King Maokoto Profile Banner
King Maokoto Profile
King Maokoto

@KingMaokoto_

15,716
Followers
304
Following
2,338
Media
56,938
Statuses

#BettingNiAjira Mitaa Ishibe✊🏿 👇Gusa Link JIUNGE Whatsapp Group langu

Joined April 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@KingMaokoto_
King Maokoto
2 days
V.I.P PAY AFTER WIN TICKET jana Odds👉 5 👑 BOOOM ✅️✅️✅️✅️ BOOOM ✅️✅️✅️✅️✅️✅️ BOOOM ✅️✅️✅️✅️✅️✅️ BOOM ✅️✅️✅️✅️ Kama Unahitaji Mkeka Wa V.I.P PAY AFTER WIN njoo Whatsapp dm 👉0761351515 Ushindi 99.9%✅️ Daily
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 days
V.I.P PAY AFTER WIN TICKET ya leo ODDS: 👉 5 ✅️ 🗣Ligi zimerudi sasa Kanji Mpaka Asemeee Njoo Whatsapp nikupe mkeka wa Maokoto 👇👇 0761351515 Utanishukuru Baadae 🎯 💰🔥 Mitaa Ishibe 👊🏾🤴🏾
Tweet media one
1
10
16
2
20
24
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Retweet 1,500 kwa Mawakili wetu hawa. Wameupiga mwingi sana, mpaka watu wanaomba ruhusa waende kukojoa! 😅😅😅👐
Tweet media one
Tweet media two
63
1K
3K
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Kamanda Mdude yupo Huru now. Naomba RETWEET 500 kuonyesha mahaba ya dhati kwa Mdude.
Tweet media one
1
1K
2K
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
WHAT IF 2020 TUKICHUKUA NCHI RAIS - Tundu A. Lissu Makamu wa Rais - Fatma Karume Waziri Mkuu - Godbless Lema TAMISEMI - John Heche Waziri wa Katiba na Sheria - Maria S. Tsehai Uchukuzi, Mawasiliano & Nishati - Rev Msigwa Ulinzi - Halima Mdee Spika wa Bunge - Joseph Haule
380
110
2K
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
@kigogo2014 KAMA WEWE NI CHADEMA GONGA HAPA LIKE NIKUFOLLOW
11
49
2K
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Baada ya Kigogo kuacha kupigania haki na kujikita upande wa pili (kuunga juhudi) niliamua kukaa kimya na kufanya uchunguzi juu ya mtu huyu. Mwanzoni nilidhani amedukuliwa, kumbe sivyo. I was totally wrong.! Bandeko, Hivi mnafahamu Kigogo ni nani? Wekeni Notfiction On Tutarudi
Tweet media one
158
116
2K
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Lissu anajua vitu vingi sana. Lissu ana akili na hekima, anajenga hoja na hana hulka ya kupayuka. 👉Anajua lugha za Kimataifa karibia 10. 👉Anapenda mno kujifunza vitu vipya. 👉Lissu ni hazina kwa Taifa. 👉Lissu ni mteuliwa wa Mungu, kwani alinusurika kifo 👉Lissu ni Genius
Tweet media one
71
180
1K
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
The sad news is! Nyumba yetu imepigwa X mchana wa leo hapa Kimara Resort na tumeamuliwa tuondoke. Hatuna pa kwenda. Vyenye nimeandika hii tweet machozi yananitoka. 😭😭😭
160
77
978
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
IMEJUVA. Kwa mujibu wa Taarifa za kuaminika toka chanzo chetu cha habari ni kwamba, Matumizi ya ya Uwanja wa Ndege wa Chato ilikuwa ni 👉Kusafirisha Madini ya dhahabu kwa kificho kwenda Rwanda, na inasemekana shehena ya kwanza ilikwenda kwa Kagame na kuhifadhiwa huko, na kama ..
94
72
950
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Madam @SuluhuSamia 👉Rudisha Bunge live 👉Fukuza kazi Waziri wa Afya na Waziri wa Kilimo na Uchukuzi 👉Ruhusu Siasa kufanyika na sio kila ukikaribia uchaguzi 👉Ondoa tozo kwenye mikopo ya Elimu ya Juu. 👉Bima za Afya bure 👉Lete chanjo ya COVID-19 👉Naomba ajira Serikalini
Tweet media one
70
85
945
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Ndugu zangu nipo kwenye depression kubwa na nzito ambayo haielezeki. Nichukue fursa hii kuwaaga kwa muda wa takribani siku 60 ama zaidi nikishughulikia makazi mapya baada ya kuamuliwa tuhame hapa tulipo kupisha upanuzi wa Barabara. Mungu akipenda tutaonana tena. 😭😭😭😭 Riyad
97
65
912
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
ZEGE HALILALI, NAAM TUMERUDI! Mwaka 2014 hapa Twitter iliibuka acc ya iliyopewa jina la KIGOGO2014, mwaka 2020 ikawa verified. Acc hii ilijikita zaidi katika kupinga,kuibua, kufichua mambo nyeti, kukemea uonevu na maovu mbalimbali yaliyokuwa yakifanywa na Serikali kwa Wananchi.
