Tutuvengele1 Profile Banner
Tutuvengele1 Profile
Tutuvengele1

@MussaMartin14

2,457
Followers
1,328
Following
1,989
Media
59,506
Statuses

Believe in God at all times without fearing man and even if necessary die in that Faith. BECAUSE OF PURPOSE AND LOVE FOR THE GLORY OF GOD.

Nairobi, Kenya
Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 months
Mnachokifanya ninyi jeshi la polisi juu ya KOMBO MBWANA TWAHA kitawagharimu ninyi na familia zenu.
26
159
613
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 months
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Dr. Nyanja ameamua kujiuzia gari V8 Mali ya UMMA kwa SHILINGI MILIONI 8 za KITANZANIA. Kabla ya kuitoa gari hiyo hapa Manispaa aliifanyia Service gari kwa pesa ya UMMA. Sisiem kwa WIZI wa Mali za UMMA hawana huruma kwa wananchi.
Tweet media one
39
106
573
@MussaMartin14
Tutuvengele1
18 days
Kila mmoja humu X naomba kabla haujalala umsalimie IGP WAMBURA KWA NAMBA HII +255 684 111111 NA UMWAMBIE TUNAMTAKA @DEUSDEDITHSOKA akiwa mzima kabisa kesho asubuhi. "TUNAYOYAWEZA WENYEWE TUSIMUWACHIE MUNGU"
Tweet media one
19
147
531
@MussaMartin14
Tutuvengele1
3 years
Kwa hiyo baada ya Mungu wao kuondoka wanajitazama kwenye kioo!! Mbona safari inaendelea tu kwetu sisi wala hakuna shida.
19
29
453
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Kwa huku TANGANYIKA safari hii naona umegusa mkia wa SIMBA MWENYE NJAA. KIMEUMANA NA TUTAKWENDA MPAKA UMOJA WA MATAIFA KWA KUUZA BANDARI ZETU ZOTE.
Tweet media one
36
63
397
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Chuo kikuu Cha SAUT kimemtaja Mhe. John Pambalu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kutoka CHADEMA kuwa miongoni mwa wanafunzi wake wenye mafanikio.
3
49
398
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Leo alama za VEMA ZOTE ni kwa namba Moja ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Tweet media one
9
31
322
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Sema nini dada @MariaSTsehai Mungu akutunze sana ili wote tuione hii HATMA njema ya nchi yetu na tuwe kwenye HISTORIA ya mchakato huu wa KATIBA MPYA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
9
84
294
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
Ila shemasi Mungu akuweke miaka ya kutosha ili kizazi kije kusimulia juu yako.
5
23
274
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
Jimbo la mbunge alikuwa anaitwa Lubeleje ameongoza miaka 30, upinzani mlituchelewesha sana. #Mitano tenaaaaaaaaaaaa.
3
18
259
@MussaMartin14
Tutuvengele1
11 months
Kwa moto huu uliouwasha leo huko @Columbia Mhe. @TunduALissu HESHIMA KWAKO. Wale mboga mboga ndiyo maana hawakupendi kabisa maana MADINI ULIYOITOA PALE ni HATARI KULIKO HATARI YENYEWE ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. "MUNGU AKUTUNZE SANA KWA FAIDA YA KIZAZI KIJACHO KATIKA NCHI YA TANGANYIKA"
Tweet media one
8
51
253
@MussaMartin14
Tutuvengele1
28 days
Hii ndio Picha ya Siku. Post yako moja yenye hii picha ni muhimu. Let make are famous.
Tweet media one
1
110
250
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
TBC nafikiri itakuwa Kuna mtu amevamia On-line TV yenu. Msiniambie kama ni ninyi ukweli jamani๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰ maana sijui kama @Nnauye_Nape amewaona ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
Tweet media one
18
16
225
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
Shemasiiiiiiiiiiii.
