Haki Haiombwi🇺🇰🇪 Profile Banner
Haki Haiombwi🇺🇰🇪 Profile
Haki Haiombwi🇺🇰🇪

@HakiHM36447238

9,662
Followers
1,937
Following
2,489
Media
41,141
Statuses

Amani ni tunda la haki

Joined August 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Nimefiwa na kakaangu muda huu😭😭😭😭😭nimeishiwa nguvu kwakweli,😭
844
135
4K
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
#Biswalo asiapishwe kuwa jaji #Biswalo asiapishwe kuwa jaji #Biswalo asiapishwe kuwa jaji #Biswalo asiapishwe kuwa jaji
Tweet media one
27
149
695
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Analalamika eti huko mitandaoni wanasema mimi sijazi watu naombeni waandishi wahabari pigeni picha🤔swali kwani yeye anashindana na nani? au ndo kujishitukia?
Tweet media one
81
49
628
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Retweet kwa Padri Kitima like kwa Sheikh,ili kilammoja ajijue nafasi yake katika kuihudumia jamii inayo mzunguka.
Tweet media one
Tweet media two
77
2K
581
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Kumbe wenyewe ndo magaidi!!?😂ila Mungu mwache aitwe Mungu,hii kweli inaitwa mission failed Mungu fundi jamani😂 #Mbowesiyogaidi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
31
69
559
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Nchi ngumu sana hii,tukiwaambia ni yakifalme muwe mnaelewa,huyu ni bintiye @SuluhuSamia na nikiongozi Serikalini,na huyo ni Mkwewe ambaye kwasasa ndo Waziri wa Tamisemi,Mama mkwe amefikia hatua ya kusifia kifua cha mume wa bintiye!!!!!?😛
Tweet media one
59
62
568
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Umejifunza nini hapa? Halafu wakirudi huku full kujitutumua yaani,hawa waarabu wenu Watanganyika tumewakataa!!!!
Tweet media one
111
60
560
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Safi sana umewapiga na kitu kizito kichwani,Mungu akubariki na uishi maisha marefu.
47
190
525
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Ungekutana nao ana kwa ana ungewafanyanini kwajinsi wanavyo tujeruhi mioyo yetu?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
126
34
458
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
JWTZ mngeeleweka endapo tu mngetoa hizo siku saba kwa @SuluhuSamia kusitisha huu mkataba wakijinga na wakipumbu maramoja,pili mngetoa siku hizo saba kwa Serikali kusitisha maramoja ukatili wanaofanyiwa raia wa Kimaasai huko Ngorongoro,haya masuala ya sare yana tija gani kwa Taifa
Tweet media one
48
70
471
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Nchi inachezewa,Katiba inavunjwa,mali za uma zinaibwa,Wananchi wanapuuzwa wanabambikiwa kesi za hovyo kwamanufaa ya wanasiasa hasa ccm,kama jeshi hamuyaoni haya? Watz wamefika mahali wamechokaa,JWTZ lindeni Katiba yetu,rasilimali za nchi na Wananchi,siyo wanasiasa mafisadi.
Tweet media one
Tweet media two
45
69
476
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Mpango unapaswa ujiuzuru maana hufai tena kuwa kwenye hiyo ofisi,kumbe watu wameteswa,wamepigiliwa misumari miguuni,wamekatwa masikio,wameharibiwa mashamba,magari,wameporwa hela kwanguvu,kumbe nawewe ulikuwa na mkono wako ndani yake!!!!? #ujiuzurumaramoja 🚮
Tweet media one
48
77
456
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Ni haki yangu kudai Katiba mpya,na nitaidai kwa wivumkubwa sambamba nahilo nitahakikisha ninatoa elimu kwa kila mtu kuhusiana na haki yake ya kudai katiba mpya ambayo itatibu majeraha yasasa.Wewe je?💪💪💪💪
Tweet media one
10
75
431
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
8 months
Mnachotaka kumfanyia huyu CDF mtakuja kulia kilio kisichokuwa na mnyamazishaji yaani, @SuluhuSamia hiki ndo kipimo chako
Tweet media one
14
43
432
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
🙏Shujaa kama shujaa yaani,anatuhabarsha anatujuza anatutahadharisha,anatuonya,anatuburudisha nimesahau nini kingine?👏
Tweet media one
Tweet media two
29
36
412
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kamtishe mkeo sio Watz,
Tweet media one
Tweet media two
27
64
431
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
11 months
Huyu ndo alipaswa kuwa Askofu mkuu sasa siyo yule mamluki
Tweet media one
9
59
429
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Huyu ndo alisema amemkamata Mdude na dawa za kulevya nyumbani kwake,jana mahakama ilimwachia huru Mdude,huyu anapaswa kuchukuliwa hatua kali za kisheria na kumlipa fidia Mdude na familia yake.
