Anna Henga (Advocate) Profile Banner
Anna Henga (Advocate) Profile
Anna Henga (Advocate)

@HengaAnna

12,615
Followers
491
Following
352
Media
3,194
Statuses

Executive Director @humanrightstz |Passionate human rights activist |Awardee of the International Women of Courage Award 2019|

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
I miss you Tito! 😭😭😭⁦ @humanrightstz
Tweet media one
28
140
2K
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
KESI YA KUPINGA TOZO Kesi ya kupinga tozo katika miamala ya simu iliyofunguliwa tarehe 27/7/2021 na LHRC itatajwa kwa mara ya pili leo saa Nne asubuhi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
32
144
1K
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Salaam kutoka Belgium. Kaka yangu Msomi mwenzangu Tundu Lisu anawasalimia sana!
Tweet media one
42
67
849
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Heri ya mwaka kwa wapenda haki wote. Nina furaha sana kuona ndugu zetu Tito na Theodory wamepata haki yao ya kuwa huru. Tuendelee kusimama katika haki bila kuchoka. Karibuni tena uraiani Tito na Theodory. #SimamiaHaki
54
100
827
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
I have been appointed Vice Chairperson of the Board of UN Global Compact. It’s such a great honor, Thank You Very Much 🙏🏾
Tweet media one
86
66
777
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Ufafanuzi juu ya Maoni ya Wadau kuhusu Ujumbe Unaomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika banda la Msaada wa Kisheria la LHRC. #SimamiaHaki
Tweet media one
209
76
600
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
2 years
No no no this is not acceptable. #freedomofexpression #mediafreedom
Tweet media one
110
91
568
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Watanzania wameonesha mwamko mkubwa wa kusimamia haki lakini bado Jeshi la Polisi @tanpol limeendelea kumshikilia @TitoMagoti kinyume cha sheria. Tutachukua hatua zaidi dhidi ya ukiukwaji huu wa Sheria na Haki za Binadamu. #FreeTitoMagoti #SimamiaHaki
31
112
548
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
I’m just coming from Segerea Prison! Tito and Theo my young brothers, you are very strong! You deserve an award! Let justice be done! FreeTitoandTheo#
13
75
545
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Nimechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya UN Global Compact. Ni heshimu kubwa sana kupata nafasi hii. Asanteni wote
Tweet media one
41
45
534
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Mpaka tunazungumza na wanahabari leo saa nne asubuhi takribani masaa 24 baada ya kutekwa kwa @TitoMagoti haijulikani yuko kituo kipi cha Polisi na wala amefanya kosa gani. #FreeTitoMagoti #SimamiaHaki
Tweet media one
Tweet media two
22
109
519
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
#YouthDay2020 : Nimeitazama picha hii na kutafakari sana wanayopitia Tito na Theodory. Ni zaidi ya miezi saba sasa wakisubiri upelelezi kukamilishwa na Serikali. Ndoto zao kama vijana zimewekwa rumande bila kujali. Nimejiuliza, je, nchi inajali mustakabali wa vijana wake?
Tweet media one
31
75
441
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Happy Birthday Tito Magoti! We miss you so much! Our prayers are with you, You will overcome all injustices! You will come out of Prison victorious and stronger than ever! The LHRC family and Human Rights activists love you so much!
Tweet media one
21
60
427
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Mfanyakazi wa @humanrightstz Tito Magoti ametoweka leo asubuhi kwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Mwenge DSM
11
77
409
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Nakemea kitendo hiki cha kikatili. Adhabu ya viboko ni adhabu ya kikatili na inayodhalilisha utu. Pia nakemea kitendo cha Mkuu wa Mkoa kutumia madaraka yake vibaya kwa kutenda kinyume na taratibu za adhabu kwa wanafunzi. Mwenye mamlaka ya kumwadhibu mwanafunzi ni Mwalimu Mkuu.
118
71
386
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Six months behind bars, justice for Tito Magoti and Theodory is yet to be served
11
88
384
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Kwa sauti ya upole kabisa, tuwaulize jeshi la polisi @tanpol kuna sababu zipi za msingi za kumshikilia @zittokabwe badala ya kumpa dhamana? Je wameamua kuchagua kuwa mtindo wa kuwanyamazisha wananchi wanaohoji? #HakiYaDhamana #Justice4Zitto
Tweet media one
18
133
374
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Mwanamke ni dada, mama, shangazi, mke; Juu ya yote yeye ni Mtanzania mwenye Haki zote; Asidhalilishwe!
