Wizara ya Madini Profile Banner
Wizara ya Madini Profile
Wizara ya Madini

@MadiniTanzania

70,915
Followers
392
Following
3,601
Media
5,587
Statuses

HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.

Dodoma, Tanzania
Joined October 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
11 days
Tweet media one
Tweet media two
0
5
7
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Mchimbaji Mdogo wa Madini Mkoani Shinyanga ameuza Almasi yake kwa Tsh. Bilioni 3. Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ashuhudia. Serikali yapata Milioni 238 kutokana na mauzo hayo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
48
110
467
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Hizi ndizo Tanzanite zenye Uzito Mkubwa
Tweet media one
Tweet media two
18
62
361
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Our new billionaire in Tanzania God Bless Tanzania God Bless Saniniu Laizer. It was estimated to be worth 7.8 billion.
Tweet media one
12
43
244
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Afisa Madini akionyesha moja ya jiwe la Tanzanite alilopata mchimbaji mdogo wa Madini ambapo amepata mawe mawili yenye thamani ya Sh. bilioni 7.8. Leo Wizara inamtambua rasmi mchimbaji huyo Bw. Laizer kuwa bilionea.
Tweet media one
23
25
148
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
STAMICO imeanza Ujenzi wa Mtambo wa Kusafisha Dhahabu jijini Mwanza chini ya Kampuni ya Mwanza Precious Metal Refinery Company Limited.Mtambo huo utakamilika Desemba2020 na utakuwa na uwezo wa kusafisha zaidi ya kilo 480 za dhahabu kwa siku kwa viwango vya kimataifa 99.99%Purity
Tweet media one
10
31
128
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
Waziri wa Madini Angellah Kairuki leo Oktoba 24, amefungua Jukwaa la Sekta ya Uziduaji Tanzania. Jukwaa hilo limeandaliwa na Mtandao wa Asasi za Kiraia (HAKI RASILIMALI) unaofanya kazi za Uchechemuzi katika Sekta ya Uziduaji Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
27
98
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
"Kabla ya Kujengwa Ukuta tulikuwa tunapata asilimia 5 tu ya Tanzanite asilimia 95 ilikuwa inatoroshwa. Tuliamua kujenga ukuta ili tumwone kila anayeingia na kutoka," Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
14
98
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Ujue Mgodi wa Dhahabu wa Biharamulo(STAMIGOLD) unaomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania kwa Asilimia 100.Mgodi huu ni Kampuni Tanzu ya STAMICO. Katika Kipindi Cha Julai2019-Februari 2020 ulizalisha na kuuza wakia 9107.45 za Madini ya Dhahabu na wakia 1,170.21 za Madini ya Fedha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
18
94
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Bei Elekezi za Madini kwa Mwezi Agosti,2019
Tweet media one
26
27
93
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 years
Mawe Makubwa Mawili ya Tanzanite moja likiwa na uzito wa kilo 3.74 na jingine likiwa na uzito wa kilo 1.48 yamepatikana ndani ya machimbo ya Tanzanite Mirerani kutoka kwa mchimbaji mdogo, Anselm Kawishe.Mawe hayo yanatarajiwa kununuliwa na Serikali kwa shilingi 2,245,571,543.46
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
20
86
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
"Serikali itakuja na utaratibu mzuri ambao utawafanya watu waje kuona Mawe ya Tanzanite," Waziri wa Madini, Doto Biteko. #TANZANIAHomeofTanzanite
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
11
87
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
8
29
84
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
2
7
79
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Waziri wa Madini Doto Biteko amezindua Viwanda Viwili vya Mfano vya Uchenjuaji Madini ya Dhahabu vya Katente- Bukombe na Lwamgasa - Geita na kuvikabidhi kwa STAMICO. Amelitaka shirika hilo kuvisimamia ipasavyo kwa kuwa Serikali imetumia gharama kubwa katika ujenzi wake.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
20
79
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Jengo Jipya litakalotumiwa na Wafanyabiashara wa Madini Mkoani Geita .Jengo hili limejengwa kwa Fedha za Huduma kwa Jamii (CSR) zilizotolewa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) na kusimamiwa kwa ushirikiano baina ya mgodi huo na Halimashauri ya mji wa Geita.