89
73
787
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Hawa watu wameniblock 1.Jasusi Chahali 2.Masanja Pastor wa Mchongo 3. CW_Pedro 4. Haule 5. Kigogo 6. Nape Nnauye 7. Polepole 8. Account zote za MATAGA & Praise Team ya Lumumba. 9. BungeTz 10. Msemaji wa Serikali 11. TBC Taifa 12. TFF 13. Kitila Mkumbo Je mimi ni nani? 😂😂😂
164
61
723
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Maria, Jana kwenye space yako TISS & MATAGAwalijoin kama wote. Naona wameanza kuelewa somo. Wanapaswa kumueleza SSH kuwa Tanzania tunahitaji Katiba Mpya na Utawala wa Sheria na Haki Sawa @MariaSTsehai
16
53
708
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Wizara ya Elimu - Catherine Ruge Viwanda - Zitto Kabwe Ushirikiano wa Kimataifa - Freeman Mbowe Wizara ya Maji - Joseph Mbilinyi CAG - Prof Assad Wizara ya Mambo ya Ndani - Esther Matiko Wizara ya Afya - Ester Bulaya Mkuu wa USALAMA - Kigogo 😀
49
42
700
@KingMaokoto_
King Maokoto
5 years
Ben Saanane Azory Raphael Ogangi R.O.M.A Mkatoliki Mo Dewji ImMartin Theo Tito Magoti Alphonce (kuuwawa) Lissu (Risasi 32) Ben Saanane Fatma Karume (kuchomwa ofisi) Simon Kanguye Abdul Nondo Mdude Nyangali Salma Said Allan Kiluvya ENOUGH IS ENOUGH @kigogo2014 @fatma_karume
45
64
671
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Hivi bila @kigogo2014 kutufumbua macho kuhusu kuzimwa Internet na akatushauri tuwe na VPN mapema ni wakati tungeingia TWITTER toka tarehe 28 Oct hadi juzi!? Nadhani hakuna. Hapakuwa na Twitter bila VPN. Jamaa ni genius MPENI HESHIMA YAKE
21
36
633
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Naomba kujua nauli toka JNIA hadi Copenhagen ama Helsinki. Ni kheri nikaishi huko kuliko kuishi Tanzania miaka mingine tena mitano (5). Sioni kama tuna uhuru kamili iwapo ukiikosoa Serikali unatiwa Hatiani. Na bado wanataka kumpa tena 10 mengine 😢 @fredrickjustne @kigogo2014
21
23
619
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Retweet 4,000 kwa Shangazi Maria, Anafanya kazi kubwa sana kupitia (Maria spaces). Mungu ambariki na azidi kutetea Haki kwa Watu wa Taifa hili. Hatetei Haki ili apate pesa na maslahi. Kama pesa ukoo wao wote wana pesa. Maria ni moja kati ya wanawake wasomi weledi Nchini. 😍
Tweet media one
Tweet media two
0
296
546
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Mwenyekiti wangu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anatupenda mno Watanzania. 👉Fikiria anajitoa sadaka kwa ajili ya Haki ya Taifa hili. 👉Anakubali kulala chini kwenye cement ya baridi kali kwa ajili ya kupigania maslahi ya Watanzania wote. Rt 2000 tafadhali
Tweet media one
15
259
540
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Maisha yanakwenda kasi sana! Yaani ndani ya siku 95 tuu. 1. Magufuli sio Rais tena wa JM wa Tanzania 2. Polepole sio msemaji tena wa CCM Taifa. 3. Bashiru sio Katibu Mkuu tena 4. Sir Baya (Bulldozer)sio DC tena 5. Dotto James sio Pay Master General tena. 6. Mwakitalu ni DPP
42
45
548
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Mh Lema, Mh Lissu, Mh Mbowe, Mh John Heche, Shangazi Fatma na Shangazi Maria ukiachana na kwamba SHULE imo, pia wana Moyo wa dhati na mapenzi makubwa kwa Nchi hii. Hawa watu ni HAZINA kwa Taifa. Hao watu 6 tuu ni Wabunge 245 wa CCM na Spika wao. Najivua kuwa mfuasi wa WATU hawa
46
75
505
@KingMaokoto_
King Maokoto
5 years
Kwa hiki kinachoendelea hapa nchini, KURA/VOTE yako 2020 unaiweka wapi..? @kigogo2014 @Leyenda_vivien @fatma_karume @HildaNewton21 @OleMtetezi @IAMartin_ @MarekaMalili
UKAWA (Upinzani)
4434
CCM
1156
70
66
445
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
CORONA IPO. TENA HII INA KASI YA 4G LEO KUNA JIRANI YETU KAFARIKI HUKU MAENEO YA KIMARA @kigogo2014
16
24
453
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Wanachama wa CDM tuache kuvuta SIGARA na kunywa POMBE. Hii nimeielewa. Naanza kesho hii hadi Mauti yangu.
