIPMalcomMasoudKipanya #FreeMboweHeIsNoATerrorist
Tweet media one
10
85
970
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Hiyo familia ya SIMON SIRRO inajisikiaje? Fikiria wewe ungekuwa baba yake SIMON SIRRO, mama yake SIMON SIRRO, mdogo wake ungejisikiaje kuzaa kwako UMETULETEA BALAA WATANZANIA? Kwahiyo naomba Watanzania wengine wasituzalie watoto kama SIMON SIRRO - Watanzania walio wengi
Tweet media one
52
116
952
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Mwaka Jana waliiba kura wakajitangaza wameshinda kwa 80% na zaid hawataenda mbinguni na hata kama na wewe upo kwenye hicho chama huendi mbinguni kwakua na wewe ni mwizi" Askofu Josephat Mwingira
Tweet media one
54
113
904
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
"Kila serikali ya Dunia hii inajenga barabara, Nyerere alijenga @MagufuliJP na yeye amejenga na sisi tukiingia madarakani tutajenga ila badala ya kujenga Flyover fikirieni barabara za vijijini unakotoka utajiri wa nchi hii"- @TunduALissu #NiYeye #SasaBasi #ChaguaCHADEMA
Tweet media one
6
83
883
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
No Hate โœŒ๏ธ No Fear ๐Ÿ’ช
Tweet media one
2
50
872
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 months
Spika wa Bunge Akimuangalia Mpina
Tweet media one
41
60
883
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
"Nimekuwa ni adui wa kila mtu, isipokuwa mamilioni na mamilioni ya Watanzania ambao wananiunga mkono, lakini hawa ambao wapo kwenye mamlaka mimi ndio nimekuwa adui yao nambari moja, kwa kuzingatia haya haishangazi hata kidogo" @TunduALissu
Tweet media one
13
84
810
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Amani ya Bwana na Iwe Juu Yenu Makomandoo Wetu, Mungu Atawapigania na Hakika Hatawaacha Mteseke Bure!!
Tweet media one
15
61
811
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Hivi Ndivyo Lucy Owenya (Mtoto wa Marehemu Ndesa Pesa) anavyoondoka Iringa Kibabe Kurejea Kilimanjaro kwenye Shughuli zake kwa kutumia Helicopter yake, Mchana huu. โœŒ๏ธ๐Ÿ’ช
Tweet media one
27
56
800
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
TAARIFA KWA UMMA Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa CC ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @MsigwaPeter leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tweet media one
28
35
801
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Mwenyekiti wa @ChademaTz Mh @freemanmbowetz ameachiwa jioni hii na polisi, yuko salama. Mapambano yanaendelea. Kosa kubwa tutakalolifanya ni kukata tamaa dakika hizi ambazo ccm inarusha miguu na kichwa ikikaribia kukata roho. Tuliposhika tushikilie kwa nguvu. October hawa weupe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
29
44
792
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Dodoma Mpooooooo!!!!!!.... Tukutane Mahakamani Kesho ni #MboweDay na Wenzake, Usipange Kukosa!! #SikuyaHistoria
Tweet media one
10
66
783
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Kwa haraka haraka tu hebu fikiria kama kusingekuwa na wasamalia wema walio rekodi tukio la jana kati ya Polisi&Hamza UNADHANI @tanpol kupitia IGP SIRRO tunayemfahamu vyema angekuja na stori gani? Jaribu kufikiria kisha weka comment hapa tuipitie rejea tukio la kutekwa @moodewji
Tweet media one
Tweet media two
114
68
775
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Breaking News
Tweet media one
30
72
769
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu upone haraka na uendelee na majukumu yako kaka @ProfessorJayTz #PrayForProfessorJay .