Tweet media one
14
70
339
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
This is unacceptable! 😬! Mwanamke sio chombo cha starehe! Huyu daktari amedhalilishwa na huyu kiongozi! Kavunjiwa haki yake ya kuheshimiwa utu wake ⁦ @GetrudeShinje ⁩ ⁦ @humanrightstz
81
37
325
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Justice for Tito and Theodore! ⁦ @humanrightstz
Tweet media one
9
58
324
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Mh. @MagufuliJP , watetezi wa haki za binadamu huwa tunasikitika zaidi kuona matukio ya ukiukwaji haki yanatokea bila vyombo husika kuchukua hatua. Suala la #Teleza lingechukuliwa hatua mapema lisingefikia hatua hii. Serikali na vyombo vyake viwajibike kulinda haki za raia.
22
53
316
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Tweet media one
7
59
261
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Leo nimeshuhudia uvunjifu wa Haki za Binadamu mbele ya macho yangu! Nimewaona akina mama wamependeza na nguo zao nyeupe lakini wanasikitika wamenyimwa Haki ya kujumuika na kula chakula cha usiku (Dinner) Inaumiza! @hekima garden
22
56
262
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Poleni sana wana ⁦ @ChademaTz ⁩ kwa Madhila ya Mwenyekiti wenu Mhe Kupigwa na watu wasojulikana. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa Haki! Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa akina!
Tweet media one
11
27
249
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
LHRC Staff @TitoMagoti is missing! He has been abducted by unknown assailants this morning near Mwenge Petrol Station
4
88
243
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Congrats ⁦ @ChademaTz ⁩ for peaceful elections. But I am a bit disappointed with this male dominated top leadership. Please avail more women opportunity to lead. Encourage them and do affirmative action!! #SADCProtocol 50/50 campaign@
Tweet media one
21
34
232
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Ninakemea vikali kitendo cha jeshi la polisi kuvamia mkutano na kukamata maafisa wa @THRDCOALITION .
Tweet media one
14
37
239
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
NEWS UPDATE Tito Magoti and Theodory Giyani are expected to appear before Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam on Tuesday January 7, 2019 for the mention of their case. Tito and Theodory face three counts under the Economic Organized Crimes case no 137 of 2019.
6
40
229
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Bravo Hon. Judge Rumanyika! The practice ought to be like this 👏👏👏⁦ @humanrightstz
Tweet media one
11
43
235
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
TAARIFA MPYA: Pamoja na Polisi kusema wanaye #TitoMagoti kwa “Mahojiano na Uchunguzi” hawajatoa taarifa za kituo gani anafanyiwa mahojiano hayo na kwa kosa gani Magoti na wenzake (kama wapo) wanayo haki ya kupata wanasheria kwa mujibu wa Sheria za Tanzania #FreeTitoMagoti
9
58
213
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Kuna ujumbe unaosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa LHRC tunatoa fedha za Elimu ya Mpiga kura. Hizo taarifa sio za kweli zipuuzeni kabisa. LHRC sio wafadhili na mwaka huu hatutoi Elimu ya mpiga kura
10
25
212
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Mkulu ganzi
Tweet media one
8
31
205
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Wana-Twitter tumekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia haki. Nimefurahi kuungana nanyi katika #TOTBonanza #SimamiaHaki
3
30
191
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Amerudi Mdude, Tumebaki na butwaa kwamba mtu anaweza kutwaliwa bila vyombo vya usalama kuwajibika.