32
32
442
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Tunataka Moses Lijenje na Sultan Jemshid wapatikane wakiwa hai. Kila mmoja ana haki ya kuishi, haki ya kutoa maoni, haki ya kuabudu na kukaa Chama cha Siasa anachotikana. Kuwa Mpinzani Nchi hii sio kosa la JINAI @tanpol Tunawataka hao watu wakiwa hai. Enough is enough.
9
85
444
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Wizara ya Uchumi - Prof Lwaitama Wizara ya Vijana & Ajira - Amina Saguti / Idris Sultan /Hilda Newton Mkuu wa Majeshi - Bernard Membe Zanzibar - M Seif @RealHauleGluck @MhubiriWaTaifa @esteramosbulaya @halimamdee @kigogo2014 @HecheJohn @zittokabwe @WemaKako @MsigwaPeter
26
29
440
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Zifuatazo ni mbinu ndogo ndogo 12 chafu wanazotumia Chama cha Mapinduzi kutwaa/kubaki madarakani. Hizo ni chache tuu katika mbinu 35. 👇
26
79
429
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Kiongozi Wetu. Mbeba maono. Msomi mbobezi. Wakili Msomi. Mzalendo wa Taifa hili. Mpigania Haki. Mhanga wa shambulio la risasi 34. Mteuliwa wa Mungu. Usiku wa kuamkia leo ametoa elimu kubwa mno ambayo mara ya mwisho ilitolewa na Mwl Nyerere mwaka 1997. RT 1000 kwake.
Tweet media one
8
166
415
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Hili ni shambulio la mwisho kwako na washirika wako. Kwamba sisi sio level zako na tunajua kila kitu kuhusu wewe. Katafute watoto wenzio ushindae nao. Sisi ni watoto wa Jakaya hata Ikulu tunapiga chata. Jipange mwanangu. 😂😂😂 SITAKUJIBU TENA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
62
39
415
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Retweet 4,000 kwa Mh Mbowe sio Gaidi. Retweet 3,500 kwa Mh Lissu kwa hotuba yake ya leo iliyojaa matumaini kwa Taifa. Retweet 3,000 kwa Shangazi Fatma na Shangazi Maria kwa kujitoa kwao kimasomaso kutetea Haki Nchini bila kuchoka. Retweet 4,000 ikiwa unahitaji Katiba Mpya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
387
413
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Angalieni wenyewe jana na leo wakati nafanya manunuzi ya Umeme.! Nimejikuta NATOKWA NA MACHOZI. Hakika inakera inakera, inakera na tumechoka. Jambo hili halikubaliki. HUU NI UNYONYAJI. Rais, @SuluhuSamia haya MAKATO yanatuumiza Watanzania. Kufanya hizi huduma isiwe kama ADHABU
Tweet media one
166
75
408
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Kosa ambalo Watanzania wengi tulioko mijini na vijijini tunadhani kupaza sauti na kuomba Katiba Mpya ni kama kosa Kisheria ama Uhaini. Katiba Mpya itapatikana pale Wananchi wenyewe wanapoamua kuitaka na sio Watawala walioko madarakani wanaokula na kusaza. Wao wameshiba. TWAFA
Tweet media one
Tweet media two
11
74
405
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
IMEVUJA 👉Issue ya Katiba Mpya mtu pekee anayeweza kutoa go ahead ni Mzee wa Msoga (The remote controller). Yeye ndo game changer kwenye hii Movement. 👉Rais SSH hizi kelele anazisikia sana, sema hakuna kitu anaweza fanya! Anasubiri "order" ya FP. Iko hivi, Mzee atakaporudi
Tweet media one
9
41
398
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Ukipenda mtelezo mwisho wake huwa ni mbaya. Angalia sasa unavyohangaika kama MTETEA 😂😂😂😂 Ndani ya dakika 4 umebadili DP mara 3. Hatukuachi mpaka utoke damu kima wewe! Ulikuja mjini kwa AITII wenzio Born here here. Mxhxxxxxxxh 🙄😂😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
24
26
389
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Kinachoendelea kwa sasa ndani ya CCM ni kumfanya Mama kama "Chambo" kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Wapo wanaomuunga mkono na wengine wanajaribu kumpotosha kwamba Katiba Mpya kwa sasa sio muhimu na lazima ili apoteze Credit kisha waje kumsagia KUNGUNI kwenye kura za maoni
Tweet media one
13
37
387
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
KATIBA MPYA Ukiwa kama Mtanzania mpenda amani na unahitaji KATIBA MPYA kabla ya chaguzi Kuu na S/Mitaa zijazo, Retweet hapa imfikie RAIS @SuluhuSamia ili aweze kuruhusu mchakato uanze hata kesho. Mama yetu ni msikivu, akipata RETWEET 6,000 ataguswa na ataruhusu mara moja. ✍
Tweet media one
0
264
385
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
35
20
374
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”———M/kiti wa CHADEMA, Mbowe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
46
369
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Muda wa kuendekeza mambo ya Kishenzi umeisha. Muda wa kucheka na KIMA umeisha. Sikilizeni mautumbo huko Bungeni. Hii Nchi sijui yule Mzee alikuwa anaipeleka wapi! Na huyu Diamond akale alikopeleka mboga. Mpambazi file lako linakuja Mbwa wewe. Mangi wa Kichaga you're next.