Tweet media one
14
63
761
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
โ€œMimi binafsi nilifichwa kwenye kituo cha polisi Bagamoyo mkoa wa Pwani nilipopelekwa usiku wa manane na kulazwa sakafuni bila kuonana na mtu yeyote kwa muda wa siku nneโ€. Mh. @freemanmbowetz
Tweet media one
22
82
756
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
โ€œSisi mawakili wake wote tumempa ruhusa hiyo, kukutana na Rais Ikuluโ€ - Adv. @JohnMallya 22:47, 4/3/2022
Tweet media one
Tweet media two
10
67
752
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Dakika ishirini tu zimeondoka na askari wawili & kulitingisha jeshi la Bw. Sirro @tanpol baada ya siku chache serikali na vyombo vyake kuitangazia dunia kuwa Tanzania Ugaidi. Mtu mmoja analitisha jeshi zima vp wangekua kama 20 ? Ugaidi Sio Sifa Muachieni @freemanmbowetz Sio Gaidi
Tweet media one
42
86
751
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
So Sad Indeed!!!!
Tweet media one
75
95
748
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
IGP Sirro anasema wazazi wa HAMZA aliyekuwa ni kada wa CCM wanapaswa kuwajibika kutokana na namna alivyoua polisi juzi.hao wazazi&ndugu wa HAMZA wanahusika vipi na suala la Hamza? Walimtuma? Km walimtuma ushahidi upo? Km hpn acha mara 1 huu UHUNI utazalisha kina HAMZA wengine.
Tweet media one
Tweet media two
105
89
747
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
Siku CCM ilipokuwa inamuaga Mzee Rashid Mfaume Kawawa (alipostaafu rasmi Siasa za Majukwaani), katika hotuba ya shukrani alisema; "Pamoja na mambo mengine naahidi nitakufa nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM.'' Rashid Kawawa. Ilipotimu zamu ya Mwalimu Nyerere kuzungumza,.....
Tweet media one
15
86
743
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Tumewasili Dar es salaam tayari kuelekea kwenye madhabahu ya utoaji HAKI pale kisutu. Kimsingi tunakwenda kusikiliza kesi mbalimbali zitakazotajwa leo lkn zaidi kesi inayomkabili mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz . Wananchi Wenzangu Twendeni Kwa Wingi Wetu.
Tweet media one
21
81
720
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 month
"Mtu si Mbwa, Hawezi kuwa mbwa mtu. Lazima adabu ya kiutuuzima iwepo"
17
233
739
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Serikali ya rais @SuluhuSamia eleweni kukaa na mhe. @freemanmbowetz katika kuta za gereza ni gharama sana kuliko mngekubali kuandika katiba mpya bila kumsingizia haya madai ya uongo ya jeshi la polisi. Endeleeni kukaa naye mkidhani chadema ni dini kama uislamu na ukristo. NEVER.
Tweet media one
12
108
712
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Maelfu ya wananchi wa jimbo la kilolo waliojitokeza kumsikiliza mgombea ubunge wa @ChademaTz mhe. Jully Mpugula a.k.a (Shangazi) wakati wa uzinduzi wa kampeni zake mapema leo. Kilolo wanataka Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu chini ya shangazi Jully Mpugula. #NiYeye #SasaBasi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
54
692
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Tweet media one
8
36
686
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Watu wetu, wafuasi wetu wajifunze kwa matendo yetu sisi Viongozi. Wasitarajie kwamba tutajenga chuo au kufanya mambo eti ya kuandaa Warithi wa vyeo vyetu" Mhe. @TunduALissu
Tweet media one
Tweet media two
9
59
683
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Kesho Nitaongoza Timu ya Vijana Zaidi ya Mia Moja Kutoka Mkoa wa Iringa Kwenda Kumsindikiza Mgombea Urais Kupitia Chama Changu Pendwa @ChademaTz mhe. @TunduALissu .Kesho Dodoma itasimama kwa Masaa Kupisha Zoezi la Uchukuaji wa Fomu Ya Urais Kupitia kwa Mhe.Lissu #SioYaKukosa
Tweet media one
21
43
681
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Hakuna nchi inajengwa na mijitu mioga" Mh. Jeneral Ulimwengu
Tweet media one
32
71
679
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
๐–๐€๐‘๐€๐Š๐€ ๐Š๐”๐’๐Ž๐Œ๐–๐€ ๐Š๐–๐€ ๐–๐ˆ๐Š๐ˆ ๐Ÿ” ๐Œ๐…๐”๐‹๐”๐‹๐ˆ๐™๐Ž Katibu mkuu TEC amezielekeza Dayosisi zote kurudia kuusoma waraka wa Baraza kuu wiki 6 mfulilizo ili kuwapa nafasi waumini wote kuusikia na kuuelewa hawa jamaa hawana masihala wiki ijayo tena kinaumana ๐Ÿคฃ
Tweet media one
27
96
688
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
Freeman Mbowe mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa.
