James Mbowe Profile Banner
James Mbowe Profile
James Mbowe

@JamesMbowe4

40,753
Followers
344
Following
930
Media
1,861
Statuses

Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kwa Masikitiko makubwa napenda Kuwatangazia Kifo cha Baba Mdogo wa Freeman Aikaeli Mbowe (Babu) kilichotokea Leo Asubuhi katika hospital ya Machame. Babu alipata mshtuko Jana Usiku baada ya kusikia taarifa za mwanae kutuumiwa kwa UGAIDI.
Tweet media one
463
573
4K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kwamasikitiko makubwa napenda kuwajulisha kuwa Sara amefariki Dunia. Tumuombee pumziko la Amani amecha watoto wawili Mdogo anasumbuliwa na Saratani.
Tweet media one
492
264
3K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kesho nitakwenda Kisutu wakiniua nitakufa wakinikamata wataniachia wakinifunga watanifungua. Imefika mahali Baridi iwe baridi na Moto iwe moto. #WenyeNchiWananchi
100
271
3K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kwasababu Kampunii ya simu ya @Tigo_TZ imeamua kuja kutoa Ushahidi kwenye Kesi hii ya Kuchonga Dhidi ya @freemanmbowetz na wenzake. Basi kwa hiyari yangu mwenyewe natangaza kuachana Rasmi na Kampuni hii ya cm nawataarifu Rafiki zangu yeyote atakayenipigia na no ya Tigo sitapokea.
335
265
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kuna Siku isiyo na Jina Mtamuhitaji Sana.
35
121
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Kurujuani
33
268
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Wenye Haki wangu wataishi KWA Imani. @freemanmbowetz
Tweet media one
28
97
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Mbowe ana watoto wanaomwita Baba. Mbowe aliumbwa na Mungu na kumuweka TANZANIA. Baba yake Aikaeli alishiriki Harakati za Kudai Uhuru Baba yake wa Ubatizo ni Nyerere (Baba wa Taifa) unadhani Leo Nyerere angekuwa Hai kuna yeyote Kati yenu angethubutu Kumuita Freeman Mbowe Gaidi?
Tweet media one
93
262
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 months
Hongera Mpambanaji Haki imeshinda
Tweet media one
23
209
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Time will tel
Tweet media one
56
146
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 month
Neno la kupigia mstari Sina amani kwenye Nchi yangu.
18
186
2K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kwetu hatuna mtu anayeitwa Getrude na Wala hatuna mtu Mjinga hivi kwenye Familia. Puuzeni huyu MATAGA
Tweet media one
112
153
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Nimewaza Sana juu ya ukatili aliofanyiwa @freemanmbowetz na anaoendelea kufanyiwa @freemanmbowetz nimegundua Mungu anampenda Sana @freemanmbowetz Muda utasema, nasi tutamtukuza Mungu kwa matendo yake makubwa yasiyoelezeka.
58
175
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Kazi imeanza Hai
Tweet media one
13
59
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Ujumbe wa @freemanmbowetz kwa Watanzania
38
251
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
VIP protection
Tweet media one
40
77
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Wakili Kibatala analia machozi ameshindwa kuzungumza na anaongea Wakili Mtobesya kwa niaba ya Wakili Kibatala.
42
143
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Naomba kudeclare interest Nimelichukia Sana Jeshi la Polisi.
70
119
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Baba Yetu Siyo Gaidi Mbingu inajua Nchi inajua na nyie watesi wake mnajua. Mwachieni Huru aje kumzika Baba yake. Mioyo Yetu inavuja Damu kwa kiwango hiki cha ukatili anachotendewa Mzee wetu.
47
221
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Nilijipanga kumuuliza Maswali ya Msingi sana katibu Mkuu wa CCM kwenye Mjadala wa Medani Kuu Star Tv bahati mbaya jamaa hajatokea nimesikitika sana.
Tweet media one
41
110
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 year
Picha ya Mwalimu Nyerere alipoudhuria Sherehe za Harusi ya mtoto wake wa Ubatizo @freemanmbowetz . Nyumbani Machame Kilimanjaro.
Tweet media one
29
139
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Hii taarifa imenistua sana Usiku huu, Mimi ni mlutheri nitaandika maoni yangu kesho, akili ikitulia
140
180
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Tanzania tuitakayo. Binafsi huwa namkubali sana Afande Murillo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
45
78
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Naked Truth
12
207
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 months
Kijana chaula kuchukuliwa siku ya Jana na gari nyeusi mida ya saa mbili asubui eneo la ntokela mpaka muda huu ajulikani alipo. Nimeongea na Baba yake amezunguka vituo vya Polisi bila mafanikio, anachotaka kujua ni mtoto wake yuko wapi na ana hali gani
Tweet media one
56
273
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
5 months
Asanteni wote mliopaza sauti Malisa amepata dhamana Usiku huu.