4
12
217
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Mkiendelea kuleta huu UHUNI ninyi @tanpol tunahamia hapo MHAKAMANI SISI WOTE MTUFUNGE pamoja na @PMadeleka . #Free Madeleka๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Tweet media one
4
67
220
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Waandamanaji Migori Nchini Kenya wamewanyang'anya Polisi Gari na hii ndiyo inaitwa NGUVU YA UMMA๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
42
78
211
@MussaMartin14
Tutuvengele1
3 years
Huyo mtu leo atasema alitekwa na vijana wa CHADEMA na hawakukamata kura zozote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ za kuambiwa changanya na zako.
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 years
Demokrasia ya kweli haitapatikana kwa kuridhiana na CCM! After 60 years, in 2020 walipora kura kwa mtutu wa bunduki na kuumiza, kuua na kufunga watu! Chama kikongwe hakijawahi kuomba radhi, kukiri kosa bali inatafuta kuhalalisha uharamu leo! Mnataka kujadili nini? #TutaelewanaTu
65
90
961
3
9
200
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Mhe Lissu akiwa njiani kuelekea Singida, na hapa ni stend ya Dodoma
7
41
204
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
TUTAELEWANA TU.
@ChademaTz
CHADEMA Tanzania
4 years
Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu akizungumza mara baada ya Jeshi la Polisi kuondoa vizuizi vyao.
168
414
3K
4
15
199
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
Wafiwa poleni sana, ila ma- ofsa wote msibani msivae ๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท tafadhali mtafukuzwa kazi! So ndicho mnachoogopa hicho? #Mtakufa kama kuku wa kideri.
5
10
192
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali ( @mdudechadematz ) Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude. Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya
Tweet media one
9
58
199
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Tweet media one
6
69
193
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
@IAMartin_ Tunamshukuru Mungu sana kwa ajali hiyo pia, maana kwa sisi Christian tumeambiwa shukuruni kwa kila jambo. Mungu aendelee kuwakumbuka hivyo hivyo. #Mitano tenaaaaaaa.
23
15
186
@MussaMartin14
Tutuvengele1
5 months
Kanisani wakati wa kumsindikiza ndugu yetu Peter Mtinagi aliyesababishiwa KIFO kwa KUPIGWA na ELIBARICK KINGU na huyu anayeongea hapa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida. Vipande vyote vitakuja hapa.
6
48
192
@MussaMartin14
Tutuvengele1
15 days
Mtendaji wa Kata ya Mlowa Bwawani, Jimbo la Mvumi na Wilaya ya Chamwino anayeitwa HILDA GIDIONI MGANI simu namba hii 0622402009 ameshirikiana na viongozi wa ccm Kata kuvunja bomba na kuiba Bendera ya CHADEMA. @SuluhuSamia na Nchimbi waambieni MAKADA wenu wasije tulamu baadae.
11
43
186
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Ccm bila kusomba watu kwenye MATIPA namna hii, tena ni magari ya Serikali hamuwezi kupata watu wa kuja kumsikiliza @SuluhuSamia huko Kiogoma. #Safari ya masisiem kwenda kumuona @SuluhuSamia .
Tweet media one
36
29
178
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Msafara ulizuiliwa sangsi kwa maelezo kuwa Rais Samia anapita,ila wamekutana na Nguvu ya Umma na msafara wa Kia umeendelea. HII NDIYO MAANA YA NGUVU YA UMMA ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
13
30
183
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Last Update! Hatimae Jeshi la Polisi @tanpol wametema ndoano, wamemuachilia huru Mhe @Twaha_Mwaipaya bila mashrti yoyote muda huu 19:50, Shukrani kwenu nyote. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
13
30
167
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Yule bwana aliyeiba kura za Wana ARUSHA ATAKUFA LEO๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ #KIMEUMANA HAPA KIA
3
29
168
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Hii ndiyo CHADEMA โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
3
33
159
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
@kigogo2014 Shamasi hawa viongozi wa hivi ndiyo ambao siyo wa nchi wanatafutwa kufutiwa uraia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2
4
146
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Maandamano Jioni Mara Baada kumalizika Mkutano hadhara Makamu Mwenyekiti Mh tundu Lissu Leo Kahama MjiniโœŒ๏ธ
4
41
145
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Msafara wa Mkt Chadema Taifa *JIJI LA TANGA*, Akielekea OFISI za Chadema Kusaini Kitabu Cha Wageni, Leo Tarehe 08/02 - Atazindua *MATAWI*, *OFISI* na *VIKAO* ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
0
35
141
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Msafara njia lamadi kuelekea Musoma๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
1
20
139
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Nakwenda kulala usingizi mzuri kwa neno la mwisho ukumbuni la kaka @Mwabuk2Boniface amesema "YEYE NDIYO DEREVA" hao wengine "WANALULUNGANYA TU" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
3
31
139
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Wananchi WAMESALA huko hawataki bendera za ccm ZITUNDIKWE sokoni ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
14
38
130
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Nani alisema Wamasai ni waoga? #WANA HAWA HAPA๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
3
34
127
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Diwani wa wizi wa KURA Kata ya Malolo Zinduna Kambwangwa na mtendaji wake Marry Matiko wenyeviti wake wa mchongo 6 Tabora Manispaa, wanatuhumiwa kula pesa za UMMA kiasi cha shililingi ishrini na tano milioni. {TSHS. 25,000,000/=} Mpaka sasa wako Lupango.