17
183
683
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Jeshi la wananchi wa Tanzania litaongea na UMMA wa watanzania leo, Ikumbukwe baadhi ya makomando wa jeshi hili wapo jela kwa zaidi ya mwaka 1 kwa tuhuma za kesi ya UGAIDI,Makomandoo hawa wamefanya kazi tukufu ndani ya JWTZ mpaka wakapatwa na matatizo wakiwa kazini tusubiri PRESS!
Tweet media one
36
79
661
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Asante sana Askofu Dr. Fredrick Shoo kwa kwenda Ukonga kumsalimia @freemanmbowetz . Umedhihirisha kuwa #MboweSioGaidi
Tweet media one
7
71
658
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
TAARIFA!! Kuna taarifa kuwa Adv. Mwabukusi & Mdude wamepotea, hawajulikani walipo kwa zaidi ya masaa matatu sasa! Mwenye taarifa yoyote atupatie tafadhali. RETWEET ujumbe ufike.
Tweet media one
Tweet media two
18
191
657
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Napenda kutumia siku ya leo kumtambulisha kwenu mgombea ubunge kijana jimbo la Mufindi Kusini kamanda Titho E.Kitalika kupitia @ChademaTz Tumuunge mkono kamanda kwa hali na mali kuhakikisha kijana anakuwa sauti ya wana Mufindi ambao wamekosa sauti ya mwakilishi sahihi bungeni.
Tweet media one
4
64
656
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
"Mwaka 1990 Prof. Shivji alisema Muungano ni Halali Kisheria; Miaka 18 Baadae Akafanya Rejea Akapata Ushahidi Kwamba BARAZA la Mapinduzi Halikuridhia Muungano, Na Government notice iliyokuwa kwenye Gazeti La Serikali Ilighushiwa Na Wanasheria Wa Nyerere," - @TunduALissu
Tweet media one
18
81
656
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 month
"Vyombo vya habari nchi hapa mpo wapi?, Mnasubiri habari za Gen_Z wa Kenya ndio mripoti?
44
211
667
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz akiwa kwenye ziara ya #OperationHaki Shinyanga alipata kusema haya chama hiki ni chama pekee kilicho kwenye mioyo na fikra za Watanzania wengi kuliko chama chochote hapa Nchini" Kama unakubaliana na Mbowe Retweet imfikie aliyemfunga
Tweet media one
22
330
633
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Kugombea kupitia upinzani ni maisha ya roho mkononi kila wakati. Kufutiwa uraia, kubambikiwa kesi, kufilisiwa, kutekwa, kujeruhiwa, kuuawa, na kuteswa kisaikolojia. Ni utitiri wa visa na hofu. Unashika fomu ya kugombea mkono mmoja na mkono wa pili unaandika wosia.
Tweet media one
17
64
637
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Mtu anaelipa Mishahara nchi hii ni Rais kwahiyo anayewalipa Mishahara wale wabunge 19 wasio na Chama Bungeni ni Mh. Samia Suluhu" Mhe. @TunduALissu
Tweet media one
15
52
628
@NectoKitiga
Necto Kitiga
25 days
Alizaliwa Singida akasoma Ilboru shule ya vipaji maalum kisha akaenda UDSM na masomo ya juu zaidi Uingereza. Mtu wa watu,Wakili Makini,kiongozi shupavu na mkosoaji mkuu wa Serikali aliyepigwa risasi nyingi siku kama hii miaka 7 iliyopita. @TunduALissu โ€œSurvived to tell the taleโ€.
