Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@MkulimaKante

4,517
Followers
5,591
Following
1,287
Media
18,879
Statuses

Muuza Ukwaju Mstaafu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Dodoma, Tanzania
Joined July 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
SIKU NZURI KAZINI๐Ÿ˜‡ Kwenye kila shughuli mtu yeyote huwa ana siku moja nzuri ambayo huikumbuka na kuiona ni ya kipekee. Ndivyo ilivyokuwa kwangu siku moja nikiwa nimekwisha pakia mzigo wangu wa ice cream 90 ofisi kuu Kisasa,Dodoma nikasali na kuweka begi mgongoni tayari kuondoka
Tweet media one
129
259
2K
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kwa hili jua la leo lazima watu wale ukwaju!!๐Ÿ˜Dear Sun Please Usiniangushe
Tweet media one
50
70
1K
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kuna wakati fulani kiumbe cha Mungu nilijaribu kurusha nyavu kwa dada mmoja walau niwe mahusianoni lkn knock out nilipigwa ndoige ikasome๐Ÿ˜.Alinizaba jibu la kikatili sana nanukuu" Yani Mimi Nidate Na Muuza Ukwaju Unanichukuliaje We Kaka"๐ŸŒtoka hapo mambo za kutongoz naziogop
Tweet media one
56
49
1K
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kiumbe cha Mungu nishawahi pitia life fulani hv ambalo uhakika wa kula unautafuta kwa tochi mbaya zaidi nasoma๐Ÿ˜ nikapiga hesabu zangu za haraka nikagundua nikiwa na 2k naiishi kwa siku, Nikaondoa aibu nikawa nauza batook venue wanachuo wenzangu walinisupport sana huw nawaombea
Tweet media one
66
44
854
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Wakuu Wa Wakuu Kwa Hizi Mvua Za Kushtukiza, Kuuza Ukwaju Tutarudi Msimu Wa Kiangazi๐Ÿ˜Tunabadili Gia Angani!!
Tweet media one
32
43
805
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Niseme Nisiseme? Anyway ngoja niseme tu liwalo na liwe ikumbukwe jezi yetu pendwa ya @yangasc1935 iliyobuniwa na mbunifu wa kimataifa kutoka nchini Tanzania @SheriaNgowi ilizinduliwa mapema kabisa jana wenzetu @ManCity wakaona wacopy na kupaste ubunifu huu๐Ÿ“Œ.
Tweet media one
Tweet media two
54
39
694
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Akili Yangu Inahisi Kuchoka Nahitaji Kupumzika Ndugu Zangu Watanzania๐Ÿ™ Asanteni kwa kunipokea vizuri, Nahitaji Kulala Sasa
117
33
695
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Wakuu narudia tena ogopa sana hustle ambayo hujui mteja utamkutia wapi๐Ÿ˜‚, Ukiona mtu anatembeza kitu hebu muungishe tu maana hujui ametembea kilometre ngapi๐Ÿ“Œ๐Ÿคฃ
Tweet media one
37
44
659
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Pale Tosamaganga vijana wa PCM ticha akiingia class kwao kumkuta monitor na mtumishi mmoja kawaida๐Ÿ˜Wengine wote wanasomea misituni au kwenye machemba yao kama mahandaki hivi, Wanaonekanaga wasumbufu ila pepa ya mwisho utakutana na A zao za Pure Math noticeboard zimenyooka๐Ÿ˜
Tweet media one
59
37
670
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Eid Mubarak Wakuu Wa Wakuu, Kwa sisi wauza ukwaju leo ndio ile siku tunamwomba Mwenyezi Mungu jua lipige kama ngoma tuwalambishe watu ice cream
Tweet media one
19
26
562
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua jezi za @yangasc1935 ndizo jezi pendwa kwa raia wengi wa kigeni hii inaonesha ukubwa wa @yangasc1935 na ubunifu bora wa jezi hizi uliofanywa na @SheriaNgowi
Tweet media one
7
18
528
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Punde Si Punde Nchi Itaenda Kusimama Kwa Muda, Stay Tuned @SheriaNgowi kwenye moja na mbili tena. As Usual Wananchi Tutakwenda Kutembea Kifua Mbele,Ni wakati wa wananchi kwenda kuvunja vibubu kwa ajili ya kununua jezi bora Afrika Welcome To The World Of @SheriaNgowi ๐ŸŒ
Tweet media one
11
21
405
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mwenyezi Mungu Azidi Kubariki Maombi Ya Wapambanaji Wote! Jah Bless๐Ÿคฒ