Tweet media one
25
86
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
9 months
Katika hii dunia Ogopa mambo mawili cha Kwanza Mungu na Teknolojia🙏🙏
75
297
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Moja Kati ya mambo ambayo najivunia ni kuchangamana na watu wenye Vision (Maono) namuomba Sana Mungu aniepushe na Roho ya Unafki na kujipendekeza kama yule jamaa wa Dodoma.
Tweet media one
20
93
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Hapa Duniani hatuna Mji udumuo Bali twautarajia ule Ujao. . Umevipiga Vita vilivyo Vizuri mwendo umeumaliza na Imani uliilinda Pumzika kwa Amani Babu. Manase Alfayo Mbowe.
Tweet media one
35
103
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Mahakama ya Kenya ipo Huru sana.
Tweet media one
7
78
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Happy Birthday Albless Lema. Ishi sana mdogo wangu
Tweet media one
9
43
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Mabadiliko ni swala la Muda tu.
47
249
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Leo nilikaa kwenye Bench analokaaga @freemanmbowetz nikiwa mwenye furaha na Aman kablaya Kesi haijaanza. Nyakati za huzuni zimekoma
Tweet media one
21
77
1K
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 year
Kula Chuma hicho kutoka kwa Rais wa Kitaa. Ney wa Mitego
57
228
980
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Freeman Mbowe Mheshimiwa Jaji naomba Kuleta Kwenye Mahakama Yako kuwa tumekosa Haki ya Kula Mchana Kwa Miezi 5 Wakati Nyie Mnabreak kwenda Kula sisi hatupati Chakula wala Maji Kwa Miezi Yote 5 Pale Mwanzo Tuliambiwa kuwa Kama Chakula tuchukue Kutoka Jela,
45
119
944
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Mh @freemanmbowetz amefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu akipinga haki zake kuvunjwa katika ukamatwaji wake na mwenendo mzima akiwa Polisi hadi Mahakama ya Kisutu. Tarehe 9/08/2021 kesi ya Kikatiba itasikilizwa Mbele ya Majaji watatu Mh Mgeta, Mh Mgonya na Mh Magoiga.
Tweet media one
73
183
927
@JamesMbowe4
James Mbowe
5 months
Kwa mujibu wa @malisa_gj aliaza kulalamikia maumivu ya kichwa na kifua toka saa 12 jioni na aliomba kupelekwa hospitali, Lakini alipuuzwa mpaka ilipotimu saa sita usiku ambao alipewa dhamana na kukimbizwa Hospitali ya rufaa ya Kanda KCMC kwa matibabu.!
Tweet media one
Tweet media two
43
108
942
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Alipokamatwa kwa kuvamiwa Usiku hotelini Mwanza tena kwa mlango kuvunjwa tulihuzunika Sana na kumlilia Mungu ni kwanini aliruhusi haya kutokea. Kumbe mpango wa Mungu ilikuwa ni kutufunulia yaliyokuwa Gizani. Namshukuru Sana Mungu kwa mwendendo wa Kesi hii ya Mbowe na wenzake 3
27
115
890
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Tarehe 23 nitakuwa Mstari wa mbele kwenye Maandamano. Mtu anayekunyima Uhuru wa Kesema ni kama Umezikwa ukiwa Hai. Ni bora Kufa ukiwa Umesimama kwa kutetea Haki kuliko kuishi ukiwa umechuchumaa. . Hiki kitu wanachokiita intelejesia ilitakiwa iwasaidie kusoma Hisia za watu.