Tweet media one
9
107
646
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Wakili Dickson Matata amefanya kazi ya kitume sana kawapambania wananchi wote Waliokamatwa nje ya mahakama ya Kisutu, walipokwenda kufuatilia kesi ya Mhe. @freemanmbowetz na kukaa ndani na kunyimwa haki ya kuonwa na ndugu zao, yeye alichukua jukumu la kwenda kuwaona kila siku.
Tweet media one
17
83
621
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Tutasimama na Mwenyekiti wetu.. Mipango yote ya hovyo na uovu dhidi yake na chama chetu hautafanikiwa.Tutakilinda chama chetu kwa wivu mkubwa, maana ndio tumaini la Watanzania.Mimi nitaungana na vijana wengine kumlinda m/kiti kwa gharama yoyote ikibidi @freemanmbowetz
Tweet media one
Tweet media two
12
46
614
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Pongezi nyingi kwake kijana mwenzetu ktk chama pendwa @ChademaTz kamanda @IAMartin_ alisimama imara kuhakikisha hamkosi chochote kutoka chumba cha mahakama tangu kesi hii inaanza mpaka leo hii Tumpongeze kwa kadri ulivyoguswa kwa maelezo zaidi pita kwa ukurasa wake wa @IAMartin_
Tweet media one
19
77
609
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Chadema Squard โœŒ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ’ช
Tweet media one
7
30
596
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Moja ya sababu za Mwenyezi Mungu kuleta ukame ni kukithiri kwa dhulma & ukandamizaji. Tukemee kwanza utekaji, mauaji, watu kuwekwa magerezani huku watoto/familia zao zikiangamia bila ya hatia yoyote, Ndipo twende misikitini, makanisani/viwanja vya kuomba mvua. Sheikh Issa Ponda
Tweet media one
22
116
587
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Picha la kutisha kutoka hospitali ikimuonyesha mhe. @freemanmbowetz akimpa tano meya wa jiji la DSM mhe. Isaya Mwita. Mwamba ni Mwamba tu.
Tweet media one
24
30
586
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Tunafungua rasmi zoezi la kudai katiba mpya leo julai 01, 2021 hapa baracuda segerea Dar es salaam ikiwa ni mwendelezo wa dai hili muhimu kwa taifa letu. Sasa tunaanza kwa kutumia majukwaa yetu ya kisiasa halafu hatua hatua nyingine zitafuata baada ya hapa tunataka katiba mpya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
64
582
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
" Mamia ya vijana na wazee wa Kitanzania wamekwenda kwenye kile kinachoitwa "Jamhuri ya Twitter", ambapo masuala muhimu sana ya kitaifa yanajadiliwa kwa umakini zaidi kuliko inavyoweza kupatikana katika Bunge la nchi." - @raiyajenerali
Tweet media one
13
99
595
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 months
Tweet media one
2
99
600
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Yoshua 1:9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. #FreeFreemanMbowe #HeIsNotATerrorist
Tweet media one
19
95
585
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
Lissu : Wakati Magufuli anaumwa nilisema amepata Covid19 mpaka akafariki, nikashambuliwa sana. kwenye Movie Royal Tour naona watu wanaitana Piraaa Piraaa na kukiri JPM amefariki kwa Korona #KatibaMpya #MariaSpaces
Tweet media one
0
66
583
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
Anaitwa Askofu Dkt. Benson Lwakalinda Bagonza Namtakia Usiku Mwema Popote Alipo na Mungu Amtangulie Katika Kila Afanyalo, Aoombalo.