34
73
386
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Message niliyopata pale ni kuwa kama kafanya hivi kwangu basi hiyo ndio roho yake njema ilivyo na kwa wengine ,Namshukuru Mungu nilirudi chuo na kumaliza huku @halimamdee akiwa na mchango wake katika elimu yangu na wengine wengi sana ambao nao naandika waraka wao wa upendo๐Ÿ˜‡๐Ÿคฒ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
12
20
374
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Kati ya kitu maisha yalinifundishaga ni kuheshima neno "Shida", Mtu akinambia nina "shida" kuna msisimko huwa naupata shida inaweza ikakufanya uanze kumuuliza maswali magumu sana aliyekuumba, Shida hukimbiza ndugu na marafiki,Shida yaweza mliza mtu mzima na ndevu zake๐Ÿ“Œ
Tweet media one
Tweet media two
11
41
353
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Me ni simba ila twende mbele turudi nyuma wachezaji wa yanga wanapendeza sana ase๐Ÿ˜
Tweet media one
42
11
293
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Yule boi muuza ukwaju @ofclbakhresagrp
Tweet media one
14
13
246
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Forest Rangers (Zambia) Mabingwa wa ligi ya Zambia leo wamecopy jezi ya mechi yao ya leo ABSA cup final dhidi ya Muza Fc ikumbukwe jezi yetu ya njano @yangasc1935 ilibuniwa na mbunifi wa kimataifa kutoka Tanzania @SheriaNgowi apewe maua yake๐Ÿ“Œ๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ–ค
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
32
237
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Jezi zenye miujiza yake! designed by @SheriaNgowi
Tweet media one
0
9
222
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Itafika wakati wachezaji wa @yangasc wakivaa huu uzi kuna timu itakataa kuingiza wachezaji uwanjani ndio ni uzi huu wa home kit ukipenda uite "The Blue Magic" designed by @sheriangowi
Tweet media one
1
10
223
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Jaketi Kama Hizi Zinapatikana Yanga Pekee!
Tweet media one
14
6
186
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tunapoendelea kufurahia ushindi wa @yangasc1935 tusiache kuwakumbusha kuhusu jezi bora Afrika iliyobuniwa na mbunifu wa kimataifa kutoka Tanzania @SheriaNgowi
Tweet media one
2
9
191
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Basi bhan baada ya kumaliza masomo utagundua ni rahisi sana kupata eneo la kufanyia field study ila kupata ajira ni vita ya machozi na damu,Jobless Lab Technologist Picha kwa hisani ya field moments๐Ÿ˜
Tweet media one
11
9
183
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Wakati fulani 2018 nikiwa Makuyuni JKT basi nilikuwa naliogopa sana jeshi, makamanda mbalimbali wakanibatiza jina la mitelu ila kuna afande mmoja jina "ร—" akanambia ili usiwe na mtelu at least jifunze hata kudoji ndio ukamanda,Siku nilipodoji ni kama nilikuw nimeyakanyaga๐Ÿ”ž
49
20
170
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Wengi wamependezwa na ukarimu wangu nasema asanteni sana mimi ni mtanzania mwenzenu๐Ÿ™
Tweet media one
20
4
168
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
A place called @porkjointdodoma Karibu tukuhudumie๐Ÿ“Œ
Tweet media one
Tweet media two
12
19
163
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Baada Ya Uchovu Wa Siku Nzima, Usisahau Kupumzika Wewe Sio Mashine๐Ÿ˜
Tweet media one
4
8
158
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Mungu Si Athumani Nikiwa na begi langu nikasikia sauti ikiniita kutokea kwenye gari moja ikabidi nichomoke speed maana sisi huitwa kwa jina moja tu la "ukwajuu" ukizubaa tu anafika mwenzako nilipofika kwa gari nikamuona dereva akiwa na @halimamdee na @esteramosbulaya nikashtuka!