Tweet media one
Tweet media two
34
52
418
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kamwambie yule baa medi wako uliye mwingilia kinyume na maumbile yake yaani,tuna siri zako nyingi,usituone sisi ni wajinga kama ulivyo wewe,mmewafunga akina Dr Slaa kwa kukosoa mkataba wa hovyo mnao utetea utafikiri waarabu ndo wazazi wenu!!!!!?
Tweet media one
17
38
404
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Mungu atashughulika nao mmoja mmoja kwa idaidai yao wote walio husika kutekeleza unyama huu,😭
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
34
397
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema Mbowe ni gaidi?hivi @tanpol @SuluhuSamia mnawafahamu magaidi nyie? mambo mengine muwemna fikiria kwanza kabla ya kufanya.Hii itawagarimu mbele ya safari.Maneno matakatifu yana sema aombaye atapewa,atafutaye atapata @SuluhuSamia jitafakari upya
Tweet media one
Tweet media two
41
64
388
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Hiki chama hiki✌️✌️✌️✌️🙌🙌🙌
Tweet media one
Tweet media two
15
44
387
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Utakuwa huru soon Mwenyekiti✌️✌️💪💪
Tweet media one
5
33
385
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Aibuuu aibuuu hii mimi najuta kuja kanisani leo,huu waraka umetuumbua vibaya wana ccm na Wabunge wote🤣🤣🤣👇
Tweet media one
16
43
382
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Nchi hii inaongozwa kifalme watu wanarithishana madaraka ndani ya familia zao,niwapongeze Shangazi @MariaSTsehai na @fatma_karume kwa kuukataa huu mfumo na kuamua kuungana na Watz kudai haki ikiwsemo ya kudai #KATIBAMPYA kwa faida ya Watz wote Mungu awabariki sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
62
381
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
9 months
Mwananchi vs Walanchi
Tweet media one
Tweet media two
12
58
383
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kweli kabisaaaa🤝
Tweet media one
9
67
372
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
😄😄😄😄😄
Tweet media one
34
26
370
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Likitokea la kutokea kwa Mdude na Mwabukusi tutaanza na huyu👇
Tweet media one
19
47
357
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
BREAKING: NEY wa Mitego amepewa kesi ya UCHOCHEZI.Napenda ni wambie kwamba hapo mmempaisha Ney wa mitego hata waliokuwa hawamfahamu sasa wataanza kumfatilia na kuipenda kazi zake,akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa, @SuluhuSamia ,Basata na ccm mmefeli na mnakera sana🚮
Tweet media one
15
82
342
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Dawa yenu ni mapinduzi tu hakuna namna nyingine,hamjiulizi kwanini baada ya mapinduzi Wananchi huwafurahia wapinduaji? Nyie endeleeni kulaani tu🚮🚮
Tweet media one
42
43
328
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
11 months
JWTZ kwanini mnakubali kuingizwa kwenye mambo haya ya utesaji raia? Kwanini mnakubali kutumiwa na wanasiasa kutesa Wananchi mlioapa kuwatumikia kwa mujibu wa Katiba? Kwanini Katiba inapovunjwa hatuwaoni kushituka na kuchua hatua? Kwa hali hii nyie ni makada wa ccm kwa 100%
Tweet media one
17
60
332
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Spika Maria anaongoza mjadala vizuri sana,na mchangiaji Fatma Karume anatema cheche balaa👏karibu bungeni sasa hujachelewa.
Tweet media one
11
31
309
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
11 months
Bashite sisi lazima tulipize kisasi hatakama baada ya miaka mia kenda maana mnatia hasira sana,ndo maana mnakuwa na jeuri nakiburi tutalipiza tuuu yaaani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
32
62
322
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Nasubiri nione @AnnaTibaijuka akikamatwa na kupewa kosa la uhaini kwa kutetea uzwaji wa bandari yetu.
Tweet media one
6
47
320
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Daa 😭😭😭nimefiwa na Dadaangu 😭😭😭😭
99
16
309
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Unadhani ninani anafaa kuwa Mbunge wa Ubungo 2025? #Retweet kwa Bony; #Like kwa Kitila Mkumbo
Tweet media one
Tweet media two
60
665
304
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Huu ndo ujinga na upumbavu wa watu alioshiba na kuvimbiwa kodizetu, watu wanaumia kilakona halafu waziri unakuja na kauli za kitoto kiasi hiki?