26
171
910
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Jana na Leo imekuwa Siku ngumu sana.😭😭😭 Askofu Sendoro amefariki kwa ajali ya Gari Usiku huu baada ya Gari yake aliyokuwa anaendesha Kugongana na Lori Uso kwa Uso eneo la Kisangiro Wilaya ya Mwanga. Pumzika kwa Amani Baba Askofu
Tweet media one
28
92
904
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
👏👏👏
Tweet media one
1
67
892
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Chama kikubwa cha Siasa Tanzania kimemaliza Kikao chake cha Kamati Kuu Muda huu saa nane Usiku. Watu wapo Serious
21
72
872
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Sara alinitumia ujumbe huu Jumanne nami baada ya kutoka Mahakamani nikaenda aliponiona alilia Sana akanieleza mengi mwisho akaniambia kaka hata nikilala Sasa Moyo wangu una Amani. Sikujua Leo Sarah angelala bila kuamka tena.😭😭 Mwendo umeumaliza Sarah
Tweet media one
96
87
844
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Pichani ni Aikaeli Mbowe na Mkewe wakiwa na mtoto wao Freeman Aikaeli Mbowe. Ambaye siku siyo nyingi atasheherekea Siku yake ya kuzaliwa (Mtoto atazaliwa)
Tweet media one
16
117
837
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Habari kuhusu Prof J siyo za kweli ni vijana wa Lumumba wanataka kututoa kwenye reli kwenye mjadala wa Lissu kukutana na Rais @SuluhuSamia
26
56
840
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 month
Jana Niliongea na Mh @godbless_lema akanijulisha kwamba majira ya saa 12 kamili atakuwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Nilituma Dereva wa kwenda kumpokea cha kushangaza dereva alikaa pale mpaka saa 4 bila mafanikio ya kumuona Mh Lema, Ni usafiri upi salama kama mtu
11
121
850
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Anaandika askofu dickson! DAMU YA MTU SI DAMU YA KUKU, DAMU YA MTU HAIPOTEI, KWA MAMLAKA NILIYOPEWA NA MUNGU KATIKA NCHI HII NAAMURU KILA ALIYEMWAGA DAMU YA MZEE KIBAO AANZE KUFA TARATIBU NA KWA MAUMIVU MAKALI KULIKO ALIYOKUFA NAYO BABA HUYU, ARDHI ILIYOPOKEA DAMU NA UHAI
132
238
832
@JamesMbowe4
James Mbowe
24 days
Hongereni sana jamaa zangu @ExMayorUbungo @ShekhAlyKadogoo
Tweet media one
Tweet media two
6
85
838
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Karibu Machame Mwenyekiti wa kanda ya Kaskazini Mh @godbless_lema
12
73
815
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Leo ni Jumamosi Siku ya kuvaa Sare za Chama kama alivyoelekeza Mwenyekiti Wetu @freemanmbowetz
20
83
762
@JamesMbowe4
James Mbowe
5 months
Ngoma mpya ya @Roma_Mkatoliki ni 🔥🔥🔥🔥
30
151
774
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Jumanne Malangae Jumanne Malangae Jumanne Malangae (Msukuma) nimekuita Mara 3. Erick kabendera anasema katika sura ambazo hawezi kuzisahau ni Sura yako Jumanne halikadhalika Tito Magoti, na pengine tungekuwa na Ben Saanane angelisema hivyohivyo, siuoni mwisho mwema kwako.
24
114
757
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Omni Maalum kutoka CCM.
Tweet media one
44
37
713
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 month
Shirika la Reli la Japan limeomba Radhi na kurudisha gharama za nauli kwa abiria wote, kwasababu Treni ilichelewa kwa Sekunde 45
Tweet media one
41
91
741
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Zaburi 24;19 Mateso ya mwenye HAKI ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote. Kwa lugha nyingine husema Mwenye HAKI ana Mateso mengi, Lakini Bwana humwokoa nayo yote.
Tweet media one
15
90
704
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Ndugu zangu nawashukuru Sana kwa Salamu za Pole na Maombi yenu kwa Familia ya MBOWE wakat wote wa Majonz ya kuondokewa na mwanafamilia Charles A Mbowe Tunamshukuru Mungu tulimaliza Salama Shughuli Nzima ya Mazishi. TUENDELEE NA WAJIBU WA KUDAI KATIBA MPYA KWA USTAWI WA KESHO BORA
7
47
703
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Baada ya kutoka Mahakamani nilienda Hospital kumjulia Hali Sara, Hali yake imebadilika kulinganisha na Jana, Jana alikuwa anaongea kwa Sauti unamsikia vizuri Leo alikuwa kwenye oxygen na kuongea kwake ni kwa tabu Sana nilimuinamia Sikioni akashika mkono wangu akaniambia nimuombee
40
62
704
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 months
Nina Hasira sana na haya mambo ya double standard katika ardhi yetu ya Tanganyika
Tweet media one
28
155
719
@JamesMbowe4
James Mbowe
5 months
Jana tulishiriki Ibada ya Mwisho ya Mzee Francis Koka (104) Baba Mzazi wa Mh Koka Mbunge wa Kibaha mjini. Ibada hii ilifanyika Kijiji cha Mkolowonyi Marangu. Mzee Francis amemaliza Safari yake ya hapa Duniani akiwa na Umri wa Miaka 104. Hakika tunamshukuru sana Mungu kwa Zawadi
24
82
706
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Huyu ndiye Mbowe nimjuaye. Mtu mpole mnyenyekevu anayelipenda Taifa lake kwa Moyo wake wote
13
114
668
@JamesMbowe4
James Mbowe
5 months
Demokrasia ndani ya Chadema ni kubwa sana ndio maana Mchungaji Msigwa anaweza kuita waandishi wa Habari na kuzungumza anayotaka kuzungumza bila kikwazo na kushutumu viongozi wenzake bila Ushahidi, fursa ya kusema kama hivi huwezi kuipata CCM na kama anafikiri ni utani Amuulize
81
71
693
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Kibatala anaendelea kutoa Shule ya Sheria kwa mawakili wa Jamuhuri na mawakili wa Mdee na wenzake. Kitu kikubwa nilichojifunza leo Kutetea Uongo ni Kazi sana.