Tweet media one
2
3
157
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Unapowazuru wengine,Twaomba utukumbuke๐Ÿ™
Tweet media one
5
11
149
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Nikiwa nimekwisha ingia viwanja vya Nyerere square maeneo yangu ya kujidai maana wanaopakwa kucha rangi ndio huwa wateja wetu sana sema siku hiyo ilikuwa tofauti maana ni watu wachache tu walikuwa vimbwetani, mpiga picha mmoja akasema dogo nenda jamuhuri kuna bonanza la wabunge
Tweet media one
1
3
150
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Amini usiamini @SheriaNgowi pamoja na @yangasc1935 wako mbele sana ya muda ni vile tu baadhi ya watanzania hawapendi kuappreciate hadharani ila moyoni wanalitambua hili, Ona hawa ni @TshepoJeans wamezindua nguo zao hv majuzi hii idea ni @SheriaNgowi mtupu aheshimiwe sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
10
148
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Fireboy Dml Huyu Kijana Atengwe Anaimba Sana Asee๐Ÿฅ‚
9
6
145
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
A.75 Bila Kupayuka Biashara Ya Ukwaju Hutoboi๐Ÿ“Œ๐Ÿ˜
Tweet media one
9
5
145
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
@iamcleopatricia kwa hakika nilichojifunza kuhusu wanawake ni hiki 1.Wanawake wana jicho la tatu la fursa, waweza kuwa fursa kwake kwa mwanzo akitokea mwenye fursa zaidi utakimbiwa tu. 2.Wanawake wakifika hatua ya kuhisi wanaweza jitimizia mahitaji yao ya kiuchumi kazi unayo
17
6
148
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Moyoni nikiwa nina wingu la furaha ya keep change ambayo ni faida yangu ya ice cream kwa siku nzima wao wakiwasha gari tayari kuondoka nami nimekwisha omba picha ya kumbukumbu๐Ÿ˜‡mheshimiwa @halimamdee akatoa kiasi cha pesa na kunambia kijana hii kaongezee ada nilihisi kulia๐Ÿฅน
Tweet media one
1
6
145
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Umbali kutoka Kisasa zilipo ofisi mpaka kukamata viunga vya mji kuu ni umbali wa kuchosha mwili ukizingatia usafiri wangu ni miguu, hilo halikuwa na shida maana nilishazoea na ilinisaidia kuuza ice cream chache humo njiani kwa wauza maduka,wadada wa saloon hivyo mzigo kupungua.
Tweet media one
2
4
146
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Happy Birthday To Me!!
Tweet media one
24
11
128
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Itoshe kusema kwamba jezi mpya zinazokuja hivi karibuni ni za motoo sana narudia tena ni za motoooo haswaaaaaa๐Ÿ“Œmuhimu kuandaa maokoto ya kununulia jezi @SheriaNgowi
Tweet media one
2
3
137
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
1
0
114
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Moyoni nikajisemea liwalo na liwe hakuna kumuogopa mtu ukizingatia biashara yetu ya ukwaju na aibu haviendani๐Ÿ˜nikajisemea kama protocal huvunjwa basi zivunjwe lazima niuze ukizingatia nilikuwa napambania kupata ada kwa kuuza ukwaju na karanga๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
Tweet media two
2
4
136
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Oya waliosema kwa ground ni kugumu sana hawakuwa wanatania,Tuulize wauza ukwaju kipindi hiki cha mvua๐Ÿ˜‚
Tweet media one
4
7
130
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
TBT๐Ÿ“Œ
Tweet media one
8
5
128
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
SUPER HERO @GibsonKawago with BILLION SMILES. When you've been fighting for it all your life You've been struggling to make things right That's how a superhero learns to fly Every day, every hour, turn the pain into power
Tweet media one
0
2
130
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Basi bhana kuna watu walipatia mume/mke kwa hivi viunga๐Ÿ˜
Tweet media one
14
6
125
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kwa ukarimu mwingi sana na kwa namna ambayo sikuitarajia mheshimiwa @halimamdee na mwenzake @esteramosbulaya wakanambia niwape ice cream za maziwa na dereva kisha nikapewa kiasi cha pesa kilichonihitaji nirudishe chenji nikiwa natafuta chenji nikaambiwa hiyo baki nayo๐Ÿคฒ๐Ÿ™๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
1
3
125
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Sikutaka kujifikiria mara mbili kwa haraka sana nikaondoka square kuelekea jamuhuri maana hizi biashara zetu ukichelewa dakika moja tu utakuta mwenzako kakuwahi na kawalambisha watu wote wewe utabaki kuona maganda tu๐Ÿ˜ nashukuru nilipofika pale nikiwa na kama ice cream 80 kwa beg
Tweet media one
2
3
121
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Happy birthday my lovely daughter,Dady loves you so much
Tweet media one
43
6
115
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Nikiwa katika hali ya kushukuru sana kwa wema ule mheshimiwa @halimamdee na mwenzake wakawa very cooperative kiasi cha kunifanya mimi niwaone ni binadamu wenzangu na tunaweza kuongea na nikasikilizwa๐Ÿ˜ƒhivyo tukawa washikaji kwa muda wakapat kujua mawili matatu kunihusu.