Tweet media one
75
33
308
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
CCM ni watu wahovyo sana na ni watu wa binafsi sana ,hata wafanyaje Katiba mpya itaandikwa tu
Tweet media one
18
59
295
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Yaani watu wanapigwa,wanaumizwa,wanauawa,wanasinhiziwa kesi za uhaini,Mbunge anakamatwa bilakujali na mwakilishi wa Wananchi kisa huyu mwaarabu!!? 👇
Tweet media one
39
36
275
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Tunamtangaza rasmi @ExMayorUbungo kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo 2025 hongera kwako Kiongozi 🤝
Tweet media one
8
22
286
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Shangazi @MariaSTsehai Mungu akutunze hadi uone ule mwisho🙏
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 years
📌📌📌 Tuendelee kupigania Haki - na kumbukeni DHULMA ni uovu mkubwa na haujawahi kudumu - anguko lake baya sana #ChangeTanzania #TutaelewanaTu #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
17
92
389
6
42
278
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
9 months
Huu ni upumbavu wa hali ya juu,ingekuwa familia ya @SuluhuSamia mnge zunguka na hiyo helkopta angani na kuangalia watoto wake wakisombwa na maji? Tena mnabahati hiyo helkopta ilitakiwa kutunguliwa mkafie mbele huko wapuuzi nyie msiothamini maisha na uhai wawa Watz😡
Tweet media one
35
36
282
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Huku kwetu kuna kibaka wa bao la mkono alikataa starlink kutoa huduma ya internet ya satellite Bongo baada ya kuhongwa na wamiliki wa huduma zingine za internet. Kibaka huyo alisema Starlink hawana ofisi Bongo hata hivyo tulipomuuliza aonyeshe ofisi za Twitter Bongo hakujibu.
Tweet media one
Tweet media two
5
59
278
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Sauti inatoshaa?au tuongeze?
Tweet media one
5
60
275
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Tunalaani tukiohili lenye sura ya kisiasa,hii ni kutokana na Waraka wa Maaskofu,huu ujinga Mungu atawalipa na anguko lenu lipo karibuni
Tweet media one
45
51
271
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
🤣🤣🤣🤣🤣 mtavuliwa mpa chupi yaani
Tweet media one
9
27
272
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kumeanza kupambazuka #tutaelewana yaani,vitisho havijawahi kushinda nguvu ya wenye nchi.
Tweet media one
4
37
270
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Kesi ya Freeman Mbowe na wenzake NI mojawapo ya 'Jumba bovu' uliloangushiwa Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia , ungewauliza ni kwanini hawakumfungulia kesi tangu Agosti 2020 mpaka Julai,2021 hawatakuwa na majibu, kama walikujibu kuwa walikuwa Wanafanya upelelezi,mbona hawana ushahidi!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
40
271
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
9 months
Kagame ulimuua babaake na huyu binti leo umemmalizia na huyu kwa kumfunga gerezani kisa tu alikuwa nimpinzani wako na alitangaza kugombea urais pia alikuwa na upepo mzuri kukuzidi hizo sumu mnazo wapatia wafungwa wa kisiasa wakiwa gerezani nawe utakuja nyweshwa ni suala la muda
Tweet media one
21
44
265
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kwa kifupi Mahakama imejivua nguo hadharani,itoshe kusema pesa walizo hongwa haziturudishi nyuma katika kulinda rasilimali za nchi yetu yaani, @TuliaAckson usifikiri umeshinda, @ikulumawasliano msifikiri Watanganyika ni wajinga kiasi kwamba mnatumia kodi zao kuwaumiza.
Tweet media one
Tweet media two
23
66
269
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Watanganyika tuungane pamoja kuumaliza huu mvutano.
Tweet media one
13
589
253
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Hakuna cha kuandamwa @freemanmbowetz yuko sahihi kabisa
@Jambotv_
Jambo TV
1 year
MBOWE AANDAMWA KWA KUTOA KAULI ZA KIBAGUZI, AUWEKA NJIAPANDA MUUNGANO Na Mwandishi wetu Wananchi katika maeneo mbalimbali wameonesha kuchukizwa na kauli iliyotolewa na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ikionesha kuwatuhumu viongozi wa
Tweet media one
334
18
502
4
64
264
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
8 months
Jinai haiozi utakuja wajibishwa tu bwana mdogo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
40
262
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Hazina kwa Taifa tuilinde
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
49
254
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Babu Tale eti nayeye kajifanya katokea kwenye maisha duni!!?upuusi mtupu😄
Tweet media one
21
8
255
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Pinga uuzwaji wa Bandari kwanguvu zote tusikubali kuondolewa kwenye msimamo wetu kirahisi hivi
Tweet media one
7
48
257
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Haya mambo ndo hatuyataki,unaleta propaganda kwenye mambo ya msingi? Unafaidika nimi kuongea uongo hadharani? au nyie wenzetu mnahizo akiba majumbani mwenu?