15
22
366
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Shemasi, @kigogo2014 Ikiwa unasali na unamwamini Mungu (Yehova), Mungu wa Elia na Ibrahim. Naomba UACHE kwamba kupigana hiyo VITA, Tupigane kwanza VITA ya kuwavusha wana wa ISRAELI kwenda Nchi ya Ahadi. Vita ambayo tunapigana since last week haina baraka za MUNGU bali SHETANI.
45
53
358
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Nape, nakuonya tena na tena! Wewe, SUKUMA GANG mkishirikiana na Dr manyaunyau ndoto zenu za kukwamisha Mama zilibuma. Usidhani uko safe sana! Ngoja ripoti ya BOT isomwe utajua hujui! 👉Eti Mama aweke pending mchakato wa Katiba Mpya! Unaumwa wewe! Tunataka Katiba Mpya. KATIBA
Tweet media one
11
41
352
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Tutapitia vikwazo vingi na mateso makali katika harakati hizi za kudai Katiba Mpya, ila yupo Mungu wetu anayetupigania usiku na mchana. Yeye hakuna lililogumu kwake. Atatushindia 👉Hawa watoto wanaotumwa kuja kuvuruga harakati zetu hakuna vita watashinda! TUNATAKA KATIBA MPYA
Tweet media one
15
54
359
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Ule upotevu/wizi wa 1.5 Til uliobainishwa mwaka juzi kwenye Ripoti ya CAG Prof Assad hakuna hata Mtanzania mmoja aliyethubutu kuhoji Serikali juu wa upotevu wa pesa hizo..! Shikamoo Watanzania 👐👐👐👐 @zittokabwe @fatma_karume @IAMartin_ @HecheJohn @halimamdee @kigogo2014
16
24
335
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Bwana mdogo Haule, tulikuonya mapema hukusikia! Round hii mpaka na account wanafunga kima wewe! Wewe mpaka utume e-mail Twitter HQ wakati wenzio tunaenda kwa Miguu 😂😂😂 Tafuta size yako, Sisi tunadeal na watu wakubwa. Muulize Mzee wa VIETEE X MAYAI na DR MANYAUNYAU 😂 You 👇
Tweet media one
22
23
335
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
UV-CCM na MATAGA mmeungana kumjaza Sumu Mama kuwa ati tukianza mchakato wa Katiba Mpya uchumi utasimama, hivyo mkampa memo kuwa ajikite kuinua uchumi ambao kimsingi nyinyi hao hao mlikuwa mnaimba mapambio kuwa tuna Uchumi wa Kati. 👉Tunataka Katiba Mpya 👉Kwenye hili tumejipanga
Tweet media one
14
45
324
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Yes, naunga hoja mkono kwamba TUME HURU kwanza ndipo KATIBA MPYA
Tweet media one
18
44
319
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Sibariki huu uchongaji wa sanamu la JPM kwa thamani ya Mil 420 ili hali hospital zetu hazina madawa na mitungi. 👉Sibariki uvunjwaji mkubwa wa Sheria na Haki za Binadamu Nchini 👉Tunataka Katiba Mpya kabla ya chaguzi zote hapa Nchini.