Tweet media one
1
2
116
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Namshukuru Mungu nilipofika hapo ndipo nilipoamini ilikuwa ni siku nzuri kazini japo nilikuta wenzangu washauza uza kwenye majukwaa ambapo walikuwepo watazamaji baadhi wa bonanza lile hivo ikawa ngumu kiasi maana wengi tayari wana ice cream mkononi๐Ÿ˜ isipokuwa waheshimiwa
Tweet media one
1
3
112
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Nilichojifunza kwa hakika maneno huumba, Ikumbukwe hii speech ilitolewa na mbunifu wa kimataifa kutoka Tanzania @SheriaNgowi siku ya uzinduzi wa jezi na kweli Mungu kajalia @yangasc1935 sasa ni mabingwa wa ligi kuu mara ya 29.Glory to God๐Ÿ“Œ
4
9
111
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Hii comment ya mheshimiwa spika huwa inanipa nguvu sana ya kupanga mikakati mikali kuelekea kulichukua jimbo fulani ifikapo 2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟInshallah
Tweet media one
7
3
105
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Valentine ishapita,Mapambano yanaendelea! Anyway jana tumeuza sana ukwaju kwa wapendanao, Kumbe mapenzi sio gharama kivile๐Ÿ˜๐Ÿ“Œ2023 nazama kwenye dimbwi la mapenzi liwalo na liwe!
Tweet media one
2
1
104
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@yangasc1935 wameshinda nchi nzima imefurahi, Yes wananchi wamefurahi kwa ushindi huu wa kihistoria hii ni kubwa sana ukiachana na ubora wa timu napata nguvu ya kusema kuna namna fulani uzi huu "The Blue Magic" designed by @SheriaNgowi umekuw ukitupa matokeo mazuri sana sana.
Tweet media one
1
4
104
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
A place called home๐ŸŒ
Tweet media one
12
5
103
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
2021 Unabaki kuwa mwaka wa kumbukumbu kwangu,Ni wakati ambao nilihisi nipo gizani ila Mungu akaleta mwangaza,Ninabaki kuwashukuru watu wote walionichangia hata nikaweza kurudi chuo na kuhitimu masomo yangu.Nilijifunza uvumilivu, upambanaji lakini pia watu wema wapo @millardayo
6
13
96
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Hapa Ni Wapi?