Tweet media one
3
11
79
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Zitambue aina za Leseni za Madini
Tweet media one
2
36
72
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
RC GEITA: MAUZO YA DHAHABU WACHIMBAJI WADOGO GEITA YAMEVUNJA REKODI >>
2
16
69
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
4
30
69
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 years
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Busolwa Mining Limited unaomilikiwa na Mtanzania Wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza. Amepongeza kwa uwekezaji mkubwa na wa kisasa uliofanyika ikiwemo kutoa ajira zipatazo 127 kwa watanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
7
67
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Tweet media one
9
18
65
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Ruvuma watajwa kuwa na hazina ya tani milioni 227 za makaa ya mawe >>
1
18
68
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
TANZANIA Home of Tanzanite
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
64
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko amefanya ziara ya kushtukiza katika Mgodi wa Dhahabu wa MMG unaomilikiwa na Kampuni ya Waarmenia uliopo katika Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara na kubaini raia wa kigeni 10 wasio na vibali vya kazi waliokuwa wamejificha ndani ya mgodi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
14
59
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
"Tuna kazi nyingine kuhakikisha uongezaji Thamani Madini unafanyika hapa nchini ikiwemo kuongeza maeneo mbalimbali ya shughuli hizi. Kwa upande wa Serikali tayari tumeendelea kukiimarisha Kituo chetu cha TGC kinachotoa mafunzo ya uongezaji thamani,' Waziri Biteko. #Ajira
Tweet media one
Tweet media two
5
8
63
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Takwimu za makusanyo yatokanyo na Sekta ya Madini kwa Mwaka 2020/2021 kwa miezi miwili ya Julai na Agosti 2020, tayari zimeshakusanywa shilingi Bilioni 112.86. #TumeboreshaSektayaMadini #TanzaniaMpya @Tumeyamadini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
17
63
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
Waziri wa Madini Angellah Kairuki leo Oktoba 17, amempokea Waziri wa Madini kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC), Martin Kabwelulu pamoja na Ujumbe wake ambao wamefika kwa lengo la kujifunza kuhusu Mabadiliko ya Sheria ya Madini na kubadilishana uzoefu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
58
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 years
#MireraniTena Mawe Makubwa ya Tanzanite yamepatikana katika machimbo ya Tanzanite Mirerani kutoka kwa Mchimbaji Mdogo Anselim Kawishe. #TanzanaHomeofTanzanite
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
15
60
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tayari Viongozi mbalimbali wamewasili katika eneo la tukio kwa ajili ya kushuhudia Serikali ikikabidhiwa Jiwe lingine la Tanzanite lenye Uzito Mkubwa wa Kilo 6.33 kutoka kwa Mchimbaji Mdogo wa Madini ya Tanzanite, Saniniu Laizer. Tukio hili litarushwa Mubashara. #NiLaizerTena
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
10
56
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 years
Tweet media one
Tweet media two
4
33
57
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
TANZANIA Home of Tanzanite
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
8
57
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 years
Usikose kufuatilia mubashara kupitia TBC1, ITV, CHANNEL TEN, CLOUDS TV, TVE na mitandao mbalimbali ya Kijamii, Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini kuanzia saa Tatu Asubuhi leo Desemba 13, 2021 @Tumeyamadini @STAMICOTZ @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
11
12
55
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
1
10
58
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
MABADILIKO Hafla ya Serikali kupokea Gawio kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga na Shirika la Madini la Taifa ( STAMICO) Iliyokuwa ifanyike Ikulu Jijini Dar Es Salaam, itafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Saa 8:00 Mchana @TZMsemajiMkuu @maelezonews
Tweet media one
Tweet media two
2
14
53
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
"Kabla ya kwenda Kwenye Box la Kura Mwaka huu tutafungua Migodi Mipya Miwili ya Uchimbaji wa Kati. Mmoja wa Graphite Ruangwa na mwingine wa Madini Mazito ya Baharini (Heavy Mineral Sand), Kigamboni, Jijiji Dar es Salaam," Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Prof.Shukrani Manya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
10
53