Tweet media one
15
33
189
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Viongozi wetu na vyombo vyetu vya usalama, kwa nini tunakaa kimya wakati watu wetu wanapotekwa na kuteswa? Je, ulinzi wa haki za raia si kipaumbele tena? Inasikitisha 😢 #BringBackMdudeAlive
Tweet media one
13
52
175
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Kigoma is beautiful, the only thing tarnishing her good image is trending incidents of violence against women known as #Teleza . I call upon people of Kigoma and all Tanzanias to respect and protect rights of women. #Teleza #Kigoma #Tanzania
Tweet media one
11
25
179
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Human rights activist Tito Magoti allegedly kidnapped in Dar via @TheCitizenTZ
1
53
176
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
I would like to thank you all for your support and solidarity. While we are working tirelessly alongside a team of legal counsels to defend the two young men, your support outside the court keeps us stronger. #JusticeForTitoMagoti #JusticeForTheodory #SimamiaHaki
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
35
176
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
I was lost for words! 😍 My esteemed @humanrightstz team knew how to surprise me when I got back to the office early today. With this kind of love, you can’t help it but be more courageous in advancing human rights. #WomenofCourage
13
22
173
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Jana nilipata heshima ya kuwakilisha asasi za utetezi wa haki za binadamu katika kutoa salamu za rambirambi wakati wa misa ya kuaga mwili wa marehemu Veridiana, mama wa mwanahabari Erick Kabendera. Apumzike kwa Amani 🙏🏿... via @YouTube
13
17
166
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan, has ordered today the reopening of all media houses that were banned or sanctioned in previous years.She said the media should follow the law but has warned against any repression! Congs Madam @humanrightstz @fulgencem
6
36
168
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
"If Advocates do not fight for the Rule of Law in the country, they do not deserve to be members of this noble profession!" Madam Fatma Karume, The Outgoing President of the TLS, (Said during the Opening of the TLS AGM, Arusha, 5th /04/2019)
5
29
164
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Free Tito Magoti!
Tweet media one
6
60
156
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
With H.E Ellen Jonson Sirleaf! ⁦ @humanrightstz
Tweet media one
1
19
156
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Asante Mzee Butiku, naamini busara yako imerejesha tumaini katika mioyo ya wapenda haki wengi. #KatibaMpya ni kipaumbele cha wananchi si watawala.
5
33
146
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Mambo ni mengi. Jumatano iliyopita nilipata nafasi kuzungumza na wanahabari kuhusu tuzo niliyotunukiwa ya #MwanamkeJasiri . Moja ya mambo niliyoyatilia mkazo ni pamoja na kuwahusia wasichana kusimama imara kuhakikisha wanafikia malengo yao. Nawashukuru @AmEmbTZ kwa nafasi adhimu
10
25
147
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Najiuliza hivi mbwa Hobby Vs. Azory Gwanda na Ben Saanane! Inawezekana kweli mbwa akamzidi mtu thamani au naota? @humanrightstz
22
28
137
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Poleni sana kwa hili, inasikitisha sana. Tuliipinga sheria hii kandamizi kwa uhuru wa habari bila mafanikio na sasa inaendelea kutumika vibaya dhidi ya #UhuruWaHabari .
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 years
Taarifa ya @kwanza_tv kwa umma kuhusu maamuzi ya Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Karibuni sana! Asanteni kwa ushirikiano wenu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
97
167
703
5
21
143
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Poleni sana ndugu zetu @THRDCOALITION . Pole sana @OlengurumwaO kwa usumbufu mnaokumbana nao. Nazisihi mamlaka zetu kuchukua hatua za haraka kuwawezesha kuendelea na kazi.
Tweet media one
9
35
137
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Upelelezi wa Kina Ufanyike kabla mtu hajakamatwa ⚖️⚖️⚖️ There should be thorough investigation before a person is arrested!
Tweet media one
9
21
137
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Bring Back my Tito!
Tweet media one
2
39
131
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Privileged to have boarded the same bus which Mrs. Rosa Parks did. I sat on the same seat she sat and said NO to discrimination. ———- Nimefurahi kupanda basi lile lile na kukalia kiti kile kile alichokalia mama Rosa Parks na kupinga ubaguzi wa rangi. #IVLP #WomenofCourage
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
24
131
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Siku 100 Rumande: Kesi ya Tito na Theo yaahirishwa tena! Upande wa waendesha mashitaka wamedai upelelezi bado haujakamilika. Shauri liliendeshwa kwa njia ya video conference kwa sababu ya janga la Corona Virus na washtakiwa wameilalamikia Mahakama mazingira magumu wanayopitia
9
20
127
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Kwa mujibu wa mashuhuda @TitoMagoti amechukuliwa kwa mabavu na watu wasiojulikana mnamo Disemba 20 mwaka 2019 majira ya saa nne asubuhi eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo alifika kwa lengo la kujinunulia simu. #BringBackTito
Tweet media one
Tweet media two
5
40
126
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Mwanamke si wa ku-bet Simba na Yanga. Mwanamke aheshimiwe.