Tweet media one
41
7
97
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kiukweli sisi chelsea tunawatamani sana man u๐Ÿ˜
Tweet media one
10
8
90
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
@mshambuliaji Kitu kizuri kuhusu uislamu ni mazishi yao Hakunaga mambo mengi. Safi sana, Apumzike Kwa Amani
4
2
94
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
@eastafricatv Sisi kama yanga lengo letu lilikuwa makundi na tushalivuka nusu fainali na fainali hizo ni anasa๐Ÿ˜
2
1
92
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mwamba huyu hapa @SheriaNgowi , Naweza kumwita game changer kaleta mapinduzi makubwa sana kwenye biashara ya jezi kwa vilabu vyetu hapa nchini siku ya leo @namungofc wametambulisha jezi zao huku nao wakijinasibu kutoa maana ya kila kit๐Ÿ“Œikumbukwe hizi mambo muasisi ni @SheriaNgowi
Tweet media one
1
6
88
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
The good thing about Tosa school ni ule wimbo wao wa shule๐Ÿ˜‚umekaaga kibabe sana haunaga chorus,Shule Yetu Tosaaaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
5
7
80
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Girl's Role Model @KivuyoLaurel
Tweet media one
10
2
83
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Sema Hawa @ManUtd inaonekana inawafuatilia sana @YoungAfricansSC pamoja na mbunifu wa kimataifa kutoka Tanzania @SheriaNgowi tunaendelea kukumbushana man u wamezindua jezi zao na wamekopi ubunifu uliofanywa na @SheriaNgowi kwenye msimu wetu wa 2021/2022 zingatia hizo patterns๐Ÿ“Œ
Tweet media one
Tweet media two
7
4
82
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
The Green Magic" Designed by @SheriaNgowi pichani ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu CAF,Mohammed Sidat akipokea zawadi ya Jezi ya Young Africans SC kutoka kwa meneja wa timu Walter Harson wakati wa hafla ya ya mafunzo ya Leseni za Klabu na kumkabidhi Jezi ya Yanga
Tweet media one
1
1
82
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mwamba kabisa anayependezesha wananchi @SheriaNgowi ๐Ÿ“ŒUnaambiwa Kule Wameleta Mwingine Je Watauweza Huu Moto Kweli?
Tweet media one
3
3
81
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kijana mwenzetu na mtanzania mwenzetu @GibsonKawago Atakua na Tour Marekani ya Teknolojia kwa ajili ya kukutana na wataalamu mbalimbali wa Teknolojia na kuangalia jinsi anavyoweza kukuza Teknolojia ya Betri za Lithium Za WAGA .Hii ni kubwa sana kongole kwake
Tweet media one
3
14
79
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Ukifuatilia kiundani kabisa utagundua Yanga wana mipango ya kuchukua ubingwa kimataifa, Achana na hawa jamaa zingatia begi ya ukwaju hapo nyuma!!
Tweet media one
2
5
76
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Ifike mahali @SheriaNgowi apewe maua yake ikiwa wakuu wa serikali wanatambua ukubwa wake kwenye suala la ubunifu lakini bado atatokea mwenye chuki mmoja ambae pasipo kujua watu wanaumiza akili kiasi gani kwenye ubunifu ataongea lolote analojisikia kusanifu. Tujifunze kuappreciate
Tweet media one
5
2
76
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Basi bhana @ofclbakhresagrp wanasaidia sana viumbe vya Mungu kuendelea kusurvive maana kwa ground ni do or die Mwenyezi Mungu azidi kumbariki๐Ÿ˜‡
Tweet media one
3
9
74
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@mshambuliaji Tuendelee kuilaumu serikali au na sisi tufosi mazingira tuwe sehemu ya serikali tuchukue mabilioni afu tulaumiwe, choose your side wisely
15
2
75
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@FrankKhalidUK he have fun in jail
4
0
69
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Basi bhana siku moja kiumbe cha Mungu niliona post ya tangazo la kazi kwa dada yetu shishi food alikuwa anazindua restaurant yake mjini kati nikasema wacha niende nikarushe nyavu hata ya kuwa mhudumu tu pale๐Ÿ˜ sijui nilitaka kusema nn ila nayo nilikosa..Kwa ground kuheshimiwe!!
7
2
73
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kitu kikubwa maisha yamenifundisha ni kuwakumbuka wale wote waliosimama na mimi katika nyakati ambazo zilikuwa ngumu kwangu! Hata wale waliotoa mia tano zao na mia mbili zao kununua batook na karanga zangu ili kiumbe cha Mungu nisurvive, Nikisema huwa nawaombea namaanisha!
