Hawa wote tulianza nao wakiwa na accont ndogo kama wanachama wetu na hivi sasa tayari wamesha jipata tunapenda kusema THANK YOU kwao, sasa ni zamu ya wengine kwa ambao wapo tayari kujiunga nasi. Chakufanya comment handle yako niku add kwenye Group letu.
Kama Simba kashindwa kubeba kombe msimu huu wakati sisi bado hatuja panda daraja, asitegemee tena kubeba chochote msimu ujao ambao tunaanza kucheza Ligi Kuu.
Kama upo tayari kujiunga na chama letu la Wakujiongelesha, chapa handle na utu follow kwenye hii page yetu ili tuku add kwenye magroup yetu ya engagement.
Anaitwa Joshua Ibrahim, hii ndiyo mashine ya Magoli yenyewe achana na zile mlizokuwa mnazisikia.
Kiatu cha mfungaji bora msimu huu, tunaomba akabidhiwe kabisa.
Kabla hatujaenda kwenye Mechi yetu ya kwanza leo kwenye Ligi Kuu, nadhani si vibaya tukiwakumbusha kuwa Sisi ndio Mabingwa wa Championship msimu uliopita. ๐ ๐
Kwa sasa tunachohitaji kutoka kwenu mashabiki zetu wa dhahabu, tunaomba mtu-follow walau tufikishe Followers elfu 10 tu kabla ya kucheza kesho mechi yetu ya kwanza Ligi kuu.
Mashabiki wetu msikate tamaa wala kuwa Wanyonge, bado kuna Mechi nyingi zinakuja.
Tulipoteza Mechi ya kwanza hatujapoteza Ligi.
Support yenu ni muhimu sana kwetu, tunaomba mtu-follow.
Tufanye simple Challenge hapa, nitatoa Elfu 70k (70000) kwa Watu watatu wa mwanzo ambao wata-comment Picha zao hapa wakiwa wamevaa Jezi zetu za Kengold. ๐ฐ
Viingilio vya mchezo wetu dhidi ya Singida Black Stars siku ya Jumapili Agosti 18,2024 majira ya saa 8:00 mchana
Njoo uweke historia ya timu kuwa shabiki uliyoshuhudia chama lako likicheza mchezo wa kwanza wa ligi kuu toka timu ianzishwe.