Tweet media one
9
24
128
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Kupitia uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki uliotolewa Juni 21, 2018 kuhusu kufunguliwa kwa gazeti la Mseto tumepata mwanga na tumaini jipya la kupigania #UhuruWaKujieleza kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba. Haturudi nyuma katika utetezi wa haki za binadamu #TimizaWajibuWako
Tweet media one
5
38
123
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Tamko Kukemea Kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni kuhusu Watu Kujichukulia Sheria Mkononi
Tweet media one
8
35
118
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
1 year
Justice for Mwabukusi and Mdude ⚖️⚖️⚖️⚖️
3
34
126
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Ndugu zangu wana @yangasc1935 na wana @SimbaSCTanzania tusisahau yanayotokea huko Njombe. #MauajiYaWatotoNjombe Tuungane kukemea ukatili dhidi ya watoto.
Tweet media one
5
40
124
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Natoa pole kwa familia za waliopoteza watoto wao kwa ajali ya moto huko wilayani Kyerwa, Kagera. Tuzidi kuwaombea majeruhi wa ajali hiyo wapate ahueni na kupona haraka. 🙏🏿
Tweet media one
2
14
124
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Pumzika kwa Amani kaka Evod, mchango wako mkubwa kwa @humanrightstz na Tanzania kwa ujumla tutaendelea kuuenzi. #RIPEvodMmanda
Tweet media one
Tweet media two
7
14
126
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Katika kuadhimisha #SikuYaMama , tumheshimu na kumjali mama. Mchango wa mama ni muhimu sana kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa. Tuache na tupinge ukatili dhidi ya wanawake. #MothersDay
1
24
113
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
@Changenimimi
I'm The Change
5 years
Jamani mbona haya mambo yanaogofya sana katika nchi hiii. #BringBackMdudeAlive
24
93
385
2
25
110
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Usikose kufuatilia mdahalo huu leo kuanzia saa 8 mchana. Jiunge sasa
Tweet media one
3
11
107
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Happy birthday 🎉 Dr Helen, the role model.
Tweet media one
2
15
110
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Nampenda mtoto huyu, nawapenda watoto wote ❤️❤️ #MtotoWaAfrika #DAC2019
1
23
105
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Nawashukuru wadau wote kwa kuipokea vyema Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2018 () Binafsi nimeguswa sana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watoto ulioripotiwa katika ripoti hiyo. Nawaasa kila mmoja kudumisha ulinzi kwa watoto #HumanRightsReport #Tanzania
1
24
101
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
I really feel humbled and grateful to be part of 10 International #WomenofCourage 2019 out of billions of women all over the world who are striving to bring about positive changes in their societies. Thank you very much @StateDept for this recognition.
13
28
104
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
????
Tweet media one
7
25
98
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Maamuzi ya @bunge_tz kutokufanya kazi na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni kinyume na misingi ya #UtawalaBora ikiwemo #UtawalaWaSheria , #Uwajibikaji na #Uwazi . #IStandWithCAG
Tweet media one
7
27
100
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
As we celebrate the life of the late Mwl. Nyerere, we should as a nation uphold respect for people’s basic freedoms of opinion and participation for inclusive and sustainable development. #NyerereDay
Tweet media one
4
34
92
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Dodoma mpo? Karibuni katika banda letu ndani ya viwanja vya Nyerere Square kupata huduma ya Msaada wa Sheria. #WikiYaSheria2020
Tweet media one
Tweet media two
22
12
92
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Very unfair!
Tweet media one
0
27
92
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
RIP Kirumira!
Tweet media one
6
20
93
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Hii mbaya sana jamani. Hawa watu wanaoitwa wasiojulikana wakamatwe wafikishwe kwenye mkono wa sheria haraka sana! Huyu ni mgombea urais anastahili heshima zote. ⁦ @tanpol ⁩ ⁦ @humanrightstz
Tweet media one
15
16
90
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Congratulations @RebecaGyumi , You deserve the prize.
Tweet media one
3
13
86
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Nimefurahi kujumuika na wananchi wenzangu jijini Dodoma kujadili mustakabali wa #KatibaMpya . Taifa ni letu sote, #KatibaNiYetu
Tweet media one
Tweet media two
5
13
90
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
2 years
Kodi! Tozo! Changizo! Kulipa kodi ni muhimu katika maendeleo ya nchi ila isiwe mzigo Mshahara nakatwa kodi! Nikitoa bank /simu Tozo Nikimtumia mama kijijini Tozo Nikununua sabuni kodi. Niki nunua Petrol kodi ya barabara - Bado Tozo za kumwaga uchafu!