Tweet media one
2
7
69
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Ukienda Tabora Barabara Za Lami Zimejengwa Hadi Msituni, Kama Sweden Hivi
13
12
72
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kipekee niwashukuru @ofclbakhresagrp kwa kuona si vema kiumbe cha Mungu kutumia miguu kama ngamia, Sasa ni mwendo wa kuserereka tu na bike๐Ÿ˜Oya ogopa sana harakati ambayo hujui mteja utaenda kukutana nae wapi unaweza uza ice cream mbili tu kwa siku๐Ÿ˜‚
Tweet media one
6
2
70
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Simamisha ujenzi, Nawasalimu kwa jina la @SheriaNgowi ๐Ÿฅ‚๐Ÿ“๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
3
6
69
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Tutegemee Makubwa kila iitwapo leo kutoka @yangasc1935 .Hongera sana @SheriaNgowi #BidhaaBoraAfrika
Tweet media one
1
3
68
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Wahenga walisema damu ni nzito kuliko maji,And I Agree๐Ÿ˜Mzee hakupigwa๐Ÿ“Œ
Tweet media one
6
3
66
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
@Sirjeff_D Unataka kusemaje mkuu au sijaelewa๐Ÿ˜
Tweet media one
4
0
66
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
@EricNjiiru Mandonga is Mohamed Ali In Words
0
1
66
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
@iamjuddah @rebeccapeter04 Judah Stop Lying, We all know you sold Jesus Christ...You are always after money
4
0
62
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Haya sasa club ya @YoungAfricansSC ishaingikia group stage za ndaaani kabisa @SheriaNgowi ashamaliza kazi yake ya kudesign yanga kits kwa ajili ya mashindano ya CAF kuanzia sasa hivi saa yeyote mwamba atapuliza kipenga kutambulisha jezi bora kabisa kuwahi kutokea stay tuned.
Tweet media one
0
5
65
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
When Mwanaukwaju Meet Mwanasiasa,Yanaongelewa Maisha Ya Kijana Wa Kitanzania๐Ÿ“Œ
Tweet media one
Tweet media two
3
4
61
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
ule wasaa wa kusambaza CV,kwa ground uwongo ni mwingi sana wakuu wa maofisi wakisema watakupigia jua imeisha hiyo๐Ÿ˜
Tweet media one
4
6
63
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
51
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Sema hii Thread kupata followers n easy sana ndani ya saa moja followers 900 zidisha mara saa 24 nitakuwa bloo kabisa๐Ÿ˜
Tweet media one
3
4
55
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ–ค๐Ÿ’›๐Ÿ’š
4
4
57
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kiumbe Cha Mungu,Tunaendelea Kusambaza CV๐Ÿ˜
Tweet media one
3
5
57
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@ze_mandevu Baada Ya Kumaliza Masomo Nilipata Kaziii Eeeh๐Ÿ˜๐Ÿ“๐Ÿ“Œ
Tweet media one
6
2
55
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
@fbuyobe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huyu mwamba mwenye kofia ukimuangalia vizuri unaona kabisa anajua karate kombati
4
1
57
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Epuka matapeli ๐Ÿ“Tanzania designer wa jezi ni mmoja tu si mwingine ni @SheriaNgowi Wananchi Tembeeni Kifua Mbele ๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ–ค Jezi Za Msimu Huu Ni Za Moto๐Ÿ“Œ
0
4
57
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
A place called earth!!!
Tweet media one
5
4
53
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Wahenga walishawahi kusema "Every great design begins with an even better story." na hiki ndicho amekuwa akikifanya @SheriaNgowi big up kwake tujiandae kuona akivunja rekodi zake mwenyewe tena.Young African Kits 2023/2024 Coming soon๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ–ค
Tweet media one
0
0
55
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
21
5
55
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Shabiki wa simba ukija kutaka kushindanisha jezi zenu za kimataifa na zetu nakuzaba mkofi๐Ÿ˜‚
Tweet media one
5
4
54
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Pale Tosa ni heri mtu akose vipindi vyote vya darasani ila asikose wali wenyewe huita "nyali"๐Ÿ˜wale vijana wapo tayari kuandamana
Tweet media one
8
3
55
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
@Sirjeff_D Kuna mdau alinambia chama X kikiingia madarakani nchi hii itaendelea sana nikajisemea ihiiii Vyama Vya Siasa Huwa Opportunistic Siku Zote, Ni Kama Wanawake Tu
3
6
54
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Mtihani mkubwa katika maisha ni jinsi ya kuishi na watu waliotuona hatufai kwao bila sababu yeyote!
5
4
51
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
MUUZA UKWAJU.
Tweet media one
4
3
54
@MkulimaKante
Kante Mp2025๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
@prossoff ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vijana wa kiume nashauri kama kuhudumia tuhudumie wazazi kwanza
6
2
52