Tweet media one
53
29
257
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Nikajua umeme unawakatikia CHADEMA na sisi Wanaharakati tu,kumbe hata nyie ccm🤣🤣🤣
Tweet media one
10
34
255
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
JWTZ halioni huu ukatili ila linaona tu Sare zinazo fanana na zao huu ni ushamba
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
60
254
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Nitakuja na faili lako,muda siyo mrefu
Tweet media one
39
28
258
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
8 months
Ulijaribu kumuua ulishindwa hauoni hata aibu kuzungumzia huu ujinga? Maana wewe ni mfungwa mtalajiwa
Tweet media one
Tweet media two
25
42
255
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Ukisikia ujinga ndo huu sasa,yaani ccm chini ya @SuluhuSamia ambae ni Mwenyekiti wenu mmeingia mkataba wahovyo halafu ccm haohao chini ya @SuluhuSamia huyohuyo aliye usaini huo mkataba ametoa maagizo kwa Serikali!!!!!!!!?????
Tweet media one
Tweet media two
26
68
248
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
8 months
Itakuwa njema sana au nyie mnaonaje yaani 🤷
Tweet media one
Tweet media two
21
22
247
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Matumizi ya nguvu hayatakufanya uwe mshindi kwenye Vita hii nakutabiria. Hii inazidi kuongeza Chuki dhidi yako kwa unaowatawala. Na, nakukumbusha tu, NGUVU ni Silaha ya mwisho anayotumia kiongozi DHAIFU na aliyeshindwa kama wewe. HUTAFANIKIWA!...
Tweet media one
Tweet media two
4
56
251
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Mchengelwa ututake radhi Watz vinginevyo hutoboi nakuhakikishia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
26
246
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
7 months
CCM hamtakagi kabisa mtu msema kweli R I P Thadei😭
Tweet media one
8
24
242
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
TISS haya maujinga hayana tija kwa Taifa,akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa,Maaskofu wakatoliki ni akili kubwa wana PHD zao hawawezi kushindana na dv zero hizi😄
Tweet media one
50
32
232
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Aliye wadanganya na kuwadhamini yeye kalala zake usingizi huko hanashida na katangaza kujiuzulu kukombea tena,kweli mtegemea cha nduguye hufa maskini😁😁😁
Tweet media one
Tweet media two
13
26
230
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Watanganyika tukiamua tunaweza, hatuwezi kuburutwa na kakikunfi kadogo ndani ya kundi la watu milioni 60+kama huyu mmoja aliweza kuondoka na watu kadahaa ndani ya nusu saa kwanini sisi kwa umoja wetu tukubali kutishwa wakati tunajua ni haki yetu kuhoji!!!!!!?
Tweet media one
21
42
236
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Hii picha haina tofauti na mapito aliyopitia Rais wa Zambia wa sasa,ninaimani huyu ni Rais wetu ajaye tunzeni hii tweet.📌📌 #Mbowesiyogaidi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
35
227
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Mandela alifungwa miaka zaidi ya ishirini gerezani na Makaburu wakiamini kwamba wanafuta kabisa harakati zake za kudai ukombozi, lakini tunaona baada ya kutoka alikabidhiwa kuliongoza Taifa la Afrika kusini,Hata Mbowe anayapitia alivyo yapitia Mandela.Mungu atakulinda
Tweet media one
Tweet media two
12
30
226
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
4 years
@kigogo2014 😂😂😂hii ni kukujibu wewe ila umewapelekesha mpaka kumtoa mgonjwa wodini😂
2
11
236
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Tuungane kwa pamoja kuitetea Bandari yetu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
77
224
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Alisimamishwa muda mfupi sana alichanganyikiwa na kwenda kulialia kwa Meko leo hii anajiona mjanja wa kutisha watu!!!!!????😄
Tweet media one
8
33
218
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Mwenzako akinyolewa zako tia maji 😄CCM hizi ni salamu tosha kabisa
Tweet media one
Tweet media two
8
23
223
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Huu mfumo wa kuvaa yunifomu za Jeshi umekaaje?mbona hatukuwahi kuona Mpaka,Kikwete,Mwinyi wala Baba wataifa wakiyavaa haya mavazi? Hii ni ishara ya kwamba uongozi wajuu wa Jeshi hautambui umuhimu na heshima ya mavazi hayo?ili kuondokana na huumfumo #KatibaMpyaNiSasa
Tweet media one
58
26
216
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Kati ya hawawawili nanimjinga?😄
Tweet media one
Tweet media two
53
45
215
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Jaji unapaswa kuelewa kwamba katiba mpya ni takwa letu wananchi ,si takwa la Chadema wala Ccm,Tunataka katiba mpya, hili halito koma leo wala kesho,nawewe Jaji ccm,unaungana na hilo kundi dogo la wanyonyaji wa wananchi kutaka kufubaza madai ya katiba ya wananchi?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
28
213
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Naona mnatafuta mapinduzi kwanguvu,laiti mngejua nchi ilivyo vimba msingekuwa mnafanya haya maujinga yaani
Tweet media one
7
47
210
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Halafu mnamshitaki Mbowe kwa Ugaidi?