6
20
88
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Suala la uwepo wa watu waiojulikana wanaoweza kuvunja haki za wangine bila kuwajibishwa ni kiashiria kibaya kwa ustawi wa Tanzania yenye upendo, amani na utulivu. Natoa pole kwa @freemanmbowetz kwa madhila yaliyompata. Ninaamini hatua za kisheria zitachukuliwa.
11
16
86
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Huu ni uvunjifu mkubwa wa Haki za Mfanyakazi! Hakuna taratibu za kuwajibishana?!!
Tweet media one
23
18
88
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Just when I thought I am too used to surprises! I can’t thank you enough the @AmEmbTZ and my woman of courage Dr. Helen Kijo-Bisimba. #WomenofCourage
@humanrightstz
LHRC
6 years
Ubalozi wa Marekani ( @AmEmbTZ ) waungana na Dkt. Helen Kijo-Bisimba kumpongeza Bi. @HengaAnna kufuatia kutunukiwa tuzo ya Mwanamke Jasiri Duniani. Katika picha: Washiriki wa hafla fupi iliyofanyika ofisi za LHRC mapema Jumatatu, Machi 25 wakifurahia keki kutoka @AmEmbTZ .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
18
67
3
17
85
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Justice must be done ⁦ @vicensiashule ⁩ ⁦ @humanrightstz
Tweet media one
3
27
79
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Hakuna kupumzika mpaka tutakapoifikia Jamii yenye Haki na Usawa. Tujengeane uwezo, jamii ikielewa kuhusu haki na utawala wa sheria tutaishi kwa amani na usawa. #Kigoma #Tanzania
6
14
80
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Mauaji ya watoto Njombe. Napongeza hatua zinachukuliwa dhidi ya watuhumiwa wa unyama huu dhidi ya watoto wetu. Lakini ninasisitiza mamlaka zizingatie misingi ya Haki za Binadamu katika zoezi zima. Mtu asionewe! @humanrightstz @tanpol
5
21
81
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Tunashukuru @moodewji amepatikana akiwa salama. Jeshi la Polisi ( @tanpol ) lisipumzike, liendeleze msako kwani ndugu zetu waliotekwa na kupotea bado ni wengi.
Tweet media one
2
14
79
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
African Court in Human and Peoples Rights!
Tweet media one
1
9
76
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Pole sana @halimamdee , Mungu akujalie afya njema.
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Halima Mdee afanyiwa upasuaji Dar, atoa neno>>>>
Tweet media one
12
19
145
2
3
72
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Bring back our Tito!
Tweet media one
0
15
73
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Heri ya Siku ya Uhuru kwa Watanzania wote. Tudumishe ulinzi wa haki za binadamu. #SimamiaHaki
Tweet media one
4
21
71
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
Detaining a suspect in prison for a longtime without trial is against the law according to the Constitution of the United Republic of Tanzania and an act against human rights. They should be taken to court or freed from prison
1
19
71
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Rest in Peace Ruge Poleni sana familia, @CloudsMediaLive na wote mlioguswa na msiba huu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. 🙏🏿
Tweet media one
1
10
71
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
My condolences to Kabendera’s family. May her soul RIP. 🙏🏿
@TheCitizenTz
TheCitizen Tanzania
5 years
Breaking News: Imprisoned Tanzanian journalist #ErickKabendera 's mother Ms Verdiana Mjwahuzi has passed away at the age of 80, the family has confirmed. Eric's mother died on Tuesday, December 31, 2019, at Amana Hospital in Dar es Salaam Region where she was receiving treatment.
Tweet media one
64
143
467
2
8
68
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
LHRC tunalaani kitendo cha Utekwaji wa watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA). Jeshi la Polisi lifuatilie na kuweka wazi kama wanawashikilia basi waweke wazi kituo cha polisi walipo ili wapate haki yao ya kikatiba
0
12
71
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Kwenu wadau wa #UhuruWaKujieleza
Tweet media one
13
14
69
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
4 years
Tweet media one
Tweet media two
4
9
66
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
6 years
Wanaharakati waungana kupinga rushwa ya ngono vyuoni | Mtanzania
1
18
67
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
20 days
International Democracy Day, 2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
10
70
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
3 years
This is more than good news! Welcome again to the Bar Learned Sister ⁦ @fatma_karume
Tweet media one
0
9
67