Tweet media one
11
71
589
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
"Mamia ya vijana na wazee wa Kitanzania wamekwenda kwenye kile kinachoitwa "Jamhuri ya Twitter", ambapo masuala muhimu sana ya kitaifa yanajadiliwa kwa umakini zaidi kuliko inavyoweza kupatikana katika Bunge la nchi." - @raiyajenerali
Tweet media one
15
77
574
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
Neno Moja la Kumuombea na Kumtakia Kila Lililojema Kwake Mbunge wa Wananchi wa Mikumi Tafadhali, Sema Neno Lolote kwa Huyu Legend @ProfessorJayTz Kisha Like na Retweet Kuonyesha Kumjali Kamanda Wetu, Usisahau Kumuombea ๐Ÿ™
Tweet media one
20
100
580
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
"Mshindi ni Mshindi tu,Mungu Yupo Ndani Yake, Kati ya Aliyepigwa Risasi na Aliyeiba Kura Nani Yupo Hai?" Askofu Mwingira.
Tweet media one
Tweet media two
31
79
573
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Samia hataki Katiba Mpya. Na Zitto kwa position yake anamsaidia Samia"~ @TunduALissu
Tweet media one
16
27
566
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 month
Askofu @jgwajima ninayemfahamu sasa ndio huyu hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ“Œ
29
141
587
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Tuna nchi ambayo tunahesabu matundu ya choo ni sehemu ya maendeleo." Mhe. @HecheJohn
Tweet media one
22
42
565
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
13
57
565
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Freeman Mbowe: Mheshimiwa Jaji naomba Kuleta Kwenye Mahakama Yako kuwa tumekosa Haki ya Kula Mchana Kwa Miezi 5 Wakati Nyie Mnabreak kwenda Kula sisi hatupati Chakula wala Maji Kwa Miezi Yote 5
Tweet media one
18
59
552
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Mwenyekiti @freemanmbowetz hana, na hajawahi kuwa na hatia ya kosa lolote la jinai, achilia mbali kosa la ugaidi. Sababu pekee ambayo imemsababishia kuteseka gerezani muda wote huu ni yeye kuongoza harakati za kudai Katiba Mpya kwa ajili ya nchi yetu." Mhe. @TunduALissu
Tweet media one
10
58
542
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 months
Tundu Antiphas Lissu
5
118
564
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
BREAKING NEWS Mdude amebadilishiwa Mashtaka kutoka Uhujumu Uchumi na sasa Kusafirisha Madawa ya Kulevya. Hakimu ameomba muda kutoa Uamuzi mdogo kuhusiana na Dhamana.
Tweet media one
25
31
545
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
WARAKA TEC umesomwa makanisa yote ya Katoliki
Tweet media one
23
53
550
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Tanzania hakuna ugaidi mwachieni mwenyekiti wa @ChademaTz mheshimiwa @freemanmbowetz siyo gaidi ni kiongozi wetu, ni baba yetu, ni mtu wa watu zaidi ya milioni kumi, Mwachieni huru Mbowe na walinzi wake kesi hii ni ya uongo serikali mmeamua kumsingizia. Walisikika wanawake Mbeya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
94
524
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
Hakuna mapambano yasiyokua na maumivu, Kama Kuna mtu anawaza hivyo aache harakati. Mhe . @TunduALissu
Tweet media one
14
50
521
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Sisi @ChademaTz ni Chama cha Jamhuri. Sisi hatuwezi kuweka chuo cha kuandaa Wezi wa baadae. CCM kilijenga chuo pale KIVUKONI cha kuandaa watu wao, hakuna cha maana wamekifanya zaidi ya kuandaa MAJIZI tu. Hao unaowaona wezi na mafisadi wa mali ya umma wengi ni 'product' ya Chuo..