Tweet media one
18
22
126
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 months
Kuna hatua bado inakuja kwako @Nnauye_Nape kama hautaki KUTUBU ukumbuke Mungu anakwenda KUSHUGHULIKA NA WEWE bado kitambo kidogo.
3
24
128
@MussaMartin14
Tutuvengele1
29 days
Ninyi @tanpol kumbe ni zaidi ya WAJINGA eti? Acheni Vijana wa CHADEMA tukafanye sherehe yetu kwa amani vinginevyo mnatafuta kuleta "MACHAFUKO YASIYO YA LAZIMA" katika Taifa la TANGANYIKA. Tena mtoke kabisa Barabarani mkiona hizo gari zenye Bendera za CHADEMA.
Tweet media one
Tweet media two
2
47
126
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Kuwa ndani ya hiki CHAMA RAHA SANA โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
1
17
123
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Huyu ni SUGU ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
0
27
128
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 years
Tulia Shemasi, Burigi amesema jana mambo matatu kwa mara wakati mmoja. 1) Waliotuletea coronya ya ajabu ajabu baada ya kwenda nje kupata chanjo. 2) Tulime tu ili tujiepushe na coronya. 3) Coronya hakuna. #Mitano tenaaaaaaaaaa.
1
13
120
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#CHUMA HIKI HAPA ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Tweet media one
2
35
118
@MussaMartin14
Tutuvengele1
4 months
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama RAS simu 0745737126 amempigia simu Hamisi Kulasha Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Muhambwe na kumtaka leo tarehe 29/04/2024 saa 4:00 asubuhi akaripoti kituo kidogo cha polisi Kilichopo Makele Kasuru. @MariaSTsehai @mdudechadematz @ExMayorUbungo
Tweet media one
12
31
121
@MussaMartin14
Tutuvengele1
25 days
Wewe ulipaswa kuwa JELA mpaka sasa na siyo katika ofisi za UMMA kwa ROHO mbaya na unyama ulioutenda kwa Watanganyika kwa kuwanyanyasa katika nchi yao.
Tweet media one
6
39
119
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
@PMadeleka Kwa kuwa yeye ni HAKIMU na yeye ni Mali ya UMMA na anapaswa kujuwa kuwa yuko chini ya UMMA. Anapaswa kufunguliwa mashitaka yeye Binafsi ilj na yeye aje aulizwe maswali ya "DODOSO" "TUKIAMUA UMMA TUNAWEZA"
2
11
117
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Heri ya siku yako ya kuzaliwa dada yangu mzuri na kipenzi ya Watanzania, @MariaSTsehai . Iwe MA-MBUZI wanataka ima hawataki ndiyo hivyo hivyo imeisha hiyooooo๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช strong woman ๐ŸŽ‚ ๐ŸŽ‰
Tweet media one
1
15
116
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Wakili @Mwabuk2Boniface naye akamatwa Mikumi eti Kwa tuhuma za uchochezi? #OkoaBandariZetu #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
2
50
113
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Woyooooooooooooooh!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2
25
113
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Kuwa CHADEMA raha sana jamani๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชโœŒ๏ธโœŒ๏ธ. Hili chama ni KUBWA SANA.