Tweet media one
Tweet media two
14
63
324
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Masanja nilikuonya na nakuonya tena. Usitumie mwamvuli wa hiyo kazi yako kuvimba kichwa. 👉Kama unadhani hatuwezi kukufanya lolote wewe endelea kuleta kidomodomo. Kaa mbali na hii movement. Movement hii ina manufaa na Nchi nzima na sio Chama. 👉Ukiendelea nitakulipua Bablaii
31
37
319
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
SIKILIZENI. Huyu Didier Mlawa mnayesema ndiye Kigogo, sio kweli. Kwenye list ya Vijana wanaounda ile TAASISI, jina la Didier Albert Mlawa halipo kwa maana nyingine ni kusema Mlawa na Kigogo ni vitu viwili tofauti na zile picha za huyo Mlawa walizivujisha makusudi ili tujae KING
Tweet media one
80
22
319
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Hata wakati babu zetu wanadai Uhuru walionekana wahaini mbele ya Wakoloni. Lakini hawakuvunjika moyo waliendelea kudai hadi Tanganyika ikawa Huru. 👉Nasi leo tunadai Katiba Mpya tunaonekana wahaini na wachochea vurugu, anyway tusivunjike moyo. Tuendelee kudai Katiba Mpya.
Tweet media one
Tweet media two
7
52
316
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
KESHO JUMATATU NITAENDELEA, NITAWAJUZA NI AKINA NANI SASA WALIOKUWA WANAUZA TAASISI HII NA MAKAO MAKUU YAO YAKO WAPI NA KWA AJILI YA KULINDA HESHIMA YA NCHI SITATAJA JINA SPECIFIC, NITATAJA KWA MAFUMBO UKIWA NA AKILI UTAWAJUA NI KINA NANI. BUTU MALAMU
16
23
312
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Ikiwa unaamini Mh. Freeman Mbowe sio Gaidi na kimsingi kesi yake ni ya kupikwa Retweet 2000 kwa Mwenyekiti. 👉Retweet ikiwa unaamini katika Utawala wa Sheria na Haki kwa wote, RT ikiwa unaamini katika Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. #MboweSioGaidi #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
Tweet media two
1
311
300
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu Mwachieni Huru Mwenyekiti wetu
Tweet media one
5
94
299
@KingMaokoto_
King Maokoto
2 years
👉Issue ya Halima Mdee na wenzake 18 imekaa kimkakati zaidi, upande wa Serikali wanacheza hii game wakitokea winga ya kushoto, Upande wa Bunge wanatokea kulia, Mahakama anaapper kama mwamuzi wa kati. CHADEMA wanashambulia wakitokea nyuma. Hii mechi huenda ikachezwa hadi Mid 2025
Tweet media one
46
25
301
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Hivi MATAGA wana chuma kikali kama hiki! 👇. Nadhani hakuna. CPA @CatherineRuge siwezi kuelezea ni namna gani ulivyo mzuri. Unajua nimezoea kukuona kwenye Magwanda kumbe ukipiga hizi unakuwa mkali kiasi hiki! Oohhhh My God. What a beautiful Lady! 😍😍😍
Tweet media one
Tweet media two
42
22
303
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
My brother Azory 😭😭😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tweet media one
8
32
296
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Tunaendelea pale tulipoishia. Tunataka Katiba Mpya. Tunataka Katiba Mpya Tunataka Katiba Mpya Katiba Mpya ni haki yetu. @Naytrueboy @HecheJohn
Tweet media one
5
48
285
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Kwa huu uonevu unaoendelea Nchini dhidi ya Wapinzani kufanya Makongamano ila kwa CCM ni halali, hii ni ishara toka kwamba hakuna Katiba Mpya itakayopatikana kwa njia hizi za Makongamano na kupiga magoti. Hakuna! 👉Tutakwenda G.E 2025 bila Katiba Mpya. Tunapambana na maadui wen
16
48
293
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
HII KESI TUNASHINDA MCHANA KWEUPE, HAMNA KESI HAPA. Retweet 3000 kwa Mwenyekiti wetu @freemanmbowetz
2
142
291
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Niwashukuru sana wote mlionipa salamu za pole kutokana na Changamoto iliyonipata mimi na wakazi wengine maelfu tuliokosa makazi kutokana na agizo bomoa bomoa linaendelea huku Kimara. Sijaweza kujibu tweet mojamoja kwakuwa ni nyingi mno. Nawashukuru wote. Ila Changamoto kubwa kwan
Tweet media one
44
19
280
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉 Moja kati ya watu walionifanya (inspire) nipende Siasa ni Hon Freeman Mbowe na Hon @godbless_lema miaka ya 2004. 👉Hon Mbowe anapenda sana kusaidia vijana kufikia malengo yao kisiasa n.k. Chukulia tuu mfano Vijana waliopita mikononi mwake leo hii wote ni Wabunge, RC na MaDc
Tweet media one
Tweet media two
8
41
277