24
61
673
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu Kanda ya Pwani kwa Heshima kubwa nawaombea Kura @ExMayorUbungo kama Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani na @ShekhAlyKadogoo kama Makamu Mwenyekiti Kanda ya Pwani.
Tweet media one
Tweet media two
41
133
677
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Mbowe anazungumza muda Huu akisisitiza Umuhimu wa Sheria kufuatwa katika Shauri hili.
14
74
651
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 year
Kwake tunaishi na kuwa na Uzima wetu.
Tweet media one
5
37
663
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Asanteni sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Hai kwa kunichagua kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Chadema Taifa, na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Wilaya ya Hai. Tukutane field maneno kidogo vitendo Lukuki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
36
77
646
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Shangazi @fatma_karume naona yule kichaa kanasa kwenye nyavu. . Hiyo Fidia anauza kipeperushi chake nyumba mke na watoto na bado anabaki na Deni. Hii ndio dawa yao
Tweet media one
31
58
618
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Moyo wangu unavuja Damu. Hii taarifa imevuruga kabisa Jumapili yangu. Tumefikaje hapa? Bado tuendelee kuamini kutekwa watu ni Drama? Omba yasikukute
Tweet media one
23
143
645
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Hii ndio Nchi ya Amani na utulivu tunayoimbiwa kila siku😭😭😭😭 Get well Kaka, nataka nikuambie Mungu anakupenda sana.
10
101
644
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Mbowe amehitimisha hoja zake kwa kumuomba Jaji Luvanda kujitoa kusikiliza Shauri hili na badala yake apangiwe Jaji mwingine ili kulinda Heshima yake na Heshima ya Mahakama.
11
84
612
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Wazee wa PGO kuna mchochozi huko Marekani nendeni mkamuarest Haraka anatupaka matope.
Tweet media one
13
105
601
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Mpaka wapotezwe wangapi ili tujue kwamba tunaangamia? Hii hali inayoendelea ya kuteka watu je haya ndio yalikuwa malengo ya kupigania Uhuru? Kwanza Uhuru maana yake nini? Au tuendelee kuamini swala la watu kupotea ni Drama? . Tanzania Swala na tembo wana thamani kuliko Binadamu.
Tweet media one
15
239
623
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Tunajivunia Sana Uongozi wako katika Familia na Chama. @freemanmbowetz
Tweet media one
2
75
598
@JamesMbowe4
James Mbowe
6 months
Updates: Police wameondoka na @ExMayorUbungo kuelekea Msakuzi kwa upekuzi, Na Wengine wameondoka na @MalisaGJ_ kuelekea Moshi- Kilimanjaro kwa upekuzi.
Tweet media one
72
92
608
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Pichani Mzee Aikaeli Mbowe na mkewe Bibi Aishi Mbowe na huyo dogo hapo mbele ni Freeman Mbowe . Mzee Aikaeli Mbowe alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa Tanganyika na alimsaidia Sana mwalimu Nyerere katika Harakati zao za Kudai Uhuru wa Tanganyika
Tweet media one
38
107
586
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
😂😂😂😂
Tweet media one
69
48
600
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 year
Baraza la Maaskofu wa Katoliki kwa kauli moja wametoa waraka wa kuukataa Mkataba wa Bandari baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mungu awabariki sana Maaskofu wetu hakika mmetimiza wajibu wa kitume.
Tweet media one
18
95
593
@JamesMbowe4
James Mbowe
11 months
Umevipiga vita vilivyo vizuri Imani uliilinda mwendo umeumaliza pumzika kwa Amani ya Kristo Yesu Shemeji yangu Kipenz Vivian Mbowe.💔💔 tutaonana Baadae🙏🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
23
586
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Huu siyo wakati wa kutazama mbele kwa Mashaka
8
37
573
@JamesMbowe4
James Mbowe
8 months
Asanteni Arusha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
74
586
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 month
“Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote. Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja. Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.” Zab 34:19-21 SUV
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
101
591
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Hakuna aliyeshindana na Taasisi akabaki Salama. Hata aliyesema pambana na kitu kingine siyo Ndugai Leo Yuko wapi?
