Kwanini hujanitext ulipoamka? Upo kazini? Upo wapi? Upo na nani, mpe simu niongee naye. Unafanya nini? Unarudi nyumbani saa ngapi? Mbona ulikua hupokei simu zangu? Nimepiga namba yako inatumika, ulikua unaongea na nani? Mbona haujibu meseji zangu?
Hivi huwa mnawezaje? ๐ ๐ ๐