3
31
109
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Huyu ni JJ MNYIKA Katibu mkuu wa CHADEMA akisalimia wananchi wa Lamadi.
0
18
113
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Asante sana Wakili Msomi kaka @PMadeleka
2
26
114
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Ila dada yangu @MariaSTsehai hii BAMBUCHA NI CHIBOKO ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
2
8
109
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
KATIBA MPYA itapatikana siku si nyingi. Wananchi wako tayari wamechoshwa na UONGO wa ccm.
10
28
107
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Muda sasa wa kukisikiliza hiki CHUMA @Mwabuk2Boniface ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
1
31
110
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Tweet media one
4
62
105
@MussaMartin14
Tutuvengele1
29 days
KAZI YA POLISI NI KAZI YA LAANA KABISA
Tweet media one
6
27
106
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Huyu ni raia wa TANGANYIKA, Hivi ninyi mnaotumia MAMLAKA yenu kwa kuwanyanyasa wengine mnajisikia AMANI gani kama watoto wenu ndiyo wawe wanateswa kwa kiasi hiki? #Free MADELEKA.
Tweet media one
6
73
105
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Maandamano Jioni Mara Baada kumalizika Mkutano hadhara Makamu Mwenyekiti Mh tundu Lissu Leo Kahama MjiniโœŒ๏ธ
0
18
101
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Ninyi @tanpol na JWTZ hivi huyu angekuwa ni dada yako, mtoto wako, au mkeo amefanyiwa haya! Mpaka sasa angekuwa "HAJASHUGHULIKIWA"? @SuluhuSamia pamoja na vyombo vyako vyote, mnataka ushirikiano gani kuhusu jambo hili kutoka kwa jamii kuhusu "UDHARILISHAJI HUU"?
Tweet media one
Tweet media two
0
27
102
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Sumbawanga Mjini DIONIZ KIPANYA( @DIONIZKIPANYA25 ) ametekwa na watu waliojitambulisha ni polisi kutoka ofisi ya RPC-Mkoa wa Rukwa siku ya ijumaa ya tarehe 26 July 2024 mpaka leo hakuna Kituo cha polisi yupo na simu zake hazipatikani. #FreeKipanya
Tweet media one
4
70
103
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Leo kazi ni moja tu kuhakikisha kampeni zinaongeza nguvu ya kutosha na kaka mkubwa @Mwabuk2Boniface anakuwa raisi wa TLS kesho tarehe 02/08/2024
Tweet media one
0
30
97
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Mawakili wote mlioko Dar ninawaomba kwa HESHIMA kubwa na TAADHIMA tuhamie hapo polisi CENTRAL ili kuhakikisha ndugu na mpigania HAKI mwenzetu anapatiwa msaada wa HARAKA. @tanpol mnamkamata mtu ambaye mlikuwa na uwezo mkubwa wa kumuita na akaja mwenyewe ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ "MNAKERA SANA"
Tweet media one
2
23
96
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
. @mdudechadematz akiwa safarini leo amekamatwa/ametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi katika kizuizi (barrier) cha Mikumi. Taarifa za awali tulizopata, Mdude ameelezwa na maharamia hao kwamba ni maagizo kutoka juu, lakini hawakusema kosa lake na wapi anapelekwa.
Tweet media one
2
37
91
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Tweet media one
2
31
88
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Woyoooooooooh! Chuma hiki hapa tayari Kwa safari ya kufika JKN hapo kesho mchana๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
5
16
91
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#Hii ni HAKI YETU KIKATIBA NI LAZIMA TUANDAMANE NA HAKUNA LA KUTUFANYA WEWE MULILO.
Tweet media one
1
28
89
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Wakati walioko madarakani wanawaza kutuibia wanyama wetu kule katika MBUGA ZETU na kuwapeleka katika ZOO YA SHARJAH, yuko mwananchi anatamani kuona nchi yake wezi wote wa aina ya hawa ccm walioko madarakani (WAKOLONI WEUSI) wanaondelewa na nchi hii kuwa salama.