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Fikiria tulikuwa na RC ambaye alikuwa ni kama Mungu mtu, anapiga watu, anakamata watu, anavamia vituo vya TV na radio, anafukuza mjini watu ambao hawajaoga, mara atishie wakazi wa Dar lazima wapimwe tezi dume nyumba kwa nyumba, watu wanabambikiwa kesi za madawa n.k KATIBA MPYA
Tweet media one
7
45
277
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Kwa unyama mliomtendea Kaka yangu Ben Saanane, laana itawaandama mpaka hiyo cycle yote iishe. Ben aliwakosea nini hadi mkamfanyia unyama kama ule ! Yaani kosa lake ni kumkosoa huyo Mungu mtu wenu. Damu na jasho la Ben Saanane halitokwenda bure. 😭😭😭😭😭 #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
Tweet media two
11
43
277
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Bwana Dickson Ngi'lly unani-report moja kwa moja toka ukiwa Germany. 😂😂😂😂 Ila mwanangu unazidi kunishanganza mno! Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo boya kudeal na mambo madogo madogo. 👉Jana tumetweet hapa kwamba unapatikana Ujerumani ukakana, haya kiko wapi sasa! 😂😂😂
Tweet media one
23
22
273
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Nov 1, 2020 "CCM walidhani wana hatimiliki ya kutawala Nchi hii milele" "Kilichowaangusha CCM katika Uchaguzi uliopita siku 4 nyuma ni i. Nguvu ya Umma, ii. Watu walihitaji Uhuru na Haki, iii. Sera mbovu iv. Elimu" @mackphason @DeoMunishi @vicensiashule @kigogo2014 @IAMartin_
7
25
278
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
mtakumbuka wakati wa msiba wake Rais Kagame wala hakujishughulisha na msiba ule kwa lolote, kuna mahali walishindwa ku-negotiate baadhi ya mambo fulani wakawa hawaongei. 👉 Kusafirisha wanyama pori wetu na Samaki na kwenda kuuzwa Nchi za Magharibi na Ulaya na pesa kutunzwa nje.
12
19
275
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Tofauti na acc zingine, acc hii ilijikita zaidi kubainisha mambo pasipo kuficha chochote/lolote na pengine hata ushahidi wa video & picha (jpg) tulikuwa tukiona unawekwa bayana. Pia wahusika wanamiliki acc ya @LindaKatiba , @FichuaTanzania & @fichuagloal_HQ n.k Wengi tulistaajabu
1
19
278
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Si hauko ujerumani eeh. Sasa mbona una lalamika twitter kupitia sheria za Ujerumani. Hunaga akili kabisa yaani. Unataka tweets ziwe removed eeh. Hazitaondolewa yaani kwa taarifa yako. Endelea ku report yaani. Acha kuchokoza watu usiowajua utadhalilika sana boya wewe..😁🐒
Tweet media one
Tweet media two
22
19
271
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Hivi mnadhani wazazi wa Azory na familia yake maombi yao hayasikiki mbele ya Mungu ambaye wote tunamuomba?! Azory aliwakosea nini hadi mkamteka mpaka leo familia yake hawajui alipo! 👉Hivi mnadhani kutupiga na kutufunga magereza siku 400 hadi 600 tutakaa kimya kama kondoo?!
Tweet media one
10
39
267
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Ni TAASISI iliyoanzishwa kwa lengo la kujiweka karibu na wananchi wanaochukizwa na Utawala/Uongozi wa Serikali iliyopo madarakani malengo maalum. Hii kupinga na kubainisha maovu ya Serikali ni gelesha na mtego (trap) ambao wengi tulinasa kwa kutoa information kwa kudhani ni wenz
4
19
276
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini na makundi mbalimbali ya Kijamii tunapaswa kukaa meza moja na FP's (Mwinyi & JK) na tuwaconvice hawa. Rais SSH awanawasikiliza sana hawa watu akiwemo na Warioba. Hawezi kuchomoa kwa hawa. 👉Kuna kundi dogo ndani ya CCM wanataka Katiba Mpya pia
Tweet media one
Tweet media two
6
32
266
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Kama tungelikuwa na Katiba Imara, Rais asingeweza kuamka asubuhi na kununua ndege za Umma pasipo kufuata mfumo wa manunuzi wa Umma (PPRA) na bila kufuata ridhaa ya Bunge kuhusu manunuzi hayo. Ununuzi wa mali za Umma sio takwa la Rais. Shirika ya Uwekezaji #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
Tweet media two
8
49
265
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Zack, Zack, Zack Nimekuwa nikikufuatilia kwa ukaribu kuhusu tweets zako ambazo zinakejeli na matusi kwa Chama na Viongozi wa Chama. Siku za nyuma niliwahi kukupa onyo. Nakupa onyo lingine. Fanya Siasa lakini ila usitukane Viongozi wetu wa CHADEMA. NITAKUTOA DAMU. Respect.
