Prohans Profile Banner
Prohans Profile
Prohans

@HansMare

1,305
Followers
1,325
Following
1,734
Media
8,934
Statuses

🤌🏿

Dar es salaam
Joined April 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HansMare
Prohans
4 years
@swahilitimes Sasa mtu kununua gari lake kunahusiana nini Na nchi kutokuwa na chakula,kila mtu atakula alikopeleka mboga
4
1
78
@HansMare
Prohans
8 months
@spana_Konki Yani kuna muda unaona unakaribia kushinda Vita then ghafla unasikia nyuma geuka unakuwa wa mwisho unauliwa😀😀😀
7
1
71
@HansMare
Prohans
11 months
@eastafricatv Ndio tatizo la Tff kutaka kubalance gender mnamlete kijumbe kuchezesha mpira wa wanaume,kazingua sana leo aende huko akawe mwenyekiti wa kikoba atuachie mchezo wetu pendwa
5
1
65
@HansMare
Prohans
4 years
@earadiofm Kwani ni lazima kuchangia shule ulivyosema,si ulilipa ada?kwa hiyo na sisi tuliosoma tukakosa Ajira tukaidai Shule au ??
0
0
53
@HansMare
Prohans
1 year
@malisa_gj1 @lifeofmshaba @MariaSTsehai @DrCyrilo @ExMayorUbungo @HecheJohn @John_Pambalu @Twaha_Mwaipaya @NectoKitiga Ningempa demu funguo aendeshe gari mimi ningekaa nyuma short and clear tuone kama kukaa mbele ni mchongo
7
2
57
@HansMare
Prohans
4 months
@HKigwangalla Daaah i wish condom zingeanza kutumika kuanzia uhuru ulivyopatikana kuna matatizo mengi sana tungeyaepuka🥹
8
2
55
@HansMare
Prohans
3 months
@AgentNjovu Umenikumbisha mimi nyumba ya bi mkubwa ilikuwa inataka kuvunjwa na tanroad nikampigia mwana Nyarugusu akaniambia nimtumie 4670 Net!Siku ya bomoa bomoa nyumba ilirudi nyuma yenyewe walivyomaliza na kuondoka ikarudi ilipokua 🥹
18
1
47
@HansMare
Prohans
1 month
@datius_tz Usenge ni kupost wasenge
11
1
45
@HansMare
Prohans
1 year
@CarolNdosi Girlchild wa kizazi hichi wanalewa kama baba zao na kubanjuka tuu wakati Girlchild Neema Swai Yeye aliishi kama alivyo lelewa na mama yake!!we unadhani una kucha kama za mwewe utaweza minya vitufe vya ndege!una kope ndefu kama mapanga ya feni utaona landing stripes kweli 😃😃😃
11
5
41
@HansMare
Prohans
7 months
@rollymsouth Sikaagi na watu wavivu kuagiza Round hata siku moja
1
0
42
@HansMare
Prohans
1 year
@millardayo @ayotv_ Wacha nikale hela zangu cause this life isn’t guaranteed 🚶🏿🚶🏿🚶🏿
0
1
40
@HansMare
Prohans
1 year
@raisi_wa_buza Inakuwa imechoka na inasikia kiu,kama vile wewe baada ya kukimbia mbio ndefu unasikia kiu
3
0
38
@HansMare
Prohans
2 years
@Kiganyi_ Point of interaction nenda kaa counter ya CTFM agiza Moeét tuone kama kuna mtu atakusumbua !!mnaenda mnaagiza Crushers za 15k mnakunywa two hours in a simple note you look desperate
12
2
37
@HansMare
Prohans
6 months
@Wakazi Mbona kwenye shelf hakuna hata Tuzo moja ya hiphop?ungeweka hata kinu cha kutwangia iliki uwachanganye maadui!
19
0
32
@HansMare
Prohans
4 years
0
0
31
@HansMare
Prohans
3 months
@Sirjeff_D Umetumia Wino Mwingi Wa Simu Yako kuandika aina mbili tuu za Magari Hapo wewe unajua umeandika gari aina nne,inshort hapo ungeandika Jaguar Na Landrover Tuu Maana Discover,Range Na Defender Zote Zina Fall Kwenye Category Ya Landrover
3
2
31
@HansMare
Prohans
4 years
@CRDBBankPlc Pesa kidogo tuu bili ya elfu Saba unataka kulipa Na VISA CARD ya CRDB
0
4
30
@HansMare
Prohans
5 months
@ze_mandevu Watu wote ni wanaume ila wanawake kabla ya kuletwa duniani wanafanyiwa marekebisho kwenye karakana huko mbinguni ili wawe mademu,wanawake wote wenye ndevu walitoroka wakiwa kwenye foleni ya kuingia karakarani!
5
1
28
@HansMare
Prohans
5 months
@spana_Konki Mtoto mdogo ila ana matusi rundo!ndio maana jina lake la mwisho bayaaaaa
3
0
27
@HansMare
Prohans
6 months
@Neypaul01 @Neypaul01 hiyo meza uliyotingisha ina vinywaji watakumaliza wenyewe 😀😀😀😀😀hawapendi hilo swala kabisa lizungumziwe kwa njia yoyote ile iwe kwa amani au shari 😀😀😀
1
0
24
@HansMare
Prohans
7 months
Kuna watu Wameniuliza why sijaoa na Niko 40?Jibu langu ni kuna kipindi like 13 years back nilitaka kuoa Ila Baba Mkwe akaniambia “GO FIND A REAL JOB AND COME BACK FOR MY DAUGHTER ” Sijarudi hadi leo 😀😀😀😀Hadi Now Binti yake kawa msimbe na simtaki tena 😀😀😀😀
8
2
24
@HansMare
Prohans
4 months
@george_4prez Juzi Nililamba kuangalia kama yangu bado tamu 😀😀
4
1
23
@HansMare
Prohans
11 months
@vyo_nah Hebu njoo hapa inbox nimshinde nguvu huyu anae kuletea mitura,vita ni vita muda😀
1
1
23
@HansMare
Prohans
4 years
@KevinGusto_ Haya twende kazi
0
0
20
@HansMare
Prohans
4 months
@spana_Konki Ni mimi naona vibaya ila hiyo miguu kwenye magoti imepinda?huyu hafai polisi wala jeshi hawezi kaa Attention always yuko at ease
3
0
23
@HansMare
Prohans
1 year
@cheka___tz Raisi wa Jamuhuri Ya Watu Wa Combodia Kusini
0
0
21
@HansMare
Prohans
4 years
@rollymsouth Wewe shida yako si kuogelea 😅😀😅😀😅au unataka uondoke nalo
5
0
20
@HansMare
Prohans
5 months
@Wakazi Hata jinsia mtakuwa Saresare,sema wewe hormony zilizidi kama yule dada wa bukoba mwenye Ndevu
10
0
20
@HansMare
Prohans
4 months
Mwanamke Ana Komwe Anafika Bar Anaagiza Kitimoto Kilo Rosti Na Ugali,Halafu Anaomba Absolut Vodka Na Barafu Saa Hii Saa Tatu Na Nusu Usiku 🤔Khaaah
9
1
20