Tweet media one
10
46
509
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Mpe neno moja huyu mwamba mwenye vifungashio hapa pembeni, Wewe unadhani baada ya kumuona mheshimiwa @TunduALissu alikuwa anawaza nini? #Retweet , Comment na ku like ๐Ÿ˜Ž
Tweet media one
43
56
511
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
#HABARI Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia @nccrmageuzihq Felix Mkosamali, amekihama chama cha NCCR-Mageuzi na kuhamia @ChademaTz , ambapo pia ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Muhambwe kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
Tweet media one
Tweet media two
21
26
515
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
โ€œKama kanisa au msikiti haiwezi kuongelea Haki na Kweli, ni kijiwe tu - Hamna Ibada hapoโ€ - @godbless_lema
Tweet media one
9
65
508
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"kabla ya kusema Rais alinipa msamaha eti alinipenda nafikiri useme kwamba alinichukia ndiyo maana alinifunga. Hata hivyo, Rais ni taasisi, utaratibu wa msamaha siyo suala binafsi, ni sheria zetu tulizojiwekea ingawa huo msamaha haukunihusu. Magufuli alituchukia @ChademaTz - SUGU
Tweet media one
1
40
501
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
โ€œKama Rais ( @SuluhuSamia ) hawezi kushusha bei ya mafuta ashuke kwenye kitu cha U-Rais, wapande watu wengine wanaoweza kushusha bei ya mafutaโ€ - @jjmnyika
Tweet media one
29
44
495
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Freeman Aikael Mbowe
Tweet media one
7
51
500
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Mafahamu Mwanasheria Nguli wa Kwanza wa @ChademaTz Hayati Bob Nyanga Makani Miongoni Mwa Waasisi wa Chadema ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ #UsuliwaCHADEMA
Tweet media one
5
36
498
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Mahakama kuu kanda ya mbeya imemuachia huru mwanaharakati Mdude Nyagali huru baada ya kukaa mahabusu kwa mwaka mmoja na miezi 4. Mungu ni mwema sana ๐Ÿ™
Tweet media one
5
58
497
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 years
Ndege ya Air Tanzania inazunguka tu hapa Mwanza na inaonekana kama umeshindwa kutua
Tweet media one
44
25
504
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Hatukwenda kwenye siasa kutafuta ruzuku, tumeingia kwenye siasa kutafuta uongozi wa haki." Mhe. @freemanmbowetz
Tweet media one
5
57
491
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Hivi kweli mama SSH @SuluhuSamia kujadli KATIBA ni kosa la jinai ? Uhuru wa mawazo ni kosa la jinai? Watu wasio na hatia wanakaa mahabusu? Hata Nyerere wakoloni hawakumfanyia hivi. Kwa utaratibu huu mtatufunga wengi , Hatutanyamaza". - @MsigwaPeter
Tweet media one
5
53
486
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 months
BREAKING: @TunduALissu ametia nia kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania rasmi โ€œNimetia NIA rasmi kwa katibu Mkuu wa chama chetu kama ambayo sheria inataka, na nimetia nia kwenye nafasi za: โœ๏ธKugombea Urais 2025 โœ๏ธKugombea nafasi ya umakamu wa Mwenyekiti,.....
Tweet media one
12
78
506
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Pichani ni mwl. Nyerere akisalimiana na mwanaukombozi mwenzake aliyesimama kidete mpaka nchi ikapata uhuru marehemu Aikaeli Alfayo Mbowe, Wakati wa ubatizo wa @freemanmbowetz 09 Dec 1961, Mwl ndiye aliyemchagulia jina hilo la Freeman Mbowe na akasimama kama baba yake wa ubatizo
Tweet media one
27
83
487
@NectoKitiga
Necto Kitiga
4 years
Ilikuwa hivi kijana inakuwaje unavaa huu uchafu wa ccm? Majibu, kaka MM CHADEMA nina kadi akachomoa kadi mfukoni kisha nikamuuliza tatizo nini?, Majibu sina hela ya kununua kofia kaka kisha nikavua niliyokuwa nimevaa nikamvisha akafurahi sana #TokomezaCCM2020 #TokomezaCCM2020
Tweet media one
Tweet media two
25
35
485
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
Kaka Yangu,Rafiki na Kiongozi Mwenzangu wa @ChademaTz Mdude Nyagali Karibu Tena Uraiani kwa Mara Nyingine Mwendazake Is No More Huku Tunapambana Kutafuta #KatibaMpya & #TumeHuruYaUchqguzi . #MdudeIsFree
Tweet media one
1
34
478
@NectoKitiga
Necto Kitiga
10 months
Rais @SuluhuSamia huyu ni Jamila Yusuph Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya ya mpanda (DC) ambaye katika kukabiliana na uhalifu ameagiza shamba la mahindi lililokua limestawi vizuri kufyekwa. Huyu anapaswa kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu na kisheria.