32
30
265
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Dawa imekuingia mpaka unatweet vimombo ili ujumbe uwafikie wafadhili wako wanaokuweka mjini huko Ughaibuni. 👉Nye nye nye eti nitaweka hadharani majina ya Kigogo, familia yake na anapolala. Tumbafuuu! Haule, mjini tulikupokea sisi hujui hata kuandika alama @ kwenye e-mail 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
33
23
260
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Baada ya kimya cha mda mrefu kama nilivyosema awali, nilitumia mda mwingi sana kuchunguza/kufanya uchunguzi wa Kiintelijensia ili nibaini mtu huyu ni nani na ana lengo gani kwa Nchi. Uchunguzi wa awali nilibaini kuwa KIGOGO2014 na hizo acc washirika ni TAASISI. Ndio ni TAASISI!
10
18
270
@KingMaokoto_
King Maokoto
4 years
Hospital hazina dawa na vitanda, Sera mbovu ya Elimu, Hatuna umeme wa uhakika na bei nafuu, Utitiri wa Kodi, hali ngumu ya maisha ya Mtanzania mmoja mmoja, ukosefu wa Ajira, halafu wanatuletea hadithi za FLAIOVA na MIDEGE..! 😩🙄
97
24
266
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
ni kwa namna gani acc hii inaweza kuchapisha mambo nyeti kabisaa (SIRI ZA SERIKALI) pasipo kubakisha hata nukta. Wengi tulivutiwa na namna acc hii inavyoendeshwa, kwani ilikuwa ikipinga haswa Serikali iliyokuwepo ambayo waliipa jina la (SERIKALI YA MEKO) na MEKO akiwa ni
2
14
264
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
akichukua nafasi ya Biswalo 7. Salum Hamdun ni Boss mpya wa PCCB 8. Asilimia 90 ya UVCCM waukosa u-DC 9. Uwanja wa Ndege wa Chato hautumiki tena kwa shughuli za kutua Airplane. 10. Hifadhi ya Burigi sio Kivutio no.1 cha Taifa. 11. Manji, Dangote & Rostam Aziz warejea Nchini
3
20
255
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Yaani ni kheri mtunyonge kuliko kutuhubiria kwamba tuache kudai Katiba Mpya kwamba iliyopo inakidhi matakwa ya Nchi. 👉Prof Kabudi kuna jambo halipo sawa kwako. Kama Katiba iliyopo inafaa, mwaka 2014 kwanini ulikubali kuwa mjumbe wa Kamati ya Katiba Mpya? #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
22
46
255
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Kwa hali ya kawaida mtu mmoja hawezi kuwa anajua effectively Siasa, Michezo, Uchumi, System, Sheria in and out, Udaktari mpaka mambo ya Viorojia, Uhandisi, Akahifadhi Bible yote kichwani, ana files za kila mtu Serikali na nje ya Serikali, anajua kinachofanyika BOT na awe active
2
17
254
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Nakuombea upone haraka Kaka urejee katika majukumu yako ya kila siku. Kamanda mpenda haki na mwanaharakati wa kweli mzalendo Joseph Haule. Mungu yuu pamoja nawe utapona Kaka. Retweet nyingi kwa Mh Joseph Haule
Tweet media one
6
75
244
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
kama ambavyo wakosoaji wengine walivyokuwa wakisakwa na kutiwa nguvuni (Rejea mkosoaji SICANSIRO na wengineo). Zaidi ya kusikia tuu lasha lasha kuwa KIGOGO2014 anatafutwa,Mtakumbuka pia wakati ule yule Waziri aliapa kuwa wanamsaka n.k kisha story hiyo inakufa juu kwa juu.
3
17
256
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
wenzetu na wapo kwa lengo la kututetea, kupigania Haki n,k. Haikuwa hivyo ni KIJANI PURE na ni VIJANA ambao wako highly trained na walishafanya Mission mbalimbali. Baada ya TAASISI hii kuanzishwa, Operation nyingi zilifanyika, lakini ilikuwa ni lazima kwanza wajiweka karibu na
7
18
254
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane Free Ben Saanane
Tweet media one
10
42
246
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Rais JPM mwenyewe Wakati mwingine tuliona Rais JPM (MEKO) alikuwa akitukanwa matusi mabaya na maneno machafu lukuki! Na hata kudhalilishwa kijinsia pia na kuitwa mgonjwa n.k Lakini yote kwa yote hatukuwahi kuona wahusika wa acc hii wakikamatwa ama kutafutwa kwa udi na uvumba
1
17
254
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Ni miaka zaidi ya mitano sasa hawa vijana/Kaka zetu hawajulikani walipo. Tunaliomba @tanpol kuwatafuta walipo warejee kwa familia zao. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tweet media one
Tweet media two
4
41
241
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
12. Praise Team ya Lumumba hatuisikia tena ile Ngonjera yao ya "Mitano tena, atake asitake" 13. CAG alijilipua na kuuonyesha Umma juu ya Ubadhilifu mkubwa katika Sekta na Mashirika mbalimbali Nchini. Kabla ya hapo ilikuwa funika kombe.