Tweet media one
Tweet media two
11
39
209
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Mawakili wasomi wapenda haki nasiyo dhulma,Mungu awape maisha marefu 🙏🙏🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
41
215
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
CCM sisi sio wajinga,safari hii lazima kieleweke mtake msitake.Huu ni upumbavu wa hali ya juu,
Tweet media one
5
25
205
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
🤣🤣🤣Ukumbi wa Mlimani city sikuhizi unavichaka ndani na kamba za kuzuia watu wasilisogelee jukwaa?amakweli ACT mmetisha 🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
35
20
208
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
11 months
Kumbukeni leo ni kwahii familia,kesho ni familia yako,Watanganyika hii familia imeingia kwenye hii huzuni baada ya kuupinga mkataba haramu wa Bandari kwa maslahi ya Watanganyika lakini sasa wanateseka pekeyao hakunahata dhehebu wala Maaskofu walio laaani huu uonevu😭
Tweet media one
16
47
211
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Generali Ulimwengu ni mtu wawatu anajali utu,si mtu wa kujiona,hanawivu ni mzalendo wa kweli ambaye ameipambania nchi yake na nchi jirani katika harakati za ukombozi,je wewe Ndugai umewafanyia nini watz zaidi ya kupitisha masheria na matozo kandamizi kwa raia? #KatibaMpyaNiSasa
Tweet media one
Tweet media two
10
29
202
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
JWTZ mnalakujifunza hapa,
Tweet media one
Tweet media two
5
38
206
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Umma wa Watz umekataa katakata kuuzwa kwa bandari yao,ila washirika wa Serikali na wachumia tumbo ambao kilauchao wanajiita wazalendo kwa kuvaa tai za bendera na wengine kujifanya walikipigania chama ambacho ni CHANZO CHA MATATIZO (CCM) wamepuuza maoni ya Wananchi kwa 100 na sisi
Tweet media one
Tweet media two
11
38
205
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Mashahidi wa CCM wanaongea uongo Mahakamani kwalengo tu la kutaka kumfunga Mbowe tuna waambia hivi Mungu atashughulika na ninyi mmoja mmoja kila mtu kwa wakati wake anaostahili.
Tweet media one
Tweet media two
15
36
197
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Tweet media one
3
31
202
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Mama Abdul kama Mama Abdul yaani 😛,Watz tunachezewa sana yaani mtu hana wadhifa wowote Serikarini na hajulikani lakini anafanya kazi za Serikari yaani
Tweet media one
14
41
195
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
11 months
Achakutisha watu weweee ukada wako sasa unavuka mipaka utaumbuka soon yaani
Tweet media one
7
21
197
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
4 years
Kupendwa rahaaaa!!!!!!jamani✌✌✌✌✌✌✌✌✌
@HecheJohn
John Heche
4 years
Mwanza Asanteni sana.
76
158
1K
1
9
195
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
3 years
Tuone nani mzalendo wa kweli?Retweet kwa Generali Ulimwengu,Like kwa Jobo Ndugai.
Tweet media one
Tweet media two
44
1K
180
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
💪💪💪💪💪💪💪🤝
Tweet media one
4
37
192
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
9 months
Mwanaume ndevu bhana,na sisi watu wenye ndevu huwa hatuwatishii watu ovyoovyo yaani🤣 @ExMayorUbungo
Tweet media one
Tweet media two
5
17
193
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
1 year
Wanajionaga ni watu mhimu sana lipokukuja suala la Chadema,lakini mwamba mmoja tu aliwatoa jasho dani ya nusu saa,siku Watz wakiamka na kutoka katika uoga watanyoosha maelezo
Tweet media one
2
18
187
@HakiHM36447238
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
2 years
Mzee wa wapigwe tu,kaingizwa kwenye kikosi kazi chao unatarjia nini?
Tweet media one
20
11
185