2
26
85
@MussaMartin14
Tutuvengele1
16 days
HAWA NI BINADAMU NA WANA HAKI ZAO KIKATIBA!!! UNAKUWAJE NA ROHO MBAYA KIASI HIKI CHA KUKAA NA BINADAMU HAWA SIKU NYINGI HIVYO KUSIKOJULIKANA? @SuluhuSamia wewe na vyombo vyako vya DOLA WAACHIENI HAWA RAIA WA TANGANYIKA. FIKIRIA MWANAO ABDUL AU WANU ATEKWE KISHA USIJUE ALIPO!!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
58
87
@MussaMartin14
Tutuvengele1
6 months
Bado hawajasema, YAANI MPAKA WASEMEEEEE! ARUSHA PAMEANZA KUPENDEZA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
0
24
87
@MussaMartin14
Tutuvengele1
27 days
Mungu ni mwema viongozi wetu @freemanmbowetz @TunduALissu @John_Pambalu Wamesafirishwa usiku na sasa wako Dar. Najua @TunduALissu atasema na kila kitu itakuwa wazi. "ACHA TUUPE MUDA MUDA"
Tweet media one
0
21
88
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Wewe ni Mtanganyika ama uko nchi nyengine? Kesho TUNAANDAMANA NA HUNA LA KUTUFANYA MAANA HATUVUNJI KATIBA YA NCHI, BALI WEWE NDIYO UNATAKA KUVUNJA KATIBA KWA KUZUIA JAMBO ULILOLIKUTA NA UKAAPA KUILINDA KATIBA HIYO PAMOJA NA UBOVU WAKE WOTE.
Tweet media one
4
21
85
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#KAHAMA MPOOOOOOOOOO๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
3
21
83
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
BREAKING NEWS: Joint Press conf: Dr. Slaa, Wakili Boniface Mwabukus, wakili Peter Madeleka na Askofu Mwamakala kufanya Press Conf ya Kitaifa, Kesho, Jumatano, July 12, 2023. Venue: Musema Hotel, Mkumbusho. Muda: Saa Nne asubuhi. Vyombo vyote vya habari vinakaribishwa.
Tweet media one
6
26
79
@MussaMartin14
Tutuvengele1
7 months
Mambo ya maandalizi ya MAANDAMANO yako hivi katika kituo cha hapa BUHONGWA ndani ya Jiji la Mwanza ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
3
26
85
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Mjinga ni Mjinga tu! Apigweeeeeeeeee๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Tweet media one
11
37
84
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Ila Jamhuri ya TWEETER mnamfanya huyu anaimba TAARABU kwenye KADAMNAIII๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
18
19
81
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#Helkompta kwetu ni UTAMADUNI WA KAWADA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
1
20
77
@MussaMartin14
Tutuvengele1
6 months
Acha safari ya UKOMBOZI IENDELEE katika nchi yetu ya Tanganyika Kaka @HecheJohn . Iwe wanataka ama hawataki kuna wakati jamii itatuelewa zaidi kuliko hawa watawala WANYANG'ANYI ambao tunapo washauri wanaziba masikio yao.
Tweet media one
2
26
78
@MussaMartin14
Tutuvengele1
29 days
Makamu Mwenyekiti @bavicha_taifa @MozaAlly_ amewaongoza viongozi mbalimbali kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti Bara Mhe @TunduALissu Mhe @jjmnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa @TheRealJongwe wakiwasili Jijini Mbeya kuhakikisha Siku ya Vijana Duniani inafanyika kesho Agosti 12
Tweet media one
1
27
78
@MussaMartin14
Tutuvengele1
28 days
Demokrasia ipo wapi Tanzania? Jeshi la polisi limemkamata Mhe. @TunduALissu Mhe. @jjmnyika na viongozi wengine wa chama, wakati wakiwa katika ofisi kuu za chama kanda ya NYASA. Raisi @SuluhuSamia anahubiri demokrasia mdomoni lakini matendo sio ya kidemokrasia. #FreeTunduLissu
Tweet media one
3
40
75
@MussaMartin14
Tutuvengele1
3 years
Shemasi @kigogo2014 kuna ujumbe wako huku.