6
22
249
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Bad luck Haule na mbumbumbu wenzako, hakuna kitu unachojua kuhusu Kigogo, I can guarantee my life! Huna lolote ujualo kumhusu Kigogo. Ever. Unataka tuu kutrend Bablaii. 😂😂 Tuna agenda nzito za kudai Katiba Mpya. Unapayuka eti utaleta miamala anayofanya Kigogo.😂😂 HUNA AKILI.
15
18
252
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Maelfu ya Wananchi huku wamewekewa X kwenye nyumba zao na fremu na kuamuliwa kuondoka ndani ya siku 30 kuanzia leo. Inasikitisha mno. Wakubwa nipo kwenye wakati mgumu sana 😭😭😭😭😭
19
20
244
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Rais, Samia S. Hassan. AA 👉Sidhani kama madai yetu ya Katiba Mpya kama Watanzania wazalendo yatakwamisha kukua cha uchumi wa Tanzania. 👉Sidhani kama madai yetu ni kosa kisheria. 👉Mlizuia mikutano ya Kisiasa kwa miaka 5 je uchumi ulikua? 👉Mfariji Mkuu, tunahitaji Katiba Mpya
Tweet media one
18
49
243
@KingMaokoto_
King Maokoto
2 months
Where Is @Sativa255 🤕 Mitaa Inanjaa PUNTER Mwenzetu Yuko wapi...?? Mwenye Taarifa zozote Atupe🤲🏾
Tweet media one
0
199
251
@KingMaokoto_
King Maokoto
2 months
Kila Nikipiga story na wana hapa kitaa Baada ya Dakika3 Inakuja Sura Ya mwanangu @Sativa255 Na nikukumbuka Amepotea Hadi now Haijulikani alipo Ninakosa Raha Kabisa Yani Natamani Kulia🥺 Familia Tuendelee Kurepost #WhereIsSativa Mpaka Tupate Taarifa Yakutupa Matumaini chanya✊🏽.
Tweet media one
0
205
252
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
@rodglassjr @RealHauleGluck @kigogo2014 @verified @TwitterSupport We're going to remove this guy permanently from Twitter forum. It's just a matter of time
8
11
240
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Kamanda Alphonce Mawazo aliuwawa kinyama katika mazingira ya kutatanisha! Kosa lake ni kuwa mwanaharakati na mpenda amani. 👉Mcomoro mkamuua kwa kumpulizia sumu kisa tuu alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa Utawala dharimu na mnataka tukae kimya tusifu na Kuabudu. #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
5
39
240
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Polepole wewe ni mtoto mdogo sana kudeal na sisi! Wewe sio wa kutuambia ati Katiba Mpya sio agenda yenu no 1. Kwamba tuache kudai Katiba Mpya na badala yake tujikite KUSIFU & KUABUDU madaraja na Barabara alizojenga Mwendazake. 😀😀😀 Upuuzi huu! Tunataka Katiba Mpya before 2024
Tweet media one
5
36
236
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Naomba ieleweke kwamba tunapodai Katiba Mpya sio kwamba tunadai Mafao yetu ya NSSF. Katiba ndio mwongozo mama wa Nchi. Katiba iliyopo haikidhi matakwa ya Watanzania wa karne hii. Katiba iliyopo ina mapungufu makubwa hasa Sura ya 6 na 7 TUNATAKA KATIBA MPYA #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
8
40
229
@KingMaokoto_
King Maokoto
6 years
Tweet media one
10
15
231
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
👉Haule Ng'wanamalundi umenireport Twitter HQ ili wafunge account yangu ukasahau kwamba mimi nafanya kazi huku huku Twitter HQ. 😂😂😂 👉Hii vita nitakutoa damu kima wewe! Tushamekwambia sisi tuna ajenda nzito ya kitaifa ya kudai Katiba Mpya. Wewe ni mtoto Mdogo sana! Mxxxxxxxh!
Tweet media one
Tweet media two
37
19
230
@KingMaokoto_
King Maokoto
3 years
Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe Free Mbowe
Tweet media one
5
72
225