@bajabiri
Kosa la zuchu ni kuonyesha dole kwa mwana ambae ndo alianza kurusha chupa nafikiri wengine walirusha kupinga kitendo alichokifanya kama msanii .
Mimi siwezi kumpuuza Ex DC wa Longido( aliongea kwa msisitizo sana) Siwezi kumpuuza Nape (ameongea zaidi ya mara 1).
Kwanini niwapuuze watu ambao waliongea kwa kujiamini bila Woga.
Mtakaopiga kura mkapige, ila msipuuze maneno ya Ng'umbi na Nape
@IAMartin_
Sema hili la zuchu w sijapenda wasanii wengi sana wamepiga kampeni pale yule wa Diddy alimpandisha Sea piano stejini na watu wa mbeya wakashangilia mbona hajarushiwa chupa ? Sijapenda hii double standard ๐ฎ
@ikulumawasliano
Hii taarifa ni kwa vyombo vya habari au wananchi? au ndo mnaseti content za taarifa za habari za vyombo vya habari? Kwa hiyo Ngorongoro ndo hapajajipambambanua Kama ni ardhi ya asili ya wamaasai? ๐ฎ
#FreeAliMohammedKibao
He was abducted by mem who identified as police - stopped the bus he was on and took him!
The police cannot even deny this and get away with it!
The ongoing abductions are cleared by
@SuluhuSamia
obviously!
Let this senior citizen go!
Mwachieni mzee wa
๐ฅFOOD FOR THOUGHT - TAFAKURI ๐ก
This repressive govt in
#Tanzania
is like an old man who farts at the dinner table then immediately picks on a kid and starts slamming him โstop farting, you disgusting brat, Go!โ And chases the child away from the table ๐
Hii serikali dhalimu
@Mwabuk2Boniface
Taifa bora lenye utawala wa Sheria ila watawala wanaona bora taifa na hawazingatii sheria. Anyway wanasheria tufungulieni wananchi bongo zetu zilizolala "TUZUNGUMZE PAMOJA" โ๐พ Kongole Raisi unaeona Taifa bora na Utawala wa Sheria.