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Huu ndiyo Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Limited ( WDL) uliotaka kuuzwa na Uongozi wa Mgodi huo bila kuitaarifu Serikali ambaye ni Mbia kwa asilimia 25. Upo Mwadui, Wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga. #UdhibitiwaRasilimaliMadini @Tumeyamadini @serikalikazini
Tweet media one
Tweet media two
2
8
53
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
#STAMICOMpya STAMICO imenunua Mitambo Mitatu ya Uchorongaji yenye Teknolojia ya Kisasa zaidi kuwahi kutokea Nchini. Moja ya mitambo hiyo ina uwezo wa kuendeshwa kwa kutumia kompyuta na mtu akiwa mbali na mashine. @TZMsemajiMkuu @matokeochanya @serikalikazini #MadininaUchumi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
54
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
UNAYAJUA MADINI YAPATIKANAYO MKOANI KWAKO? JIPATIE NAKALA YAKO YA KITABU KINACHOONESHA MADINI YAPATIKANAYO KATIKA MKOA, WILAYA, KATA MPAKA KIJIJI KWA BEI NAFUU FIKA KATIKA OFISI ZA GST AU WASILIANA NASI KWA NAMBA 0262323020. KARIBU TUKUHUDUMIE #lLeoniKagera @GeologicalT
Tweet media one
10
16
53
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
"Masoko ya Madini yamesaidia kutatua changamoto za muda mrefu zilizokuwa zikiikabili Sekta ya Madini hususan wachimbaji wadogo kukosa masoko ya uhakika na bei stahiki," Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
14
49
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Waziri wa Madini Doto Biteko amewataka Wafanyabiashara wa Madini kujiepusha na Vitendo vya Utoroshaji wa Madini kwani Serikali hailali na inafanya kazi usiku na mchana. Amesisitiza utoroshaji madini haulipi. Ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa TAMIDA. @Tumeyamadini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
8
50
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
15
48
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tayari Viongozi mbalimbali wamewasili Chuo Cha Madini Kampasi ya Nzega kwa ajili ya Hafla ya Kukabidhi Chuo Madini Kulelewa kwa muda na Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
7
49
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. @maelezonews @TZMsemajiMkuu @JamiiForum @millardayo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
55
9
50
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
8
47
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 months
Matukio katika picha za uchimbaji na uchenjuaji wa madini ya kinywe (graphite) ktk Mgodi wa GodMwanga Gems Limited unaomilikiwa na Mtanzania. Mgodi huu ni miongoni mwa migodi inayoiweka Tanzania kwenye orodha ya nchi wazalishaji wakubwa wa madini ya kinywe Duniani. #LocalContent
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
8
48
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
1
5
49
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
"Katika kuongeza manufaa yatokanayo na madini muhimu na mkakati, kwa mara ya kwanza kitajengwa kiwanda kikubwa na cha kisasa cha Usafishaji na uongezaji Thamani Madini cha Multi Metals Processing Facility katika eneo Maalum la ukanda wa kiuchumi la Buzwagi Special Economic Zone.
Tweet media one
2
24
47
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
#IGAWIO "STAMICO ilikuwa ikizalisha madeni hadi shilingi bilioni 63.Hivi sasa Shirika hili halizalishi hasara hata shilingi. Mwaka Jana ilitoa Gawio la Shilingi bilioni 1 mwaka huu limetoa Shilingi Bilioni 1.1 na limepata tenda kubwa ya GGM ya kuchoronga ,"Waziri Doto Biteko
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
11
50
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
10 months
Tweet media one
0
2
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
Tweet media one
1
6
47
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Makadirio ya Jumla ya Shilingi 62,781,586,000 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021. #TumeboreshaSekta #MadiniYatatutoa @serikalikazini @matokeochanya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila leo amekitembelea Kiwanda Cha Kusafisha Dhahabu(Refinery) Cha Eye of Africa kinachojengwa Jijini Dodoma ili kuangalia Maendeleo ya ujenzi wake. Kiwanda hicho ni cha Kwanza cha Kusafisha Madini ya Dhahabu na Fedha nchini. @serikalikazini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
8
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko amekamata madini  ya vito aina ya Rhodilite yenye uzito wa takribani tani saba yaliyokuwa yamefichwa nyumbani kwa mchimbaji wa madini hayo, Juvenal Mnene ambaye ni mmiliki wa kampuni ya J. J. Mnene & Partners na kuamuru kukabidhiwa Serikalini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
16
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
1
5
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 months
Tweet media one
4
19
47
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
10 months
Tulipotoka kwenye shughuli za Uchimbaji Madini ya Dhahabu.