Tweet media one
11
2
72
@MussaMartin14
Tutuvengele1
10 months
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Mhe. @TunduALissu , akizungumza kilichojiri mara baada ya kutoa maelezo katika kituo kikuu cha polisi Arusha.
0
22
76
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Inawezekana kabisa huyu ndiye anayehusika na UTEKAJI? Au ndiyo maana haya mambo yanatokea huku TANGANYIKA PEKE YAKE? Huyu ni MZANZIBARI hawezi kuwa na huruma kuhusu Watanganyika. TLS NINAWAOMBA SANA TUMCHAGUE @Mwabuk2Boniface ili aweke wazi kila jambo pasina shaka.
Tweet media one
8
11
74
@MussaMartin14
Tutuvengele1
6 months
#VIBE LA BAWACHA MUDA HUU kabla ya kuanza sherehe rasmi za siku ya WANAWAKE hapa Jijini DODOMA. #happywomensday2024
2
22
74
@MussaMartin14
Tutuvengele1
25 days
#Pichani Ni Elias Mbise leo ni siku ya tatu anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza na mpaka sasa hawataki kusema kosa lake nini na Mahakamani hawataki kumpeleka. NB. Elias ni Mwanafunzi wa Chuo Cha Mipango Mwanza lakini pia ni Mwenezi wa CHASO Mkoa wa Mwanza.
Tweet media one
3
33
76
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#Tanzania Mdude is free! He was released tonight on police bail after 72 hours! We fight on! Shukrani kwa wote mliopaza sauti! Mdude kaachiwa usiku huu #TutaelewanaTu #HII NDIYO DAWA YAO๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช UMMA.
Tweet media one
3
27
73
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
#Leo ndiyo siku ya UKOMBOZI wa nchi na BANDARI ZETU๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
2
17
72
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
WOYOOOOOOOOOOOOO! ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Tweet media one
0
26
70
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Ninyi @tanpol mrudisheni huyu akiwa mzima bila dhara lolote maana WATEKAJI ni ninyi mlikwisha julikana. Kumbukeni tunaishi na ninyi mtaani na tunawajua watoto wenu, wake zenu, waume zenu pamoja familia zenu. "UBAYA UKO NA TABIA YA KURUDI KWA ALIYEUTENDA"
Tweet media one
2
43
71
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Kwa Wazanzibar na wale wasiokuwa Wazanzibar, salam hizi ZITUFIKIE.
2
14
69
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Kuna wakati ninyi @tanpol "MNATIA HASIRA SANA" "TIME WILL TELL"
Tweet media one
1
24
72
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 year
Kwa nini hukusema haya wakati wa MAGUFULI? ACHA UONGO NA KUKIPENDEKEZA KUTETEA TUMBO LAKO.
Tweet media one
34
16
69
@MussaMartin14
Tutuvengele1
20 days
Mzee wa section 4
0
23
70
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
Naipenda CHADEMA nitaipigania siku zote ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
0
12
68
@MussaMartin14
Tutuvengele1
19 days
Unapata furaha gani @SuluhuSamia kwa mwanamke mwenzako ambaye ameingia kujifungua kwa uchungu hospitali na wewe kwa kushirikiana na vyombo vyako vya DOLA mnampoteza mtoto wake? Jiulize akipotezwa mwanao huyo wa kike unajisikiaje? "MUACHIENI @DEUSDEDITHSOKA HARAKA SANA"
Tweet media one
0
45
70
@MussaMartin14
Tutuvengele1
28 days
#FreeTunduLissu #FreeTunduLissu Police have beaten @TunduALissu and taken him away! We need @SuluhuSamia to free him and HUNDREDS of @ChademaTz leaders and members detained today!
Tweet media one
0
38
70
@MussaMartin14
Tutuvengele1
1 month
Kaka na Wakili Msomi @PMadeleka KIBOKO YA WALE WA UHAMIAJI. HONGERA SANA NA HII HESHIMA UMESTAHILI KWELI KWELI. PONGEZI NYINGI SANA KWAKO ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Tweet media one
3
10
69
@MussaMartin14
Tutuvengele1
2 years
โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช Unampa neno gani huyu Kamanda ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
1
17
66