18
42
568
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Baba Mdogo wa @freemanmbowetz atazikwa jumatano Kanisa Bethel Nshara Machame. Nitoe Rai kwa mnaomshikilia Mbowe mwachieni aje kumzika Baba yake Mbowe Siyo Gaidi Mbingu inajua ardhi inajua na ninyi mliopanga Hila za Kumshikilia mnajua. Mbowe ni mtu mnyenyekevu Sana chini ya jua
12
114
561
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
Wamasai wa Taarifa ya Ngorongoro Leo wameandamana kwa Amani na Madai yao Muhimu wanataka Rais aende kuwasikiliza ili wajue hatma yao. Kwa kifupi ningesema wamefikishwa kwenye point of no return.
13
168
574
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Kwahiyo mtoto wa Nyerere wa Ubatizo ni Gaidi? What a Shame. Vumilia Mzee wetu umevuka kwenye Mitihani Mingi hata hili nalo litapita kama Yale yalivyopita. Yupo Mungu ajuaye Sikitiko.
14
67
555
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Hai kwenye Ramani.
Tweet media one
5
28
571
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Mwisho wa yote Yupo Mungu.
28
50
554
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Sara alinipigia simu asubuhi sikuweza kupokea nilikuwa Mahakamani akanitumia ujumbe kaka naumwa Sana naomba uje hospitalini nikuone kwa Mara ya mwisho, akampa Rafiki yake no yangu tuwasiliane maana Yeye alikuwa anapelekwa kwenye chumba cha Uangalizi maalumu.
58
59
550
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Wapo wanaosema shida zetu sisi ni elimu,maji, umeme, vituo vya afya na sio katiba. Pengine hili ni kweli, lakini binadamu ni tofauti na wanyama, wanyama wao ukiwapa nyasi na majani basi mahitaji yamekamilika anasubiria kuchinjwa, binadamu hatusubirii kuchinjwa"Jenerali Ulimwengu
Tweet media one
12
112
549
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Karakana ya Kituo cha polisi Osterbay pigia mstari karakana……..
Tweet media one
8
78
563
@JamesMbowe4
James Mbowe
10 months
Ni dakika tano tu Lakini za moto sana heko my brother @HecheJohn
18
143
562
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Kina Halima walikitega Chama, Chama kimetegua mtego. Chadema ni Dude kubwaaaa
7
45
537
@JamesMbowe4
James Mbowe
1 month
Jumapili ya leo. Tuendelee kuwaweka katika Sala ns Dua Soka na wenzake huko walipo Mungu aonaye sirini asinyamaze. Tukumbuke sisi hatuna Bunduki hatuna mabomu hatuna magari ya maji yakuwasha wala hatuna bali Sisi tunalitaja jina la Mungu wetu. Machozi yetu na yafike mbele za
10
120
551
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Eti GAIDI Kuweni hata na Aibu!
Tweet media one
16
72
530
@JamesMbowe4
James Mbowe
4 months
Shadrack Chaula (24) ni msanii wa sanaa ya uchoraji. Amechora picha za watu wengi mashuhuri hasa viongozi. Picha ya Rais Samia aliichora mwenyewe. Baadae akaamua kuichoma. Wakati anaichoma anadaiwa kuongea "maneno makali" kuhusu ugumu wa maisha. Malalamiko yake ni malalamiko ya
Tweet media one
Tweet media two
40
106
545
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Wenye Haki wangu wataishi kwa Imani
Tweet media one
3
37
525
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 months
ALI MOHAMED KIBAO AMEUWAWA..! Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana
Tweet media one
Tweet media two
8
135
533
@JamesMbowe4
James Mbowe
2 years
Kama kuna wezi wa Bando basi Vodacom Tanzania mnaongoza aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 nimenunua bando jana saa 5 Usiku nikazima data asubuhi naamka nawasha data sina bando nimenunua bando la siku asubuhi saa mbili na dakika 40 saa 3 na dakika 15 sina bando, Majizii makubwa
Tweet media one
232
48
530
@JamesMbowe4
James Mbowe
3 years
Sehemu ya 3 na ya Hitimisho ya Salamu za @freemanmbowetz kwa Watanzania.
9
86
510
@JamesMbowe4
James Mbowe
11 months
🙏🙏
Tweet media one
9
25
516