0
13
47
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Watanzania wote kuwa Bilionea Saniniu Laizer atakuwepo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (77) kwenye banda la Tume ya Madini, kuanzia tarehe 12 hadi 13 Julai, 2020.
Tweet media one
1
7
44
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
"Naipongeza sana Wizara kwa kuiwezesha nchi yetu kusafirisha nje Madini ya Bati ( tin) baada ya kupata Cheti cha Uhalisia . Sasa wafanyabiashara wanaweza kuuza madini ya bati nje ya Nchi. Nawapongeza STAMICO kwa kununua bati kutoka kwa Wachimbaji,' Waziri Angellah Kairuki.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
46
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof.Idris Kikula ameiagiza kampuni inayojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa matairi ya magari na mitambo ya migodini SuperDoll kuhakikisha inaandaa na kuwasilisha Mpango wa Ushirikishwaji Wazawa (Local Content) kwenye Sekta ya Madini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
44
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Bw. Saniniu Laizer mchimbaji aliyepata mawe makubwa mawili ya Tanzanite ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
Tweet media one
8
7
43
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
7
27
44
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Waziri wa Madini Doto Biteko leo Desemba 27, anatarajiwa kufungua Soko la Madini Chato lililopo Buseresere Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Tweet media one
1
11
42
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
“Kuna biashara nyingi kwenye Sekta ya Madini, hivi karibuni Serikali ya Qatar itaanza kununua dhahabu moja kwa moja kutoka Soko la Geita.” Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila wakati wa kikao chake na Ujumbe wa Benki ya NMB.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
15
44
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
4
17
44
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
Tweet media one
2
10
43
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
3
26
43
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Waziri wa Madini Doto Biteko leo ameshuhudia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) likisaini Mkataba wa Kuchoronga Miamba katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita ( GGML) wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 5.6 katika kipindi Cha miezi Sita #StamicoMpya #FactsandFugures #TumeboreshaSekta
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
7
41
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
#MadiniYetuUchumiWetuTuyalinde " Leseni zote za Madini hutolewa na Tume ya Madini isipokuwa Leseni Kubwa ya Uchimbaji Madini (SML) ambayo hutolewa na Tume ya Madini baada ya kuidhinishwa na Baraza la Mawaziri," Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa.
