Studio za MJ Records, 1997
Humu ndani zimetoka album na nyimbo za wasanii/band/choir kama Sugu, East Coast Team, Hard Blasters Crew, Afande Sele, Lady Jaydee, Ray C, Kwanza Unit, Deplowmatz, Mr Paul, Unique Sisters, African Stars Band, DDC Mlimani Park Orchestra, Msondo Ngoma