Tweet media one
Tweet media two
91
98
486
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Mimi ni Askari Polisi, kama ningekuta meseji za kupanga uhalifu kwenye simu za @freemanmbowetz na wenzake,ningeweka kwenye ripoti yangu ya uchunguzi" moja kati ya mashahidi wa jamhuri akitoa maelezo mahakamani ya kukana kukuta mipango ya uhalifu kwenye simu za @freemanmbowetz .
Tweet media one
6
52
480
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
mtoto wa Mohamed Lingw'enya akiwa tayari kuingia mahakamani kusikiliza kesi ya baba yake.
Tweet media one
9
37
482
@NectoKitiga
Necto Kitiga
14 days
Breaking News Mhe. @ExMayorUbungo amekamatwa muda huu na polisi wenye difenda muda huu maeneo ya Sinza na haijajulikana amepelekwa wapi
Tweet media one
21
150
499
@NectoKitiga
Necto Kitiga
3 years
"Kiongozi anayetisha Raia kutumia uhuru wake wa kujieleza ni kiongozi asiyestahili kuhudumu Ofisi za Umma hata kwa dakika moja" Jenerali Ulimwengu
Tweet media one
11
63
483
@NectoKitiga
Necto Kitiga
11 months
"Nchi ya Kenya na South Africa, raia wake wana imani zaidi na Tume zao za uchaguzi kuliko hata Serikali yao" Padre Charles Kitima.
Tweet media one
Tweet media two
4
36
485
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
"Waziri mkuu hajui walichokipitisha bungeni, Spika hajui walichokipitisha bungeni, Wabunge hawajui walichokipitisha bungeni kwahiyo nchi hajui tulichokisaini afadhari hata Mangungo alijua ni mkataba, wao wanadanganya wananchi eti wameridhia makubaliano je tangu lini bunge ......
41
168
490
@NectoKitiga
Necto Kitiga
14 days
Bon yupo hapa Ostabay Police kwa RCO. Amekamatwa Golden Folk Sinza na Askari wenye uniform na wasio na Uniform! Now wana seize simu zake Mbili na kuanza kuandika Maelezo
Tweet media one
5
80
493
@NectoKitiga
Necto Kitiga
1 year
"Ombi langu kwa wenye mamlaka, Wanasiasa wa nchi hii, japo wanasema siasa ni mchezo mchafu lakini pamoja na uchafu wake tusifanye mambo mpaka yakavuka mipaka. Watu wa Mungu watainua sauti zao na wale wanaoonewa watainua sauti zao watamlilia Mungu na Mungu atajibu." Askofu Shoo
Tweet media one
8
81
483
@NectoKitiga
Necto Kitiga
2 months
โ€œAliyeenda JKT kabla ya mwaka 1993 lazima alikuwa mwanachama wa CCM. Ulikuwa ukimaliza tu mafunzo unakabidhiwa kadi ya CCM. Hivyo hata mimi niliwahi kuwa mwanachama wa CCM. Tena ukiwa unaenda chuo ulikuwa unaombwa kadi ya CCM, baada ya kusajiliwa chuo nikaiachaโ€ Tundu Lissu
Tweet media one
5
76
491