7
8
42
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Wawakilishi wa Kampuni ya Jervois Mining Limited ya Australia ambayo imeonesha nia ya kuwekeza katika Mradi wa Nikel-Colbat Kabanga. Waziri Biteko ameendelea kusisitiza kuhusu kufuatwa kwa Sheria na taratibu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
14
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
#YafahamuMadiniyaVito Uthaminishaji wa Madini ya Vito hususan Tanzanite huzingatia ubora ambao huangalia vitu Vinne ambavyo ni Umbo, Uzito, Usafi na Rangi. (4C: Cut, Carat,Clarity& Colour) ambavyo vitapatikana katika jiwe la Tanzanite ambalo litakatwa na kusanifiwa. #TANZANITE
Tweet media one
Tweet media two
1
3
42
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 years
Tweet media one
1
2
40
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
#UwasilishajiHotubayaBajeti " Kupitia Masoko ya Madini Wachimbaji Wadogo wamefanya biashara ya madini yenye thamani ya Shilingi trilioni 1.09 na wameingizia Serikali Mapato ya kwa kulipa mrabaha na ada ya ukaguzi ya Shilingi Bilioni 78.01," Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
14
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Wachimbaji Wadogo Wamempatia Tuzo Rais Dkt. John Magufuli #UtoajiGawiokwaSerikali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
41
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 months
#HABARINJEMA "Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama ya Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt," Waziri Anthony Mavunde.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
11
41
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Makaa ya mawe Ruvuma yaingiza Bilioni 400/- yatoa ajira 700 >>
2
15
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 months
Tweet media one
3
7
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 months
Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema tayari amewasili nchini kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ambapo amepokelewa na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde. #Miaka60yaMuungano
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
5
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Kamishna wa Madini Mhandisi David Mulabwa amepokea Taarifa ya Utafiti uliofanywa katika Tasnia ya Uziduaji ikifungamanisha na Uwekezaji katika Viwanda ikiangazia nchi ya Tanzania. Aliyemkabidhi ni Mkurugenzi Mtendaji wa HAKI RASILIMALI, Rachel Chagonja.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
20
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mjiolojia Fatuma Kyando amesema kuwa madini ya viwanda na madini ya ujenzi yanayochimbwa katika mkoa wa Kilimanjaro yameendelea kupaisha Sekta ya Madini kutokana na ongezeko la wachimbaji wengi wa madini hayo. @TumeyamadiniTZ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
6
38
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
#MafanikioUtekelezajiwaBajeti Kukamilika kwa ujenzi wa Mgodi wa Mfano wa uchimbaji wa madini ya dhahabu na Mtambo wa uchenjuaji dhahabu kwa wachimbaji wadogo Lwamgasa,Geita.Mgodi huo utasaidia kutoa mafunzo ya namna bora ya uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
9
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
0
1
39
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
#Mafanikio Waziri wa Madini Doto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa mwenendo wa Shirika la STAMICO ni mzuri ikilinganishwa na kipindi cha nyuma na kwamba hivi sasa lina uwezo wa kutoa gawio kwa Serikali la Sh. Bilioni 1.
Tweet media one
Tweet media two
1
5
35
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 months
Naibu Waziri wa Madini Dkt.StevenKiruswa amekutana na kuzungumza & Ujumbe kutoka Marekani uliongozwa &Naibu Waziri wa Nishati wa Nchi hiyoJoshua Volz ambaye ameambatana na viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati ya Marekani &viongozi waandamizi wa Ubalozi wa Marekani nchini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 years
Tweet media one
3
8
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
2
11
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
3
7
38
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 years
#KikaochaKamatiyaKudumuyaBungeyaNishatinaMadininaWizara Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80. Kituo hiki ni kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vitendo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
35
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 months
Tweet media one
0
18
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
2
5
36
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Serikali imeamua kununua dhahabu kutoka kwa Wachimbaji Wadogo kupitia STAMICO ili waweze kuendelea na shughuli zao za uchimbaji pamoja na changamoto ya wanunuzi wa nje baada ya nchi nyingi kufunga mipaka yao kipindi hiki cha Ugonjwa wa Covid-19," Naibu Waziri Stanslaus Nyongo.
Tweet media one
Tweet media two
3
9
35
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 years
Tweet media one
3
6
36
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Tweet media one
2
3
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 year
Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida Chone Malembo amesema Mgodi Mpya wa Kati wa Singida Gold Mine unaomilikiwa na Kampuni ya Shanta Gold Mining Company Limited uliopo wilaya ya Ikungi mkoani Singida umezalisha zaidi ya kilo 49 za dhahabu tangu kuanza uzalishaji mwezi Machi, 2023
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
11
35
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 years
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi ameipongeza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) kwa kutoa marejesho wa utafiti wa awali unaoonesha uwepo wa madini mbalimbali Wilayani Liwale Mkoa wa Lindi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 months
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na Wafanyabiashara wa Madini na Wachimbaji wa Madini kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili kwenye shughuli zao ikiwemo changamoto ya ukosekanaji wa teknolojia ya uchenjuaji wa baadhi ya madini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
35
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 years
Ruby in zoisite (ruby zoisite) au anyolite.
Tweet media one
Tweet media two
2
7
37
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
5 years
Tweet media one
1
10
35